Zuchu - Tunampenda (Official Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 мар 2022
  • Get #IamZuchu EP Now 👇🏼
    zuchu.lnk.to/iamzuchu
    For Bookings:
    Contacts -- zuchu@wcbwasafi.com
    Connect With Zuchu On:
    Instagram: / officialzuchu
    Facebook: / officialzuchu
    Twitter: / officialzuchu
    #Zuchu #Mwambieni #Wasafi
    Copyright ©2022 WCB Wasafi. All rights reserved.
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 470

  • @frank254tv3
    @frank254tv3 2 года назад +71

    If you Tanzania's know how we love you..likes za wakenya 🇰🇪 zikam

    • @isaachayes9783
      @isaachayes9783 2 года назад +1

      Truth is, twapendana cos sisi ndio nchi pekee ambazo tuna share a lot in common than any other

    • @janeshigami8769
      @janeshigami8769 2 года назад +2

      True.....am a Kenyan 🇰🇪 too 🙏

    • @chainampinga2198
      @chainampinga2198 2 года назад

      Hapo hamna kitu nyimbo ilikuwa Ile tu

  • @ink.merci-bphologolojnr8821
    @ink.merci-bphologolojnr8821 2 года назад +6

    Nakupenda sana Zuchu. #that bongo is contagious.
    Makofi mengi! makofi mengi!

  • @user-cg4jw4si8z
    @user-cg4jw4si8z 2 месяца назад +2

    Zuchu una kula nini namiye unipe nijuwe imba ivi dada ❤❤❤❤

  • @naymadaniel3361
    @naymadaniel3361 2 года назад +9

    Zuchu anaupiga mwingi❤️❤️

  • @christianmbappe8900
    @christianmbappe8900 2 года назад +43

    This is a masterpiece from the Queen of Bongo herself....Zuuuuuu!!!

    • @bill2k908
      @bill2k908 2 года назад +1

      Queen wa bongo TZ ni #Nandy the African princess Zuchu anafuata

  • @murugijane6265
    @murugijane6265 2 года назад +3

    Zuchu naomba niimbe hii wimbo wako hapa Kenya 🇰🇪

  • @Azul-lg9bj
    @Azul-lg9bj 19 дней назад +1

    Heh zuchu,,, wish one day ntafika hapo ulipo.

  • @SHOMEYPHONESERVICES
    @SHOMEYPHONESERVICES 2 года назад +8

    Saf sana nakukubal sana dada yetu unajitahid sana kuruwakilisha Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @omarijoshua272
    @omarijoshua272 2 года назад +24

    Great work Zuchu, Kenyans love's you so much 🇰🇪🇰🇪

  • @Swabra.
    @Swabra. 2 года назад +14

    The TANZANIA YA SASA SONG is on a different level..but I mean it's ZUCHU 👑I love this one too

  • @KOSIRAImelodies254kenya
    @KOSIRAImelodies254kenya 2 года назад +21

    She got a talent 🥰🥰 I love you zuchu 😍

  • @ramadhanally5398
    @ramadhanally5398 2 года назад +2

    Oficialzuchu wa moto

  • @joghindahsingh8420
    @joghindahsingh8420 2 года назад +1

    Magufuli was the real nigga Mwenyezi Mungu ailaze pahala palipo na wema peponi Ameeen🤲🤲🤲

  • @sofayakenya6727
    @sofayakenya6727 2 года назад +24

    MAMA YETU SAMIA, WE LOVE YOU FROM 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🏼🙏🏼

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 года назад +3

    Aiiiii wcb for lifeee💃💃💃💃💃💃💃

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Год назад +2

    Najivunia kuwa Mtanzania, kazi nzuri saaana

  • @donzellcooper
    @donzellcooper 2 года назад +1

    This song from zuchu is a good. The president from there good job.

  • @bukuruaisha8190
    @bukuruaisha8190 2 года назад +1

    Zuchu you do good Mashallah

  • @LorinekabarakaLorinekabaraka
    @LorinekabarakaLorinekabaraka 3 месяца назад +1

    I really love Tanzania ❤️❤️❤️😄😄🥰🥰😘

  • @joookahjokah8430
    @joookahjokah8430 2 года назад +3

    Mama samia twamoenda❤💪🏾 we zuchu weee💞😘✌

  • @JJ_Media2024
    @JJ_Media2024 2 года назад +10

    The good thing about zuchu, she knows what she does. Now she created an interactive song with her audience members of ccm

  • @NitiboyKE
    @NitiboyKE 2 года назад +3

    Hata nawe tunakupenda ZUCHU🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪KENYA WAPI UPENDO WA ZUCHU❤️❤️❤️

  • @leeuvenlucas2169
    @leeuvenlucas2169 2 года назад +4

    This lady is talented ❤️❤️ bana wapi likes zake💯🔥🔥🔥🔥

  • @anthonykatalaia1809
    @anthonykatalaia1809 2 года назад

    Zuchu umetishaaaa hiyo ndo rahaa ya wcb nawapendasana wasafi

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 2 года назад +2

    Pokea salamu zangu kutoka New York, Marekani. Muziki poa sana.

  • @princeogwelofficial4682
    @princeogwelofficial4682 2 года назад +12

    Ever top in the game 💯🔥❤🎙 Queen of Wasafi 👌💖👑🙏✨

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 2 года назад +6

    Lugha ya Kiswahili ni tamu. Wimbo huu na sauti ya Zuchu iliyo laini na mwororo imenipa hisia za tabasamu na bashasha.

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 года назад +9

    Zuu 👸 of Wasafi 💕👌 Love from 🇸🇦🇸🇦🇸🇦

  • @mackojohn1961
    @mackojohn1961 2 года назад

    Wcb 4 life won't dissapoint

  • @bamuhigafidel1522
    @bamuhigafidel1522 2 года назад +2

    Wasaniii punguza unafiki

  • @bennostar3771
    @bennostar3771 2 года назад +5

    Uzalendoo daimaaa

  • @kingmoseskasman7765
    @kingmoseskasman7765 2 года назад +3

    Nasikiya sauti Kama ya diamond katu humu🥰👌

    • @ashrafrajabu6464
      @ashrafrajabu6464 2 года назад

      Mawazo yako kama yangu

    • @momomella9845
      @momomella9845 2 года назад

      @@ashrafrajabu6464 kapita mulele ujanja ujanja tu ndio mziki wa bongo ulivyo

  • @mombasainfinity
    @mombasainfinity 2 года назад +21

    ZUCHU NEVER DISAPPOINTS 💥💯

  • @vanytag1413
    @vanytag1413 2 года назад +10

    Kutwaa kumsifia anajisaau nakujisaau vi2 vinapanda bei kiholelaa amn ki2 anafanya wala maamuzi anayochuku bola angebaki mwambaa
    R.I.P. MAGUU #CHUMA💪💪

    • @fabstarmedia6268
      @fabstarmedia6268 2 года назад

      Si kwenu tu kaka.sisi pia si watanzania lakini liliathiri uchumi wa dunia.bei ni ivo kote.silaumu viongozi ila tuishe kutumainia maisha itarudi kama awali

    • @godlistenrocky4755
      @godlistenrocky4755 2 года назад +1

      Usimlaumu siyo yeye nikutoka na na vita ya uko Russia na Ukraine ndo inapelekea vitu kupandq being kwa kasi kutoakana na depression

    • @fabstarmedia6268
      @fabstarmedia6268 2 года назад

      @Godlisten rocky
      .
      😹😹😹polepole bro

    • @aisharevelian6933
      @aisharevelian6933 2 года назад +1

      @@godlistenrocky4755 we ndo huna akili kabisa...kwan hiyo vita c imeanza juzi2 hapa...vi2 vimepanda bei kitambo2 na hakuna tamko lolote

    • @godlistenrocky4755
      @godlistenrocky4755 2 года назад +1

      @@aisharevelian6933 lkn mbona kipindi hicho amlikua hamlalamiki sahv shida nn ndo manaaza lalamika kwa kasi stupid

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 2 года назад +20

    Zuchu hizi nyimbo zinamsahaulisha Raisi kubalance haki hebu siku moja mpakue kidogo asijisahau usimuogope hakusaidii kitu yule yy ni wa watu wote wabaya na wazuri wote wake.

  • @farajastanley3480
    @farajastanley3480 2 года назад +2

    Yeeeeh mm nimebahatika kua wakwanza kuview❤️

  • @rwahmahbbywabobi3055
    @rwahmahbbywabobi3055 2 года назад +9

    Tanzania Tunamumpenda ma'am thanks zuchu

  • @ashirievara8542
    @ashirievara8542 2 года назад +4

    Piga makofi piga makofi 👏🏻👏🏻

  • @souvenirweber7169
    @souvenirweber7169 2 года назад +11

    Love from Switzerland 💕 zuchu +Diamond ni shida.

    • @0GRANATE0
      @0GRANATE0 2 года назад

      I am swiss and now in Zanzibar.
      Love from Zanzibar :D

  • @zabiburamadhani354
    @zabiburamadhani354 2 года назад +4

    Zuchu unaweza mpk unaweza Tena🔥

  • @ellieellie1469
    @ellieellie1469 2 года назад +8

    the Queen of Bongoflava🔥🔥

  • @TheDynamizeBubune
    @TheDynamizeBubune 2 года назад +2

    Badoo very nice one🙏🎤🎹🎻🎸😍🇬🇭🇬🇭🇬🇭

  • @iannganga8775
    @iannganga8775 2 года назад +4

    Zuchu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🌝

  • @frankforeheads7240
    @frankforeheads7240 2 года назад +2

    Kitaani kila kitu kiko juuu kila kitu kiko juuu huwezi jua maisha ya watu wa huku kitaaaaa😂😂😂 we endelea kumpamba

  • @tinmaster8552
    @tinmaster8552 2 года назад +2

    Ni mama yetu pia huku kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 zuchu our queen huku kenya.

  • @mwayoyoabubakary1258
    @mwayoyoabubakary1258 2 года назад +21

    Zuchu never disappoints.....always on TOP

  • @diascookout8270
    @diascookout8270 2 года назад +1

    Ma"Sha"ALLAH 👌👌👌👌👌👌👌 Mama Samiya Powa Saaaana Zuchu Uko Juu Nawapenda Wa Tanzania ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwatsmrembo5585
    @mwatsmrembo5585 2 года назад +3

    Tanzania is going, just on top💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🇺🇬

  • @stizzoofficialmusic.9464
    @stizzoofficialmusic.9464 2 года назад +32

    Love from Rwanda Zuchu Always on the top🇷🇼

  • @meshackpeter9062
    @meshackpeter9062 2 года назад +12

    Ile TANZANIA YA SASA🎶, ilikuwa moto sana.

  • @alhajimgula4400
    @alhajimgula4400 2 года назад +5

    HAWAWEZI KUSHINDANA NAYE, HATA WAKIUNGANA😂😂✅✅👍🏾

  • @zahilinampapa2541
    @zahilinampapa2541 2 года назад +17

    Unapenda pek yako

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 года назад

      Kalazimisha hii nyimbo..lol

  • @Jicho_la_Mtafiti
    @Jicho_la_Mtafiti 3 месяца назад +3

    Samia mitano tena

  • @nyaksjunior4574
    @nyaksjunior4574 2 года назад +6

    The one of East Africa
    🙉👊👏👏

  • @estershilla1221
    @estershilla1221 2 года назад +1

    Nyimbo sio nzur Tunga nyingine Mamy Mimi nakupenda san

    • @fatmafaki6163
      @fatmafaki6163 2 года назад

      Tafautisha neno sio nzuri na neno siipendi kisha chagua la kiasi chako.

  • @vincentojiambo4947
    @vincentojiambo4947 2 года назад +1

    Wimbo unapendeza hadi nafikiria mamangu angekuwa uhai aki

    • @khadijaoman5474
      @khadijaoman5474 11 месяцев назад

      😢😢😢😢 kama mm jmn dahaaa 😢😢😢

  • @dannywika
    @dannywika 2 года назад +15

    Najua ipo siku nitajipata kwenye studio na Zuchu sure itakuwa 🔥🔥

  • @veryaloyce3874
    @veryaloyce3874 2 года назад +2

    Zuchu ♥️ ila sina chama

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 года назад

    Mama Samia is the best leader in Tanzania who have enough confidence compared with the previous one..
    If you dislike Samia Suluhu your not a human being , just your potential dead board

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 2 года назад +1

    Waooh👏👏👏👏😘

  • @musamahat747
    @musamahat747 2 года назад

    She was the fast woman become a president in east Africa I'm so excited God bless 🙏💕

  • @Swahili14
    @Swahili14 2 года назад +39

    Ok but nothing will ever beat *TANZANIA YASASA* VOCALLY and EMOTIONALLY 👍

  • @stellahmiles2369
    @stellahmiles2369 2 года назад +4

    Zuhura uyo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AliAbuu-pm7pg
    @AliAbuu-pm7pg 8 месяцев назад

    Oya zuchu nyimbo ndo Kama izi ila sio chapati hebu tuimbie nyimbo ya birthday

  • @rayanomar6565
    @rayanomar6565 2 года назад +1

    Tunampendaaaaaaaa samia

  • @kibetkoros8133
    @kibetkoros8133 2 года назад

    Congratulations 👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 2 года назад +2

    Wasiompenda mama wachimbe mashimo wajifukie! Waa!

  • @silvernayzer4107
    @silvernayzer4107 2 года назад +4

    JAMANI WAKWANZA KU LIKE #ZUCHU #SILVER NAYZER 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @nestor384
    @nestor384 2 года назад

    Tanzania ya sasa song ilikuwa na uhusiano, -kilichoimbwa na reality. Ila hii hapana haina uhalisia!

  • @pricysmart3577
    @pricysmart3577 2 года назад +2

    Huyu mama saivi ndiyoo namwelewa anaupiga mwingi sana

  • @kitoronto3151
    @kitoronto3151 2 года назад +2

    Talent haifichiki wcb4life

  • @alexmwalim9714
    @alexmwalim9714 2 года назад +2

    Zuchu ujawai niangusha I real love your song

  • @lennyfrost9906
    @lennyfrost9906 2 года назад +1

    Forst from Kenya 🤪

  • @shmaliklerboy2573
    @shmaliklerboy2573 2 года назад +2

    Much Love From Burundi 🇧🇮

  • @joelkahuya6719
    @joelkahuya6719 2 года назад +3

    Umeuwaaaaaaa🔥🔥

  • @barakabahati6600
    @barakabahati6600 2 года назад

    Hapo unatuangusha kwa kuimba nyimbo ya wengine

  • @tabithamuluki934
    @tabithamuluki934 2 года назад +1

    Nawapenda Tanzania 🇹🇿 ♥,from Kenya 🇰🇪 😍

  • @mojayowino9509
    @mojayowino9509 2 года назад

    Mama samia loved 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @nsubugahenry6583
    @nsubugahenry6583 2 года назад +10

    THIS VIDEO WAS A REAL BUFFET DEDICATED TO WINY DOLLO & JESCA ALUPO ,THANKS TO OUR GENERATION ABANYARWANDA BASIGALIRA .
    ALLAH BLESS CHEMICAL ALI

  • @nyamizimpangule8640
    @nyamizimpangule8640 2 года назад

    SEMA. Napenda siyo tunampenda ovyoooooooooo

  • @ditlindarutekiza1428
    @ditlindarutekiza1428 2 года назад +14

    ZUHURA THE TALENTED ONE♥️♥️♥️♥️

  • @tabithamungai2698
    @tabithamungai2698 2 года назад +1

    Go girl........you are Queen

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 2 года назад

    Boss wangu wee !

  • @fridahakinyi6093
    @fridahakinyi6093 2 года назад +4

    We love yu from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @petergirago5465
    @petergirago5465 2 года назад +1

    Hapo nmekupinga khabisaaaa I am team WCB

  • @negevmasmediamax6510
    @negevmasmediamax6510 2 года назад +1

    I like how Tanzanian artist love their leaders because thy have something thy can sing about them, in Kenya sometime it becomes difficult to get the content to make a song about our govt

  • @nurdin.mndeme3447
    @nurdin.mndeme3447 2 года назад +3

    zuchu 🥰

  • @Luvvfromelikxy
    @Luvvfromelikxy 2 года назад +18

    sending love from KENYA- african queen

  • @virginiamainga2500
    @virginiamainga2500 2 года назад +7

    Much love from Kenya

  • @owenmusembi6402
    @owenmusembi6402 2 года назад +3

    Lots of love from Kenya 🇰🇪always ranked 1 Mob love😘💓

  • @felishonde113
    @felishonde113 2 года назад

    Unajua shemeji yetu

  • @efrahimmahenge5305
    @efrahimmahenge5305 2 года назад +2

    Usiweke wingi

  • @phelgonaamondi7251
    @phelgonaamondi7251 2 года назад +5

    Woooooww this girl can sing... Mama is proud to have Zuuh as a citizen

  • @mutebijovan5251
    @mutebijovan5251 2 года назад +2

    First to listen and listening am in Uganda thanks zuchu love your music

  • @thekingdomlegacy231
    @thekingdomlegacy231 2 года назад

    Phenomenal lady president.

  • @bill2k908
    @bill2k908 2 года назад +1

    Sio kali hii wimbo

  • @meldaonyango7304
    @meldaonyango7304 2 года назад +1

    Zuhura wow I love your voice .

  • @Farfromweak251
    @Farfromweak251 2 года назад +2

    This is amazing 🔥🔥🔥🔥🔥zuchu hakuna kama wewe

  • @siloomar7699
    @siloomar7699 2 года назад +3

    Bado twampenda..huyu mom

  • @Ceoblesingschanel348
    @Ceoblesingschanel348 2 года назад +1

    Hatare💥💥💥💥💖