UNBELIEVABLE SEE WHAT MAMA MALINDI AND MZEE AMOS DID 🥶🥶, WATU WANAFUFULIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии •

  • @sara-fx3wp
    @sara-fx3wp День назад +24

    Ambia babu sebo awamalize ,hizi vita siyo ya mwili n wa rohoo wa babu sebo nyinyi hamtaweza hao

  • @JoanKinya-tw2gq
    @JoanKinya-tw2gq 2 часа назад +1

    Mungu mwenye nguvu zote utukufu wote ni wako. Wasipate watoto wetu katika jina la Yesu Kristo. Wahaibishe hawa wa mashetani Baba. We ujawahi shindwa Jehova. Tupiganie Jehova, tupiganie Jehova 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @barbrabiwot7287
    @barbrabiwot7287 День назад +11

    Pray more for mitume to come for guidance hii si physical kabisa Bure mtamalizwa wenyewe

  • @catherinemakokha1400
    @catherinemakokha1400 День назад +7

    Dangulo Ile chain usiache utumie Kwa Hawa wakufi., holy water iyo kiti Iko Kwa mkono ndio nguvu 😢😢😢😢

  • @PaulineLina-m3l
    @PaulineLina-m3l День назад +6

    Bona mwababaika kueni.na imani in God we trust watashindwa in jesus name😂

  • @MwanaidiNguluma
    @MwanaidiNguluma День назад +6

    Hata hawa watawageuka tuu kama clone😅😅😅

  • @DelphineWanjala
    @DelphineWanjala 5 часов назад +1

    Mitume tusaidie Wanao Kwa haya, this is too much.🤲🤲

  • @2ndlast539
    @2ndlast539 День назад +4

    Uyu mwanamke akipatikana tu hivi malizeni msishindie maswali mingi.

  • @eunicefaida8977
    @eunicefaida8977 День назад

    Holy ghost 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 dangulo holy water ifanye kazi hawa wakufi warudi kuzimu

  • @ChinyavuNyiro
    @ChinyavuNyiro День назад +11

    Hii ni vita za kiroho so muulize ushauri kutoka kwa mitume ju sai mnadeal na wakufi sio binadamu ,na mungu azid kuwalinda Kila mara

  • @Meerah-t4z
    @Meerah-t4z День назад +2

    Have no worries. For God, mitume and babu sebo are watching

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 День назад +2

    Musijali mue nahofu mungu yupo na sisi tutashinda hii vita kwa jina la yesu mungu wetu halali kbs

  • @SaidaAwour
    @SaidaAwour День назад +1

    Ghaiii izi ni ghani😢😢😢😢😢😢 mungu tenda waaangamie tena

  • @roseobegi
    @roseobegi День назад +1

    Wueh hii Ni maajabu,,,mungu Saidia watoto wako,,,😮😮😮😮😢😢😢

  • @AishaElizabeth-j6h
    @AishaElizabeth-j6h День назад

    Shindwe in the Almighty name of Jesus Amen 🙏 🙌

  • @luciamwikali3616
    @luciamwikali3616 День назад +2

    Hakuna nguvu inayoshinda ya mwenyezi Mungu ,.kiburi ya uchawi hii lakini ipo siku watatii kuna mungu Mbinguni

  • @solihanegier890
    @solihanegier890 День назад +1

    Nyie binaadam kweli mmezaliwa iyo mnayoifanya iko siku yenu moja tu mtakijuwa vzr

  • @RaelNekesa-254
    @RaelNekesa-254 День назад

    Wooi mungu huku ni wapi,I don't want to live in this world wickedness is too much😭😭😭💔🙆this is going to be worse than zombie movies walai😢

  • @HappynessJose
    @HappynessJose День назад +3

    Shindwe kabisa hamuwez kwa jina la Yesu kristor Amos lazima aangamie kabisa

  • @EmeverlyneZz
    @EmeverlyneZz День назад +1

    Waaa Dunia yameisha

  • @ZenabAli95
    @ZenabAli95 День назад

    Subuanallah,☝️☝️☝️Allah halali kaa sisi.edeleeni kujichumia maisha yenyu ya milele.mtafaulu.Allah edelea kulinda watoto wetu.Ameen.one day na nyinyi mtakufa na hamtarudi

  • @ZiX-o8w
    @ZiX-o8w День назад +1

    Dunia simama nishuke 🙆🙆🙆😢😢

  • @DaianaMakangai
    @DaianaMakangai День назад +4

    😢😢😢😢 deal in spiritual hii syo vita ya kimwili

  • @MwanaidiNguluma
    @MwanaidiNguluma День назад +3

    Mazoooombi😅😅😅in Allah we trust...hakuna binadamu anao uwezo wakufufua aliyetanguliya mbele za haki....

  • @Marionwanjiru009
    @Marionwanjiru009 День назад

    Waiting 😢

  • @biadiali8097
    @biadiali8097 День назад +1

    Waiting

  • @Mariam-f6f
    @Mariam-f6f День назад +27

    Mm, ata nashindwa kwani sai binadamu anauwezo wa kufufua maiti??? Yaani watu wana shindana na MWENYENZI MUNGU.

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi День назад +1

      Mm pia najiuliz mpk siamini bado

    • @Aisha-jw7jf
      @Aisha-jw7jf День назад +1

      ​@@AyshaHamis-qw3gimm pia naona ni kama acting hamna binadamu yeyote anaweza kufufua Marehemu na amtia pumzi😂 iyo ni Mungu pekee ndiye mwenye kupeana uhai

    • @Aisha-jw7jf
      @Aisha-jw7jf День назад +2

      Hii ni acting mamaa anaye peana pumzi ni Mungu pekee na hakuna kiumbe yeyote anaeweza kushindana na Mungu abdaan

    • @Mariam-f6f
      @Mariam-f6f День назад

      @@Aisha-jw7jf waah hii imefuka mipanga nakuambia mara miujiza mara yaani tunajionea mengi

    • @shalomkind4575
      @shalomkind4575 День назад

      Wanauwezo WA kijini ya kurudisha wafu wale wako hell .na sisi wanaoamini tusipojichanganya na maroho za udanganyifu tutashinda .Tanguy lini MUNGU. Akatumia watu wanaficha USO? Kuna uongo mingi Sana ulimwengu WA kiroho tusiposhika NENO .Roho awe NI ROHO WA MUNGU PEKEE .

  • @irhdud3955
    @irhdud3955 День назад

    Kazi ipo😮😢😢😢

  • @everlineeverlinewamalwa243
    @everlineeverlinewamalwa243 День назад +1

    Aki hii ni Kali, mungu wangu weee linda watu wako wasimalizwe na Hawa mashetani 😢😢😢

  • @divinahmachuka1859
    @divinahmachuka1859 День назад

    Qwanzia leo wacha niwatch because nilisema tu uyu mzee sebo kama ameleta uyu mbaka qwa mikono yenu maliza yy mkasema munaenda galisa na yy from there akapotea akaendea nguvu 😭😭😭😭 ngine ona sasa maisha yenu hatarini ni mungu tuu😢

  • @charitywangeci4846
    @charitywangeci4846 День назад

    Jesoooo 😢😢😢 nimeshangaa kabixa

  • @joycemuthoni6009
    @joycemuthoni6009 День назад

    Emma, Ndangulo, Solomon, Steve, team Ndangulo bona msiambie Sebo amalize hawa watu

  • @kelvinogeda
    @kelvinogeda День назад

    😮😮😮😮sijui nicheke nilie ama nishangae coz this beyond me

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 День назад +1

    😢😢😢😢😢😢😢kwani hixi nguvu ni gani jameni xinafufua watu

  • @VAa-nb1odviolette
    @VAa-nb1odviolette День назад +2

    😮😮😮😮😮😮😮😮

  • @PhilisKundu
    @PhilisKundu День назад +1

    Mungu tiyee mwenye kufu

  • @hffalkurbi3812
    @hffalkurbi3812 19 часов назад

    Hii vita n kali sana, ila Mungu ataikamilisha

  • @WeddyKathambi-b6g
    @WeddyKathambi-b6g День назад

    Shindwa pepo mbaya

  • @MariaM-q4l6p
    @MariaM-q4l6p 18 часов назад

    Shetani ashidwe katika jina la Yesu

  • @ZainabOmar-z5w
    @ZainabOmar-z5w День назад

    Subhanallah DUNIA HII inaisha

  • @waridi7932
    @waridi7932 День назад

    SINA USEMI 😢😢

  • @HellenmyasaWaswa
    @HellenmyasaWaswa День назад

    Shindwe kwa jina la yesu

  • @VAa-nb1odviolette
    @VAa-nb1odviolette День назад

    iyi ninini jamani😮😮😮😮😮

  • @EstherKaranja-h8b
    @EstherKaranja-h8b День назад +1

    Babu Sebo sasa hii ni kazi yake ju hii imekua Kali sasa

  • @اسماءاحمد-غ2ح2ث
    @اسماءاحمد-غ2ح2ث День назад +1

    Amos hakuna kitu mtafanya katika jina la yesu xristo

  • @Briana_B-t9j
    @Briana_B-t9j День назад

    Amos ni Hatari kweli... God please intervene now.

  • @odungarose581
    @odungarose581 21 час назад

    maajabu ya musa

  • @CathelineKarumbi
    @CathelineKarumbi День назад

    Mungu tusaindie nauweze kutumalizia hawa ma pepo

  • @ZainabOmar-z5w
    @ZainabOmar-z5w День назад

    YA ALLAH TUSAIDIE HAWA WAOVU UWAANGAMIZE ALLAH KWA NGUVU ZAKO BABA ULIKO JUU TUSAIDIE

  • @ZainabOmar-z5w
    @ZainabOmar-z5w День назад

    Subhanallah

  • @ZainabOmar-z5w
    @ZainabOmar-z5w День назад

    Mungu mungu mungu simama NA hawa uwamalize kwa nguvu zako mungu

  • @frankomondi5114
    @frankomondi5114 День назад +1

    Hii vita sasa ni dhidi ya Ibilisi moja kwa moja.

  • @shinehusnah6572
    @shinehusnah6572 День назад +1

    Hawa watawauwa nyinyi juu walitubu dhambi za mauwaji so sai wakirudi wanawambia hyo kazi sio halal ..so mtakufa vibaya sanaaa mushindwe mapepo

  • @EhrustineZ
    @EhrustineZ День назад

    😢😢😢😢

  • @FloraMeeme
    @FloraMeeme День назад

    Hata chifu atafufuliwa😅hizi ni gani

  • @سميرهكينيا
    @سميرهكينيا День назад

    Mungu mungu mungu tulindiye iyo kenya mungu walani awa watu wanao fanya dhambi yarabi

  • @marymary8313
    @marymary8313 19 часов назад

    Huyu Amos si aje anifufulie watuwa kwetu 😢😢😢

  • @winniekiarie2530
    @winniekiarie2530 День назад

    Mungu shuka ukaangamizi hawa watu aki tunaangamia

  • @SarahPetro-w6o
    @SarahPetro-w6o День назад +1

    Weeeee Kwan watu hawakufagi Kuna inchi nyingine watu wana kwendaga kuishi

  • @shikobig3591
    @shikobig3591 День назад

    Wa...sasa spirits na ghosts ndio ziko😭😭😭... God help us utushindanie

  • @dorothyosoko4661
    @dorothyosoko4661 День назад

    God protect our nation. And please why can you inform Mzee sebu to deal with them

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 День назад

    Dunia ime fika mwisho MIUNGU TUNUSURU

  • @HellenmyasaWaswa
    @HellenmyasaWaswa День назад

    Kuna siku hizo nguvu zita isha huyu mzee ata jua mwenyesi mungu ni nani

  • @annann9751
    @annann9751 11 часов назад

    Hii ni uingo kama niukweri nipeeni numbers ya mzee Amos afufue babaku cucu yangu na wengine wengi 😂😂😂

  • @mamayaohappyhappy1316
    @mamayaohappyhappy1316 День назад +2

    Hawa watu mnafufua ndio wata ua nyinyi mjue mundu ako na nguvu kuliko nguvu za wachawi

  • @SabraMohamed-h6n
    @SabraMohamed-h6n День назад

    Dunia imeisha Yarabbi tusamehe hiii hawa watu watakufa vipi na wamtokelezea vipi Mola wetu

  • @divinahmachuka1859
    @divinahmachuka1859 День назад

    Jesus Christ 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔😭😭😭😭💔💔😭😭💔💔😭

  • @cateug2450
    @cateug2450 День назад

    YOU PEOPLE TAKE ACTIONS BEFORE ITS TOO LATE TELL SEBO TO COME HELP HERE AND THESE NEEDS STRONG SPIRITUALIST

  • @CarolyneOnsongo
    @CarolyneOnsongo День назад

    Mungu usikubali awa wachawi waendele nakusumbwa watu baba tuna kuaminia

  • @KamikaziSalma
    @KamikaziSalma День назад +1

    Mama wa Kenya pazeni masauti iliwatu wachunge wa toto bilaivo awo mashetani watamaliza watoto 🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ ichikizee nikichawi kweli🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ kitamaliza watoto msipo shikamana kwapamoja mana kunawenye hawana sim kubwa zakuingiya kwenye You Tube wajuwe kinacho endeleya .

  • @PeterNgungi-qf9vh
    @PeterNgungi-qf9vh День назад

    Ee mungu wa ulimwengu tunategemea ulinzi wako baba

  • @Zuuh107
    @Zuuh107 День назад

    Jaman huyu mzee alanike na mtoto wake hz n nn wanafanya walai 😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @sellyraps2057
    @sellyraps2057 День назад +1

    Huyu.mzee ni pepo anatembea lakini ni pepo

  • @dorcasofficial1698
    @dorcasofficial1698 День назад

    Mutafute mitume wanguvu.

  • @lennyfrank
    @lennyfrank День назад

    Eeeh Mungu sikia kilio chetu mzimu ikose nguvu

  • @dorcasofficial1698
    @dorcasofficial1698 День назад

    Kwajina layesu

  • @faithnasimiyu7455
    @faithnasimiyu7455 День назад +2

    Huyu mama mkimshika aki story ya ooh bado tunampeleleza atuambie mambo penye watoto wako apana,watawauwa nyinyi wenywe,wamalizenitu

    • @SaidaAwour
      @SaidaAwour День назад +1

      Kabisaa mm ata hua wananiboo sna mamboyao ya kupeleleza

  • @OmanOman-y7z
    @OmanOman-y7z День назад

    Mmmm uwongo uwoo uwoo yani mtu afaliki alafu afufuluwe akuna kitu kama icho maigizo akuna binadamu abae anaweza kuludisha roho ya binadamu duniani abae alishafaliki 😂😂😂😂

  • @LinetMokeira-ro5uc
    @LinetMokeira-ro5uc День назад

    Uuuuii Jesus Christ

  • @PhilicianSaid
    @PhilicianSaid День назад

    Dangulo alikataa kuchoma Koti la huyu mzee ona sasa mambo yamechacha bt mungu yuko

  • @janetmwale6127
    @janetmwale6127 День назад

    Siamini kabisa

  • @PhilesOngono
    @PhilesOngono День назад

    Amos anashinda mganga wa mama shifuna

  • @NzulaElizabethn
    @NzulaElizabethn День назад

    Hao watu wanapaa wamarinze wote

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 День назад

    Mungu wangu siushukishe gurunet uwapoteze Hawa watu

  • @Nambengele
    @Nambengele День назад

    Hiyo kitu ya mkono ambayo amefungwa mkononi ndoh ina nguvu but we believe in God

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m День назад

    Sisi tuko namungu sio wachawa kabsa

  • @eunicengonyo7301
    @eunicengonyo7301 День назад

    Mkona mababu pia ,mkona mitume shida ni gani hapa si muwaambie mitume wawasaidie kuwamaliza hawa watu na Watoto wakawe na amani jameni, ss huyu anafufua wafu si ni mkufi pia ,who does this😢😢😢

  • @milliamkeydi3863
    @milliamkeydi3863 День назад

    C wafufue pia late Otuoma🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

    • @NofelaJaco
      @NofelaJaco День назад

      Sasa hawa na otuoma ni wapi na wapi😂

  • @lionessnice7212
    @lionessnice7212 День назад

    Ama uyu Amos ni mkufi pia😢😢

  • @marionnanjala1806
    @marionnanjala1806 День назад

    Hapo mahali inafaa muende mchome

  • @SaidaAwour
    @SaidaAwour День назад

    Tafteni io kitu mtoe apotee kabisaa ambieni babu sebo

  • @PhilesOngono
    @PhilesOngono День назад

    Huyu mzee alizaliwa na binadamu wa kawaida kweli

  • @MichaelHakme
    @MichaelHakme День назад

    Hawa wanaosema wamewafufua walisha kufa lakini wameleta majini yakavaamili ya waliokufa emwenyezi mungu saaidia watoto wetu wewe ndoulie baki mtetezi wetu

  • @tabithawaweru-jz2cm
    @tabithawaweru-jz2cm День назад

    wah sasa hii ni nini

  • @aishaaisha4549
    @aishaaisha4549 20 часов назад

    Uyu mwanamke anafaa auliwe hata hana imani

  • @cynthiaburundi5116
    @cynthiaburundi5116 День назад

    Muguyupo. A ride. Timu. Yadaguo. Awapeguvu. Camusigi. Mawombi. Mukimushika. Mumuvuwehizoguwo.nabiato. Mucom

  • @marionnanjala1806
    @marionnanjala1806 День назад

    Babu sebo haezi tumalizia huyu Amos

  • @beckymaria2125
    @beckymaria2125 День назад +2

    Mtu akikufa mwili uuza hata kama angemfufua hangetumia hiyo mwili angetumia mwili ya mtu ako hai hapa ndio nimeamini hizi tu ni nigerian movie's brought to kenya and act as real🤣🤣🤣🤣🤣

    • @doreenjepkemei6101
      @doreenjepkemei6101 День назад

      😂😂😂😂😂

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi День назад +1

      😂😂😂😂😂 hap sasa umesem movie hasa hiz tena amefufuliw mzim kabisa hii hapan

  • @NofelaJaco
    @NofelaJaco День назад

    Huyu mzee na binti yake wasinya 😢

  • @MichelTresor
    @MichelTresor День назад

    Awa siyo binadamu ni pepo zinavaa sura za wale mulijuwa.
    Vita inakuwa ya kiroho