HASSANI MWAKINYO ATOA USHUHUDA ALIYOKUTANA NAYO CHINI/WATU WANALIA SANA WANAHITAJI MSAADA WETU..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 42

  • @NtamamiloGibson
    @NtamamiloGibson 3 дня назад +4

    Nimemcheki akiwa ndani ya kifusi akipasua ukuta na kukata nondo Nguvu aliyokuwa nayo niliona power aliyotumia jasho kilikuwa likitiririka. Big up Mwakinyo.

  • @lulusimon4528
    @lulusimon4528 3 дня назад +1

    Hongera sana kwa kujitolea. Huu ni uzalendo wa hali ya juu. Mungu akubariki sana

  • @HamisiAbdallah-vu7fz
    @HamisiAbdallah-vu7fz 3 дня назад +3

    hongera sana hassan mwakinyo mungu akubaliki sana una moyo wa kibinadamu sana nakukubali sana kwa kujitoa

  • @MohamediJaziry
    @MohamediJaziry 3 дня назад +1

    Hongera kwako dada Pimtv maswali yako ni mazuri sana unajitahid kuuliza maswali yenye akili enderea kukaza dada utafika mbali

  • @DaviVicent-eh6ev
    @DaviVicent-eh6ev 3 дня назад +2

    Mwamba kabsa❤❤ hongera kaka mungu akutunze

  • @FatmaAlabri-lz2cw
    @FatmaAlabri-lz2cw 3 дня назад +3

    Allah awajaalie watoke salama .tunaimani watatoka salama

  • @EufrasiaMunyuku
    @EufrasiaMunyuku 3 дня назад +1

    Mungu akubariki sana makwinyo umefanya jambo la maana sana

  • @EliyakimuNashoni
    @EliyakimuNashoni 3 дня назад

    kk mungu akujalie afya njem na uwe na moy huo huo

  • @AnthonyDcosta-f3q
    @AnthonyDcosta-f3q 3 дня назад +1

    Mungu akubariki

  • @barakamathayo5946
    @barakamathayo5946 3 дня назад

    Hapo nakupa BIG YES kaka japo mimi sio shabiki yako

  • @ZeishaFuture
    @ZeishaFuture 3 дня назад +1

    Huyu kaka mungu amjaalie amiin yarabi

  • @mohammedabdallah9692
    @mohammedabdallah9692 3 дня назад

    Mungu Kupe afya njema

  • @BakarySalim-xn7po
    @BakarySalim-xn7po 3 дня назад +1

    Jamaa ana madini kichwani

  • @ElizabethDavid-nh2dq
    @ElizabethDavid-nh2dq 3 дня назад

    Big bro 🎉🎉🎉mungu azidi kukupa Kigali kila unapotembea na kukanyaga uwe mbalikiwa🎉😢

  • @FatimaFati-pu4lb
    @FatimaFati-pu4lb 3 дня назад +2

    Leo umeongea ukweli wanaleta mikate na maji namaziwa vyakula nn nguvu ndio yatakikana

  • @AbdulHakim-e4q3b
    @AbdulHakim-e4q3b 3 дня назад +1

    Allah akulipe mwakinyo

  • @AbdulkadirMwalimu
    @AbdulkadirMwalimu 3 дня назад

    Mungu akujaalie champez

  • @BarakaNikorac
    @BarakaNikorac 3 дня назад

    duuuu hongera sana kaka kwamusada wako🙏

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 3 дня назад +1

    Tanzania hakuna mwanamichezo anaejielewa kama huyu jamaa anamtanguliza mola?wake hatapendi kujionyesha kama wengine

  • @SakinaValy
    @SakinaValy 3 дня назад

    Eeee mungu mwenyezi, endelea kujibu maombi yetu

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 3 дня назад

    mwakinyo usizungumze sana, utaharibu msaada wako

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 3 дня назад +1

    Mwakinyo nilikuwa naona unamaringo kumbe una utu

  • @MwanaMmmm
    @MwanaMmmm 3 дня назад +1

    Mwanamme.anaweza kufika siku5 bila ya kula ilaa anakua tabani mwanamke zaid watakua wazim inshallah

  • @athumanishabani1143
    @athumanishabani1143 3 дня назад

    Mashaallah

  • @ElibarikMrema-zv7um
    @ElibarikMrema-zv7um 3 дня назад

    Hamonaiz anasemaga yy ni tembo? MBNA kwenye majnga hayupo

  • @MwanaMmmm
    @MwanaMmmm 3 дня назад +1

    Inaumaaa sanaa😭😭😭😭😭allah let wepes kwenye hili jaman

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 дня назад

      Mungu awasimamie majeruhi watoke salama 😢😢

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 дня назад

      Mungu awasimamie majeruhi watoke salama 😢😢

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 3 дня назад

      Mungu awasimamie majeruhi watoke salama 😢😢

  • @BilaliNungu-h3x
    @BilaliNungu-h3x 3 дня назад

    As-salaam Aleiykum

  • @Oman-p8x
    @Oman-p8x 3 дня назад +1

    Yarabii wasaidiewajawako

  • @dulla7664
    @dulla7664 3 дня назад +2

    Nguvu bila chakula itatoka wapi vyote ni muhimu. Kila msaada ni muhimu.

  • @SemeniJuma-x8i
    @SemeniJuma-x8i 3 дня назад

    Hakuna vifaa vingine vya kubomoa hizo kuta ngumu jamani zaidi ya hizo tindo na grender

  • @SanuriAShefaya
    @SanuriAShefaya 3 дня назад

    mwenyezimungu awhifadhi mahali pema ndugu zetu watanzania walio fariki kariakoo nawale majeruhi mungu awape afia napia niulize kuhusu dada mmoja ambae anaitwa rahma juma ameokolewa akiwa hai au niambieni mtanzania mwenzenu niko kenya

  • @AllyKame-rx2zd
    @AllyKame-rx2zd 3 дня назад

    Hakika mafunzo haya kwa walio kuwa hai ni makubwa mno

  • @BoscoMyinga
    @BoscoMyinga 3 дня назад +1

    Huwa Lina hekma hili jamaa

  • @ngotosilasi2099
    @ngotosilasi2099 3 дня назад +1

    Nimekuelewa mwamba hamonaizi sijawaona na p dd watakasifa

  • @Anthonyzombie-d2s
    @Anthonyzombie-d2s 3 дня назад

    Hiki kichwa kabisa

  • @JeminAbraham-f1o
    @JeminAbraham-f1o 3 дня назад

    Matajiri kweli chakula kitamrudisha mtu..matajiri tuone

  • @MussaDhahabu-l5b
    @MussaDhahabu-l5b 3 дня назад

    chup 😂😂😂