Your so hardworking but the job is not for the fainthearted Kwanza hapo kwa mapupu🤔😮lakini naweza fanya nikipata watu poa not those who are mentally disturbed weh!
Happa New Jersey ni ngumu I don't know hizo state zingine .kama uko na WA kukushikia watoto but huyo mtu bado utamlipa ..amazing you apply msaanda wa states
@@missriungu na mbecha iu itiandikwa Ii chia kuthambia tujuju matina. Ni pesa legitimately earned😅 I can't wait to do it and earn those dollars. We must bring change to ourselves and our families
Penina you are so honest and unasema kenye iko kwa ground. But iyo choma nilizoea spinal injury nikiwa attachment. Good content, 💯
Thanks girl pole kwa injury ..hope you are OK now ..❤
I never had an injury rather I was on attachment in that facility
@@geneviveakech4499 ooh may God bless us its not easy
I just love your honesty hiyo kazi nipewe kama sai naifanya 24 hrs
Thanks 😊 🫂 🙏 siku itafika tu
Haha kwenda huko Riungu, this is the funniest clips of yours i have ever watch, ati bubu inanukia myama choma
Hahaah😂😂😂
From this story its true you're hardworking and also you love your job soo much🎉
Keep going
So much and thanks alot 🙏 love ❤️
I watched one of your videos and instantly subscribed.
Thanks so much ❤❤
Wakenya na pesa mavi ni keki tu. Good gal❤❤❤
Hapo kwa choma nimejikuta nikicheka sana.
You deserve more subscriber's gal..keep up
❤❤❤thanks ❤
i love your honesty
Thanks denis ❤️ 😍
Thank you for being open
I like the way she described it 😂😂😅😅
🥰🥰
The choma part 😂😂😂
Wacha tu 🤣🤣🤣
😅wacha tu
Na ukipelekwa Group Home....who pays the bills.
Bills za group home zinalipwa na the owner of the home 🥰
@@missriungu then ni poa
What a story ,if I may call it.waiting for p3
Loading darling and thanks haki for always being here 😘 may God bless you so much 🙏 😊 ❤️
So true… the same happens in UK.
Ooh woow 😍 😳
You earned yourself a new subscriber gal all the way from Meru 🤝🤝.
Congratulations.
See you soon am coming
Thanks so much bro may your dreams come true..Kam tuchape job 😘
@@missriungu AMEN AMEN sissy...
Together we rise ❤️
Just watching....leo sinaa maoni.
🥰🥰
Nimecheka yangu yote Penina Asante kua real
Atleast hv made your day 😆 😂 😆
Wow great job.
Connection sasa mimi naweza
Haki I wish ❤️ 😍
Thank you for your honesty. May God continue to bless you and grow your channel
Amen 🙏
Thanks for preparing us
Karibu girl 🥰
Great information! Part three ni lini? 😅
Kesho ❤
Tuambie venye ulifika hapo uas, na sisi tuanze safari ya kucome
Kuna videos nimefanya from house girl to USA 🇺🇸
Beninah, sasa utafanya she ndio unbalance ,just in case kufanyike ivyo.kulingana na training mlipewa?
Sijakuelewa
Pesa ilikuwa tamu hadi pupu ika nukia kama choma nime isha 😂😂😂😂😂😂😂
Na unaweza connect mtu na hiyo job kindly
Ukiwa Kenya haki ni ngumu ..sweetheart. mpaka tu ukuwe hapa
Hello dear, bado unafanya hio job??? Am in kenya, hv a passport. Aki kendi kindly help.
HEY DO WE HAVE CLASSES FOR CAREGIVER JOBS. THANKS FOR BEING HONEST WITH YOUR INFO
Yes hapa ziko
@@missriungu I Appreciate your kind response will be coming to the States in December
@@kuttomoses so much welcome 🙏
Hi girl am salonist hapa Kenya is there need to do another job there incase nicome uko
Haki noo you be richer than even doctors hapa ..kushuka hapa ikon na pesa mom Sana braids ni 20k hata 30k sometimes 15k pesa ya chini kama lines 🥰
How long have you been in the US?
Your so hardworking but the job is not for the fainthearted Kwanza hapo kwa mapupu🤔😮lakini naweza fanya nikipata watu poa not those who are mentally disturbed weh!
Hahaha 😆 😂
Surely, choma,,,
If I may ask can a single parent with children manage bills with this kind of job
Happa New Jersey ni ngumu I don't know hizo state zingine .kama uko na WA kukushikia watoto but huyo mtu bado utamlipa ..amazing you apply msaanda wa states
Zinanukia choma😂😂😂
Hey hio ya kukua na girlfriend or boyfriend imenishtua na hawako sawa
🤣🤣
Mimi hapo kwa kunyongwa imebidi nicheke
😄 🤣 😂
Pls can you pls add little more English so that we from other countries will benefit.
OK will try Dia thanks so much 🙏 for watching ❤
😂😂ati zinanukia kama choma.. there's no bigger motivation than money..unaona pesa unalipwa unasema wacha niifanye hata siku mzima
Harafu ni jasho yako
@@missriungu na mbecha iu itiandikwa Ii chia kuthambia tujuju matina. Ni pesa legitimately earned😅 I can't wait to do it and earn those dollars. We must bring change to ourselves and our families
thanks gal
Karibu 🥰
How easy can one get there n do the job
Hadi choma ikaingilia hapo waah😅😅😅😅😅
Pesa 🤣🤣
🤣🤣🤣
what states can someone who comes from weather ya meru imenti anaeza adapt easly uko majuu?
New Jersey sio mbaya darling ♥️
@@missriungu what other states coz dreams are valid and am hoping some day to come over there?
@@nnellisah Texas, hizo zingine sijawahi endo haki
@@missriungu thanks
😂😂😂😂kama choma tena woooiye
Kabisa😂
Weh
😂😂
Kendi 😂😂😂
😂😂😂ATI choma
Eeh just ya pesa❤
Hey sasa,how much do you earn per hour
It's depend saii wanalipa up to $24
Ati choma😂😂😂😂
😂😂 just ya pesa😅😅
🙏🙏🙏🙏❤️
Mtu at apply aje job kaa hiyo yako ya kupakunguza pupu bora dolla
Nitafanya video ya hio 🤩
🤣🤣🤣🤮🤮😭🤦🏿♀️ ata kama ni pesa no prisss
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 nukia kama CHOMA
Kabisa 😂