Na kuna ile aliotaja maraisi kaanza Nyerere, Karume na akamalizi na waziri mkuu kwa wakati huo Rashidi Kawawa nayo sijaiona.huyu jamaa ana nyimbo nyingi sana sema hazipigwi redioni.kwa hiyo munapoziweka humu yutub tunafurahi.nyimbo zake nzuri na zinamaana na zinamafundisho kama utabahatika kupata tafsiri yake.mimi binafsi si mmakonde lakini nazipenda sana nilikuwa nazo cd zake ila kwa sasa zinaskrach.na sijapata mtu aliyekuwa nazo kwenye kompiuta aniingizie kwenye frash.namkubali sana huyu jamaa na binafsi napendelea sana nyimbo za asili ila kwa huyu jamaa fundi kwa nyimbo hizi za kimakonde.kuna nyimbo zingine ameimba kwa kiswahili nyingine kireno na nyingi kimakonde.dah! Mwenyezimungu ampumzishe mahala pema peponi aamiin.
Ni kweli watuwekee ile aliyotaja Marais na mawaziri me nazipenda sana nyimbo zake hata kifo chake niliumia Sana, alikuwa na kipaji kikubwa Sana Cha kuiwakilisha lugha vizuri Tena nyimbo zenye ujumbe mzuri dah Allah amrehemu mja wake 😭😭
Amo essa música, viva nossa cultura makonde🔥👌❤️
Viva makondeco, amo bastante minha amada terra
Marehemu Tongolanga alikuwa na kipaji kikubwa cha utunzi na aliipenda na kuienzi lugha ya kimakonde💪🏾💪🏾💪🏾
Mimi ni nkongo nilihishi msumbiji wa Makonde ni watu wazuri sana. Nilikuwa na rafiki yangu alihitwa Admiro Jose
Me faz chorar essa música,me lembro da minha madrinha que Deus o tenha, quando eu era feliz mais não sabia.
Hoje dia 31/08/2023.🙏🙏🙏
Meus sentimentos
Meu muito obrigada.
Na kuna ile aliotaja maraisi kaanza Nyerere, Karume na akamalizi na waziri mkuu kwa wakati huo Rashidi Kawawa nayo sijaiona.huyu jamaa ana nyimbo nyingi sana sema hazipigwi redioni.kwa hiyo munapoziweka humu yutub tunafurahi.nyimbo zake nzuri na zinamaana na zinamafundisho kama utabahatika kupata tafsiri yake.mimi binafsi si mmakonde lakini nazipenda sana nilikuwa nazo cd zake ila kwa sasa zinaskrach.na sijapata mtu aliyekuwa nazo kwenye kompiuta aniingizie kwenye frash.namkubali sana huyu jamaa na binafsi napendelea sana nyimbo za asili ila kwa huyu jamaa fundi kwa nyimbo hizi za kimakonde.kuna nyimbo zingine ameimba kwa kiswahili nyingine kireno na nyingi kimakonde.dah! Mwenyezimungu ampumzishe mahala pema peponi aamiin.
Ni kweli watuwekee ile aliyotaja Marais na mawaziri me nazipenda sana nyimbo zake hata kifo chake niliumia Sana, alikuwa na kipaji kikubwa Sana Cha kuiwakilisha lugha vizuri Tena nyimbo zenye ujumbe mzuri dah Allah amrehemu mja wake 😭😭
r 2:09 😅samh 2:21 😊😊
Lágrimas caem com essa música. Muito fogo 🔥
Kuna nyimbo moja hamujaiweka! Inaitwa Chilambo cha veene! Humu sijaiona!!!
Upo sahihi kabisa hata mie hiyo nyimbo huwa naipenda sana
Tayali ipo
@@sanho97 mbona haipo
Obrigado pela música. Lembrei de casa... 2022 listing this song from Austrália
É a nossa cultura e nossa identidade
Meu irmão eu gosto das tuas músicas,somos conterrâneos,força não pára.
Nakumbuka mbali sana
Saudades de casa,dançar essas musicas
Noma sana 🙏
makondekoooo mimi nakupenda sana
Casimiro Santo Romão 0:56 😂❤
Anajuwa sana
Wau , lembrei de casa❤saudades.
Onde?
@@sanho97 Cabo Delgado, localidade de Litapata
Estamos juntos. Abraços
Amo minha África meus irmãos Maconde
A história sempre se repete, quem sabia que cabodelgado seria victima de terrorismo em 2021? Gostei do ritmo seben congolese African.
Wetu djo🥰
Safi sana
Seja no saul, centro ou norte nós devemos agradecer-Los por Seuss feitos
Obrigado irmão
Boa noite
👌🏽👏🏽❤️
Amina
How are ya, Sanho Alipeque. it's a surprisingly enchanting video. thank. :)
@@sanho97 wimbo mtamu sana nakukumbuka sana Halila Tongolanga ulikuwa unaiwasilisha lugha vizuri
Hwetu Mwanda tunakojana kubweda likaburi lya shilambo
Eu sou original de cabo Delgado nao a como
Baltazar
😢
Naomba nitumie
Nakumbuk malisaaaa
Wamakonde oyeeee na pend kabilaa lang
Não como mfiosos