Ni wajibu kumshukuru Nyerere Komba with TOT360p

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 63

  • @mussakidangi5510
    @mussakidangi5510 Год назад +9

    Nyimbo ya uzalendo sana.baba kapteni john komba na babu mwl Nyerere tunawakumbuka sana tu

  • @anethmweya7317
    @anethmweya7317 8 месяцев назад +2

    Nakumbuka ilikuwa siku ya uzuni sna,sio watoto wala wakubwa wote,tulilia sna.RIP baba

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 23 часа назад

    Znz tunamkumbuka kwa kutufanya mkoa munguamlipe kwa alichotufanyia

  • @RenatusAloys
    @RenatusAloys 5 месяцев назад +4

    Tanzania hii hajapatikana na hatapatikana msanii kama Komba. Mungu amrehemu.

  • @MacdaviesSimburya
    @MacdaviesSimburya Месяц назад +2

    Wimbo wa kipekee, hongera TOT

  • @azizizabron7792
    @azizizabron7792 4 месяца назад +8

    Mwaka 1999 nikiwa darasa la kwanza nikitoka shule nilikuwa namkuta mama yangu anaimba huu wimbo nami nikaukariri ingawa mwaka 2000 na mama yangu naye akaja kufariki....kila ukiimbwa wimbo huu namkumbuka mama yangu .....R.I.P MWALIMU NYERERE😢😢😢😢R.I.P MAMA YANGU RITA EMILI MWALUGALA 😢😢😢😢

  • @DionisiaBaynit
    @DionisiaBaynit 17 дней назад

    Komba Mwenyezi Mungu akupe heri ya milele, Nyerere baba yetu tutakukumbuka daima

  • @AdiliMtera
    @AdiliMtera 29 дней назад +1

    Wimbo wa Kizalendo sana kwa shujaa wetu muasisi wa Taifa letu la Tanzania

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 23 часа назад

    Mungu amuweke panapositahili

  • @ErasmusConrad-pg5yu
    @ErasmusConrad-pg5yu Год назад +3

    Asante Kwa kipaji,mungu akulaze mahala pema peponi

  • @MartinGao-pq3ed
    @MartinGao-pq3ed 5 месяцев назад +3

    Daah kapten John komba pumzika Kwa amani baba

  • @alexkanut5320
    @alexkanut5320 2 года назад +5

    Tumuombee mwl.nyerere alazwe mahala pema peponi pia tusikilize wimbo huu kwa kuwa unamuenzi yet na Tanzania kwa ujumla

  • @maase2023
    @maase2023 28 дней назад

    Ws kushukuriwa ni mungu tu aliyeumba ardhi na mbingu

  • @gracefeldinandi838
    @gracefeldinandi838 2 года назад +3

    Asante Wana mitandao kwakuweka nyimbo iz kwa ewani

  • @DavidJohn-k9n
    @DavidJohn-k9n 2 месяца назад

    Nikisikiliza hii nyimbo machozi yananitoka.Nikiwa Form two Kibasila nilipata bahati ya kumuaga huyu mzee.Rest in peace Mwalimu

  • @moviessummarized4803
    @moviessummarized4803 9 месяцев назад +1

    This man had something else 🎉

  • @markomochiwa9501
    @markomochiwa9501 Месяц назад

    Jabali za music Tanzania,Komba endelea kupumzika kwa Amani!

  • @jumamganga5136
    @jumamganga5136 6 месяцев назад +1

    Huyu komba,mbona ccm hamumuenzi,kafanya mengi ktk chama Kwa sauti yake,lipeni heshima japo kaburi lake kuli lituhi Nyasa songea😂

  • @halimalachpat1927
    @halimalachpat1927 Месяц назад

    Wimbo mzuri aana una mafunzo Rest in piece our late president Rest in piece Captain Komba

  • @davidsndiege5713
    @davidsndiege5713 Год назад +4

    Hakuna kama komba

  • @salamaseifu6008
    @salamaseifu6008 Год назад

    Mungu amlinde amtunze milele atosahaulika mpk dunia lnaisha

  • @hosnakamees5454
    @hosnakamees5454 4 месяца назад

    Innalilah wa innalilah rajoun kwawote baba wataifa 😢😢j komba na Anko magu na malim seafu pamoja na mkapa 😢😢😢

  • @hawaidd8507
    @hawaidd8507 Год назад

    My dady favourite song...upumzike kwa amani

  • @VICTORKAJORO-qw7hp
    @VICTORKAJORO-qw7hp 17 дней назад

    komba ni balaaa

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 2 месяца назад +1

    Hizi nyimbo zanikumbusha kipindi nataka kuolewa haruc ikaghairishwa kwa ajili ya maombolezi ya baba wa taifa hakuna kigodoro

  • @AmosiAdolf-vk9ux
    @AmosiAdolf-vk9ux 6 месяцев назад

    Excellent good job of captain komba pumzika baba,ur shoes are too big no one can fit

  • @VitalisMoshi-m4v
    @VitalisMoshi-m4v Месяц назад

    Mbona hizi nyimbo hazidanrodiki jmn

  • @alexnhunga2062
    @alexnhunga2062 Месяц назад

    Tuta mkumbuka daima mw, nyerere

  • @frankkaaya9450
    @frankkaaya9450 Год назад +4

    R.I.P Nyerere, The Father and founder of our Nation #TZ

  • @NAZARENAMUHEMBANO
    @NAZARENAMUHEMBANO 19 дней назад

    Komba daima tutakukumbuka

  • @mwanaalybuda
    @mwanaalybuda 4 месяца назад

    inanikumbusha mbali sana❤

  • @abuujuma4165
    @abuujuma4165 Год назад +3

    Ni wimbo usiochuja siku zote nitaukubal

  • @mkutijohn4122
    @mkutijohn4122 28 дней назад

    Nyimbo bora wakati wote

  • @LucyMpangala-s4e
    @LucyMpangala-s4e 2 месяца назад

    Wimborne mzuri huu

  • @peternoga
    @peternoga Год назад +1

    hivi Tanzania tumekosa nin?tunakwama wap leo hii?

    • @geraldmakalala6091
      @geraldmakalala6091 11 месяцев назад +1

      Wanao tuchelewesha ni Hawa viongozi wetu tuliowapa madaraka

  • @priscasostenes4802
    @priscasostenes4802 Месяц назад

    Asanteni TOT

  • @faustinfanuel2850
    @faustinfanuel2850 Год назад

    Mungu ailaze roho ya baba mzalendo wa Taifa letu mwalimu make bila nyerere Uhuru tusingepata

    • @ZakayoReuben-ow9tz
      @ZakayoReuben-ow9tz 7 месяцев назад

      Pamoja na captain john komba mwibaji wa nyimbo ba bila kusahau utunz wa mashairi ya nyimbo iyo kwa marehemu brigdear gen nauye rest in peace these three hero mwl julius nyerere, John Komba,brig nauye

  • @LivingstoneMwanjali-ec5en
    @LivingstoneMwanjali-ec5en Месяц назад

    Wote wapumnzike kwa amani

  • @eliasmwasinga
    @eliasmwasinga Месяц назад

    Inanikumbusha mbali sana😢

  • @InviolataLuena-f2j
    @InviolataLuena-f2j 8 месяцев назад

    Talented singer

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 7 месяцев назад

    Wala hatotokea kama komba hakika

  • @lancedzombo8634
    @lancedzombo8634 Месяц назад

    good music ❤❤

  • @shakirusuleith7568
    @shakirusuleith7568 Год назад

    Rest in peace our heroes mwl Julius kambarage nyerere and captain John Komba🙏🙏🙏

  • @CarolineJohn-dz4cf
    @CarolineJohn-dz4cf Год назад

    Nyerere pumzika kwa amani hakika uliwapenda watanzania na waafrika kwa ujumla .

  • @makungamapalala7982
    @makungamapalala7982 7 месяцев назад

    Mwl nyerere rest in peace we are still remembering our hero

  • @marwamwita3716
    @marwamwita3716 4 месяца назад

    Saf sana

  • @EmanuelQamara-f1d
    @EmanuelQamara-f1d Месяц назад

    Respect

  • @shaabanmasoud4827
    @shaabanmasoud4827 Год назад

    Lala salama Nyerere 😊

  • @Gabriel-f3p1i
    @Gabriel-f3p1i Месяц назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @mosesmabula5840
    @mosesmabula5840 7 месяцев назад

    Ninan kama wewe

  • @justice607
    @justice607 8 месяцев назад

    R. I. P JK Nyerere