MANARA NILIKUA NIKIUTAZAMA KM MTU EADINI. LKN MPUUZI KWELI. MKEWAKO KWELI ANAKAYIKA PUBLIC WEWE UPO UNACHEKELEA!!! WANSOKUPIHIA KELELE HAO NDIO WATAKUSINDIKIZA SIKU UTAKAYOKUFA. BADILIKA BROO. ACHA SHRITWANI. BARKA HAPO MUNGU HAWEZI KULETA. NDIO MAANA MARA ANSKUJAKUKIKATAA BADAE HUYO KWA WATU KUMTAMANINHIMU. PUMBAAAV
Jamani Kaka yangu Manara Mkeo na mtoto wenu Ghalib mmependeza Sana❤️❤️❤️❤️
Mwijaku popote unakubalika anokuchukia anaroho mbaya huyo❤❤
Uyo mtoto mungu mnusuru wamejaa machoko tu
Mashaallah amependeza nguo yake simple
Nc 👌
Jamani wa Tzd...mnayo mambo huko Dar🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤣🤣🤣
Mwijaku nimekupenda san wasiokupenda kazi wanayo
Ila mwijaku una pepo Yako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Mambo pambe😍
Pendeza sanaa
Daaaaa 🙆watu wanapesaaa,yani 40 yamtoto tu 🙄
Mashallah nampentaaaa mie bas tu yani
Unajiamini sana nimependa mambo yangu Mimi penda sana tarabuu Mimi halooweweeee
Kajala huo mtandio hapo shingoni wa nn best
Asssaaaante. Shemejii. Yanguu. Ruuby
Namsikia. Mwijaku. 😊
Ntawalaumu. Sana kama hamkumwalika Rushayna 🤣🤣🤦
Uctuvuruge na ww mwaka wake huu atajuta😂😂😂
@@Rizikialiamechannel763 hahaha Mie nangoja arushe mawe hatatulia karoho kanamwenda mbio 🙆🤪
@@cheiknamouna2058 apo amani hna unajua anajuta kabisa
Uyoo. Rushayna. Muwalike. Wewe. Kwenu. Uko
Angevaa nguo yakuziba mabega angependeza zaidi
Huyu kajala mnafiki sana alitumwa na wasafi kwenda Kumshusha harmonize kazi imeisha karud wasafi😂 Dunia hii😢
We una nn sasa kwani hiyo shughuli ya Wasafi au ya Haji Manara na mkewe jaman uteam kwenye shughuli za watu tena🤣🤣🤣
@@OfficialA83640 😂😂😂 upo tz sehem gani nikutumie hela ya soda
@@Rizikialiamechannel763 Mbezi Luis
@@OfficialA83640 tuma nmba cm nikutumia jpo real mbili nazani ushapata soda kma tano
@@Rizikialiamechannel763 🤣🤣🤣🤣🤣
40 ni ya kidini ila hulka ya Mama si ya kidini!!!
Weeeeeeeee wachana nao!!! Wako na pesa wacha wazitumie
Nice
Mrs Bugati unatukomesha ongera mama mungu akuleleye hadi raha jamani
Mrs Bugati mzuri jmn
Ana komwe
Mwijak samaleku
Hatari sana 😄😄
Sherehe imepooza sana, mc unaharibu na mineno ya shobo haipendezi
Utakua wivu na roho mbaya , mscheeew
Mwijaku acha zogo tunakusikia sauti lako
Mhm mke wa manaraaa iyo mikono bora hata angevaa nguo ya mikono mirefu
Mikono mirefu sana
Juma una sauti ya umc
Yule mwqnamke barazur cjui. Kagia wp
Mwijakuuuuu😂😂😂😂😂😂
Sasa KAJALA karudi wasafi
Kweli mwinjaku wey cizi kweli eti mwanae kashapata chawa hapo
Rushayna wapiiiii
Aendeeee ukooo
Kumenogaaa
Dada taarabu unaiweza kuicheza ila una sura ya aibu unashindwa kujiachia masikini wangekuwa wengine hapo tungejuta mbona
Ana aibu sna
Kweli
Tafuteni pesa acheni upuzi
@@emmacute8038 Mpuuzi ww uliyekuja na makasiriko kwenye furaha zetu zakumfurahia Mrs Bugati
Angekuwa Gigy mapesa🤣🤣🤣🤣
That woman is so beautiful
Wapi Rushaina🤣🤣🤣
Sijui anateseka kwa wap🤣🤣🤣
@@youdya naskia kafulia sijui kweli au wajatuu
@@tatotato506 hna kazi kaambiwa atangaze mawigi sjui hawanunui watu
Bado mzazi jamani
Pambeee
40 years or days, hivi hapa bongo majority psychopath! It’s sad, sijasikia 40 ya mtoto anywhere in this world. Imbeciles?
Mbona sherehe haikujaa
Niharusiiii hiyoooo
Harus ya Nan?
@@fatmaswabra sio harus ni 40 yamtoto wamanara
Kwani uliskia harus ya mbagala hyo arbaini hyo
@@malak-lz6kx hahahahahaha jaman
MANARA NILIKUA NIKIUTAZAMA KM MTU EADINI. LKN MPUUZI KWELI. MKEWAKO KWELI ANAKAYIKA PUBLIC WEWE UPO UNACHEKELEA!!! WANSOKUPIHIA KELELE HAO NDIO WATAKUSINDIKIZA SIKU UTAKAYOKUFA. BADILIKA BROO. ACHA SHRITWANI. BARKA HAPO MUNGU HAWEZI KULETA. NDIO MAANA MARA ANSKUJAKUKIKATAA BADAE HUYO KWA WATU KUMTAMANINHIMU. PUMBAAAV
Hii ni kabila gani...hahahaaaa
We unazo BARKA ngapi?kajifunze kwanza kuandika
Pambeee