Raundi mwenda - Young & Stupid 3 Ep 7

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @cynthiajepngetich5401
    @cynthiajepngetich5401 3 года назад +203

    Weeeu😇wakuru tukimbizeni hii kitu, we are almost their,,, alafu hii ya Leo najuwa ni motoo kama ya jama alijaribu kurukia balcony 😅, sa si nipewe likes zangu tukikaribisha 200k😍😍😍

    • @alexndiritumwangi2666
      @alexndiritumwangi2666 3 года назад +6

      I think this remains to be the best story so far i have watched that episode soo many times i can't get enough of it the illustration maze ilukuwa mufti

    • @cynthiajepngetich5401
      @cynthiajepngetich5401 3 года назад +3

      Banaa ni nilicheka nikaisha😹😹

    • @jaygee5757
      @jaygee5757 3 года назад +1

      @@alexndiritumwangi2666 hio episode ilikua out of this world....pia me nimeiwatch mara ka zote!! 😍😍😍

    • @alexndiritumwangi2666
      @alexndiritumwangi2666 3 года назад +1

      @@cynthiajepngetich5401 😂😂hatari

    • @ezralayton6819
      @ezralayton6819 3 года назад

      I know Im kind of off topic but does anybody know a good place to stream new movies online ?

  • @pepe2000ful
    @pepe2000ful 3 года назад +84

    Abel I want you to keep going, represent Kenya and become even bigger than Marques brownlee, 14 million subscribers and counting !!!! Wakurugenzi Assemble !!! We got you !!!!

  • @shujaaacademy8148
    @shujaaacademy8148 3 года назад +193

    Hio intro,"wakurugenzi, ha ha, MA MEN," Cures all stress accumulated within the day.

  • @idahokoth2795
    @idahokoth2795 3 года назад +27

    Tuskume hii kitu 199k. I never miss out any of his videos

  • @benalfali
    @benalfali 3 года назад +29

    Yani tushafika episode 7...wiki ni tano zimebaki alafu you know what??? Liiiiiiiveeee🎉🎉🎉🎉 2nd meeting with Nairobi ianze kutaftiwa popcorns sasa

  • @dennismwai4887
    @dennismwai4887 3 года назад +32

    What a description.
    Nobody beats Mkuru in narrating stories.
    I have visualized the entire story.

    • @jaygee5757
      @jaygee5757 3 года назад +2

      Mkuru ako league yake for sure!

  • @jaystanley9620
    @jaystanley9620 3 года назад +32

    Young and stupid, mara niko here, mara niko there
    Kama mara mia, ni ufala na ma dare...🎶🎶

  • @lawrenceamenya9265
    @lawrenceamenya9265 3 года назад +20

    Mkurugenzi this is a master piece,,, how you tell stories maze, can make one have an easy time on a hospital bed na ajisahau walai,, this takes ones heart with a mixture of anxiety, sugar rush, yaani, emotions zote,,,, amazing Sir

  • @gachukijonah2680
    @gachukijonah2680 3 года назад +18

    Reminds me of my first time kufika isiolo.. Nilijipaga marsabit.... Then kidogo kidogo naskia gun shots kumbe kuna clans fighting 😂😂😂

  • @BibleMadeEasy247
    @BibleMadeEasy247 3 года назад +9

    Yesss... we r here for it... juice 4 mukuruuu sisi ni kachai mvua na baridi

  • @jorammdogo6081
    @jorammdogo6081 2 года назад +2

    😂😂😂😂😂iyo Intro nayo imeweza mkuru💯🤣, nimetii💯

  • @daisyndege7047
    @daisyndege7047 3 года назад +15

    I have never listened to two stories align and form one so perfectly like this😂😂👏🏽👏🏽🔥🔥

  • @hannahkangethe7587
    @hannahkangethe7587 3 года назад +17

    Ooooh TTNT the best ever... Timothy hatuezi kuacha hivyo.... bytheway am I the only one hungenjoe timing ya shetani niseme "maridadiiiiiii'

    • @suzansue4394
      @suzansue4394 3 года назад

      Si wewe solo
      Mimi hueka mpaka tumikono😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @jaygee5757
      @jaygee5757 3 года назад

      @@suzansue4394 na ka soprano 😂😂😂

  • @Njeripaulyne
    @Njeripaulyne 3 года назад +13

    I never tire singing along to the signature tune💃💃najua kama kawa itakuwa fire🔥

  • @soniamsoh5400
    @soniamsoh5400 3 года назад +51

    Someone please tell me why this channel is so Addictive 😩 and then there is this laughter uweeeeee😂 mob love Sir.....tunakurank✌️

    • @solomongithiu6318
      @solomongithiu6318 3 года назад +1

      mimi ata nikiwa job nasimamisha kila kitu nisipitwe

    • @soniamsoh5400
      @soniamsoh5400 3 года назад

      @@solomongithiu6318 😂

    • @mwaikadu7474
      @mwaikadu7474 3 года назад +2

      Kama hujaiwatch episode mzima kwa Choo haujateswa na mapenzi ya mkurugenzi 😂 😂

    • @soniamsoh5400
      @soniamsoh5400 3 года назад

      @@mwaikadu7474 bana🤣...mi hukoroga food na mkono moja hii ingine kama imeshika phone....maaaan he is so talented

  • @elvismacintosh65
    @elvismacintosh65 3 года назад +2

    Mkurugenzi hio shati imekubali 😌

  • @unclestevetv1858
    @unclestevetv1858 3 года назад +11

    Kangari ndio nyumbani...huko wakuuuru wote walisomea njiiris high school....makomboki tea factory makes the best tea leaves....unafaaa uende pale ndakaini kuna manthali mfuti ya kushooot....

  • @thomaskori7604
    @thomaskori7604 3 года назад +17

    hawa watu soo nane watafutwe tukimbize hii kitu bana!!! likes za wakuru zikuje

  • @JohnMmbaga_
    @JohnMmbaga_ Год назад +1

    👏👏👏👏hii ni storo na nusu. The description, the flashback, the humor...Mkuru👍

  • @MtotowaNjuru
    @MtotowaNjuru 3 года назад +14

    This is one of the stories that I can relate with almost all the locations
    Njabini inakuprepare kuenda abroad

  • @preciousm4508
    @preciousm4508 3 года назад +8

    Aki mkuru I don't know what I could ave done without this chanell 🤦makelele za mwarabu si mchezo after a stressful day team ham needs a good laughter to shake it off💃💃💃🤗wewe ni mtrue kuruka ❤️❤️❤️❤️mob love🇮🇩🇮🇩🇮🇩🇮🇩🇮🇩🇮🇩🇮🇩

  • @sanesenior6879
    @sanesenior6879 3 года назад +2

    Mukurugenzi unatubamba deadly,shukran God akubless maze,salimia Bi Mukurugenzi na Kakurugenzi ,team yako yote kazi poa.Juuuuuuuuuus

  • @mercymutitu4788
    @mercymutitu4788 3 года назад +6

    Our friend ni tembea Kenya... a join the Kabus.. jabo jabo✋

  • @rhodakisese750
    @rhodakisese750 3 года назад +14

    Can't wait for the jyuuuuuuuuuuuuuice😅😅😅😅😅....tusukume injili wakurugenzi tufanye Ile kitu.200k subscribers tunakwom😅🤗🤗🤗

  • @kassim254
    @kassim254 3 года назад +13

    Moral of the story😂-Ukibebwa kwa boot hakikisha wagìthomo ametoa kilemba😂😂😂

  • @kevohwapipelinetransami4351
    @kevohwapipelinetransami4351 3 года назад +7

    Mkuruu leo niko hapa mapema sana .... lazima nifurahi...

  • @jpeters4315
    @jpeters4315 3 года назад +4

    Wewe mkurugenzi unachoma.. Gtouring ni fielder buana..

  • @peter_didit
    @peter_didit 3 года назад +3

    kangareeeeee home kwetu , mkurugenzi ametutambua. huko ata butchery hazina freezer, environment ni freezer

  • @valentinewanjama3629
    @valentinewanjama3629 3 года назад +14

    The fact that I know all those places u mentioned coz I grew up in m
    Murungaru, North Kinangop makes me so happy. I miss home so freaking much.

  • @hiramkimaley
    @hiramkimaley 3 года назад +6

    ahhhh buanaa apo kwa Njabini wakuruu tumefraiiii 😂😂😂😂😂😂😂200k💪

  • @marymontez2959
    @marymontez2959 3 года назад +4

    Finally at 200k 😌🏆🎊🥇🥈 congratulations to the wakurugenzi's na bado injili isi stop... Tusonge mbele kwani iko nini💙💜💙💜💯🥳🥳

  • @mwangihnderitu323
    @mwangihnderitu323 3 года назад +10

    Listening to this when I live around Njabini makes it more hilarious 😂

  • @maureenwambui2693
    @maureenwambui2693 3 года назад +1

    Nama Nama nama😂😂😂tuache roundi mwenda. Good one mkuru

  • @bonikavu2543
    @bonikavu2543 3 года назад +7

    We're counting....am not ready to miss the juiiiiiiice

  • @hypemandebuoy7757
    @hypemandebuoy7757 3 года назад +8

    Njabini is in my county of birth Nyandarua county ,cabbages hutoka huko kwa wingi mno 😂😂😂

  • @johnmaina6888
    @johnmaina6888 2 года назад +1

    Man i just realized i had not subscribed and i have been following for months but now im subscribed

  • @lavitalavita7163
    @lavitalavita7163 3 года назад +14

    Today i got myself laughing from beginning to end. Hope Bk Got his Sense back🤣🤣🤣 He won't repeat that Again.

  • @wanjirunjoroge4825
    @wanjirunjoroge4825 3 года назад +4

    Yeeeeiii Gatura kwetu 😊😊😊😊😊😊😂😂 amazing story kama k

  • @patriciawacera8378
    @patriciawacera8378 3 года назад +4

    Aaah...'hii kitu...hii kitu weweee'😂😂😂
    Waiting 🔥🔥

  • @faithsyombua1103
    @faithsyombua1103 3 года назад +2

    Tukimbize hii kitu,,, 200k subscribers,, Mkurugenzi all the way👏

  • @Vin-ip3jd
    @Vin-ip3jd 3 года назад +4

    Hizo intro stories zinanwaicee😂😂😂looking forward to them everytime

  • @beproudofyourself.3876
    @beproudofyourself.3876 3 года назад +5

    Ashes to ashes and dust to dust.. Iyo intro ndio tunasemaga asalam alekum...

  • @mwangiiii
    @mwangiiii 3 года назад +6

    12 million views 💥💥 🔥 tuskume hii kitu

  • @MikeElpoet
    @MikeElpoet 3 года назад +2

    muinjilisti mkurugenzi Abel Mutua...... Alafu wakurugenzi si tufike kwa channel ya MRSeed tuone ngoma inaitwa Ndoa ameimba na Kate Actress....

  • @davidwanjala4369
    @davidwanjala4369 2 года назад +11

    10 years to come we will still watch this and laugh

  • @thesoothmaster
    @thesoothmaster 3 года назад +9

    Huyu BK ni Betty Kyalo ama?🤣🤣 Hii ya leo imeweza

  • @k32-q4e
    @k32-q4e 3 года назад +5

    Mkurugenzi you've the best way of getting the audience walai through the opening kapart aki😂😂😂😂😂😂

  • @angiemuthoni6058
    @angiemuthoni6058 3 года назад +28

    I'm here laughing at those random tours🤣🤣🤣who does that

  • @zendo3886
    @zendo3886 3 года назад +8

    Best story ive heard in a long time😂😂😂😂😂😂😂

  • @richytush
    @richytush 3 года назад +4

    Ati ma addict walivuta ashes za marehemu... Kali sana!😂😂😂

  • @jeneralijrulimwengu5522
    @jeneralijrulimwengu5522 3 года назад +8

    Bless this man for his story telling talent!! 😂😂😂

  • @MaxWeyula
    @MaxWeyula 3 года назад +6

    Why do I feel like this story was some hilarious thread on twitter some years ago?? Thread made me drop a tear laughing!!!

  • @jbeemoha7475
    @jbeemoha7475 3 года назад +2

    I always find time to watch this guy... My guy... Mkurugenzi.. big up.. you deserve everything good coming your way.. coz you know what.. he got you...

  • @Hammik_-456
    @Hammik_-456 3 года назад +4

    MKURU NIMENGOJA YOUR MARCHANDIZE.AM READY FOR IT

  • @jaynenjenga3718
    @jaynenjenga3718 3 года назад +4

    Looking forward...
    Straight outta.....

  • @mahlonkanyi1155
    @mahlonkanyi1155 3 года назад +8

    199k almost 200k🔥🔥

  • @Challz2012
    @Challz2012 2 года назад +1

    Hio jersey.. Tops. Good work Jesse!!

  • @jameskimani7594
    @jameskimani7594 3 года назад +1

    Kali mkurugenzi 🙌🏽

  • @bakulecherongos762
    @bakulecherongos762 3 года назад +8

    WADAU!! Ukikutanana mse kwa barabara mwonyeshe sneak peak into MKURUGENZI'S Empire then finya ile button kwa mpigo!!!

  • @valourcreations8419
    @valourcreations8419 11 месяцев назад

    The intro and the story.....I have laughed.....nimeweka....shida chini......nikinuamikono juu

  • @silvadrip4314
    @silvadrip4314 2 года назад +2

    BK alikuwa na pesa ya kuweste 😂😂😂😂😂🚼🚼🚼🚼🚼

  • @kimbojunior1761
    @kimbojunior1761 3 года назад +4

    Kama kawa...Notifi-Keshen Geeng

  • @jahcure7938
    @jahcure7938 3 года назад +2

    I have laughed throughout. Huyu jamaa na hixo maroundi Joo😂😂😂
    Big up mkuruu👌👌
    Excellence!

  • @jaygee5757
    @jaygee5757 3 года назад +9

    my second fave day of the week is almost here!! May the 4th be with you all!! tuchape injili...almost 200k wadau! 😍

  • @robbahope4731
    @robbahope4731 3 года назад +1

    Mkurugenzi wewe hunimakia siku every time na watch kazi yako

  • @ruguru-4lyf
    @ruguru-4lyf 3 года назад +6

    That tee is beautiful!😍

  • @lunzamourene6905
    @lunzamourene6905 3 года назад +2

    😂😂😂yenyewe Hii ni young and stchuvid, lakini Mbona naona Bk Kama ni Njugush
    Juiiice imekuwa tamu sana mkuruu 💚

  • @jacksonjanet9846
    @jacksonjanet9846 3 года назад +3

    Haha hiyo intro noma.Thanks Mkuru we are on the same page.

  • @directorrick2799
    @directorrick2799 3 года назад +6

    Mkuru najua hii itakuwa matata 😂😂😂

  • @winnienyokabi8069
    @winnienyokabi8069 3 года назад +5

    😂😂😂walivuta ashes😂😂Mkuru you never dissapointment😂

  • @lonahlonstar4329
    @lonahlonstar4329 3 года назад +1

    Yaaaaaaaaaayyyyyy 200K subscribers ,Bado 50K sasa tuone mkuruu live

  • @bukuino
    @bukuino 3 года назад +1

    Hahahahahaha mkurugenzi the rhetorical questions and tumikutano are hilarious. Story imeshika from 9 minutes waah

  • @martinez_andrian4891
    @martinez_andrian4891 3 года назад +9

    Awesome, Mkuru this young and stupid is on another level 🔥🔥

  • @reine924
    @reine924 2 года назад +5

    Imagine his facial expression Monday morning akiulizwa job, "how was your weekend?"😂😂😂

  • @qarayakeiththige2527
    @qarayakeiththige2527 3 года назад +3

    ii nayo utafrahia,,,👊👊good work bro

  • @ericjayisme5905
    @ericjayisme5905 3 года назад +6

    ita uyo specious ama ni spices tuanze hii kitu.nmefika oya

  • @AccessibleGuru
    @AccessibleGuru 3 года назад +9

    From bank to boot😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @nm90halisi
    @nm90halisi 3 года назад +2

    Hii story imeweza mbaya

  • @lylo301
    @lylo301 3 года назад +3

    Nimekaa ivi nikikula lunch nashangaa leo tutakula tukiwatch nini nikakumbuka ni Tuesday nikakimbia kwa Mkurugenzi mkuu...kazi safi🔥🔥

  • @itsiante
    @itsiante 3 года назад +2

    Enyewe hii ilikua raundi mwendaaa... lessson learnt always dont extend your journeys

  • @jameskisoi5559
    @jameskisoi5559 3 года назад +5

    I swear nimesubscribe kila mtu ako in my circle mpaka workmates! Tuskume injili

  • @IVORYcl
    @IVORYcl 3 года назад +1

    Eeeeei bana mkurugenzi hii imeweza kabisa joh ua an excellent story teller bro.nimenwyc

  • @ramseycollins6322
    @ramseycollins6322 3 года назад +4

    Nabii Mkurugenzi, sikuhizi CID wanatoa leads za investigations kwako,, hehe. Kudos on the Nissan note and fake currency story.

  • @consomukami4357
    @consomukami4357 2 года назад +1

    i like how u enjoy story telling

  • @daudichwa3916
    @daudichwa3916 3 года назад +1

    How I wish nitakua mmoja wa HAO watakua kwa hio live audience nijionee magic🙏🙏😇😇😇😁😁😁

  • @charlesshiraku4735
    @charlesshiraku4735 3 года назад +1

    Hiyo intro iko sawa.nimecheka kwa nguvu at 4am.kali sana.im a big fun

  • @andcolent5194
    @andcolent5194 3 года назад +2

    Niko na the same more or less buda huja maliza stories bado 3rd seasons.... Itakua 💥💥💥💥💥💥

  • @humphreyokanda3894
    @humphreyokanda3894 3 года назад +1

    Lakini wewe mkurugenzi you're heaven sent. Story zako hunijenga tu sana. Keep up.

  • @starletkenya5398
    @starletkenya5398 3 года назад +1

    Tuginge hii kitu kabisa...karibu I wakurygenzi

  • @gracenjuguna1203
    @gracenjuguna1203 3 года назад +6

    Juuuuuz ikwom😋

  • @princessann5601
    @princessann5601 3 года назад

    Mtu asipopitia uku huwa anafeel nikama hayuko poa😅😅😅wuuuee Mkuru nomaa sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ruthmaina5319
    @ruthmaina5319 3 года назад +2

    Mkurungenzi leo umepitia story ya nyumbani🙌🙌🙌

  • @michaelkinyua8234
    @michaelkinyua8234 3 года назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣... Best intro short story ever! 😂😂

  • @beingfaithful7091
    @beingfaithful7091 3 года назад +4

    Mkurugenzi hio t-shirt imeweza mbayaaàaaar..

    • @mosesmusyoki4648
      @mosesmusyoki4648 3 года назад

      Nimekuwa nikicheck kaa kuna mtu amecomment about the T-shirt. Mkuru hio ni ile Mali ulikuwa unasema inkam through. If yes sema kwenye tunaeza zipata ..nadai kaa tano.

  • @wambuindirangu9429
    @wambuindirangu9429 3 года назад +4

    Ukikumbuka ni Tuesday siku ya Mkuruu unachangamka tu instantly

  • @cantononyino1610
    @cantononyino1610 3 года назад +1

    noma sana....hahaha....ata mimi ako ka adventure hunishika....learnt a lot Mr.Mkuru...msape soon inakuom!!!!

  • @KINGGEORGE007
    @KINGGEORGE007 3 года назад +4

    Si hiyo tisho ya Nevada si imeweza💥

  • @samuelchege3148
    @samuelchege3148 3 года назад +1

    Weeh couldn't wait kutoka job nicheki mkuru bt weeh leo😂😂😂BK amejikunja nyuma🤣🤣🤣🤣🤣🤣leo umenivunja mbavu

  • @knkinambuga
    @knkinambuga 2 года назад

    This is one of my best. The story came out of nowhere. Mtoto wangu akiwahi uliza raondi mwenda ni nini, nitamleta hapa.

  • @petermakaumutuku9150
    @petermakaumutuku9150 3 года назад +1

    Hatujajua.TTNT imerudi..hayah!