Nikweli ww dada unaonekana unaadabu ila Hilo janaume limekuadaa sasa ondoka hapo acha kuendelea kumsikiliza nenda kwwnu akikutaka atakutafutia sehemu yako
Wake wa vyenye vijisent ni wavivu hawana lolote ndio maana wanafundishwa kazi mfanya kazi wa nini mwanamke wewe acha uvivu kama Huwezi subiri wanoweza wakufanyie mtakoma na ubishoo wenu
Shemeg alitoa bikra weeee noma xna watu wacomenti msimlaumu xna uyu dada nadhani mumesmikia alivyojieleza shemeg ndie mwenye makosa makubwa xna kumtoa mtu usichana wake simchezo amuowe tu maskiniiii 😭😭😭😭😭pole da amina
Namuoneaga huruma sana da Zuu maskin alikuwa anakupenda ilikuwaje uskatae au ukamwambia da zuu jamen nimeumia sana wanaume sio watu wazur jamen pole da zuu.
I Shenzi wee ingekuwa mimi DaZuu cha moto ungekiona Duniani usingekuwepo Akhera usingekuwepo. Na huyo malaya mwenzio ningemshusha mshipa mpaka magotini. Na hapo nyumbani kwangu nisingeondoka. Pole sana DaZuu.
Wewe ndiyo mimi hapa.ningemuonyesha dunia ina rangi ngapi? Ninge mshikia panga tena ningelinolesha kabisa na zani angeondoka bila bag .na kwangu nisinge toka.
Ah kumbe nihivyo tu nasie wanaume wengine wapumbavu sana tena sana yani mke wake aondoke nikae nakijakazi nilimpa mimba kweli si angemuondoa hapo akamkodishia hata chumba kimoja tu maisha yakaendelea kuliko mama watoto wangu aondoke huku niishi na mwamke hata simke wangu noo huu niupuuzi tena wakilimbukeni
Sio kweli.umekosea sana ww Dada wa kazi ,mungu anakuona.kabla hujafika majukumu yake alifanyiwa nani?,sialikuaanafanya mwenyewe mkewe,? Wakati unanunuliwa nguo unapewa pesa kwanini hukusema kwa Dada Zhou? Unajosikiaje mmwenye nyumba hayupo?ww nishetani mwenyevichwab14.pumbavu.ww nijoka. Huna haya joka ww.
Wee dada hiyo sio vizuri,hii utalipia. Sisi tunafanya kazi kwa nyumba za watu,hiyo kusafisha chumba,kuosha nguo za ndani,kupikia bosses wetu but twaheshimu ndoa za wenyewe. Hii utajutia dada
Mashallah huyu msichana ni mzuri sana na ana heshima na adabu mm nimempenda bure na huyo mke akubali huyu msichana aolewe mke wa pili maana haikua maksudi yake nisababu ya umaskini tu na tamaa za wanaume walivyo lkn huyu mtto ni mzuri na hana jeuri kama waschana wengine ❤❤
Dada wewe usiombe yakukute acha kabisa kuongea hii unaona ni adabu jinsi alivyopendwa na zuu Tema mate chin watu mpaka Leo Maisha yamekuwa sio Maisha tuliokuwa nayo mm simpendi dada WA kazi
Mie binafsi nimekuelewa sana mdogo wangu na pia nimekusameh japo nilichukia nilipo msikiliza Zuu. Ila ushauli wangu toka kwenye nyumba ya Boss wako na uwende kwenu maana uyo ni Mume wa mtu tena uliishi vizur tu Mwambie akakupangie utoke apo KWA UUNGWANA TU.
DUUH NILIKASIRIKA SANAA NA NIMEUMIA SANAA. ILA ZUUU. USHAURI TUSHAKUPA NENDA KWENYE SHERIA UPATE HAKI YAKO. WALA SIO PAKULUDI TENA. MUME WAKO MUHUNI. DADA WAKAZI MALAYA. KM UNAAMINI MUNGU 🙏 ANASIKIA NA ANAO NA KILIO CHAKO MUNGU 🙏 ATAWAHUKUMU. HUYU BINTI WA KAZI NAYE IPO SIKU ATAUMIA KAMA ALIVYOKUUMIZA. NAFSI YAKO. INSHAALLAH 🙏 MWENYEZI YUPO.. YANI WEWE BINTI ULISHINDWA KUKATAA NDIO NYIE MABINTI MNAYEAMBUKIZWA MAUKIMWI NA MABOS WENU. UNGEKUWA ARABUNI USHAULIWA SIKU NYINGI
Mwanamke ukiwa bize na maisha lazima utasaidiwa tu kubembelezewa waume zenu na wadada wakazi mana nyinyi mko bize na maisha hamko bize na waume zenu Habari ndo hiyo
wanaume ndio walivyo kutongoza japosiowote mimiapa nimfanyakazi nakunawanaumu wameowa walikuwa wananitongoza nawakezao wapo ndani awanakazi lakini sijakubali nimelimaliza mwenyewe kmya kimya
@@ameenaameena1224 ndio mana sisi wanaume tunataka tunyonyeshwe tutayarishiwe chakula tupigiwe pasi nguo tutandikiwe kitanda tubembelezwe Kisha tulale Sasa Leo utakuta mke yuko bize na maisha hamfanyii mumewe huduma tena mdada wakazi yumo ndani ananifanyia kila kitu nisimlovelove nitamlovelove mpaka ntazimia
Swala sio dadaa wa kazi swala uyo mumewake zuu kashalala na wadada wa kazi wangapi apo ndani kwake kwauyu imekuwa wazi kwaawo wengine asiowajua ni mungu tuu amsaidie amuepushe na maradhi uchi aujawai Shiba ni mungu tuu atusaidie ndoa zote ni ngumu akuna shujaa wa ndoaa
Yan nimekua Emotional kwa hii Story I can't Imagine, Niombe tuu familia ya huyu binti ivae viatu vya Dada zuu kwa wakati huu hatakama kuna makosa yalifanyika nyuma lakini tayari yule ni mke halali wa huyo mwanaume hiyo ni laana huyobinti atolewe hapo arudi kwanza kwao na huyo mwanaume atafute namna ya kumtoa ili aweze kulea huyo mtoto mawasiliano yavunjike Mungu atamjalia Mume wake tu mbona huyo binti
Wasichana punguzeni tamaa ya pesa mnaona tu watu wako kwenye nyumba zao na wanaume zao mnazani rahisi tunatoka mbali eti Yani mm unichukulie mume halafu nikuachie nyumba tuliojenga na mwanaume wangu nyinyi wote ndo mtatoka ww na huyo mwanaume me nabaki na watoto wangu ndani ya mjengo namkinisumbua nawaroga sinamchezo na haya maisha tunateseka sana kutengeneza maisha halafu mtu anakuja kuvunja kirahisi sita kubali hata iweje aisee😏😏
Hawa wadada hawa huwa hawajielewi,kufatwa na mwanaume kawaida but inabidi ujiongeze kwani lazima umkubali ,kama ulikuwa huna nia mbaya Kwa dada Yako kwani lazima umkubali ,wadada wakazi hawafai kabisa sasahivi,wengi wanaharibu ndoa za watu tu,wewe dada mungu anakuona
Pole Sana Kwa Da Zuu lkn naomba amsamehe huyu Dada kwani kosa ni la Mwanaume isitoshe binti ni mdogo Sana na kiufupi ni kama alingiliwa bila ridhaa Ila akatulizwa na vitu vingi ikiwemo pesa hivyo arudi kuishi ktk nyumba yake na binti aozeshwe mke wa pili na maisha yaendelee pia wamama jirekebisheni Sana ktk majukumu yenu ya nyumbani pia ndio vichocheo hivyo.
Inauma saana huyu mdada si kwamba hataki kumuachia dada yake mume ila mwanaume Ulo anzanae nivigumu kumsahau na yule dada ange muacha tu 😥 Kwasababu hata akiwatenganisha yule mume Bado atampenda huyu msichana 😥poleni Sana maumivu ya Mapenzi nayajuwa hata kama sijawahi umizwa
Ni uyo baba ndio mpuuzii sana. Msichana kalazimishwa bwana kimaaba. Ampangishie au arudishwe. Na uyo baba amtunze vizuri tuu uyo binti. Baba mtongozajiii mjinga uyooo
Kuna jambo la kujifunza hapa mwanaume kubaki kama mwanaume kukiwa na msichana tena wa kazi majaribu ni mengi mno wamama msituamini mia kwa mia inapofika kwenye wanawake tunaingiaga kichwa kichwa kwa kweli. Huyu dada amesema anajuta kutembea na mme wa mtu hapo pamenigusa sana na kakataa kuua safi sana. Baba zuu beba hili furushi yote yanawezekana
Achana na ndoa ya watu wewe si mtoto, huna kwenu?? tamaa tu ya pesa ndio imekuponza, eti tunaendelea na mambo yetu, hovyo kweli ww!! Ndio maana mnachinjwaga nyinyi
Kwani nyie hamna dini nhe au mmeamua kuishi kifrimason ? hayo ndo maisha ya majahili wengi hamna mipaka ya kisheria kwani huyo dada ako zuu na mumewe na wewe hamna muongozo ? mnaishi kama wanyama yatakosaje kutokea hayo ?
Yaani kupika ,kusafisha vyombo, kufagia, umeona umuumize mwenzako, pamoja na kukupenda kote, huna aibu unasema hakufanya majukumu yake. Ndio maana tunakufa kilaini Sana. Huna hata aibu. Eti shemeji, shemeji. Subiri nawewe uone. Mwenyewe tabia yake haachi.
Ulinogewa na mapenzi ya shemejiako kisa gari ngoja yakukute mwendandawaaazimu mkubwa ww malaya usie na aibu unauwezo wakutoka mpaka na baba yako ngombe ww
Japo inauma ila namshauri mama mwenyenyumba arudi tu nyumbani kwake wayazungumze na mume wake akampangie huyu dada wa kazi na amuoe coz wote ni Waislam maisha yaendelee huyu Binti ni mstarabu sana
Wanaume niviumbe wasio eleweka Yani ukiwa bize ndo kama hivi wanatoka na madada wa kazi ukiwa nyumbani hujishugulishi goli kipa hivi nyie wanaume mnataka tufanye nn mbona mnakua gamna huruma na sisi jamani tufanyeje Sasa eti😞😞
Tatizo kubwa wanawake munapenda kiwadharau wanawake wenzenu sio tatizo kuwa goli kipa wala kuwa unafanya kazi ujuwe majukumu yako km mke sio majukumu yote unamuachia msichana wa kazi hata km ww mumeo hakutimizii majukumu yake halafu kakuekea house boy anakufulia mpaka chupi munapiga story anakufurahisha mumeo hana muda na ww skitoka asubuhi mpaka usiku muda wote uko na house boy je akikutongoza utakataa
@@abduomar8438 why ata penye kosa unalikata ? Kiufupi sisi ndo chanzo na sio wanawake kama tunavowatupia makosa mda wote uyu jamaa kamkuta kazini than kamuongezea mtaj sasa yy kosa lake lipi ? Kama angelikua atak afanye kazi angemwmbia tu
Mwanaume mzima Hatosheki na Mwanamke mmoja Wanawake Kumbukeni Ukishindwa Kutimiza Majukumu yako bas mwengine atakusaidia.... Huyu mdada ni mzur kuliko mama mwenye Mume huo ndio ukwel
Wajina huyu dada anamoyo wake Yani ndan kwako jaman muombe yasiwakute na hawa wadada wakaz wangu yupo singida ataman kurud dar timbwili lenyewe mpaka polis
Yani mpaka saivi kwa ma. Elezo ya uyo mschana anavojuamini na kujieleza kwa ujasiri ni kwamba ni mshirikina kwa ujasiri aliyonao nakusema kwamba upendo wa yule zuu uliisha. Na kumfokea. Akaamua kumkomoa ni mchawi uyo binti kwa kawaida mwanaume awezi kujilegeza tu nakumwambia usitoke na kumpeleka eti Clinic akamsahau kabisa mkewe. Na wanawe. Daa mwanga uyo utaishia pabaya
Ushauri Wangu Wewe Dada Mama Mwenye Nyumba Uyu Ulimleta Kwenye Nyumba Yako Kama Mfanyakazi Nyumba Niyako Cha Kufanya Awe Na Mimba Asiwe Na Mimba Fukuza Uyo Mtu Wake Ajue Pa Kumueka Nasio Kuendelea Kukaa Nae Anaweza Kuja Kukuzulu Uyu Mimacho Yake Inatisha Ongea Yake Waziwazi Uyu Mwanga Fukuza Akajuane Yeye Na Aliyempa Mimba Kwao Wenzio Wanapigwa Lakini Wanatumia Kinga Au Vidonge Wewe Unaenda Kavu Kavu Kisa Nyumba Na Duka Ukila Na Kipofu Kula Bila Kumgusa Upate Kujenga Maisha Yako Bila Mke Kujua Wewe Kichawi
Wakati mwingine huyu dada hana kosa kwa sababu mwanaume akitaka kitu chake lazima akitimize, lakin pia wamama tumezidi kushindana na wanaume kutafuta pesa, ndio kinachotukost, huwwz kumwambia msichana akafanye usafi chumban kwako uzembe wa dada zuu pia japo inauma yeye alipaswa amuachie dada dukani abezi ya mume wake kwa sabab ata kama aliogopa kuibiwa ni heli angeibiwa tu pesa kuliko mume sasa ona umeacha genge duka na mume. Kuna wakat tynawapa nafasi sana wadada kuwaachia kila.majukumu tunasahau Nafasi zetu kwa waume zetu, utakuta mume kila akirudi badala ya kukutana na sura ya mkewe anakutana na sura ya dada, badala ya kukutana na tabasam ya mukewe anakutana na la mdada , moyo nao jaman mke unamuona usiku tu napo pengine kwa masaa tunavojaji tugeuze Na upande wa pili na kamwambia abaki kwa sababu anaona anamfaa
Natamani na mm ningekua mwisram nioe wake wa nne mke mmoja ni vile tu basi tunavumilia lakini hatoshi. Kabisa kiukweli Najiona kabisa Niko karibu kubadili dini uzalendo unaanza kunishinda mwenzenu tunateseka nasema na kwa niaba ya wenzangu najua wanafeek the same
Jamani kwani mwisho was ubaya ni aibu tupu na tabia Haina dawa binti mwenyewe ukimwangalia macho yamevuka mtoo kwani akae akijua Kuna siku chupi itamvuka bila kujua na mzinifu ni mzinifu tuu ata umuekee hudi kwenye uchii Cha msingi omba mungu olewe na mcha mungu mwenzio na mzinifu aowe mzifu mwenzie aondoke kwenye nyumba ya huyo Dada kwani bado hajafitii kabisaa
No comments kwakweli ungekuwa karibu yangu ningekuzabua nifungwe vizuri mana ningekufanyia service hadi kwenu wangekushangaa ondoka mwachie mwenzio nyumba yake kama mnatakana uko ila mwachie mjie wa mwenzio
WAFANYAKAZI SKUIZI WANAROGA NA WANAWAHAMISHA MAMA NYUMBA AU WANAWADHURU AU WANADHURU WATOTO WA MAMA NYUMBA. KWAIO WANAWAKE MJIPANGE MNAPOTAFUTA WAFANYA KAZI.
qiswa kinasikitisha sana lakini pia kinatupa elimu, muhimu warudi kwa mola wao wafanye toba ya sawasawa baada ya hapo ziko sharia za kiislam kwa maana dini yetu imekamilika haijaacha kitu, dada zulfa pole kwa matatizo yalokufika allah akupe subra and make sure unabaki katika njia ya mnyazi mungu kwa maana allah muda mwingine atupa mitahani kupima imani zetu au kama ulikuwa kinyume na yeye uweze kurejea kwake na hakika allah atarejesha amani ya moyo wako
Izi mbuzi zina we kwanza nyumbani kama ma ibilisi , waza Tu nanavio ongea Na confidence eti dada upendo uka isha ,dada si mtu mkubwa ana instinct (feelings)
We dada wakazi malaya mkubwa umesahau fadhila ya dada zuu.hebu toka kwenye nyumba ya zuu using'ang'anie mji sio wako umeukuta.huyo bwana yako akupeleke anakojua yeye.ingekuwa mimi ningekukomoa ukaijua dunia ninini.umekuta zuu ni mpole.umekuja kufanya kazi hukuja kubeba mme wa mtu.hata kama alikuwa hamhudumii mume wake hiyo haikuhusu we ungejali kazi zako tu.sio unahudumia mpaka kuvua chupi mshenzi mmoja. Dada zuu rudi kwako toa hiyo takataka ndani iwezekanavyo.
Kwa mtazamo wangu huyu dada hana makosa makubwa ila makosa makubwa yapo kwa mama mwenyenyumba kua bize kuliko kujali mume wake na majukumu yake yote akawa anafanya huyu dada wa kazi hapo ndo shida ilipoanzia pengine angekua anafanya majukumu yake kama mke haya yote yadingemtokea
Hicho ulichosema merry ni ukweli kabisa,Sisi wa mama wa nyumbani tukisha ajiri tena Majukumu yote unamwachia dada, kutafuta gani huko huna muda hata jumamosi na jpili uko busy, huyu dada anaonekana mzuri ni mpole
Mmhh sio kweli mie nipo nafanya kazi za ndani na kila kitu nafanya mie mpaka chupi nafua mbona sitoki na baba mwenye nyumba na pesa ananipa akinipa akija mke wake namwambia tena mbele yake hii tabia tu mtu na vibiti vya kisasa ni shida mtupu
Ila hawa wadada mhmh mi hata mdogo wangu simtaki kwangu labda aje asalimie kisha aondoke,,, kwanza nimejifunza mengi japo si hili tu mana haya matukio ni mengi sana kikubwa kupambana mwenyewe ama nichukuwe mwanamume nasio hawa wake
Ujutie saana,kujiharibia maisha yako n jina lako maishani,huyo ni mume wa DADA yako na anawatoto nae,Wee ni Muislam gani? Toka rudi kwa wazazi wsko wacha nyumba ya mke n mume,na Sio WEE
Yani dada wa watu kakuchukua kaishi na ww vizuri malipo yake nikumchukulia mwenzio mume huna hata haya nawaza ningekua mm sijui ningekufanyaje ungejuta maisha yako yote ningekuvunja hata mguu ukiuangalia lazima unikumbuke 😬😬😬
Malipo duniani hata yy yatamfika kuna watu wana roho mbaya hata km unamimba na mwenye nyumba kajua si uondoke apo urud nyumbani au upangiwe nyumba bado hataki kuondoka kwenye nyumba ya mwenzie ili azidi kumuumiza
Tamaaa ndio zimekupelekea kufanya hv mbwa ww zuu kutokufanya kazi hiyo sio Sababu ya wewe kuwa na mume wake mbwa wewe wewe ulienda kufanya kazi za ndani ili ikifika mwisho wa mwezi ulipwe Shenzi kabisa
We Dada Mnafiki sana, Subiri Uwe kichaa, Unangangania NYUMBA ya MKE WA MTU, SI upangiwe ya kwako au Ujengewe yako!! Asee huyo Mwanamke mwezangu ni MJINGA sana, Mimi ningekumaliza ALBADILI Ingehusika.
Na hayo umekusudia kabisa mana huna hata uoga wowote ungejutia hapo ungeondoka mana una kwenu wew sio Yatima una wazazi wako nenda kwenu waache wenzako na maisha yao kama mtoto atalelewa tu na unavyoonekana unang'ang'ania hapo na unapenda kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzako hata ww ni mwanamke lazima ulipwe hapa hapa duniani
Kwa hapo dada zuu mfukuze uyo dada wakaendeleze mapenzi kule Baki na watoto hapo ni kwako achana na uyo dada kaaa shemegi umebugi baba huna hata huruma dada wewe si mtoto mdogo ulimtaka ila usisahau dunia mduara Huwa inatabia ya kuzunguka usishangaee uko mbeleni malipo ni hapa hapa duniani ...ondoka tu apo kwa dadaako wema aliokutendea utaulipia
Hmh na unavyo zungusha macho 🙄 Mungu akusamehe utoke hapo tu halali na Haram havilingani Toka urudi kwenu kiroho safi uachanane na mume wa mwenyewe 🥺Nimeumia 😪
Wagogo tangu lini wakawa na aibu aisee...hawana aibu hata kidogo...hawafai.we Amina acha ndoa ya watu tafuta wako. Haki ya ndoa huipati kwa kuingilia na kuharibu ndoa ya mwenzio...laana itakufuata.
Wagogo went wao wanafiki wanapenda iyo tabia ya kubeba vya wenzio.maisha yangu mgogo kazi ya ndani si mpatii kabisaaaa
Mwombe msamaha sana Mungu na dada yako.Kusambaratisha ndoa ya watu ni kosa sana.FANYA HIMA KABLA MAMBO HAYAJAWA MAKUBWA ZAIDI
Wewe dada kwa usalama wa maisha yako fanya utoke kwenye nyumba ya mwenzio.
Yani tena atoke mapema eti naenda clinic na shemegi nyoko
@@dinesschamanga hatari kabisa yaani hakuna aibu amefurahi. Ajuwi kwamba kila tunachopanda tutavuna hapa hapa duniyani
Yaan aondoke ukute mwenzie ameteseka kuoata hiyo nyimba na maisha halafu mtu from no where anakaa bure wewe
Pole dada Zuu kubali mke mwenza waume siwachoyo .jua umaskini ulichangia
Wa kwanza naombeni like zangu twende sawa
👏👏👏👏
Nikweli ww dada unaonekana unaadabu ila Hilo janaume limekuadaa sasa ondoka hapo acha kuendelea kumsikiliza nenda kwwnu akikutaka atakutafutia sehemu yako
@@zulfasalim2527 kweli kabisa anaweza kupata mutatazo kalalanamumewantu ndounajiweka hapo hapo
Wake wa vyenye vijisent ni wavivu hawana lolote ndio maana wanafundishwa kazi mfanya kazi wa nini mwanamke wewe acha uvivu kama Huwezi subiri wanoweza wakufanyie mtakoma na ubishoo wenu
Shemeg alitoa bikra weeee noma xna watu wacomenti msimlaumu xna uyu dada nadhani mumesmikia alivyojieleza shemeg ndie mwenye makosa makubwa xna kumtoa mtu usichana wake simchezo amuowe tu maskiniiii 😭😭😭😭😭pole da amina
Namuoneaga huruma sana da Zuu maskin alikuwa anakupenda ilikuwaje uskatae au ukamwambia da zuu jamen nimeumia sana wanaume sio watu wazur jamen pole da zuu.
Wee manganyu ni tamuu sanaa
Mtihani kabisa
Kukataa inakuwa ngumu kwani wadada wa kazi wanakaa muda bila kufanya mapenzi kwa hiyo akiguswa tu anatoa mzigo
Akuna cha uruma mwnamke mwenyewe ndo kasababisha mana anafanya kz ndo ana sahau majukumu ya mumewe anamuacha mfanya kz acha akomeshwe
@@nishaabdula5015 Hmh sema madogo
Nilikua namsubiri kwa hamu sana huyu dada wa kazi aliempindua mama mwenyenyumba Asante tiki tv ngoja nimsikie
Hunishindi huyu dada ni fala hana utu aliendekeza tamaa ya pesa alizokua anapewa na shemeji yake
Hata mm kwa kweli anaonekana mstarabu sana
SUBIRI MSHAHARA MAMA KUMBE UKIFUA NGUO ZA BOSS MSHAHARA NI NGONO KENGE WEWE UTAISOMA!
Mungu akusamehe.
Tik TV asante kwa kazi nzuri sasa tuletee mme wa zuu ndiye tunamsubiri
🤣🤣🤣
Arakini sheria ya kisiramu inakubari wake 4 sasa????
Msichana umekosea mwenzako sana sana kumfanya awache nyumba yake utajuta sana ww ujui uyo mama atakufanya nn utaona ww mjinga
I
Shenzi wee ingekuwa mimi DaZuu cha moto ungekiona Duniani usingekuwepo Akhera usingekuwepo. Na huyo malaya mwenzio ningemshusha mshipa mpaka magotini. Na hapo nyumbani kwangu nisingeondoka. Pole sana DaZuu.
Wewe ndiyo mimi hapa.ningemuonyesha dunia ina rangi ngapi? Ninge mshikia panga tena ningelinolesha kabisa na zani angeondoka bila bag .na kwangu nisinge toka.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@samiajabu2256 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@joyce55727 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ah kumbe nihivyo tu nasie wanaume wengine wapumbavu sana tena sana yani mke wake aondoke nikae nakijakazi nilimpa mimba kweli si angemuondoa hapo akamkodishia hata chumba kimoja tu maisha yakaendelea kuliko mama watoto wangu aondoke huku niishi na mwamke hata simke wangu noo huu niupuuzi tena wakilimbukeni
Sasa kama mtoto Yuko vizuri kuliko mkeo we unazani unafanyaje😂😂
Sasa si nakodi chumba kisha namhalalisha anakua wangu kesi imeisha
Saana. Achana na wawaza ngono hao
Hata iweje, huyo mwanaume pia ndiyo chanzo kikubwa. Tamaa za wanaume ni mbaya sana.
Kabisa yan 🤝🤝
Bora amuoee kabisa,kesha mharibiwa mtoto wa watu.
Kwl
@@hopealoyce3678 kaharibiwa au kataka mwenyewe
@@hopealoyce3678 kajiharibia mwenyewe yy ndio kamuharibia mwenzie bado mnamhurumia huyu malaya
Kwa mke wangu ninavyomjua nitoke na dada wa kazi ntakua tayari nimechoka kuishi ntajikuta Niko kaburini na nisinue nimefikaje 😀😀
Aaaaaah
🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Hatar san
Mecheka kifala david
Sio kweli.umekosea sana ww Dada wa kazi ,mungu anakuona.kabla hujafika majukumu yake alifanyiwa nani?,sialikuaanafanya mwenyewe mkewe,? Wakati unanunuliwa nguo unapewa pesa kwanini hukusema kwa Dada Zhou? Unajosikiaje mmwenye nyumba hayupo?ww nishetani mwenyevichwab14.pumbavu.ww nijoka. Huna haya joka ww.
Dada Kama unajipenda ondoka kwenye hio nyumba. Kabla mengi hayajakukuta.
Nae yata mkuta😀
Wee dada hiyo sio vizuri,hii utalipia.
Sisi tunafanya kazi kwa nyumba za watu,hiyo kusafisha chumba,kuosha nguo za ndani,kupikia bosses wetu but twaheshimu ndoa za wenyewe.
Hii utajutia dada
Uyu Dada ni wakishetani kweli..ata hana haya...macho makavu kweli
😆😆
Hongera shemela kupata bikra party 2🤣🤣
Mashallah huyu msichana ni mzuri sana na ana heshima na adabu mm nimempenda bure na huyo mke akubali huyu msichana aolewe mke wa pili maana haikua maksudi yake nisababu ya umaskini tu na tamaa za wanaume walivyo lkn huyu mtto ni mzuri na hana jeuri kama waschana wengine ❤❤
hana sifa hio na adab.ni ndogo san yy kahifadhiwa na jeuri kamfanyia mwenzake
Kuwa wew kuweza nyoooo
Ukupangishie mbali toka kabisa kwenye nyumba ya mwenzio
Dada wewe usiombe yakukute acha kabisa kuongea hii unaona ni adabu jinsi alivyopendwa na zuu Tema mate chin watu mpaka Leo Maisha yamekuwa sio Maisha tuliokuwa nayo mm simpendi dada WA kazi
Haya Mambo tusikie Kama story Ila ombayasikukute
Wana Ume vyakwenu vina wawa shanga sana?
Mie binafsi nimekuelewa sana mdogo wangu na pia nimekusameh japo nilichukia nilipo msikiliza Zuu.
Ila ushauli wangu toka kwenye nyumba ya Boss wako na uwende kwenu maana uyo ni Mume wa mtu tena uliishi vizur tu
Mwambie akakupangie utoke apo
KWA UUNGWANA TU.
Akampangie waendeleze mawasiliano au muhimu arudi kwao
DUUH NILIKASIRIKA SANAA NA NIMEUMIA SANAA. ILA ZUUU. USHAURI TUSHAKUPA NENDA KWENYE SHERIA UPATE HAKI YAKO. WALA SIO PAKULUDI TENA. MUME WAKO MUHUNI. DADA WAKAZI MALAYA. KM UNAAMINI MUNGU 🙏 ANASIKIA NA ANAO NA KILIO CHAKO MUNGU 🙏 ATAWAHUKUMU. HUYU BINTI WA KAZI NAYE IPO SIKU ATAUMIA KAMA ALIVYOKUUMIZA. NAFSI YAKO. INSHAALLAH 🙏 MWENYEZI YUPO.. YANI WEWE BINTI ULISHINDWA KUKATAA NDIO NYIE MABINTI MNAYEAMBUKIZWA MAUKIMWI NA MABOS WENU. UNGEKUWA ARABUNI USHAULIWA SIKU NYINGI
Mwanamke ukiwa bize na maisha lazima utasaidiwa tu kubembelezewa waume zenu na wadada wakazi mana nyinyi mko bize na maisha hamko bize na waume zenu Habari ndo hiyo
wanaume ndio walivyo kutongoza japosiowote mimiapa nimfanyakazi nakunawanaumu wameowa walikuwa wananitongoza nawakezao wapo ndani awanakazi lakini sijakubali nimelimaliza mwenyewe kmya kimya
Jidanganye utazan wanaridhika.bora hela tu
Acha wabembeleze kitakachobaki ndo ruzi yetu😁😁
@@estermathias8354 😘😘haswa kipenxi shika Tano popote ulipo
@@ameenaameena1224 ndio mana sisi wanaume tunataka tunyonyeshwe tutayarishiwe chakula tupigiwe pasi nguo tutandikiwe kitanda tubembelezwe Kisha tulale Sasa Leo utakuta mke yuko bize na maisha hamfanyii mumewe huduma tena mdada wakazi yumo ndani ananifanyia kila kitu nisimlovelove nitamlovelove mpaka ntazimia
Swala sio dadaa wa kazi swala uyo mumewake zuu kashalala na wadada wa kazi wangapi apo ndani kwake kwauyu imekuwa wazi kwaawo wengine asiowajua ni mungu tuu amsaidie amuepushe na maradhi uchi aujawai Shiba ni mungu tuu atusaidie ndoa zote ni ngumu akuna shujaa wa ndoaa
Yan nimekua Emotional kwa hii Story I can't Imagine, Niombe tuu familia ya huyu binti ivae viatu vya Dada zuu kwa wakati huu hatakama kuna makosa yalifanyika nyuma lakini tayari yule ni mke halali wa huyo mwanaume hiyo ni laana huyobinti atolewe hapo arudi kwanza kwao na huyo mwanaume atafute namna ya kumtoa ili aweze kulea huyo mtoto mawasiliano yavunjike Mungu atamjalia Mume wake tu mbona huyo binti
Da zu vuta subra mungu atakufanyiya wepes subra huvuta heri
Story noma dada wa kazi Watanzania nifikisheni 1k subscribers nitashukuru
Bora niwakazi Mimi mi mdogo wangu kabisa kapewa namimba namume wangu
Siuondoke au akupangishie kwako??
Wewe ndo uloanza kupoteza upendo kwa dadaako. Tamaa pia
We we dada nakuhurumia
hividadahujawaza kwamba kuna siku mtamwagiwa petroli siuondoke ukajifiche,kama sio petroli utalogwa hutoamini kalale msikitini kwakweli
Shemeji kula dada hayupo 😍🤣😂kazi za ndani shida tu Sasa ww uliona ujisogeze kabisa 🤣😂
Ingekua vzr km ungeweka connection ya kumpata da zuu tumsaidie japo kwa kajimtaj mdogo ahsante
Kabisa
Ila inauma san ,Yan n uyu dd wa kazi anapat ujasir wakuongea ivi
@@husnasimba5357 inahuzunisha sana ila ndo yameshatokea na kutoka atak
Wasichana punguzeni tamaa ya pesa mnaona tu watu wako kwenye nyumba zao na wanaume zao mnazani rahisi tunatoka mbali eti Yani mm unichukulie mume halafu nikuachie nyumba tuliojenga na mwanaume wangu nyinyi wote ndo mtatoka ww na huyo mwanaume me nabaki na watoto wangu ndani ya mjengo namkinisumbua nawaroga sinamchezo na haya maisha tunateseka sana kutengeneza maisha halafu mtu anakuja kuvunja kirahisi sita kubali hata iweje aisee😏😏
Mwisho wa siku sote tutakufa tuviache
Hahahaaaa
Hawa wadada hawa huwa hawajielewi,kufatwa na mwanaume kawaida but inabidi ujiongeze kwani lazima umkubali ,kama ulikuwa huna nia mbaya Kwa dada Yako kwani lazima umkubali ,wadada wakazi hawafai kabisa sasahivi,wengi wanaharibu ndoa za watu tu,wewe dada mungu anakuona
Kama anakupenda kweli akupangishe nyumba nyingne mwacheni mama mwenyewe nyumba kwenye nyumba yake ,
Umemaliza
Ungefua na kusafisha chumba cha Baba ako ungefanya nae huo ufuska?
Huu wote n wivu tu huyu Dada alitamani maisha ya mwenzake,ila wanaume washenzi Sana yaan anasahau kote alikotoka na mke wake
Mariam sisi wanaume ukileta dada wa kazi huwa anapendeza kuliko mwenye nyumba so dada wa kazi hatakiwi kwa mwanamke muelewa.
Pole Sana Kwa Da Zuu lkn naomba amsamehe huyu Dada kwani kosa ni la Mwanaume isitoshe binti ni mdogo Sana na kiufupi ni kama alingiliwa bila ridhaa Ila akatulizwa na vitu vingi ikiwemo pesa hivyo arudi kuishi ktk nyumba yake na binti aozeshwe mke wa pili na maisha yaendelee pia wamama jirekebisheni Sana ktk majukumu yenu ya nyumbani pia ndio vichocheo hivyo.
😭😭😭😭😭 Subhanallah 😭😭😭 wallah naumia saaana Subhanallah 😭😭😭 ee mungu tuongoze kwakwel 😭😭😭😭😭naumia saaana kwakwel 💔💔💔💔Yani nimewaza mbali kweli 😭😭😭😭😭😭
Afazali uyo,,mimi mdogo ngu bado yupo na mtu nilozanae naivi wana watto wawili yani inauma sana nimekusamee ata mimi,,
Inauma saana huyu mdada si kwamba hataki kumuachia dada yake mume ila mwanaume Ulo anzanae nivigumu kumsahau na yule dada ange muacha tu 😥 Kwasababu hata akiwatenganisha yule mume Bado atampenda huyu msichana 😥poleni Sana maumivu ya Mapenzi nayajuwa hata kama sijawahi umizwa
Pole
@@zaituniportland853 asant
@@fatumastv duuuuuu💔
Ni uyo baba ndio mpuuzii sana. Msichana kalazimishwa bwana kimaaba. Ampangishie au arudishwe. Na uyo baba amtunze vizuri tuu uyo binti. Baba mtongozajiii mjinga uyooo
Kuna jambo la kujifunza hapa mwanaume kubaki kama mwanaume kukiwa na msichana tena wa kazi majaribu ni mengi mno wamama msituamini mia kwa mia inapofika kwenye wanawake tunaingiaga kichwa kichwa kwa kweli. Huyu dada amesema anajuta kutembea na mme wa mtu hapo pamenigusa sana na kakataa kuua safi sana. Baba zuu beba hili furushi yote yanawezekana
Ndio malaya ww unamchukua mume wa m2 bc ujue una jukumu
Km me nakuuwa umefanya kosa kubwa nas tunafanya kazi ila tunaheshimu ndoa za wa2
Achana na ndoa ya watu wewe si mtoto, huna kwenu?? tamaa tu ya pesa ndio imekuponza, eti tunaendelea na mambo yetu, hovyo kweli ww!! Ndio maana mnachinjwaga nyinyi
Kwani nyie hamna dini nhe au mmeamua kuishi kifrimason ? hayo ndo maisha ya majahili wengi hamna mipaka ya kisheria kwani huyo dada ako zuu na mumewe na wewe hamna muongozo ? mnaishi kama wanyama yatakosaje kutokea hayo ?
Da zuu kakosea angemfukuza msijana wakazi maisha ya kaendelea yaani nisingemuachia nyumba yangu thubutuuu
Na Wewe Mtangazaji utaingia majaribuni,maana huyo Dada anavyo kurembulia macho 😳😳😀😀😀😀😀😀
Hahahaah jamani hatari
Tapel huyo mwizi nyambafu😆😆😆😆
😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwenzangu ivi unajiona umepataa umefikaa mwenyewe unamvunjia mwenzio ndoa yake kwa tamaa zako nko apa utarudi kwenu tu
Halafu kakaa kbs kwa kutulia nyumba sio yake
Yaani kupika ,kusafisha vyombo, kufagia, umeona umuumize mwenzako, pamoja na kukupenda kote, huna aibu unasema hakufanya majukumu yake. Ndio maana tunakufa kilaini Sana. Huna hata aibu. Eti shemeji, shemeji. Subiri nawewe uone. Mwenyewe tabia yake haachi.
Q
Dada mbaya sana huyu angalia macho yake ulaaniwe
Ulinogewa na mapenzi ya shemejiako kisa gari ngoja yakukute mwendandawaaazimu mkubwa ww malaya usie na aibu unauwezo wakutoka mpaka na baba yako ngombe ww
Sasa na wewe utaweka msichana wa kazi au utaendelea na kazi zako pamoja na kuchukua mume wa mwenyewe ?
Wakati shida zake ndo zilompeleka kufanya kazi
Japo inauma ila namshauri mama mwenyenyumba arudi tu nyumbani kwake wayazungumze na mume wake akampangie huyu dada wa kazi na amuoe coz wote ni Waislam maisha yaendelee huyu Binti ni mstarabu sana
Kabisa
Wanaume niviumbe wasio eleweka Yani ukiwa bize ndo kama hivi wanatoka na madada wa kazi ukiwa nyumbani hujishugulishi goli kipa hivi nyie wanaume mnataka tufanye nn mbona mnakua gamna huruma na sisi jamani tufanyeje Sasa eti😞😞
Tatizo kubwa wanawake munapenda kiwadharau wanawake wenzenu sio tatizo kuwa goli kipa wala kuwa unafanya kazi ujuwe majukumu yako km mke sio majukumu yote unamuachia msichana wa kazi hata km ww mumeo hakutimizii majukumu yake halafu kakuekea house boy anakufulia mpaka chupi munapiga story anakufurahisha mumeo hana muda na ww skitoka asubuhi mpaka usiku muda wote uko na house boy je akikutongoza utakataa
@@abduomar8438 why ata penye kosa unalikata ? Kiufupi sisi ndo chanzo na sio wanawake kama tunavowatupia makosa mda wote uyu jamaa kamkuta kazini than kamuongezea mtaj sasa yy kosa lake lipi ? Kama angelikua atak afanye kazi angemwmbia tu
Mwanaume mzima Hatosheki na Mwanamke mmoja Wanawake Kumbukeni Ukishindwa Kutimiza Majukumu yako bas mwengine atakusaidia.... Huyu mdada ni mzur kuliko mama mwenye Mume huo ndio ukwel
@@Zanzibar0001 ok kweli kabisa labda aamuwe mwanamme akinai
Wajina huyu dada anamoyo wake Yani ndan kwako jaman muombe yasiwakute na hawa wadada wakaz wangu yupo singida ataman kurud dar timbwili lenyewe mpaka polis
Yani mpaka saivi kwa ma. Elezo ya uyo mschana anavojuamini na kujieleza kwa ujasiri ni kwamba ni mshirikina kwa ujasiri aliyonao nakusema kwamba upendo wa yule zuu uliisha. Na kumfokea. Akaamua kumkomoa ni mchawi uyo binti kwa kawaida mwanaume awezi kujilegeza tu nakumwambia usitoke na kumpeleka eti Clinic akamsahau kabisa mkewe. Na wanawe. Daa mwanga uyo utaishia pabaya
Ushauri Wangu Wewe Dada Mama Mwenye Nyumba Uyu Ulimleta Kwenye Nyumba Yako Kama Mfanyakazi Nyumba Niyako Cha Kufanya Awe Na Mimba Asiwe Na Mimba Fukuza Uyo Mtu Wake Ajue Pa Kumueka Nasio Kuendelea Kukaa Nae Anaweza Kuja Kukuzulu Uyu Mimacho Yake Inatisha Ongea Yake Waziwazi Uyu Mwanga Fukuza Akajuane Yeye Na Aliyempa Mimba Kwao Wenzio Wanapigwa Lakini Wanatumia Kinga Au Vidonge Wewe Unaenda Kavu Kavu Kisa Nyumba Na Duka Ukila Na Kipofu Kula Bila Kumgusa Upate Kujenga Maisha Yako Bila Mke Kujua Wewe Kichawi
Na shindwa kukomenti jmn but ondoka kwa mwenzio tafuta kwako 😒😒😒😒
Wakati mwingine huyu dada hana kosa kwa sababu mwanaume akitaka kitu chake lazima akitimize, lakin pia wamama tumezidi kushindana na wanaume kutafuta pesa, ndio kinachotukost, huwwz kumwambia msichana akafanye usafi chumban kwako uzembe wa dada zuu pia japo inauma yeye alipaswa amuachie dada dukani abezi ya mume wake kwa sabab ata kama aliogopa kuibiwa ni heli angeibiwa tu pesa kuliko mume sasa ona umeacha genge duka na mume. Kuna wakat tynawapa nafasi sana wadada kuwaachia kila.majukumu tunasahau Nafasi zetu kwa waume zetu, utakuta mume kila akirudi badala ya kukutana na sura ya mkewe anakutana na sura ya dada, badala ya kukutana na tabasam ya mukewe anakutana na la mdada , moyo nao jaman mke unamuona usiku tu napo pengine kwa masaa tunavojaji tugeuze Na upande wa pili na kamwambia abaki kwa sababu anaona anamfaa
Macho yenyewe ya uizi
@@faithsimon6066😂😂😂💔💔💔daaah!
Huyu dada anaonekana hajatulia.. hayo macho ni kiashiria tosha. Hafai .aache nyumba ya watu arudi kwao..akatafute maisha yake..asidandie ya watu..
Nilikuwa nmeagiza dada wa kaz nimeghair😢😢
Yaan huyu mdada atajuta maisha yake yote. Loh kimalaya
Hv unavyohadithia huon aib?
Natamani na mm ningekua mwisram nioe wake wa nne mke mmoja ni vile tu basi tunavumilia lakini hatoshi. Kabisa kiukweli Najiona kabisa Niko karibu kubadili dini uzalendo unaanza kunishinda mwenzenu tunateseka nasema na kwa niaba ya wenzangu najua wanafeek the same
Karibu ktk uislam hakika mke mmoja atoshi
Karibu uniowe mm sina bwana
🤣🤣🤣🤣Karibu uniowe mimi
🤣🤣😂🤣😂😂🤣🤣
Tujuane niwe Mimi tuyajenge
Jamani kwani mwisho was ubaya ni aibu tupu na tabia Haina dawa binti mwenyewe ukimwangalia macho yamevuka mtoo kwani akae akijua Kuna siku chupi itamvuka bila kujua na mzinifu ni mzinifu tuu ata umuekee hudi kwenye uchii Cha msingi omba mungu olewe na mcha mungu mwenzio na mzinifu aowe mzifu mwenzie aondoke kwenye nyumba ya huyo Dada kwani bado hajafitii kabisaa
Ninge mtia kichaa uyu akaokote makopo yeye na uyo mwaname ukae nyumba ya mwenzio wamejinga kwa nguvu zao ww uje utumie manina nyooo
Msenge ww unaezatembea na babaako mbwa ww
WANAWAKE WENGI JAWAJUI WANAUME TUNAJITAJI NN.
SISI HATUHITAJI SURA
Huyu binti na mama yake walikuwa wana muonen wivu sana Zuu. Hafiki poppet.
Dah aisee huyu dada angekuw kalibuyangu mh!!!!! Eti siwez kuondoka kwasababu shemej kanambia nitulie kwanz😀😀😀 pumbav unajua uchungu wa mume ww. Au tamaa tu tafuta wa kwako utulie nae
No comments kwakweli ungekuwa karibu yangu ningekuzabua nifungwe vizuri mana ningekufanyia service hadi kwenu wangekushangaa ondoka mwachie mwenzio nyumba yake kama mnatakana uko ila mwachie mjie wa mwenzio
Inatisha jamani
WAFANYAKAZI SKUIZI WANAROGA NA WANAWAHAMISHA MAMA NYUMBA AU WANAWADHURU AU WANADHURU WATOTO WA MAMA NYUMBA. KWAIO WANAWAKE MJIPANGE MNAPOTAFUTA WAFANYA KAZI.
Utalipwa kwaulichomtendea mwanamke mwenzako wanaume nikama kuku hudonoa Kila Mahalia bado sana'
qiswa kinasikitisha sana lakini pia kinatupa elimu, muhimu warudi kwa mola wao wafanye toba ya sawasawa baada ya hapo ziko sharia za kiislam kwa maana dini yetu imekamilika haijaacha kitu, dada zulfa pole kwa matatizo yalokufika allah akupe subra and make sure unabaki katika njia ya mnyazi mungu kwa maana allah muda mwingine atupa mitahani kupima imani zetu au kama ulikuwa kinyume na yeye uweze kurejea kwake na hakika allah atarejesha amani ya moyo wako
Yaani huyu cyo unaona kabisa anajustify kosa lake kwa kusema dada yake alikuwa anamwachia majukumu ya mke,hajaijua Dunia vzuri huyu!
Tena inawezekana na hilo janadume limesema hivo kama anafanya yeye najukumu ya mke ndio na huyu mpuuzi anasema hivo
Mpuuzi
Izi mbuzi zina we kwanza nyumbani kama ma ibilisi , waza Tu nanavio ongea Na confidence eti dada upendo uka isha ,dada si mtu mkubwa ana instinct (feelings)
Umekosea sana
Unabahati kumpata dazuu kwangu ungenyooka ninavyompenda mme wangu sijui ningekufanyaje hapo tu unaniuzi
😂😂😂🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 me mwenyewe ningempiga kijin mahangaiko ahangaike nacho
We dada wakazi malaya mkubwa umesahau fadhila ya dada zuu.hebu toka kwenye nyumba ya zuu using'ang'anie mji sio wako umeukuta.huyo bwana yako akupeleke anakojua yeye.ingekuwa mimi ningekukomoa ukaijua dunia ninini.umekuta zuu ni mpole.umekuja kufanya kazi hukuja kubeba mme wa mtu.hata kama alikuwa hamhudumii mume wake hiyo haikuhusu we ungejali kazi zako tu.sio unahudumia mpaka kuvua chupi mshenzi mmoja. Dada zuu rudi kwako toa hiyo takataka ndani iwezekanavyo.
Kwa mtazamo wangu huyu dada hana makosa makubwa ila makosa makubwa yapo kwa mama mwenyenyumba kua bize kuliko kujali mume wake na majukumu yake yote akawa anafanya huyu dada wa kazi hapo ndo shida ilipoanzia pengine angekua anafanya majukumu yake kama mke haya yote yadingemtokea
Hicho ulichosema merry ni ukweli kabisa,Sisi wa mama wa nyumbani tukisha ajiri tena Majukumu yote unamwachia dada, kutafuta gani huko huna muda hata jumamosi na jpili uko busy, huyu dada anaonekana mzuri ni mpole
@@hannanommy302 hadi kuhudumia mme wanataka waschana wafanye sasa kwanini wasiwadinye
Mmhh sio kweli mie nipo nafanya kazi za ndani na kila kitu nafanya mie mpaka chupi nafua mbona sitoki na baba mwenye nyumba na pesa ananipa akinipa akija mke wake namwambia tena mbele yake hii tabia tu mtu na vibiti vya kisasa ni shida mtupu
@@joyce55727 awajakutana na maboss wa kiarabu hawa km unamoyo unarudia kwenu kz bado unaitaka akili kichwani kwako wanaume watu wa kujaribu
@@africandarling6925 hongera
mke wangu wapili.mama mwenye nyumba kubali matokeo saai mko wawili.
Wewe bint umefanya kosa kubwa nawe yatakukuta
Nikweli wanaume acheni tamaa bahna
Ila hawa wadada mhmh mi hata mdogo wangu simtaki kwangu labda aje asalimie kisha aondoke,,, kwanza nimejifunza mengi japo si hili tu mana haya matukio ni mengi sana kikubwa kupambana mwenyewe ama nichukuwe mwanamume nasio hawa wake
Mage
Tushayazoea maisha ya watu msokua na dini wahuni wote watatu
uyu dada wa kazi katawaliwa na umasikini na sio kingine, mnawaza akiondoka maisha yatakuwa magumu kwake bora akae apo na bwana akee
Wanaume wanatamaa mbona mke wake mzuri kuliko huyu dada wa kazi duu
Hatuangalii uzuri sisi msiwe mnajidanganya na uzuri,unaweza kua mzuri wa sura ila huko ndani hakueleweki,kunauzuri wa aina mbili dada
@@davidwaziri8176 ndani wapi tena?? 🤔
@@davidwaziri8176 🤣🤣
@@davidwaziri8176 🤣🤣🤣
Hawaangalii sura bwana
Mhhhh sasa kujianika RUclips utatimuliwa kwa aibu
Tamaa jamn uwiiih! Jamn umekaa kwenye nyumba ya mtu umependwa na na mama kwenye nyumba bora mteswage tu unashindwa kuwa karibu na Dada yako ukamwambia
Ujutie saana,kujiharibia maisha yako n jina lako maishani,huyo ni mume wa DADA yako na anawatoto nae,Wee ni Muislam gani? Toka rudi kwa wazazi wsko wacha nyumba ya mke n mume,na Sio WEE
Yani dada wa watu kakuchukua kaishi na ww vizuri malipo yake nikumchukulia mwenzio mume huna hata haya nawaza ningekua mm sijui ningekufanyaje ungejuta maisha yako yote ningekuvunja hata mguu ukiuangalia lazima unikumbuke 😬😬😬
Malipo duniani hata yy yatamfika kuna watu wana roho mbaya hata km unamimba na mwenye nyumba kajua si uondoke apo urud nyumbani au upangiwe nyumba bado hataki kuondoka kwenye nyumba ya mwenzie ili azidi kumuumiza
Kipo kinacho muwasha kitamkuta ck so nying
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tunaitaji update yahawa watu
Zuu kuna kosa la kiufundi ulifanya, huyu dada amejuta kutoka moyon kabisa..pole dada na hongera zake mwamba kwa uzinduzi wa albamu
Jamani makosa makubwa sana dazuu i feel your pain 💔💔😭pole
Tamaaa ndio zimekupelekea kufanya hv mbwa ww zuu kutokufanya kazi hiyo sio Sababu ya wewe kuwa na mume wake mbwa wewe wewe ulienda kufanya kazi za ndani ili ikifika mwisho wa mwezi ulipwe Shenzi kabisa
We Dada Mnafiki sana, Subiri Uwe kichaa, Unangangania NYUMBA ya MKE WA MTU, SI upangiwe ya kwako au Ujengewe yako!!
Asee huyo Mwanamke mwezangu ni MJINGA sana, Mimi ningekumaliza ALBADILI Ingehusika.
Kabisa nikweri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hayo umekusudia kabisa mana huna hata uoga wowote ungejutia hapo ungeondoka mana una kwenu wew sio Yatima una wazazi wako nenda kwenu waache wenzako na maisha yao kama mtoto atalelewa tu na unavyoonekana unang'ang'ania hapo na unapenda kuvunja ndoa ya mwanamke mwenzako hata ww ni mwanamke lazima ulipwe hapa hapa duniani
Wallah mchichana unamauzi yaani ujiandae kwalolote unajua uchungu wandoa wewe Tamas Maya zitakipeleka pabaya amazoko ama zake ujipange waliakhera walidunia
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa hapo dada zuu mfukuze uyo dada wakaendeleze mapenzi kule Baki na watoto hapo ni kwako achana na uyo dada kaaa shemegi umebugi baba huna hata huruma dada wewe si mtoto mdogo ulimtaka ila usisahau dunia mduara Huwa inatabia ya kuzunguka usishangaee uko mbeleni malipo ni hapa hapa duniani ...ondoka tu apo kwa dadaako wema aliokutendea utaulipia
Mbona msichana mwenyewe macho juu iviii jamaniii na uyo mwanaume ndo mkorofiii bwanaaa 😢😢maskini zuuh pole yake
Kamekaaa kimalaya😀
Mwenzangu anawalembuliaaa ao watangazajii hatar
@@estermahenge5972 malaya mzoefu
Mwenyewe waona umeweza,mwanamume ni mwanamume at umpe kinyume na maumbile atatoka,usijisifu my dear Malaya iyo.
Ndo mana mnamwagiwagwa tindikali 😢
Sanamu yako unataka ijengwe roundabout Gani ?
Weeeeee 🤣🤣🤣🤣
@@carolinemariki4029 kiruuuuu 😝😝😝
Mmmmmh!!!Mbona ni nichangamoto Sana hawa wanaume jaman
mdada mzur mashaallah
Hakushindi ww kw uzur
@@abduomar8438 Ata kama nangesema mdada mwenyewe mbaya wengesema ninadharau kisa mm mzur binadamu ndy sisi
@@ruwaidaal-ismaily9099 aya sawa best wangu vizuri sote ni udongo
Mwendawazim wew
Me ndo mana kwangu sitaki dada wa kazi kazi zote nafanya mm mwenyewe
Me naweka vizuri siwezi kujitesa eti kisa kumlinda mwanaume kama akiamua kufanya anafanya tu hata ufanyaje
Helllo
ingekuwa mm ningemuoa huyu Binti sababu dini inaruhusu
dini gani tena, mbona mkatili duh
Hmh na unavyo zungusha macho 🙄 Mungu akusamehe utoke hapo tu halali na Haram havilingani Toka urudi kwenu kiroho safi uachanane na mume wa mwenyewe 🥺Nimeumia 😪
Huyo mwanamme mpumbavu, ata mwenye kamera anarumbushiwa. Kaacha mke katafuta janga lenye tamaa. Subiri na huyo mume uskie litakalomkuta
Kwakweli aende akatafute mume mwenyewe kama anadhani ni rahisi macho yake kama kanywa maji ya mtungi kwa kutumia Kata 😏😏😣😣🙄🙄
Ko umeng,ang,ania kwa vile nyumba nzuri?, Shemeji ana gar na kila kitu?
Yaan hili dada lichawi. Eti shemeji😢 Pumbavu kabisa