The way I enjoy singing the young and stupid song 😂😂😂Kwanza mara Niko here mara Niko there😂😂😂 eiiii this channel umefanya nikasahau kuna vitu zingine RUclips 😂😂am preaching to everyone wakuje waone watafrayia🤣🤣
In 2019 I had the same behaviour with my ex in her parents' house. Were it not my uncle who noticed this and warned me, I would have ended up as that guy 😄😅😂
hee noma bana hi reba ni similar na yangu manze but ye haku learn day one...mi nilijichuna after kuponea kushikwa na mdem kwao nikasema nijikute nikirudii...pochi itatumaliza lakinii😂😂😂mind you mzae wake sijui ni AP ama mkubwa tu kwa karao
I am late to the party but wow there stories are so good , I just binge watched 5 eps , you are multitalented, I just recently watched click click bang for the first time and was so proud of my county producing such masterpiece.. yet here you are with more gems . Thank you for this kweli … watching from Maryland. (Standing ovation) 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Manze 😂 Abel God akueke jo u really make our days wallai no mata the struggle or stress I have been through nikionaga tu notification yako mm huanza tu kucheka 😂Bless up My G keep up the good work 👏
Mkuru re-upload zile headline hitters zilikuwa on the other account kwa hii.... nimejaribu kurefer mtu aone story ya desmond doss na kumbe ulidelete everything....other than that great job.
Hello mkurugenzi. Thanks for the amazing content. Tunaburudika sawa sawa.. Niko na mkurugenzi hapa mwenye na translate kila kitu. Manze tuokolee na subtitles please. Thanks
In memory of Tina Turner, Mkurungenzi...'we hang on every word you say' ...simply the best!Best storyteller ever 👏👏
True legend❤
RIEP TT
But hata uachilie saaaa tisa usiku tuko imara ....true mkurungezi from emali town
Mkuru today you were funnier than usual
DAY TWO,ASKING MKURU TO TELL US THE STORY OF BRITISH AIRWAYS FLIGHT 9
ebu mtag
He sees comments give him time aresearch
Relax
Abel Mutua
You seem pretty entitled, lol
The intro stories always 🔥🔥 appreciating mkuru from diaspora ❤ good job Kimanii
Yaani huyo kijana alipitia hii yote na bado ako na story ya diastories 😂😂 kufunzwa na ulimwengu kweli. We thank him for his service
If you are watching between 2150-3000 or beyond you missed a great story teller...by this time we are long gone
Mkuruu is not pregnant but he always deliver😂
Mkuru mimi kama memelord Hatari nakuambia naeza tengeneza memes na hizi stories zako mbaya. Zinanimaliza tu🤣🤣
Direct frok tick tok kumalizia hii stry… Kali sana 👏🏻👏🏻👏🏻
Nipigwe likes zangu safi,,,ama niwapapase kidogo
Your expression when you said 'unakula kabla ukule🔥'😂😂💪
You always make my dayz aki😌
Water tends to wet clothees😂😂lispectfully
Next time, while waiting, we should be served hata na chai na mandasi
Na huyu boyz wa kayole ALIKUWA AMEJIWON 😂😂
Mkuru nimekuona kitengela na discovery KDK
The way I enjoy singing the young and stupid song 😂😂😂Kwanza mara Niko here mara Niko there😂😂😂 eiiii this channel umefanya nikasahau kuna vitu zingine RUclips 😂😂am preaching to everyone wakuje waone watafrayia🤣🤣
Road to 500k subscriber🎉❤..in love with your stories
Mkuru hii wimbo si mmake available tudaunlod ikue ringtone 😂😂😂
I may miss to be on the premier due to unavoidable circumstances,,but i never miss any episode of Mkuru❤❤❤
Hii wimbo ya young & stupid nataka mnipee audio ikue ringtone yangu 😂😂😂
Kam nikutumie
Nko nayo
Banae ama ata skiza
🙋 I do too
@@titostrings3108 na me naitaka unaweza nipatia
Let's take a minute to appreciate Mkuru's looks. Eye candy.
☺️
Haiya, unataka Bi-partisan talks wewe😂😂
😂😂🤦
Nlikuwa nataka kulala and then Boom, Mkuru😂😂
My cooking time is always easy nowadays, while listening to your stories.
You are a good story teller.
In 2019 I had the same behaviour with my ex in her parents' house. Were it not my uncle who noticed this and warned me, I would have ended up as that guy 😄😅😂
Kila siku ni sheria kufungua channel ya Mkuru kuangalia if amefanya Ile kitu. Big up sana Mkuru💪 pewa jyuuuce 🍹 kwa bill yangu
This episode was a real banger 😂
It's about to go down 🔥🔥🔥
sijui kama naweza wacha kuona hizi storys😋😋😋very intresting💯💯💯
Longonot place is situated in a place of an unquestionable serenity
Mkurungezi Kuna story ulisema utaipiga nimeipata Kwa celeb first encounter ya njugush kuhusu lenana finals na pia tokodi
Mkuru:
"Si ni mimi nawaambia."😂
Tuko tuned hapa kwa SGR
Am here at 02:00hrs watching Mkuru, laughing my heart out. Thank you so much, for blessing us, Asante sana.
Heheheeee mkuru talking of Machozi na Nguo😢😢😢Salimo bado ako singo😮😮😮
Shangwe za mkurugenzi 🤣🤣🎉🎉🎉🎉... Netflix material...
mimi shemeji ya mkuru Niko imara kama kigogo...ama haikuangi hivo..
Fresh out the kitchen mkuru serve hiyo kitu mbio😂
😂😂😂😂.. Sijawahi furahi kama Leo aki for so Long.. Kijana enyewe nimemuhurumia but imebidi tu cheke... 😅😅😅..
@Abel Mutua your Swahili accent is top notch🎉
😂😂😂😂hiyo realtion ya machozi na nguo sijui hukuwa aje??Ladies mtusaidie na Mkuru tupate hii answer
hee noma bana hi reba ni similar na yangu manze but ye haku learn day one...mi nilijichuna after kuponea kushikwa na mdem kwao nikasema nijikute nikirudii...pochi itatumaliza lakinii😂😂😂mind you mzae wake sijui ni AP ama mkubwa tu kwa karao
Mkurugenzi😂😂...salimia Doll😀😂😂its nice to be here... The eeriness of silence and fun..aaaaa ntaffraaaiaa
Mkuru Niko na story mrefu from rich ,poor kuachwa,gambling messep up ....but narecovery polepole
Tunapulaia sana story zako mkurugenzi 👏 Respect Mkuru🙏
😂😂😂😂😂 kijana alikwa his brother's keeper
Wueeeeh.......unakula kabla ukule 😂😂😂😂......wah!!!!Mkuruu apo nayo umechoma😂😂....iyo ni mwuotso
I am late to the party but wow there stories are so good , I just binge watched 5 eps , you are multitalented, I just recently watched click click bang for the first time and was so proud of my county producing such masterpiece.. yet here you are with more gems . Thank you for this kweli … watching from Maryland. (Standing ovation) 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
I appreciate that Mkurugenzi!
😊uweeh shukran Sana imen nuace....nijikute
I am binge watching very behind from England 🏴 well done Mkurugenzi 👏🏾
what would kenya be without you mkuru and teamore na squad ya butita na phyl❤..ata hatuskii effect ya taxation mkiwa
😂😂😂😂😂😂 mkurugenzi the mode gotea Mumbus buda tafadhali fikisha salamu😂😂😂😂😂😂😂
@Abel inaitwa positive correlation
heheheh mkuru, correlation ya machozi na nguo ni kama ya mjamaa funny mwenye jokes na dem mwenye anabambika nazo...kote nguo hupotea😅😅😅
Aaah Phil it!!!! Iko nene..nimewatch Click Click Bang na hues niambia kituuu..moto sana
Glad you enjoyed it Mkurugenzi!
MKURUGENZI, TUPIGIE STORY YA KIBAKI REELECTION 2007
aaaaaah Mkuru......one of my fav stories sasa kazi safiiiiiiii
Mimi nimekua addicted na abel . ...thank you sir
Wakurugenzi
😂😂aki i love vile hutupigia story
Positively relationship 😅..curve inakuanga imepanda na emotions
Mkuru namanamanama.....mimi ni subscriber wako milele😂😂😂
The way i love your stories 🔥
Ati Bipartisan talks.
Hii imeweza sana Mkuru
Mkuruu kazi safi...alafu tuletee stori ya "Maina Shimoli " the toughest thug to ever exist in Kenya.
Hapo buda
Na tukingoja tupewe jyuuus angalau
Heri mpigane mkufe wote. Kichapo sipati na nimeenda kuconsole msichana akiwa sad
Kijana aende akiwa Sawa baaada ya Ile kazi mmefanyia Na mtoto wangu amemfanyia 😂😂😂😂😂😂that statement is a whole vibe 😂😂😂
Mahn mkuru....mtu hawezi kuwa exhausted kukuskiza... always fun 😊
Manze 😂 Abel God akueke jo u really make our days wallai no mata the struggle or stress I have been through nikionaga tu notification yako mm huanza tu kucheka 😂Bless up My G keep up the good work 👏
I always call it a day after watching mkuruu... Big up bro... Mambo ndo hayo
‼️🤣🤣🤣mkuru hizzo masound effects,, hapo nayo munakuanga mume zi select vi nuwaisss,
Imekua true sana kijana alipata adabu .....let it be a warning ⚠️
Mkuru kila siku manze peace
Mkururugenzi usipotupea hadithi ya Johnston Gyana unarisk stima kupotea ukiwa unanyolewa 😂😂😂
Hii good😂😂
Kaende sanaa🎉,,,
This one made my day 😅😅 It's the Bipartisan talks for me
Hiyo tone ya the bold and the beautiful ndio mambo yote bana
Huyo jamaa hio choo inakaa alifuraaaaaiiiaaa😂😂
Hii raggae ya mkuruu inabamba🔥...au sio wadau😂
Hiyo Joke ya Cheese Burger ni Kali, imekuredeem ile story ya FQIS😂
Mbona wanaweka cheese👀👀👀😂Aaaah I love Mkurugenzi
Mkuru hebu tuchapie story ya mitsubishi bank heist please
Mkuru tuchapie story ya mitsubishi bank heist
Mkurugenzi I really need your advise kindly on my life. Nataka tu direction
Hit me up on info@mkurugenzi.co.ke
You guy this is awesome wachana na Kibe aendelee ku hate
Huyo ni mcoasto alimramba😂😂
Mkuru re-upload zile headline hitters zilikuwa on the other account kwa hii.... nimejaribu kurefer mtu aone story ya desmond doss na kumbe ulidelete everything....other than that great job.
They will be restored. I gatchu!!
Hello mkurugenzi. Thanks for the amazing content. Tunaburudika sawa sawa.. Niko na mkurugenzi hapa mwenye na translate kila kitu. Manze tuokolee na subtitles please. Thanks
I think am addicted to this channel😂😂😂mkuru anyday anytime💯💯💯
Me too
I'd rather buy 1GB FOR 3hrs of RUclips kuwatch latest story. Mkuru my fave ever.
Buda unaeza kuwa movie Teller mpoa sana your kid's are Lucky bro😂 unaeleza mpaka naona nilikua hapo😂😂😂
Am so sorry for this brother 😅🤣😅, good job mkurugenzi, you nailed it !!
sai tunafaa kununua zile pilipili za wahindi....wezi wamezoea ni kichapo pekee🤣🤣🤣
Nguo hutolewa ndyo itumike kupanguza machozi.
Stori imeenda shule. Big up to to you mkuru. @ben47 cool edits👀💯
A very similar story....😂😂..I kidosho Fulani pale doni. .....😂..daaamn ...bro nlitembea adi kabanas mguu ...it was fiireeeee......nlifrahiaaaà😂
Ile location ya lil maina. Kishash
Like nguo ziupanguza machozi vizuri yote mpaka dani ndani ya tank penye utoka😂🤭Mkuru for life
Mkuru mimi huwa sicheki sana sana ila leo nimejaribu nikasmile kias