UNAMKUMBUKA HAROUN BOBANI?AFUNGUKA KUHUSU SIMBA ATOA USHAURI,AGUSIA ENZI ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2024
  • Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.
    KIUNGO wa zamani wa Simba, Haruna Moshi 'Boban' amesema inachopitia klabu hiyo ni mpito, huku akiwashauri viongozi wajue chanzo na kukitibu, ikirejea iwe na kishindo kikubwa.
    Katika mahojiano yake aliyofanya na Mwanaspoti, Boban amesema Simba siyo ya kuichukulia poa kwa kipindi inachopitia, kwani ikiboresha maeneo machache itakuwa ya moto.
    "Najua kocha ndiye anayetoa ripoti ya nani asajiliwe, ila kwa mtazamo wangu kama mchezaji na mdau wa soka, naona Simba ikisajili straika, kiungo na beki wa kati itakuwa hatari zaidi msimu ujao," amesema Boban.

Комментарии • 12

  • @davidlaiser8174
    @davidlaiser8174 27 дней назад +4

    Moja ya waxhezaji bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania na Afrika kwa ujumla.
    Ila mtangazaji umeachaje kumuuliza kilitokea nini hadi alirudi kutoka ulaya.Naskia watu wanasema kuna kitu alikimiss Tz?

  • @martinkrispin5235
    @martinkrispin5235 27 дней назад +1

    Tutafutie na Athumani Idd Chuji the Legendary

  • @rosekida1388
    @rosekida1388 26 дней назад

    Uyo alikuwa noma Anajua Sana Boli Bobani

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 26 дней назад +2

    Ubaya ukiwa Simba baadae ukaenda yanga uzeeni unakuwa huna heshima Kwa mashabiki Bora ubaki upande mmoja kama Simba Baki Simba kama yanga Baki yanga

  • @chrissmpangala
    @chrissmpangala 24 дня назад

    Fundi mmoja hatari Sana

  • @songombingo108
    @songombingo108 27 дней назад +1

    Bangi ilimuharibu

  • @nicksonshoo429
    @nicksonshoo429 24 дня назад

    Boban ulikosea kuvunja mkataba na ile timu ya Ughaibuni.Ungefika mbali sana.

  • @user-wj4bs9ub3n
    @user-wj4bs9ub3n 26 дней назад

    Mmmh!Hilo vazi dada

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 26 дней назад

    Alikuwa fundi Simba enzi hizo

  • @MuhinaCharse-gt7og
    @MuhinaCharse-gt7og 22 дня назад

    Huyu jamaa kwanza alikua haongei kabisa na wandishi ndiomana hdi Leo Hana kumbukizi za intav zake alikua kauzu kishenzi Mana hapo anaongea pia hajiamin Mana Hana uzoefu huoo wakuongea

  • @rajabmsinzia1715
    @rajabmsinzia1715 26 дней назад +1

    Fundi Boban dah jamaa ucheza aji wake haufanani kabisa kuwa Mtanganyika, maana ucheza aji wa Tanganyika ni kama ule wa kibu Rasta full kikiri kakara ila mchizi dah anaujua haswa mpira