Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Sasa ameumbwa akiwa mwanadamu na amekufa akiwa paka sijui atamweleza nini mungu😢😢
Tuombe mwisho mwema maana dunia inatudanganya
Mshahara wa dhambi ni mauti unamkosoa mungu uumbaji wake du😢😢😢😢
paka wote wana kikao Leo jioni kujua wanasafirisha au wanazika uko uko wengine waende kuhudhuria😂😂😂😂
Ngoja akutane na mungu sasa
😂😂😂
Akapambane na mwenye Mal yake Sasa.
Kashakutana nae
Mungu with capital M
Mwache aende na awalike mapaka wenzie yote
Mhh mungu hatoshi..pesa lnatufanya tunasahau tulipotoka.. Jaman dunia lnadanganya..ss anapata cha moto
Aya tutawataalifu paka wenzake waje wamzike maana ameona MUNGU alimkosea kumuumba binadamu akaamua awe na mfanano na paka alisikia wapi paka anaishi umri sawa na binadamu hao ndo wanatuletea mabalaa na mikosi Duniani
😂😂😂😂😂😂haki.jaman binadamu.wanamaneno😂😂😂😢
😂😂😂😂😂😂😂 Haki...watanzania
😂😂😂😂😂😂😂astghafirullah aaah umenichekesha wallah 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂Kumbe paka wana sura nzr kuliko binaadam na hamsemi 😂😂😂
Hakuna sajari inatoachag mtu salama jamn
🤔 am speechless 🙊
Tutafte pesa lkn tuzitumie vizur
shetani amejisogezea mutu wake.😢
Haya itakuwaje sasa na teyari kajibadilisha sura sasa mungu atajua paka mtu jamaniii 😢😢 mungu atunusuru kwa hili😢
Wallah mungu atunusuru na tamaa ya Dunia🤲
Mungu anajua viumbe vyake wote alio waumba ata angejigeuza nguruwe basi angejulikana tuu
Kazaliwa binadamu anarud mavumbini akiwa paka mweupe shetani mwenyewe anamkamkana
Aaaaahhhh nikajua sajari ukifanya hufi😂😂😂😂
Uyo km nindugu yangu siwezi ku mzika 😢😢😅😅😅😅😅
Duh! Naogopa 😶🌫️
Tena paka shume au tuliite paka jambazi life kuku wa watu wapone😢
Kwisha habar zake......
84 ni mrembo
🙏🏽🙏🏽🤲🕊️
R.I.P nyau
Ile kuwa uyaone ndo haya sasa, na siyo magorofa marefu.
Huyu paka alikiwa na mchumba jmn😂😂😂
😢😢😢😢😢😢😢
Panya lazima wafanye sherehe paka mkubwa kafa😂😂😂😂
😂😂😂😂Astaghfurullah
Pumzika kwa amani bibi
Kwanza hata hvo alichelewa kufa
Apumzike kwa amanii
Hakuna amani ni moto wa mawe
@@YamunguMatamya😅😅😅
Amani ipi tena kwauyu
Amenisikitisha nilikua namfutilia Maisha yke
ok
Punnzika Kwa amani paka MUNGU awatie nguvu paka wote Kwa kuondokewa na Paka mwezao
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Duh 😂😂😂😂😂😂
😅😅😅
😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Damn 😅😅
Hawa wakitwaliwa hakuna tatizo, mbali na kumdhihaki Mungu pia wanawatisha watoto wetu mtaani. Mtu paka ni kitu kingine
😂😂😂😂😂
Sasa mume wake atafute paka shume mwengine.
😂😂😂😂😂😂
Niaaauuuuu niaaauuu naria
Aende kwa shetani wake uyo freemason
Kumbe paka poa tu
Hahaha 😂 aende Sasa akaonane na paka wenzake hahaha 😂🤣 paka mkubwa 😅
Watu tunatafuta pesa ya kula wengine ya kujibsdili
84 na bado anamchumba
Yaaaani inashangaza kwakweli
Ndio maana paka wangu nyumbani hapa nyumbani alikua Ana huzuni kumbe kafiwa.
Daah ninyi watanzania 😂😂😂😂😂nimecheka kwa saut haki
😂😂😂😂😂 dahhhh
Jamani pesa wewe mpaka mpaswaji ya kufanana na paka
WAJINGA NDOWALIWAO SIKUZOTE 😂😅
Watu Wana heka heka sana
huyu azikwe na mapaka wenzake..yani unaacha ndoa unakua mzinzi
Kufa mara nyingi mbwa wewe
Hell is real
Sasa itakuwaje paka Wangu atacheza na nani 😏☹️
😢😢😢😢😢