Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Polisi ni watu wenye maneno mazuri wanapokua njee ya mitaa au wanapokua kwenye vikao ila wanapokua vituoni huwa kma wanyama vile Ila samahanini Sana
Hili ni kweli Polisi wanawaonea watu bila kuficho na kuwanyanyasa kupiga
Mnawaonea sana mapolisi
Bado mnaendeleza sheria za kikoloni za kutesa watu, hakuna tena sheria hizo ulimwenguni isipokuwa nchi za Kiafrica ndizo zikimkamata mtu anateswa.
Wadhalilishaji wakubwa hakuna km km police waongo km nini hakuna lolote hapo
Polisi anatakiwa awahifadhi raia na msli zao .sio kupiga wananchi.
Ah kiukweli hilo lime isha na tuna yaona mengi hakuna lolote linalo tokea cha msingi kaka stahamili muelekee allah.
Nimekukubal kamishna maelezo mazur Mashallah
By law police hawaruhusiwi kupiga watu in any circumstance
By any circumstance umekoseaa naomba upitie Tena sheriaa
Hawana mpango wowote hao.mm hao majaaa siwapendi kabisa.yaaani njaa zao wanafanya kupata pesa kwa mifuko ya watu
Hawana ukweli
Police b brutality
HAYA NIMANENO YALE KWA YALE HAKUNA KINACHOENDELEYA POROJO POROJO TU ZA KISIASA CCM AU MCC HAMUWEZI SIYASA MAPOLISI WENGINE WAONGO WANAOGOPA MAPOLISI WOGA JAPOKUWA UWONGO UMEWAZIDI 😇😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇🇹🇿😇😇🇹🇿