Je ulikuwa unajua kama ukipata laki 3 unaweza kuanza kujenga nyumba kama hii ?
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Hata kama una laki 3 unaweza kuanza kujenga nyumba na kupangisha tazama hii video ujifunze utafanyaje. kumbuka kusubscribe na kushare wazo hili liwasaidie watu wengi hasa wafanyakazi ambao kujenga nyumba kwao ni mpaka miaka iende sana au wastafu.
Busara nzuri kaka. Ahsante
Nimependa sanaa idia hii. Asante sana kwa kazi nzuri
Asante kk kwa ushauri mzuri tutaendelea kuangalia vipindi vyako ili nasisi tuwe na kwetu
Asant sana kak nimekupend bureushauri wako nimekubali.nilikuwa nawazo launziumeondoa hofu
Ahsante kwa aidia nzuri
kwa kweli nimewapenda sana mnaushauri mzuri sana kwa ss watu wa chini
Asante sana kaka u mwalim mzuli
Asnt San brother kwa ushaur mzur ❤️
Umejua kunifurahisha
Habari za kazi kaka
Akiongea hivi ni kama rahisi ...ingia sight sasa
😂😂😂😂
Usitishewatu kumilikigali ndiomziki sionyumba
Asante sana bro God bless you
Safi sana mimi naanza
Mungu akubariki sana umekuwa mkweli
Daaah!Asante sana umenizindua kwa kwel
Unapatikana wapi kaka
Kaka naomba namba yako niko omani unisaidie kwakweli ila sina msimamizi watoto wangu wadogo
@@janetj2061 nitafute WhatsApp 0620827531 pia jitambulishe kama from oman
Nimekupenda bule,, nitakutafuta kaka asante kwa ushauri mzuri
Nimependa, asante sana kaka.
asante sana kaka wengi wetu tunafikilia kua kujenga nyumba hadi uwe na kazi kubwa sana
Unapatikana wapi tafadhali nijibu tuyajenge yakimaendeleo nimependa mkakati wako ok ahsantee.!
Good
Kweli kabisa
Asanteee kaka mimi nitakutafta kwa mazungumuzo zaidi
WhatsApp 0652428852
Akhsante nimekuelewa sana ndugu
Daa kaka Asante.
Laki 3 labda kama fundi ni babaako
Good plane
Nimeona nimelewa nimependa Planning ni nzur. Kwa pa1 2naweza
Mashaa Allah
Unapatikana wapi fundi upo mwanza au wapi
Asante kk kwa kutuvumbuwa
Hizi ndio TV online tunazozitaka nimeshasubscribe
Kwakweli
😂😂😂😂
Asante sana
Kazi yako ni njema sana kwa mtu mwenye kipato kidogo ,ushauri mzuri Barikiwa sana,sasa nitakupataje? naomba namba zako
WhatsApp 0652428852
@@MilioneaTv asante
Inamana kaka m3 unaweza kujenga nakumaliza?nijibu plz
Ok
Nitakutafuta kaka
Acheni uongo jamani
Tofali ngapi hapa zinatumika
❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏
Asant kaka tushindwe sis tu
Shukraan!!
Anadanganya mln 3 huweI.kujenga chunba.na sebule kwa.mln.3 hatanchunba 1 hakiishi
Duh hivi Kweli inawezekana m2 na mimi nijiite mwenye nyumba 🤔😳
Oy
Mln.3 ichanganue
Mawasiliano tunaomba
Nitafute ninakazi ya ujenzi kubwa uje na Romania 2 bedrooms
Axante kwa ushaul wako mzur ninejifunza kit
Kaka unapatikana wapi
Whatsapp +255756878929
Nmekupend kaka ang naomba ushaur kuhusu nyumban ya bat 40
WhatsApp 0652428852
Naomba namba yako kaka
Nicheki WhatsApp 0756878929
Namba yko tunaipataje?
WhatsApp 0652428852
Hivi ni kweli? Mil 3 nyumba inaisha kila kitu? Fafanua tafdhali
Inategemeana na sehemu ulipo
@@MilioneaTv Ni kweli
Ila kwa milion 3 hapana hakiishi labda boma litaisha lakini shida inakuja kwenye kingereza
@@shangazshangaz4222 kama kiwanja umeshanunua inatoshs
Nambaako
Oy namba Yako please
WhatsApp 0652428852
Bro nip namb yak
Naitaji number ya muusika ili tufanye biashara
Whatsapp 0652428852
Daaah!Asante sana umenizindua kwa kwel