Aisee hii inanikumbusha Boss wangu nae alikua hivi hivi aisee wakifiwa wenzie anaona kama wavivu wa kazi ila siku baba ake alipo fariki ndipo akajua kumbe kuna kufiwa
Sijui ni sababu gani zinazofnya kutoongeza watu kwa hiki kipindi cha maigizo.. Ila fanyeni mpango huo bwana muwape watu wengine fursa msiwe ninyi pekee enu. Mnapoteza mvuto kila siku ninyi tuuu...
POLENI SANA SIKU NYINGI SIJAINGIA MTANDADAONI KUTOKANA NA KAZI ZA UBAHARIA MAJINI KWA SANA NCHI KAVU FINYU TUPO PAMOJA WAZEE WA KASHIKASHI NAWAPATA SASA KUTOKA CARACAS 🙏👏⚓️🚢🛳🇹🇿🇬🇷
Naipenda sn mizengwe naomba nifanye kazi nanyie
Aisee hii inanikumbusha Boss wangu nae alikua hivi hivi aisee wakifiwa wenzie anaona kama wavivu wa kazi ila siku baba ake alipo fariki ndipo akajua kumbe kuna kufiwa
Ni nzuri fundisho
Eti wiki nzima unamzika mtu mmoja 😅.
Niliwamiss sana ❤❤❤❤❤❤❤
Safina na mkwere nawapenda sana
R.I.P MZEE MATATA BADO TUNA KUKUMBUKA ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI 🙏🏿🙏🏿
😢amefariki lini
@@selinathindwa9754muda saana miaka miwili mitatu ivi😢
@@selinathindwa9754 kafa kitambo tu mbona. Ni zaidi ya mwaka sasa
Nakuamini waukae shida aichagui shubamiiiti!! Pumbavu nani anabisha!?
alaaa kwani mzee alituacha
Nzuri, mazingira ya kifamilia
Bigap mizenge
Huyu sumaku ana kipaji sana, ila mizenzwe hamna mpinzani, 04.11,23.
Big up #mizengwe✅️
Big up
❤❤❤❤❤uyo demu
Kweli ubinadam kazi ❤️🥰💖😂😂😂😂😂
Huyu mzee anajua sana
Dotto magari
Salute wakali wa burudan, ndugu wa marehemu tunazuiaje misiba😅
Good 👍
Atafiwa lini tena😅😅😅😅
Sumaku ni mwigizaji bora sana. Best ever
Muschelewe kutoa mpya
leteni mambo mapya mumekawiya sana ku release vitu vipya
Sijui ni sababu gani zinazofnya kutoongeza watu kwa hiki kipindi cha maigizo.. Ila fanyeni mpango huo bwana muwape watu wengine fursa msiwe ninyi pekee enu. Mnapoteza mvuto kila siku ninyi tuuu...
Mizengwe hamuishi ladha miaka nenda miaka rudi
😂😂😂Maisha Haya
Siku mbili hata kigoma sijafika badooo😅😅😅😅😅😂😂😂
Eti akifiwa Tena meneja utanijua😀😀
Mwambiye huyo😂😂😂😂
POLENI SANA SIKU NYINGI SIJAINGIA MTANDADAONI KUTOKANA NA KAZI ZA UBAHARIA MAJINI KWA SANA NCHI KAVU FINYU TUPO PAMOJA WAZEE WA KASHIKASHI NAWAPATA SASA KUTOKA CARACAS 🙏👏⚓️🚢🛳🇹🇿🇬🇷
Nawaangalia nikiwa ndani ya gulf
Kumbe Safina ana zinga ya utege😂😂😂😂
R p I mzee wetu kumepwaya san
We meneja umeanza majungua
😂😂😂😂😂😂mamaeee bos ananongwa na wafanya kazi
Hyu sumaku hatali😀😀
NDUGU IMARA...MTU ANAUMWA KIDOGO ANAKUFA😂😂😂
😂😂😂 𝑍𝑢𝑤𝑖𝑎 𝑚𝑖𝑠𝑖𝑏𝑎 𝑘𝑤𝑎𝑛𝑧𝑎
😂😂😂 eti zuia misiba miezi sita
Utafiwa lini tena?😂😂😂
Kwa issa tambuu apa😅😅😅😅 live
Hahahaa mzee matata nafac yake hio angekuwepo et msiba mkubwa😂😂😂😂
Wapili mimi
😂😂😂😂😂
😂
Msiba umechangamka watu wamefurahi
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Chamsingi ongezeni mtu mmoja itanoga sana
Kash kash group watupe siri ya mafanikio, wana miaka mingi sana na bado radha ni ile ile na hawagombani kama makundi mengine
Muschelewe kutoa mpya
😂😂😂