LAMBA LAMBA (Ep 01 - SEASON 02)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 942

  • @VenasAbdallah
    @VenasAbdallah Месяц назад +375

    Wakwanza hapa kutoka Burundi 🇧🇮 sijawayi pata likes 1k tafadhali lamba lamba nampenda sana mganga kicheche 😂🤣

    • @barakamwasi7442
      @barakamwasi7442 Месяц назад +9

      1k kwani we muuigizaji😂😂

    • @Gsmtechtz
      @Gsmtechtz Месяц назад +5

      Nipeni maua yangu

    • @VenasAbdallah
      @VenasAbdallah Месяц назад +3

      @@barakamwasi7442 Yes 👍

    • @OlivierPauna
      @OlivierPauna Месяц назад +1

      ​@@barakamwasi7442kk umetisha ume mu uliza vizuri sana

    • @Farasitz
      @Farasitz Месяц назад +1

      😂😂

  • @Bradleycarlostawai
    @Bradleycarlostawai Месяц назад +115

    Huyu ni mwamba East Africa, wapi likes za mzee kicheche

  • @user-uo6iz3sk4j
    @user-uo6iz3sk4j Месяц назад +88

    Jamaa akiona pesa anatokwa na wazimu,kwel pesa n kila kitu😂😂😂naombeni like zenu jamani

    • @user-mw3kn6zg1f
      @user-mw3kn6zg1f Месяц назад +1

      kayatimba lambalamba ,sijali atakua wangapi naomba lake 1k zangu

  • @Nashoni1996
    @Nashoni1996 Месяц назад +96

    Wa kwanza mimi leo nimewahi baaada ya kuona notification. Please like kwa LAMBALAMBA mbwa kicheche😂😂

  • @ZawadiClaudine
    @ZawadiClaudine Месяц назад +77

    Wa kwanza leo jameni nipeni like zangu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩. Jameni muna roho mbaya hein

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv Месяц назад +152

    Wa 11 leo kama una mpenda kicheche weka like apa ❤❤❤❤❤❤❤from Congo 🇨🇩 Drc

  • @CesarMrmoney
    @CesarMrmoney Месяц назад +15

    Hum kicheche toujours 🇨🇩 fort 💪 auja wai kuni angusha 👏👏

    • @CesarMrmoney
      @CesarMrmoney Месяц назад +1

      Ipo sawa😅

    • @CesarMrmoney
      @CesarMrmoney Месяц назад +1

      Fort fort pour toujours😅😂 focus 💪💪🇨🇩

  • @rehemamgata224
    @rehemamgata224 Месяц назад +21

    Mwenyeenz Mungu aendelee kukutunzia kipaj chako tunapenda burudani yako kwakweli❤

  • @DavidzilpaOfficiel
    @DavidzilpaOfficiel Месяц назад +57

    Wa kwanza leo naomba like zangu kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩

  • @user-zg7gm3cy1j
    @user-zg7gm3cy1j Месяц назад +72

    Kama umemuona baba wa mgonjwa ndevu zake kanyoa herufi G NIPE LIKE😂😂😂

  • @user-ny3sx6ru3t
    @user-ny3sx6ru3t Месяц назад +16

    ss mbn mi hamnipi like Zang 😂😂😂 kicheche mwamba

  • @victorlangson8887
    @victorlangson8887 27 дней назад +3

    Daah!! Kicheche fundii kwel binafsi nakukubalii! Good comedian💯

  • @GriphineJonesGriphine
    @GriphineJonesGriphine Месяц назад +48

    Nipatieni likes za huyu mwamba tokea Kenya ❤❤❤❤❤

  • @Carlos_furaha
    @Carlos_furaha 29 дней назад +3

    Kaz nzur🤗🤗🤗

  • @GodfreyWilly-kk3uu
    @GodfreyWilly-kk3uu Месяц назад +31

    Kazi nzuri we kicheche naombeni like hata 5 tu

  • @idrisawakil2647
    @idrisawakil2647 Месяц назад +63

    Kicheche samahan endeleza like father like son

  • @PirfaImanipirfa-vj3oz
    @PirfaImanipirfa-vj3oz Месяц назад +20

    Achia vitu bro, nakukubali sn kwenye kazi zako🙏🙏❤️❤️🥰🥰

  • @JamesHinzano-vn6rk
    @JamesHinzano-vn6rk Месяц назад +3

    The best we have in east Africa kicheche big up sana bro like your work from 🇰🇪

  • @user-qu2mg4cx8r
    @user-qu2mg4cx8r Месяц назад +7

    Hhhhhhhhh mung akusaidiye tu kicheche

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz Месяц назад +28

    Tunao mkubali kicheche tujuane❤

  • @melaulepotot
    @melaulepotot Месяц назад +6

    Aky nimechelewa lkn nimeikuta jmn, like hata 2 tu wapendwa wa lamba lamba,,,

  • @JumaIsmail-wd2xm
    @JumaIsmail-wd2xm Месяц назад +17

    Nimeipenda iyo

  • @1czay
    @1czay Месяц назад +2

    Good job kicheche to much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @pascalsefu55
    @pascalsefu55 Месяц назад +11

    Lamba lamba tnx kicheche,,, Mr fire 🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 Месяц назад +12

    Kichechee mmh mgangaa wa uongo 😂😂😂😂😂

  • @nurudinijuma654
    @nurudinijuma654 Месяц назад +12

    Ongera kaka mkubwa Allah akujaalie afya njema wewe na time yako mzima

  • @user-rz6rd9et6i
    @user-rz6rd9et6i Месяц назад +25

    Wakwanza Mimi 🇲🇿 jamani nipewe like zangu. KAZI nzuri umbwa wewe

  • @Tumwaminifute123
    @Tumwaminifute123 Месяц назад +3

    Nilitaka kushangaa toka lini huyo mama asiwe mchawi 😂😂😂😂

  • @SimonMlomo-jv8zj
    @SimonMlomo-jv8zj Месяц назад +7

    Umetisha kicheche Baba sema huyo Bibi mwisho mwisho 😢😢kaniumiza Sana sijui itakuaje

  • @user-ni1sb4lj9h
    @user-ni1sb4lj9h Месяц назад +3

    Kaz mzur hongera sna

  • @Dudahfelix
    @Dudahfelix Месяц назад +7

    Kazi safi kicheche, Kenya 🇰🇪 tupo ndani 💪💪

  • @CK-ri1mo
    @CK-ri1mo Месяц назад +29

    Jaman sijachelewa sana naomben like hata Tano tu!!!

  • @user-qn3ul4ju4x
    @user-qn3ul4ju4x Месяц назад +10

    Me pia napenda Kicheche Kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @charlesmillinga992
    @charlesmillinga992 Месяц назад +4

    E BWANA MZEE WA HOVYO NAE YUMO. SAFI SANA KAKA KICHECHE. UMEUPIGA MWINGI SANA. 😂😂😂😂😂

  • @user-jz8zh8pq4h
    @user-jz8zh8pq4h Месяц назад +10

    Nakukubali cn kicheche kazi nzr ila pole naona kifua hakipo sawa leo

  • @Mwenyebusara
    @Mwenyebusara Месяц назад +11

    Wa kwanza naombeni like zangu🎉🎉🎉❤

  • @Liltg12
    @Liltg12 Месяц назад +24

    Much love from usa nipeni hata like 200 ❤❤❤❤

  • @princepepeofficial
    @princepepeofficial Месяц назад +13

    wa kwanza hapa kutoka kenya mwehu mm .....uki like na watch tena mbwa nyinyi

  • @philohmutua2968
    @philohmutua2968 Месяц назад +2

    Kicheche utashikwa weee❤❤❤ unapenda hela

  • @user-hx6zv3le1d
    @user-hx6zv3le1d Месяц назад +8

    Vizur san kicheche nasis Burundi tunakupenda sana

  • @therencesibomana5122
    @therencesibomana5122 Месяц назад +2

    Kicheche huwoooo😂😂😂😂🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @JosephFredrick-ev1tw
    @JosephFredrick-ev1tw Месяц назад +3

    Kicheche unaumwa mafua pole san mungu skufanyie wepesi

  • @MRCHARLES277
    @MRCHARLES277 Месяц назад +13

    Wa kwanza kufika hapa naomba Likee zangu ❤❤❤

  • @ByamunguOredijacques
    @ByamunguOredijacques Месяц назад +5

    Kicheche hiii sasa ndoinge nimekunyooshea mikono🙌

  • @user-eo1qy1zh7r
    @user-eo1qy1zh7r Месяц назад +8

    Nakubali sana mwanangu kicheche

  • @emanueli-j-pango-7870
    @emanueli-j-pango-7870 Месяц назад +9

    Mimi leo wakwanza jamani nepen hata laike moja tu 😂😂

  • @rachelkihaka9204
    @rachelkihaka9204 Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂 Kama nakuona kicheche leo unaumbuka

  • @user-oe5ze5uq8m
    @user-oe5ze5uq8m Месяц назад +11

    Kicheche champion du monde 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @AROMA_KING001
    @AROMA_KING001 Месяц назад +13

    Nimewahii sijachelewa wapi likes zangu

  • @musajackson3289
    @musajackson3289 Месяц назад +15

    Huyu mzee kajichanganya et hapumui lakn hajafa 😂

  • @enriquechatilah8246
    @enriquechatilah8246 Месяц назад +2

    Huyu sio mbwa huyu fala😭😭😭

  • @geraldndosi2083
    @geraldndosi2083 Месяц назад +5

    Hii ni safi syo zile za kuchekacheka kicheche🔥🔥

  • @user-xm9kj6ne1u
    @user-xm9kj6ne1u Месяц назад +3

    Sasa inabidi tu uwe mganga 😂😂😂😂😂

  • @Will-beMarwill
    @Will-beMarwill Месяц назад +8

    Miongoni wa kwanza

  • @SauliMaliaki
    @SauliMaliaki Месяц назад +8

    Umekuaja kivingine.

  • @3gunssurvivor649
    @3gunssurvivor649 20 дней назад +1

    mimi mkenya nampenda kicheche lambalamba, kipenzi changu.. naomba likes

  • @phannylizz5652
    @phannylizz5652 Месяц назад +2

    Mungu wa kicheche locate me .....

  • @sammbosso3322
    @sammbosso3322 Месяц назад +15

    Wakwanza naombeni like

  • @tommydeejones254official8
    @tommydeejones254official8 18 дней назад +2

    Mwana mkali sana 🎉nipe likes zangu kutoka Kenya

  • @user-oj8uk6fq5x
    @user-oj8uk6fq5x Месяц назад +2

    Nawapenda ❤❤❤

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke Месяц назад +3

    Wangapi wameanja episode hii nawatavumuliya mpaka tumaimalize tujuwane hapa kwa bendera🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Lucashunter-sr3qn
    @Lucashunter-sr3qn Месяц назад +3

    Team kicheche mpoo ❤❤

  • @user-qc5kq2zm2b
    @user-qc5kq2zm2b Месяц назад +2

    Unabahati na uganga wako wewe mbwa kicheche 😂😂😂😂😂😂

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku Месяц назад +2

    Yaaan Kicheche we basii😂😂😂😂😂😂

  • @kichecheBurund
    @kichecheBurund Месяц назад +3

    Nafikirii Season two #lamba_lamba ita fundisha watu wengi sana na mungu ata jaliya ❤ napenda sana kuona kicheche akifanya vitu vizuriii ❤naitwa kicheche BURUNDI 🇧🇮 ❤kama wewe unampenda angusha likes apo ❤

  • @carlpsonmunisi7315
    @carlpsonmunisi7315 Месяц назад +4

    🇹🇿 kaka unajua nini unafanya kazi nzuri .😎 Nipo pale i'm wait party two..mm lamba lamba og

  • @user-wj5ez7yp7p
    @user-wj5ez7yp7p Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂 duuh nice movie Allah ukupe umri kicheche🙏🙏

  • @msondehamisi7746
    @msondehamisi7746 4 дня назад +1

    Hata wewe ukiwa umelala ukanyagwe na guu la kicheche lazima uamkee😂😂😂😂😂

  • @Monystar01
    @Monystar01 Месяц назад +21

    Wakwanza mm leo sasa naomba likes nyingi

  • @matukiotvonline6366
    @matukiotvonline6366 Месяц назад +3

    Asante lambalamba good sirizz

  • @Dr_Samwel_Ayo
    @Dr_Samwel_Ayo Месяц назад +1

    Jaman Vai unaigiza vizuri kama mwanamke 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DekelvaSoujaboy
    @DekelvaSoujaboy 27 дней назад

    Unyamwezi mwingi sana powerful just now speed ❤❤❤❤ oya wanangu wa Drc Congo Lubumbashi tujuwane kwenye like 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AbdulHalis-zu4lw
    @AbdulHalis-zu4lw Месяц назад +4

    Hii imeenda bloody hauna kazi mbovu😂😂

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 Месяц назад +3

    Nzuri sana kicheche family tunakupenda sna ❤🇹🇿

  • @MsebengiJuma-eu8wz
    @MsebengiJuma-eu8wz Месяц назад +2

    Nakuku balisana wewe 😮

  • @Limbaboy4life
    @Limbaboy4life Месяц назад +1

    Umesahu pembe mtaalaam❤😮😮😮

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 Месяц назад +4

    😂😂izo ndevu zilivonyolewa upande mmoja jmn

    • @martineli615
      @martineli615 Месяц назад

      Umechora herufi G ni balaa 😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 Месяц назад +1

      @@martineli615 🤣🤣af ujue sikujua kama ni heruf

    • @martineli615
      @martineli615 Месяц назад

      @@nancyg8664 katisha huyo jamaa

  • @bonnylistonlecelebrejapan5810
    @bonnylistonlecelebrejapan5810 Месяц назад +12

    Wa kwanza mimi tokea Zambia Lusaka ,naombeni like zangu 😅

  • @DASHBEIBER
    @DASHBEIBER Месяц назад +1

    _-KICHECHE UMEKWISHA BABA YOOH..
    -_

  • @jeanclaudejeshii8285
    @jeanclaudejeshii8285 Месяц назад +2

    Kicheche The king of the New Generation ❤ Love From BURUNDI 🇧🇮 ❤

  • @Tito_mbugi
    @Tito_mbugi Месяц назад +19

    wakwanza naomba like..🎉

  • @InnocentTresor
    @InnocentTresor Месяц назад +5

    Oh ngera sana

  • @HASHIMMAKUNGUHAMDANI
    @HASHIMMAKUNGUHAMDANI Месяц назад +1

    Mbwa kicheche 😂😂😂😂

  • @JastinRuben-lg9go
    @JastinRuben-lg9go Месяц назад +1

    Ahahahahaha,uneyatimbaaa kicheche

  • @NYENJENDEU
    @NYENJENDEU Месяц назад +3

    Umetisha saan

  • @EvansOuma-nj6om
    @EvansOuma-nj6om Месяц назад +4

    Wa Kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd Месяц назад +2

    Je suis fière de vous,

  • @FrankkalungaBilali
    @FrankkalungaBilali Месяц назад +2

    🎉 kweli iyi kali

  • @shaiburajabumrope8113
    @shaiburajabumrope8113 Месяц назад +19

    Wamwisho wadau munikumbuke japo 15 support ya kicheche

  • @bertrandnkurunziza7358
    @bertrandnkurunziza7358 Месяц назад +9

    Wa kwanz tokea Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮munip hizo like zanguuu

  • @leonardadd
    @leonardadd Месяц назад +2

    Yaani hapa tunataka KICHECHE agombee uheshimiwa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад +1

    Big up sana kicheche ilikw naisubiri kwa hamu sana❤❤❤🎉🎉🎉

  • @nouraalharthy5509
    @nouraalharthy5509 Месяц назад +3

    Kicheche una nini mbona unajifanya nacheka mpaka najikolea😂😂😂

  • @user-xb7wi3lc9b
    @user-xb7wi3lc9b Месяц назад +3

    baada ya kuona fungu mwamba akaingia kazini😂

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂 kicheche unamambo lakuni twakupenda navituko vyako vyote❤

  • @ELLAIRAKOZE-cj9pf
    @ELLAIRAKOZE-cj9pf Месяц назад +1

    Ila kicheche mimi nakupenda saana♥️🤣🤣

  • @DavidEdson-nd3yz
    @DavidEdson-nd3yz Месяц назад +3

    Wa kwanzaaa leoooo🎉🎉🎉🎉

  • @user-cm9kt9pf6y
    @user-cm9kt9pf6y Месяц назад +3

    Maua angu 🎉🎉

  • @OthanMedia_
    @OthanMedia_ Месяц назад +1

    Mganga Kicheche is BAAAAAACKKKKKK.....!!!!! 🔥

  • @Kahdijaali-ug8ky
    @Kahdijaali-ug8ky 11 дней назад

    Vaaaiii na mzee kicheche omben mungu atamsaidia