Amina kipenz na kwako piy ndg mwenyez mung akuongezee hekm n busara ktk hatua zako zote,hit ndy nguzo pekee kw ss binadamu pesa mali thaman hzn maan san jp n muhimu,mshukur mung kwa kidogo unachpt lkn ucisahau kuwakumbuk wasio jiweza,mung atakuongezaa zaid,asante kw ujumbe mzr.
Wewe mzee Said uilikuwa unawadharau wachezaji wa Yanga eti wazee leo Dikson Job na Ibrahimu Bacca wameonyesha umahiri wao kwa tmu ya Taifa unawasifu kwa umahiri wao wa ulinzi. wameonyesha umahiri na asist ya mdhahiri tuwape maua yao. Simba kwa pamba ikae chonjo maana haijawahi tokea simba kula pamba.
Napenda hapo mzee said anaposema usiifute hii 😂😂😂 chagamba usisahau kwenda kuwahoji wale wakaka wa mabibo mmoja alisema gamondi hatakula Christmas halafu wanasema mmi naondoka na mwanangu singinda kwenda club bingwa mwingine anasema ataondoka na mwanae azam na coastal union nenda chagamba kawahoji
Mzee Said kuanzia leo nimekukubali kuwa wewe ni mtu Mpira !! Linapoingia suala la kimataifa kwa Timu zetu za Azam, Yanga, Coast, au Simba lazima uongee kwa ualisia, Ni kweli Yanga wasibweteke kwa kauli ya Ibenge kwa kuwaambia Yanga wametuchanganya kumuacha Gamond na kumleta kocha mpya Ramovic, big up Mzee Said
jamani wangapii tupo tayalii kumchangia mzee said hela ya jezii???❤❤🎉
Aje nimpe Jearsy
Ninunulie mimi please@@angellomarcel5677
Atupe no tu
ATOE YULE
naitwa Mr chumvi,,,chagamba hongera Sana combination yako na mzee saidi imesoma mnoooo.
Daaa Mzee said eti Job na Bacca wanamlinda Manula kama sio waliompiga TANO ( 5 )
Mambo chagamba mi naitwa tatizo,muda nipo Pangani napenda sana kuwa mwanachama wa kipindi chenu mnipokee❤
❤❤❤
Dh Mzee said un nip rahaa il ap um changanya laf mapz kwel ❤❤❤❤❤❤
😀😁😂 LIFE NI MAPENZI😀😁
Mzee Saidi mimi nitakununulia jezi ya Yanga nyeusi
Ila mzee said mswahili sana 😂😂😂😂et hamsa 20
Wewe Unasyessoma hii Comment yangu , Najua. Hatufahamiani ila Nakuombea Kwa Mwenyezi Mungu akujalie afya Njema na akupatie hitaji la moyo wako
Amina🙏🏿🙏🏿
Amina mtumishii🙏🙏
Allahummah ameen
Amina kipenz na kwako piy ndg mwenyez mung akuongezee hekm n busara ktk hatua zako zote,hit ndy nguzo pekee kw ss binadamu pesa mali thaman hzn maan san jp n muhimu,mshukur mung kwa kidogo unachpt lkn ucisahau kuwakumbuk wasio jiweza,mung atakuongezaa zaid,asante kw ujumbe mzr.
Amina
Mungu akutunzee mzee wetuu tunakupenda sanaa
Kweli kabisa mungu amlinde mzee wetu
Protocol ya mpira 🤣🤣🤣🤣Ila Mzee said
Piga kelele Kwa Mzee saidi🎉🎉🎉🎉
Toka mwezi wa 4 adi sasa nafatilia mzee saidi na chagamba🎉🎉🎉🎉
Wewe mzee Said uilikuwa unawadharau wachezaji wa Yanga eti wazee leo Dikson Job na Ibrahimu Bacca wameonyesha umahiri wao kwa tmu ya Taifa unawasifu kwa umahiri wao wa ulinzi. wameonyesha umahiri na asist ya mdhahiri tuwape maua yao. Simba kwa pamba ikae chonjo maana haijawahi tokea simba kula pamba.
Nakubali Sanaa mzeee said😅😅😅
HAMISA MOBETO ANAKUJA HADI KAMBINI ETTI AZIZI KIIIIII ILA MZEE SAIZ😂😂😂😂😂😂😂UROTO WOTE UMEISHAAAAAAA
❤❤❤❤ ubaya ubwala Mzee saidi mungu akulinde akubariki Sana Mzee wetu ❤❤
Mzee Said ananibamba kweli
Hahaaaa!! Ila mzee Said bhana, Eti Mwakinyo akija namtolea panga au mshale🤣🤣
Chagamba mwambie mzee saidi hiyo gari inaitwa Freightliner. Alaf mwambie mzee saidi mimi nipo Congo D.R.C. nikirfud namletea mchele naitwa Mohamed salum.
Mzee said unajua niitakununul jez ya yanga kijan Mzee wa football
🤣😂🤣chagamba na mzee said asee comedy 😃
Mzee said anatupa Raha sana
Mzee Said ANAMWAGA SERIES
Jaman mie nisipoangalia kipindi cha huyu mzee nakosaga aman kabisa. Et wachezaji wa kubumba bumba😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 huyu mzee wetu muongoooo huyoooo
Life mapenz Tena daaah 😂😂😂😂 Ile mzee said
Azizi Azizi Azizi nimekuja😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂 jamn mzee Said chaaa🙌🏻🙌🏻
Mzee said nikija inshallah nataka nionane nawewe mtani wangu nafurahi sn maneno yk😅eti goli5
Weeeee mzee said wew jomn nlku miss chagamba
Diamond 😂😂😂
Heti Dortmund Simba Mzee saidi bwana
Mungu ampe umri mrefu mzee wetu😂😂😂😂ananiumiza mbavu
Nimekupata gamba na mzeee saidi
Hongela chagamba kumfutalia mzee wetu
Namba ya mzee said nitumie chagamba
Napenda hapo mzee said anaposema usiifute hii 😂😂😂 chagamba usisahau kwenda kuwahoji wale wakaka wa mabibo mmoja alisema gamondi hatakula Christmas halafu wanasema mmi naondoka na mwanangu singinda kwenda club bingwa mwingine anasema ataondoka na mwanae azam na coastal union nenda chagamba kawahoji
KWELIIIIII nimewakumbuka wale😂
mzee saidi nnomasana
Chagamba muambie mzee said kuwa atakuja kulia mdomo juu😂😂😂😂
Mzee said inabid aoewe kitimu 😂😂
Mzee said univunja MBavu mzee
mzee saidi😂😂😂😂😂😂
Mzee said weee🔥🔥
😂😂😂nyavu zinapanuka
😅😅😅chagamba mzee saidi oyeee
Mzee said bwana sikiliza ile simbaaa naile oambaaa😂😂😂😂
Mzee said aweke namba watu wamchangie jezi😂😂😂😂😂😂
Mzee said nakukubal snaaaaaaaaa snaaa
Mzee Said kuanzia leo nimekukubali kuwa wewe ni mtu Mpira !! Linapoingia suala la kimataifa kwa Timu zetu za Azam, Yanga, Coast, au Simba lazima uongee kwa ualisia, Ni kweli Yanga wasibweteke kwa kauli ya Ibenge kwa kuwaambia Yanga wametuchanganya kumuacha Gamond na kumleta kocha mpya Ramovic, big up Mzee Said
Nilichogundua kiingereza na mzee said ni kama maji na mafuta
😂😂😂😂😂😂😂
Wewe msikilize point zake anzo ongea wewe unaejua kiingereza mbona hufatwa kuhojiwa mwache mzee wa watu ni muda wake acheni vijicho
Unaposisitiza usifute unapenda kuonekana mtandaoni😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
❤❤waoo mzee said
Hata wamakonde asali wanaita hivyo😂😂
😂😂❤❤babu side ❤❤❤
Hahaaa mzee said bhana! Eti eeh dortmund simba tena?!!😅😅😅
Mzee Aziz ki wamotoyule
M naitwa ERICK naomba namba za Mzee said ni msifu sana Kwa elimu anayo itoa Kwa Wana nchi
Nakukubali sn mzee wangu unanipa haha kbs jaman yn ww nibola kuliko manala
Mimi.pia.nmpenda.mzee.Saidi.yukovizuri
Mzee said umeanza kujisahau 😂😂😂
😂😂wee mzee saidiii
mzee said utaniua na kucheka 😂😂😂
Sijawah jutia kumfaham huyu mzee ni mtu sanaa na anafurahisha balaa sanaa
😂😂😂😂🎉 mzee side bwana
ww unaon uyo mzee mzima kwel
akili zake anazijua mwenyew
Mzee Said bhana, eti Job na Baca wanamlinda Manula kama siyo wao waliompiga 5😂😂😂😂
Chagamba mwambie mzee Saidi afande kasema mtafute akununulie jezi
Chagamba mwambie mzee said aje kisiwa cha karafuu pemba uku
Mi niko mbali tumnunulize jezi bana wadau wa mzee said
Ila mzee namkubari sana maana huwaga nafrah ongea yake2😂😂😂
😂😂😂 wanamlinda kama sio wao waliomfunga 5
Mzee said kwel wamechanganyikiwa Dortmund had Simba
Lemond tena mzee saidi kiengereza chake hatari au anasoma kwa ticha zungu😅😅😅
😅
Ila huyu mzeeeeeeeee saidi dahhhhhhhhhhhhhhh eti chachanduuuuuuu
Mzee said anawapa content simnunulie jezi mpeni zawadi 😂
Nakunariyana na mzee said ata mm nilienda Malawi asali a naitwa uchi
Mzee said mtu na nusu jamaniiiiii
Side kama side😂😂😂😂
Mzee saidiiii
chagamba mzee saidi anamzidi miraji kuangalia soka na kuangalia matukio muhim
Chachandu kwel mzee said 😂😂😂😂😂😂😂
Chagamba humuwezi mzee Said mpaka umuingizie gia ya 5-1 😂😂😂😂😂😂😂
Mzee said karibu mwanza
Mzee saida me namuhaidi kumpeleka kusoma Lugha kwa P dady
sasa unamkosea mzee wetu wewe kwani taasisi za kufunza kiingereza hapa TZ hakuna au?
😂😂 eti life ndo nini mzee Saidi
Chuma Cha mjeruman mzee Said
Mzee saidna mobeto mmalize tofauti zenu
Lemon apo mzee said alikua anasinzia darani kingereza butu😂😂😂😂
😂😂 mzee Saidiiii 🎉
Benchi la ufundi😂😂😂
Mzee said hyo rshrt cyo Yako kavae Ile ya cku zote
Mzee Said hizo hela za ligonga achana nazo mzee wng
Haya Mzee said
Noma sana
"Life si mapenzi"🤣🤣🤣
❤❤❤🎉🎉🎉❤❤
Mzee Sideeeeeee mutu wa watu
Side legendary
Shadia upo wap? mbna sikuoni hapa jamn bila ww siwezi ukuje 💚💚
🤣🤣🤣🤣 mzee mbona unafurahisha san kamahawakumfunga tano kwel mbona unamkumbusha watu wakt wamesha sahau unawatonesha vidonda ten.
Na mimi nipo tayari
Asali kwakinyamwezi inaitwa phuuki sio uchi sawa mzee ukumbuke nakurudi nyumbani mzeewangu.
Leo mm hapa
Umeniwai
Aah mzee said