QUICK ROCKA AMENIDHULUMU PESA YANGU - NANA DOLLZ

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 48

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 3 года назад +6

    Kumbe ndo huyu alikua video queen wa natamba niliipenda

  • @babysinda5413
    @babysinda5413 3 года назад +3

    Nimependa sana ulivyo save pesa mpaka gari dah hongera san i like it

  • @janethapolo7960
    @janethapolo7960 3 года назад +3

    Mdogo wangu nakukubali sana usikate tamaaaaa

  • @margaretrusteau2645
    @margaretrusteau2645 3 года назад +1

    Very humble young lady

  • @nyau7186
    @nyau7186 3 года назад +5

    Pisi kali ya bbt 🥰🥰🥰

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 3 года назад +4

    Kwendra hiyo boom ndo ununue gari ulikua huli wala hufanyi matumiz mengine nheeee!

  • @alirissa4474
    @alirissa4474 3 года назад +7

    Wabongo waongo hv pesa y boom kias gani ununuwe gari wewe usituhadae sisi

  • @muddyville
    @muddyville 3 года назад +2

    Nchi hii nzito sana aisee... Boom la chuo unanunua gari? 😃

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 года назад

    Uongo ununue gari kwa boom 🤣🤣😃gari miilon 12🤣

  • @TABASAMAU
    @TABASAMAU 3 года назад +4

    Duh.,
    Bumu laki 5 kwa semister., mtu kannua gali!
    Tumepigwa mchana kweupe 😁😁

  • @mynameisindicated
    @mynameisindicated 3 года назад +3

    Eti boom unanunua gari?? Weweweee! Nitahama bongo kama boom linaweza kununua gari

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 года назад +1

    Nice

  • @wisdomrealrachel5821
    @wisdomrealrachel5821 3 года назад +1

    Quick amemlahuyu

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 3 года назад +4

    Si umpeleke mahakamani kwani hapo mahakamani,nenda mahakamni ukamshtaki,wabongo sahv kila kitu mnapeleka kwenye media

    • @waleedsalim8658
      @waleedsalim8658 3 года назад +1

      Ushamba mwingi na kutokusoma ndo kunawafanya wanakuaa wajinga... Alafu washindani sana... Hawa watu ingekuwa wamesoma basi daaah kusingekalika kwa amani kabisa....

  • @israeleliah7163
    @israeleliah7163 3 года назад +2

    Kila sentens so

  • @babysinda5413
    @babysinda5413 3 года назад

    Nice penda san ww,,,but usikate tamaa

  • @SupremeCryptos
    @SupremeCryptos 10 месяцев назад

    gari milioni 12 boom na ada miaka mitatu milion 10 hapo hujara hijanunua mihogo wala hujavaa na kulipa kodi, huyu alikuwa anauza huyu

  • @iffahbahet1499
    @iffahbahet1499 3 года назад +3

    Diva wewe Ni matako

  • @dickmalove5544
    @dickmalove5544 3 года назад +1

    Mh!

  • @kingnicky2568
    @kingnicky2568 3 года назад +3

    Toka ww n ka kahaba kadogo

  • @jamesswai1683
    @jamesswai1683 3 года назад +3

    Hiyo pesa ya boom umesave vipi..acha uongo....sema mbususu imefukuliwa ukapewa hela

    • @hadijaomary2000
      @hadijaomary2000 3 года назад

      Hahahaaa mbususu imefukuliwa 😅😅😅😅 Nimecheka kwa sauti😅😅😅😅

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 года назад +1

      ashakwambia boyfriend wake kam top up hajadanganya

    • @minnahloveiove1074
      @minnahloveiove1074 3 года назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @getrudamartin2409
      @getrudamartin2409 2 года назад

      🤣🤣 nimecheka kwa sauti

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад +2

    🤣🤣

  • @misungwikids563
    @misungwikids563 3 года назад

    Hapoo kene booom ni UONGOOOOOOO naruia tena UONGOOOOOO🤣🤣🤣🤣🤣Tpuuuuuuuuuui😪

    • @ummymwalimu3965
      @ummymwalimu3965 3 года назад

      Yani wanatudanganya sisi eti kisa sisi hatujaenda chuoo🙆

    • @misungwikids563
      @misungwikids563 3 года назад

      maisha ya chuo sio ya mchezo hyo boom yenyew huaga haijawahi kumtosha hata cku 1🤣🤣🤣🤣

    • @ummymwalimu3965
      @ummymwalimu3965 3 года назад

      Hawa ndio wale washikaji ,unafanyanao kazi ofis moja mshahara mnalipwa sawa alafu yeye anakuwa namaendeleo ,ukimuuliza anadai ,,,utasikia. ,nimalengotu kumbe Wana madili yao mhuu

    • @misungwikids563
      @misungwikids563 3 года назад

      Mafanikio ya m2 yana SIRI kubwa sana tena sana...we acha2 😪