🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 ноя 2024

Комментарии • 32

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 месяцев назад

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @mokiaolenaputu7648
    @mokiaolenaputu7648 6 месяцев назад +1

    Mungu akulinde sana Mheshimiwa Heche. Tafadhali Serikali muwatumie hawa jamaa (Heche, Lissu, Mbowe, Zitto, Lema, Mnyika) Kabla hawajamaliza kipindi chao hapa duaniani. Wakiondoka bila kuisaidia nchi ipasavyo itakuwa ni hasara ya taifa

  • @hadijamkieti1751
    @hadijamkieti1751 6 месяцев назад +1

    Huyu brother heche ni tunu ya taifa. Nchi zenye maono anapewa nafasi kwa 7bu mungu Kuna kitu ameweka ndani yake na Anao uzalendo wa taifa lake ndio maana nampenda sana🌹🌹

  • @GodfredAlfredNgarama
    @GodfredAlfredNgarama 6 месяцев назад +1

    Nawakubali sana makamanda wangu tusemeeni mungu atawalipa tu.

  • @MFUMBEGang
    @MFUMBEGang 6 месяцев назад +1

    Tupo pamojaaaa chama changu❤

  • @juliuskimanimolleli4088
    @juliuskimanimolleli4088 6 месяцев назад +2

    Mungu awabariki San makamanda wenzangu

  • @YusufDuale-eq4kl
    @YusufDuale-eq4kl 6 месяцев назад +1

    Hongera lissu kwa kusoma na kuongea ukweli

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 6 месяцев назад +2

    True story my brother speaking up

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 6 месяцев назад +2

    heche anafaa sana kuwa rais uelewa mkubwa sana

  • @MedardLutelemba
    @MedardLutelemba 6 месяцев назад +2

    Kuanzia sasa haya mabango ntayabandua kila napopita nikiliona

  • @YusufDuale-eq4kl
    @YusufDuale-eq4kl 6 месяцев назад +1

    Kweli kbsa chadema hongereni kwa kuongea ukweli

  • @stevempalanzi2040
    @stevempalanzi2040 6 месяцев назад

    29:18

  • @bmdele5816
    @bmdele5816 6 месяцев назад +1

    Mwaka huu FICM tunawang'oa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад +1

    Kwani anapofukuza sisi wamasai kwani anapowafukuza kwao mtu wa kuja anawafukuza watu wetu huo inamsaidia nini? Yeye anaye hama na kwao na kuja kujenga Bunju ni kwa kupenda kwake hakufukuzwa kwao bali kwa ridhaa yake anajenga Bunju. Sasa kuwahamisha wamasai nawengine walio katika sehemu ya kwao na amekaa hapo tangu azaliwe leo yeye anawahamishia sehemu wasiyo ijua.

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 6 месяцев назад

    Kwa hali wananchi walitakiwa watoke siku Moja tu na kuipigania nchi yao kutoka Kwa watawala hawa!

  • @DeograsiasMdendem-lj5lo
    @DeograsiasMdendem-lj5lo 6 месяцев назад

    Hakika mungu atutie nguvu wapinzani wamtindo huu sijui ila waandamanaji tuombe hawa jamaa wawe kipao mbele

  • @DavidEdward-vd8cj
    @DavidEdward-vd8cj 5 месяцев назад

    Taifa hili linaongozwa kifalme juha

  • @michenjembikamichenje1388
    @michenjembikamichenje1388 5 месяцев назад

    Wapinzani muungane kama mnasema kweli

  • @happyjeremiahmhuli4043
    @happyjeremiahmhuli4043 6 месяцев назад

    Wananchi amkeni ujinga ndio tatizo, CCM wanatuzuga

  • @TradersEasyWay
    @TradersEasyWay 6 месяцев назад

    wapige nondo heche😂😂😂

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад +1

    Kwahiyo sisi wanainchi hatuna wezi kujitangaza imekuwa yake ya kujitangaza kila mahali mbona huko kwao alikuwa ajitangazi kiasi hicho anata kujifanya yeye ndiye Mtanganyika zaidi ya wanainchi?

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 6 месяцев назад

      Sasa kama wee hujitambui? Tufanyeje, Ccm ndo Kirusi hapa nchini

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад

    Leo atawaongezaje mshahara? Wanajiongezea pesa ili hayo magari wanawahonga ili kwa sababu Samia anatafuta kutawala watu wasiyo mtaka. Hatumtaki Samia aende kwao!

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад

    Watawala wa CCM sijui ni watu wa aina gani. Mbona wameshindwa kuwalipa watu walio kuwa Shirika ya East Africa

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 6 месяцев назад

    Hivi vyombo vingine vya habari ni kama vipeperushi tuu!

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад

    Na ninyi wachawa msitukasirike mchukuwe ukamlee nyumbani kwako unayeongea ongea kuhusu CCM si ukabandike hilo liCCM nyumbani unapoamka unaliona ukienda chooni unaliona

  • @Ba63828
    @Ba63828 6 месяцев назад

    Taifa hili halitatawaliwa na vichaa

    • @TegemeaFutemakatifu
      @TegemeaFutemakatifu 6 месяцев назад

      Vichaa ni kama mwenye akili Mbovu kama wewe

    • @Ba63828
      @Ba63828 6 месяцев назад

      @@TegemeaFutemakatifu unalo hadi kaburini hilo

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад

    Wewe ni wakuja tafadhali usiwasumbue wamasai. Hata asipoitoa kuna siku ataitoa tu. Na tukipata tu KATIBA tutawashughulikia kufuatana na makosa yao. Hakuna jambo lisilo na mwisho Mungu tusaidie kwa sababu wewe unachukia wizi kwa nini usishughulike na wezi wote kama CCM ?

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 6 месяцев назад

    Mh.Heche sio wajinga,ni wenje tamaa,chuki, na ubinafsi waliopofushwa na rushwa na laana ya Katiba hii ya Nyerere-muasisi wa taifa hili waliyoing'ang'ania kama ruba au kupe Kwenye ngozi ya mnyama!