Jinsi ya kupata pesa kwa Kuunda Simulizi za AI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 61

  • @Promk112
    @Promk112 Месяц назад +10

    Hii channel ndo naijua leo afu ina madini GENIUS

  • @Habari_live
    @Habari_live Месяц назад +3

    Bro ww ni genius

  • @Lionking20205
    @Lionking20205 Месяц назад +3

    Unyama sana bro 🥳🥳

  • @BahatiSeda
    @BahatiSeda Месяц назад +3

    Asante sana bro, ubarikiwe🙏

  • @ibrahkartel9778
    @ibrahkartel9778 Месяц назад +2

    Mwamba we ni Genius unajua sana

  • @ProsperSantos
    @ProsperSantos 29 дней назад +2

    Unajua sana bro ✊

  • @IbrahimPaul-g1x
    @IbrahimPaul-g1x Месяц назад +3

    💯💯💯💯🎉🎉🎉🎉

  • @MOTecnology
    @MOTecnology Месяц назад +2

    Uko Clear sana Brother Hongera

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      🙏🙏

  • @Venus_dm9
    @Venus_dm9 Месяц назад +8

    tuelekeze jinsi ya ku mod apk za klipia au kutumia lucky patcher ❤

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      Ntapost Telegram

  • @BANDE-TV
    @BANDE-TV 22 дня назад +1

    Upo good sanaaaaa nakuaminiaaaa

    • @Vinei
      @Vinei  18 дней назад

      Pamoja kaka

  • @MetoIgotyou
    @MetoIgotyou 29 дней назад +2

    Keep it up bro mi shabiki Yako Toka 2021

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      One love bro

  • @ejntv
    @ejntv Месяц назад +3

    Pamoja bro🎉

  • @ChocllatteMedia
    @ChocllatteMedia Месяц назад +2

    ❤❤❤

  • @fursaonlinetv
    @fursaonlinetv 24 дня назад +1

    Thanks bro

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      Welcome

  • @Kasuvi_Vigano
    @Kasuvi_Vigano Месяц назад +1

    You are a fuckin genius man.....Nimetafuta sana Text to speech app ya kiswahii....this solves alot....
    #Suscribing right now.

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      🙏🙏

  • @desiremedias
    @desiremedias 22 дня назад +1

    Asante ndugu kwa maarifa

    • @Vinei
      @Vinei  18 дней назад

      Pamoja

  • @msomichanel5176
    @msomichanel5176 Месяц назад +4

    Nipatie namba zako kuna ishu moja nataka unielekeze

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад +1

      0624741607

  • @fursaonlinetv
    @fursaonlinetv 24 дня назад +1

    Gemini Huwa naichukulia poa kumbe ni fire sana

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      Unyama huo

  • @storyzadully
    @storyzadully 28 дней назад +2

    Yes mimi ndio nafanya content hizo❤

  • @JevarShaw-b3i
    @JevarShaw-b3i Месяц назад +3

    Naomb no zako adope pather za watsap mwanangu maan dh nilizipoteza

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      0624741607

  • @ZanzibarOrchestra
    @ZanzibarOrchestra 28 дней назад +2

    Bro uko vyema sana pamoja na experience yang kwenye hizi AI lkn nmepata kitu kwako sasa nakwenda ku replace eleven lab to gemini.asante

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      Vizuri sana

  • @muuh_talent17
    @muuh_talent17 29 дней назад +3

    Bro hiii channel aiseeee ni mali sana

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      🙏🙏🙏

  • @DjCreyxon
    @DjCreyxon 4 дня назад +1

    Bro habari natumia note 20 ultra screen record haifny kazi kweny hio gemin ukirekod sehm nyingn uksklz inatoa saut ila ukirekod kweny gemin huskii chocht

    • @Vinei
      @Vinei  3 дня назад

      Hapo tumia tu site zengine za Text-to-Speech

    • @DjCreyxon
      @DjCreyxon 3 дня назад

      @Vinei sawa kaka shkran

  • @mycotv2020
    @mycotv2020 19 дней назад +1

    Bro uko vzur sana ila hii Gemini kwenye simu yangu inagoma ku-install vp hakuna app nyingine bro

    • @Vinei
      @Vinei  18 дней назад

      Hapo tumia tu ElevenLabs

  • @HezroniMkula99
    @HezroniMkula99 28 дней назад +1

    Hii imenivutia sana na imeanza kunipa burudani za story kwa njia ya sauti.

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      Vizuri

  • @Hadithizababu
    @Hadithizababu 27 дней назад +1

    Mbona google gimini haitumiki mu inchi yetu hakuna ingine Apps tunaweza tumia plz🙏

    • @realdickson1683
      @realdickson1683 27 дней назад

      Natumia Aquos sense 6 Germin ipo

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      Jaribu ElevenLabs, Japo Gemini kwa Kiswahili ndio best

  • @Albusaidiytv
    @Albusaidiytv Месяц назад +2

    Naomba hyo app ya gemini cjaipata playstore

    • @realdickson1683
      @realdickson1683 27 дней назад

      Ipo mbona

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      Maana take kwenye simu yako haikubali

  • @BilaliRamadhani-x7y
    @BilaliRamadhani-x7y 23 дня назад +1

    Mbona ina goma kunrecod

    • @Vinei
      @Vinei  18 дней назад

      Hapo ni simu

  • @delfina2084
    @delfina2084 Месяц назад +1

    Yale maandishi ya video ya kwanza ulifanyaje yakadispapia

    • @Vinei
      @Vinei  18 дней назад

      Yapi tena

  • @Hamadey-b9f
    @Hamadey-b9f 29 дней назад +1

    Akuna gemini kwa playstore

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад

      unatumia simu gani

  • @TOGOG-r9d
    @TOGOG-r9d 28 дней назад +1

    Naomba namba yako kuna jambo nataka kuongea na wewe privete

    • @Vinei
      @Vinei  23 дня назад +1

      0624741607