WAMBOI AMEANZA KIHEREHERE❗SENIOR DAVE AMESEMA AMEROGWA😎PST NANCY HAYUKO MISSION ❌ DUDHI CAMERA MAN🤣

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 дек 2024

Комментарии •

  • @nancykirui1434
    @nancykirui1434 День назад +19

    Good observation and l wish you DCI Fred tell him to handover this case to protect his job

  • @EdinahMogire-d4w
    @EdinahMogire-d4w День назад +16

    Exactly mum unasema ukweli wambo ameanza kiherehere anajiona sukari sana na kisingu feck

  • @RAZIZATUTI
    @RAZIZATUTI День назад +21

    That's why I love you swht, unapenda ukweli

  • @julietnelima3253
    @julietnelima3253 День назад +21

    HERI FREDDY AONDOKEE HAKI ISIMUKOST, BUT THEY ARE NOT TELLING FREDDY THAT JUNIOR IS AN ILLUMINATI AGENT 😢😢WANATAKA FREDDY AINGIE KWA SHIDA.

    • @JulianaNdeto
      @JulianaNdeto День назад +2

      We bella alimwambia mpaka akasema watafute pastor

  • @eniquewilliam4073
    @eniquewilliam4073 23 часа назад +5

    Thanks for this...I was wondering how fast senior has recovered until anaenda party....I also wondered how fast champee got healed.. ANYWAY I HADN'T EVER BELEAVED ALL THIS THINGS...I ALWAYS TAKE THEM AS ACTING

  • @kerrymmsammy
    @kerrymmsammy День назад +6

    Thank you malaika for exposure.its very sad watu kutuchezea akili.we need answers from senior & jay

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 День назад +11

    Nando unasikianga watu wakisema wana penda michango 😮😮Wana fanya vipindi😢😢samahani kusema hivio but nime sikia na watu wengi🙆‍♂️🙄😪

  • @tabithawaweru-jz2cm
    @tabithawaweru-jz2cm День назад +19

    kutoka huyo msichana akuje kwa senior d nilikosa intreste ya kuwatch coz niliona ako na kiherehere toka mwanzo

    • @lizbethnkarara
      @lizbethnkarara День назад

      Me too i dont watch anymore lishaa unsubscribed, her presence irritates me. how can she break anita's mariage then ajifanya comander kwa office. wambo ni wangole project. am following anita now.

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d День назад +1

      ​@lizbethnkarara alibreak how? Mbona mnamsingizia huyu bint? Mwanamke mpumbavu huvunja boma yake kwa mikono yake mwenyewe ndio huyo Anita

    • @KalalaErick-n7d
      @KalalaErick-n7d 23 часа назад

      Wamboi anakiherehere sana anajifaya anajuwa kizungu sana anaongea sana bilakujikotro@@lizbethnkarara

    • @KalalaErick-n7d
      @KalalaErick-n7d 23 часа назад

      Msichana anajifanya amemiliki studio yawezekana ni yeye amearibu boma ya anita

    • @victoryisours
      @victoryisours 21 час назад +1

      Tangu acome kwa studio Watu wanawatch sana kuliko before

  • @HildaWainaina-n2e
    @HildaWainaina-n2e День назад +8

    Leo Malkia u nailed it😂😂cheers🤜🤛

  • @Sarah-d7o1y
    @Sarah-d7o1y День назад +21

    Tulimutusi Anita but hizi vitu Anita alisema ukweli kabisa😅😅😅

    • @aggie234
      @aggie234 День назад

      walahi kuna kaukweli how can a man kidnapped almost a week without food....anakuja tu na kuingia msituni in the name of kutafuta mtu alone how...aje sasa

    • @marymutavi
      @marymutavi День назад +1

      ​@@aggie234Dave alikua anapewa food asalishe wasichans kwa yule mama gaidi ,kwa mto alipelekwa after kufuatuliwa ndio wakampeleka msituni

    • @sositenaeddie
      @sositenaeddie День назад

      ​@@aggie234😂😂😂😂😂

    • @gfgfg5629
      @gfgfg5629 День назад +2

      Ndio maana anita aliondokea ujinga

    • @mercymwangi8839
      @mercymwangi8839 День назад +1

      Wewe mko na Annita tulia huko huyo niwa wanguli

  • @felistasgitau-nb4zg
    @felistasgitau-nb4zg День назад +2

    I am happy Malaika you have realised this. For most of us we realised this long time ago but for you because you loved SD so much, you could not see. Good your eyes are now opened but I am sure umenyonwa hela, kabisa

  • @TanaguzaJohnBosco-ri6rk
    @TanaguzaJohnBosco-ri6rk 20 часов назад +1

    Asante sana kwa analysis Yako much love from Uganda 🇺🇬

  • @shirlincandy550
    @shirlincandy550 День назад +3

    Much love malaika watching from kampala Uganda 🇺🇬

  • @rosendungu8365
    @rosendungu8365 День назад +3

    That's why I salute you,you're really talking the whole truth 💯 👏 wambo is now trying to command dci muceneneco muingikama kasuku.

  • @BeatriceNyaboke-m6s
    @BeatriceNyaboke-m6s День назад +7

    Dci please to leave those people sasa sababu wenyewe hawajihurumii

  • @verowag8042
    @verowag8042 День назад +14

    Maraika how are you doing? Please let DCI know more about Junior and Governor tell him those people is illuminati we don’t want him to go back where he was and also we don’t want him to lose his job. Please i’m your funny am watching you from Washington❤

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  День назад +2

      This people they want him to entire into fire.😢this is not police case its spiritual

    • @marywanjikukaranja1439
      @marywanjikukaranja1439 День назад +1

      True as i was listening I didn't hear like bella fully explained to DCI clearly..we don't want him to start fighting demons that only requires a pastor..this is spiritual battle.

    • @FaithMuia-f3k
      @FaithMuia-f3k День назад +2

      Malaika call DCI once ataanza kutafta illuminati pole will not end well ata wanaeza mfanyia smithing fishy so we all know tricky za jay anapenda sana kufanya content za uongo like alidanganya Bella amekidnapiwa akiwa na bol of which ilijulikana was all not true na alipata doh mob sana from that content ....sasa amefunza Dave

    • @JoyceWanjiru-wv6ib
      @JoyceWanjiru-wv6ib День назад

      Bella ni hypocrate mwingine,hajaambia fred junior ni devil ,kwanza alinikashirisha eti mwanamke mzima analala kwa kipanda

    • @Ashinagaltoto7876
      @Ashinagaltoto7876 День назад

      ​@MalaikaKNorway True..

  • @ishyjuma2246
    @ishyjuma2246 День назад +8

    Malaika plz mpigie Dci direct aachane na hii mambo

  • @lilianShiro-k9z
    @lilianShiro-k9z День назад +6

    Mamaa Leo kizungu yako iko juu Sana mamii wow endelea hivyo hivyo wow.save our friend dci Fred awachane nao sasa they are safe watembee peke yao sasa

    • @marymutavi
      @marymutavi День назад

      Na Anitah alisema Fred si dci

  • @everlineeverlinewamalwa243
    @everlineeverlinewamalwa243 День назад +9

    Kabisa DCI Fred aondokee hiyo mission,asipoteze kazi yake

    • @divinahmachuka1859
      @divinahmachuka1859 День назад +1

      Imagine na nilisema first video 😢😢😢😢😢

  • @rubenkioko6500
    @rubenkioko6500 День назад +6

    Mwenye Ako Kwa mataa ni Fred...hajui what's happening

  • @NjokiEsther-t4t
    @NjokiEsther-t4t День назад +8

    Mwenye na hurumia ni Fred

  • @AishaTyler-q6d
    @AishaTyler-q6d День назад +10

    Mimi ata nilishangaa wakati champee niliona amefungwa mapadenji kila mahali,, after one day ashatoa eti amepona,, nilishangaa mtu mwenye ameuma kweli anaeza pona n siku moja 🤣 isitoshe champee alisema Dave alipigwa jiwe ya kichwa kichaka yote ikanuka damu 😁 Dave mwenyewe ata ana alama yoyote kwa kichwa 😩 wasema tu Dave alikuwa n maleria coz anakaa mgonjwa ndo wakapanga wafanye hayo yote ili wapate hela ya kujienjoy nayo ,,,,, kama wanataka hela wasema kuliko kufanya nonsense coz mambo yao yamechosha kabisa

    • @BintiDanford
      @BintiDanford День назад +1

      Pastor elija alisema Dave kaumizwa sana mguu mmoja Cha ajabu sijaona hata uvimbe wala kuchechemea atakuwa alitibiwa Kwa kichaka tutaona mengi Kwa hii dunia😅

    • @AishaTyler-q6d
      @AishaTyler-q6d День назад

      @BintiDanford kuna mchezo hapo aiseee🤣🤣

    • @FaithMuia-f3k
      @FaithMuia-f3k 22 часа назад +1

      Kabisaa script ata champee akitoa bandage hakuna vidonda wala Alana ...pia Dave kidonda ya kichwa hakuna ata Alama jameni waombe pesa tu.bila uongo.....

    • @AishaTyler-q6d
      @AishaTyler-q6d 21 час назад

      @FaithMuia-f3k ushasema daa

    • @StephanieBeth-k4l
      @StephanieBeth-k4l 58 минут назад

      Anita asema ukweri kamtukana

  • @franciskagecha4740
    @franciskagecha4740 День назад +7

    Its very true.its a poorly condinated scrip.fund raising loading but they will be shocked this time

  • @annekinyua7374
    @annekinyua7374 День назад +5

    Waaah you people should also connect the dots...ata bella alikua kidnapped last year akiwa na bol😂..if you know you know... otherwise merry Christmas

  • @tabithawambua9310
    @tabithawambua9310 День назад +9

    Pia DCI anajua they are acting, so he is part of it

  • @kamoingannah9226
    @kamoingannah9226 День назад +28

    Wamboi has no moral authority in this office. First of all Wamboi has a case. Mtoto alipona? And what happened to the Kdf man? How did Wsmnoi end up working for senior Dave? She spoiled her matrimonial home alafu anakuja kuhabu kwa Dave?

    • @Diana-xp8yl
      @Diana-xp8yl День назад +9

      Exactly,,kwansa wenye wanasema Dave amuoe wambo ni sawa but kidogo Dave ataanza kulia tena

    • @FaithMuia-f3k
      @FaithMuia-f3k День назад +2

      True uyu wambo tunajua story yake na venue alikua ameejwa poa na kdf wake ...alikua na mtoi adi gari bt she ashamed him sasa ndio mnaonanga akiwa mzuri sana baadae mtakuja kumjua ni nyoka

    • @EstherOpechu-Hill
      @EstherOpechu-Hill День назад +9

      She said they were acting with her cousin brother.

    • @kamoingannah9226
      @kamoingannah9226 День назад +2

      All these people are not trained in handling either journalism or crime except dci. They need to know when to keep quiet, when to talk and where. You can't fight with criminals or talk back at them. Only professionals know how to handle them. There is something wrong with all these peole except dci

    • @NellyAfune
      @NellyAfune День назад +4

      Very gud. Even l wonder how she came in that house na anawacha mtoto akiungua ety daktari alikuwa anamwaga ndani. Hata yeye ni muuaji. How can you eliminate your husband. Nkt

  • @BintiDanford
    @BintiDanford День назад +6

    Leo nimekupenda malaika wew ni msema kweli ❤

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  День назад +1

      Asante❤ lazima tuseme iwaingie 😂

    • @Shiimwass-254
      @Shiimwass-254 День назад

      Ukweri alisema watoi wako Na mother ln low.​@@MalaikaKNorway

    • @Shiimwass-254
      @Shiimwass-254 День назад

      Mwisho Wa hii mambo yote Ni pesa wanataka.....alafu Bella alisema hawana pesa ata nyumba hawajalipa !Gari ilikuwa ngaragi pesa imetota wapi😂😂watu wakushaga Kaa lada😂😂😂

    • @gfgfg5629
      @gfgfg5629 День назад

      Na viatu alipeka wapi na shirt ya green,yuko na T-shirt na slippers

  • @JoyceMitei-x5o
    @JoyceMitei-x5o День назад +2

    Thanks Malaika, kwa kuoma hivyo hii ni Kipindi.

  • @FaithMuia-f3k
    @FaithMuia-f3k День назад +5

    True mi adi nlisjangaa na hii hosi mtu anapelekwa akiwa maututi.kukaa kwa maji 6days alf akipelekwa hosi.anatoka na one day eti.ako sawa then after anaanza mzururo sio.ma party.sio.msituni wah its so complicated .....Champee alikua analia anapiga duru akiwa na ma bandage tens after 2 days hana bandage na ata anarudi sawa ....what I know mi ata boma inaeza Fanya mtu.asiende sherehe bt Dave mtu ameishi.kwa maji almost a week amepona na one day no wonder na hats ako na slippers na ka tshirt

    • @marymutavi
      @marymutavi День назад +1

      Kwa maji hakukaa siku sita,alisafirishwa wakati walionq anatafutwa,bdio wakamoekeka kwa msitu,hata kuingizwa kwa maji ni hio siku alioatikana

    • @annnjane1697
      @annnjane1697 День назад +1

      Dave hakuwa kwa maji siku zote walimueka hiyo siku

    • @JoyceWanjiru-wv6ib
      @JoyceWanjiru-wv6ib День назад +2

      Hii ilikuwa script mtu amekaa kwa mto 5 days na anaongea then watwambie eti walienda na pastor na htukuona pastor anywhere,halafu kinangop forest allover sudden ,kirwara hosi in muranga,Anita aliongea watu wakamtusi but naona ukweli sasa

    • @LeahWanyonyi-tf8sz
      @LeahWanyonyi-tf8sz День назад +1

      Aliwekwa kwa maji hiyo masaa yenye dci alikua ameshikwa hao vijana wawili

    • @FaithMuia-f3k
      @FaithMuia-f3k 22 часа назад +1

      @@JoyceWanjiru-wv6ib mm nlisema n script from beginning ju tulichanga eti 60k ndio ma officers wapewe each 30k na pastor tukaabiwa ako bt the time walienda kuchukua Dave msituni walikua wanapambana tu wenyewe uyo pastor hatukumuona na pia hao ma officers hatukuwaona

  • @LucyWanjiku-xp2wd
    @LucyWanjiku-xp2wd День назад +7

    Uliza wambui ile mpesa ya kununlia DC Fred ngari

  • @FloraMeeme
    @FloraMeeme День назад +7

    Heri dci Fred ajitoe aprotect his job

  • @WinnieWekesa-t9y
    @WinnieWekesa-t9y День назад +6

    Pigia fred direct simu umwambie atoke kwa hio case.

    • @perisnjerikuria3803
      @perisnjerikuria3803 День назад +1

      MALAIKA ONGEA NA DCI. MWAMBIE AONDOKEE HIZI CASE ZA JUNIOR ATAJIPATA MOMBASA TENA

  • @BillaBla-x8y
    @BillaBla-x8y День назад +5

    Kumbe umegundua hiyo😂😂mm niliona kitambo sana ameanza kijipendekeza ww

  • @LydiahObungu-l9e
    @LydiahObungu-l9e День назад +7

    Ama jay anataka rent 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ju wueh hapa kuna chai moto kweli na umbea haitaki uzembe

    • @LornaMakena-b4m
      @LornaMakena-b4m День назад +1

      Mimi naona kama wanaact sasa😂😂😂

    • @AishaTyler-q6d
      @AishaTyler-q6d День назад +3

      😅😅niue sasa 🤣 lakini ata kama wanataka tuchange watuambie tu ukweli waache kuact upuzi

  • @kirui5
    @kirui5 День назад +1

    I love your analysis of the videos posted. 👏

  • @Abbyabby-8
    @Abbyabby-8 День назад +2

    Exactly mummy umeogea ukweli💯 kwanza wambo asisahau akona kesi ya mtoi na kdf wake🙄😂💔

    • @cecysang-j7w
      @cecysang-j7w День назад

      Hii ilikuwa ya kujiwekea hanangaa mtoi

  • @hadijakangu5508
    @hadijakangu5508 День назад +2

    Nikweli kabisa dca aondoke mambo zauliminati sisi tunampenda sana

  • @joanongera7042
    @joanongera7042 20 часов назад +1

    Tulisema hii n acting karibu mtutoe macho 🤣🤣🤣🤣🤣nilijua tu jay atapotea 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Anyway Annita nakupenda sana🤣🤣

  • @RANNA256
    @RANNA256 День назад +2

    Your right sister love from Uganda

  • @Mesaidi
    @Mesaidi День назад +5

    Mm sion ubaya jameni tusichukiane Kila mtu anatafta za kwake my sister sioni kama huyu msichana wamboo Ako na ubaya Fred SI mtto mdgo my dear Kila kitu itakua saw kwa sdave nk watu wote ni WA mungu na mungu SI Athumani maneno ni mingi hapa utb Kila mtu anafta kupitia majina ya wenzake

    • @fatumamazul4411
      @fatumamazul4411 День назад

      Fuatilia utaona tofauti fuatilia mwanzo mwisho

    • @NuruNdegwa-yg2bm
      @NuruNdegwa-yg2bm День назад

      Aki msiaribiane majina sio poa SI mtu afanye content yake basi

    • @JoyceWanjiru-wv6ib
      @JoyceWanjiru-wv6ib День назад

      Hatuharibiani majina but sisi sio wajinga coz tulichanga tukaomba then waanze kuleta mchezo ,tinaona script tu but kuchanga nope

    • @victoryisours
      @victoryisours 21 час назад

      Mimi sijaona ubaya wa Wambui so far mtu anaweza kuongea hili rafiki yake apate usaidizi again people brings different opinions for them to think dipper before they act or make a decision as a TV host you don't side with the person you are hosting ,you are there to make things clear for your audience

  • @ibrahimmohamed-to8iu
    @ibrahimmohamed-to8iu День назад +5

    Anita alisema hii ni scripted the moment Anita alisema ni scripted senior Dave alipatikana on the spot

    • @AishaTyler-q6d
      @AishaTyler-q6d День назад

      😂😂😂koma Kube tuko wengi tumefungua macho kama tumenyonywa pesa🤣🤣🤣

  • @bethndungu6815
    @bethndungu6815 День назад +2

    Thank you for this video aki something is not adding up,
    Ile kukimbia kwa msituni na giza na anajimlika then ako kwa Choo ya wenyewe mbona kwa Choo na wenyewe wakienda kwa Choo upatikane apo si Uta uliwa

  • @iremwa776
    @iremwa776 День назад

    You are a great analyzer Malaika, much love from 🇺🇲🇺🇲🇺🇲

  • @ShallomAmugune-gd8yg
    @ShallomAmugune-gd8yg День назад

    Wow you nailed it dear Sai ni amechukua mamlaka kwa mikono yake😂😂

  • @lilianShiro-k9z
    @lilianShiro-k9z День назад +2

    Freddy has done his part ..please let him be and continue with his work ...for the sake of his life jay ako sawa DCI Rudi job senior and jay are safe

  • @MwanaidiNguluma
    @MwanaidiNguluma День назад +1

    Ati mbio kali sana😅😅😅kenya doctors are very good😅😅

  • @susangathii2782
    @susangathii2782 День назад +3

    Dave anandanganya watu ata Wana nimboo🙆🙆

  • @fridahwanga2411
    @fridahwanga2411 День назад +4

    Why are they posting a video that has been overtaken by events? Ama wanadikiria audience ni mafala? Yaani pia Bella hawezi patia Fred background information ya Junior? DCI has to force information out of her?

  • @jebiwotspari9403
    @jebiwotspari9403 День назад +2

    Vile fred alikua ameboeka..I think juu ya hiyo kierehere...fred ajitoe tu 🙏

  • @MwangalaEverlyneNelima
    @MwangalaEverlyneNelima День назад

    Umesema imekutoka mama,like it mama

  • @MuthoniMercy-w8r
    @MuthoniMercy-w8r 20 часов назад

    Ukweli kabisaa,,Dci Freddy wasikupe kazi ya kiunjinga

  • @perismukami4962
    @perismukami4962 День назад +1

    Hello Malaika, Merry Christmas to you my dear. I thank you for your analysis of the story and many others. We thank God for everything. Analyize pia the point of SD not listening to DCI. Tell them to follow instructions and abide with the laws of the DCI.

  • @KolotiJoseph
    @KolotiJoseph День назад

    I love the way you analyze gal

  • @rubenkioko6500
    @rubenkioko6500 День назад +1

    Waambie hata headlines zao huwanga uwongo....but Jay hata kwao haonekani

  • @rosemuthoni8109
    @rosemuthoni8109 День назад +1

    Malaika na kupenda kwasababu ya kuongea ukweli mtupu God bless you

  • @zipporah.8445
    @zipporah.8445 День назад

    😂😂😂😂😂😂😂hiyo part ya kujungulia akuone😂😂😂. Camera man.

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d День назад

    Malaika umeongea vizuri sana am watching from Tanzania 🇹🇿 hii ya Jay imeni confuse kabisa

  • @johnkasyoki6950
    @johnkasyoki6950 День назад

    Malaika nakulobotof nakupeda sana aky,,
    Ukija Kenya lazima niku hug aky darling ata twaeza oana kwani😘😘😘

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 21 час назад +1

    Wamboi yuko mission 😢😢

  • @SusanAchiengOdero
    @SusanAchiengOdero 23 часа назад

    True Malaika today I agree with you...kw hosi wzmbo was captured...laughing and signaled very fast...I lost I trest coz..I acting

  • @Fridahlife
    @Fridahlife День назад +1

    Nilikuwa diehard wa senior but sahii mimi n content zake hapana

  • @zipporah3009
    @zipporah3009 День назад

    I support you,planned mission

  • @marymutavi
    @marymutavi День назад +3

    😂😂😂😂😂Damu yenye ilinukia Champe ilikua wapi?😂😂

    • @GraceWangari-ni7mp
      @GraceWangari-ni7mp День назад

      Kwani arinukiwa

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  День назад

      😂😂😂😂

    • @Elenakerry
      @Elenakerry День назад

      Hata Mimi nashangaa. Hata haikuwa na alama Kwa uso vile champer alisema eti snr Dave amegongwa Kwa uso Hadi damu ikanuka

    • @marymutavi
      @marymutavi День назад

      @@GraceWangari-ni7mp Alisema Dave aligongwa na na jiwe damu ikatoka mingi sana ,ati ikanuka hata hajui kama ako hai

    • @joanongera7042
      @joanongera7042 20 часов назад

      😂😂😂😂😂

  • @NyamburaMbuthia-nw6vv
    @NyamburaMbuthia-nw6vv 21 час назад

    I love you malaika coz you're straight forward to the point. Happy holiday my dear sister and God bless you!!!! 3:29

  • @NorineEdesa
    @NorineEdesa День назад +2

    pia watu hawajawai elewa dave ako na wivu juuu vile walisikia fred azawadiwe akajua ni kwa platform yake na ndio maana hajakuja kwa office na wameanza vituko ndio wasizawadi fred hiyo ni gdme ya wivu imechezwa na sd tv na true k tv annita was right kusema wanaact

  • @sechemaguha7262
    @sechemaguha7262 День назад +3

    Malaika dave uongo wake unaanza kuwekwa wazi hapa malaika kunaukweli annita anachosema ni acti hata polini halali mungu hazihakiwi sasa dave anakwenda kupoteza alichojenga kwa muda mrefu wakiwa na anita

  • @jebiwotspari9403
    @jebiwotspari9403 День назад +1

    Malaika msema kweli...🥰😂

  • @dorcasofficial1698
    @dorcasofficial1698 День назад +1

    Atamimi nimeshangaa nilifikiliya Dave ako hosi kumbe😂😂 iko kwakishaka
    😢

  • @rosemuthoni8109
    @rosemuthoni8109 День назад +1

    I agree with you dear 😊

  • @EdithGichuki
    @EdithGichuki День назад +1

    Aki it's may prayer DCI aondokee kabisa , cos for one jay alisema hajakidnapiwa n he knows what he's doing .....hata kama ni friend ya senior Dave awachane kabisa cos alisema asishide akifuatwa futwA

  • @TeresaKwamboka-s9j
    @TeresaKwamboka-s9j День назад

    Mama analyser thanks God kwa kukufungua macho hii ni downfall yao indeed wanatusumbua huku

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 День назад +1

    Kuna time bella waliact ati ako kidnapped kumbe ilikuwa uongo watu wakachanga pesa mingi sana but wale alikuwa amechukua wa act wakatoa siri(serch kamacha & mama gift upate uhondo huko)ni mikora watu watakunja kuamini annita.

  • @AshaMaria-tx8qm
    @AshaMaria-tx8qm День назад

    Malaika merry christmas 🌲🌲 Mama, Mimi Hao watu washa nichosha, Sasa 🤣🤣

  • @Martha-nduta
    @Martha-nduta День назад +1

    Atleast mnafunguka macho I commented hio msitu sio kinangop iko kiganjo thika huko muthaara mkanitusi

    • @Zippy-g2n
      @Zippy-g2n 22 часа назад +1

      Pia mm nilitusiwa😂😂😂😂😂😂

  • @EsaaEsata
    @EsaaEsata День назад +2

    Fredrick awachañe na hii team ya Dave na true k ni kiipindi tu

  • @centrineomar5958
    @centrineomar5958 17 часов назад

    Ukweli na usemwe marry Christmas too

  • @KalekyeElizabeth
    @KalekyeElizabeth День назад +3

    Dave alitoka na simu hakutoka.na camera ametoa wapi camera kwa msitu

    • @BintiDanford
      @BintiDanford День назад

      Kwani Dave alitafutwa siku ngap maana nimesikia akisema Kwa mama ake jay ni siku Tano Fred ndie hajuwi kinachoendelea

    • @BernardOtieno-bc1xo
      @BernardOtieno-bc1xo День назад +3

      Alisema Ako na simu tena ametoa wapi camera then Sasa pia simu ya Wamboi amepta wapi hpa kuna game but our dci Fred hajui

    • @KalekyeElizabeth
      @KalekyeElizabeth День назад +2

      @@BernardOtieno-bc1xo naurumia watu Wa kuchanga

    • @BernardOtieno-bc1xo
      @BernardOtieno-bc1xo День назад +1

      @@KalekyeElizabeth Ukweli but Bellah ni fala badala ambie Dci about governor and junior ni watu wa eliminati

    • @marymutavi
      @marymutavi День назад

      ​@@KalekyeElizabeth😂😂😂😂

  • @SimonKariuki-x8b
    @SimonKariuki-x8b День назад +2

    Hata content za KDF jelly tulichezwa because jelly kuna time alikua Ebru tv perfect match

    • @MalaikaKNorway
      @MalaikaKNorway  День назад

      😂😂😂😂

    • @fridahwanga2411
      @fridahwanga2411 День назад +1

      Na yule sister ya Wambo mchawi alienda wapi? Alibaki kisumu😂😂😂

    • @BintiDanford
      @BintiDanford День назад

      ​@@fridahwanga2411😂😂😂😂

  • @KalekyeElizabeth
    @KalekyeElizabeth День назад +4

    Malaika sio kwa ubaya but utakuja kuamini anita

    • @CarolyneJepkosgei
      @CarolyneJepkosgei День назад +1

      True

    • @Diana-xp8yl
      @Diana-xp8yl День назад +1

      Kweli,,waja kwansa mafans wa SD wajue vizuri wamboi tabia zake then annita will be the final

    • @BintiDanford
      @BintiDanford День назад +1

      Wamboi anakitu ndani yake yakupelekesha wanaume na Iko kwenye dam Jeremy alisema Kwa video ya Anita watu tukajua ni uongo na Jeremy akamluka Anita nikweli.. wamboi ako na kiherehere sana

    • @eunitakesio
      @eunitakesio День назад +1

      Walimtukana Anita hawakuja historia yake

    • @Diana-xp8yl
      @Diana-xp8yl День назад +1

      @@eunitakesio img,,,kwansa ya wamboi ni worst than ya annita,,huwa tunasema don't judge a book by its cover,,go dipper to know more

  • @ClemmoDante
    @ClemmoDante День назад

    Ongeza volume mommy you're our mouth piece

    • @maxinemumani6674
      @maxinemumani6674 День назад

      😂😂😂😂 Waauu eti mouth piece 😅😅😅

  • @noelasamugabo5135
    @noelasamugabo5135 День назад +1

    Advise DCI not to proceed with this case. Akijaribu ku deal na Gavanor, his job will be in danger

  • @nimoh.m5445
    @nimoh.m5445 День назад +3

    Sijui ni mimi nko zangu ama tuko kadhaa, ile video wakiokoa Dave, mliona pastor?, mliona askari mwingine?, mliona mama gaidi?, hawakukua, na hio video dio iashiliwe asubuhi 10.30am, tulilala live wakishangisha ati ya afisaa mwingine na ya fuel, my question is, wakiokoa Dave hio asubuhi na wakaedit video zoote zimefuatana coz hio dei waliwekekea videos nne, yaani tulilala live, asubuhi video zoote nne zimeekelewa🤔🤔, ama nko jaba 🚶🚶

    • @BintiDanford
      @BintiDanford День назад +1

      Upo sahihi hata Mimi nilishangaa sana walisema wameenda na pastor na hakukuwa kitu ingine pastor Joshua vile anampenda Dave lakini hakuonekana Leo hii pastor Nancy hayuko nahisi pastor Joshua alijua kama anachezewa akili ameona akae kimya tu

    • @JoyceWanjiru-wv6ib
      @JoyceWanjiru-wv6ib День назад +1

      Hata mm hapo ndipo nilianzq kudoubt coz pastor hakuonekana,askari hawakuwa,then bella walitokea wapi kinangop,niwaambie ukweli kinangop ni kwetu na hakuna red soil,avocado trees na hakuna kirwara hosi,hiyo siku video ilitolewa nilisema hivo watu wakanitusi

    • @marymutavi
      @marymutavi День назад +1

      @@JoyceWanjiru-wv6ibinamaana hata Fred ana act na wao 😂😂😂

    • @nimoh.m5445
      @nimoh.m5445 День назад

      @@JoyceWanjiru-wv6ib, good, hio hosi iko murang'a imagn, na ni kweli kinangop haina red soil, mchezo ya town hii akh,

    • @nimoh.m5445
      @nimoh.m5445 День назад

      @@BintiDanford najaribu kushikanisha dots but still not adding up, Bella na champe walitokea wapi?, pastor na askari wakaenda wapi, akh nko na maswali ka fefute, naflash back last yr scandals za Jay na akina kamacha, yooh 😁

  • @FfFf-zw4oy
    @FfFf-zw4oy День назад

    Exactly mommy ur right unaxem Ukweli

  • @DaisyMutai-nw4qf
    @DaisyMutai-nw4qf День назад +1

    Acha uongo dave mwenyewe ndio aliongea na DCI akamwambia nkama amerogwa,,tunafwatilia sana hiyo story

  • @RachaelNeema-g3r
    @RachaelNeema-g3r День назад +2

    Fred kimbia hii story ya junior cavana

  • @Mesaidi
    @Mesaidi День назад +1

    Ww ungempigia Fred direct umuambie atakuelewa vile ubataka myadear sawa Bado twamuombea sdave maisha marefu

  • @HUSSEINMWARUWA-b3u
    @HUSSEINMWARUWA-b3u 19 часов назад

    Very true ❤

  • @Chabanabwemonca
    @Chabanabwemonca День назад

    😂😂😂😂 jay akwambi bella ati bella atanza kulia 😢😢😢😂😂

  • @giftedhandsfamily
    @giftedhandsfamily День назад

    Merry Christmas Malaika. Anita’s God has started kuchanganya watu they are contradicting themselves.It’s like a movie.

  • @DamarisShiroh
    @DamarisShiroh День назад

    I thought i was the only one who was pissed off by her na vile DCI is honest

  • @marywanjikukaranja1439
    @marywanjikukaranja1439 День назад

    Mail aka you speak the truth..I saw it and I was shocked..she needs to respect DCI and not to speak all the time..apunguze tu tafathali..it's not what she feels..remember you are dealing with a professional.

    • @JanoJeps
      @JanoJeps День назад

      Ni ukweli kwani Jay aliondoka aje bila kumwambia bibi yake? Hii inatuonyesha wazi kuwa hii familia hawako pamoja,iliharibika kitambo

  • @LornaMakena-b4m
    @LornaMakena-b4m День назад +1

    Saii Sina interest kabsa kuwatch video za senior dave aki

  • @MaxwellLodenyo-m6k
    @MaxwellLodenyo-m6k День назад

    Wapi Xmas madam

  • @norahmorebi4605
    @norahmorebi4605 День назад

    Watasema wamelowa 😂😂😂😂😂

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 День назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mungu shuka usitumane huku ulimwenguni tunakuhitaji ww mwenyewe usitumane😂😂

  • @BintiDanford
    @BintiDanford День назад +1

    Jay hajapotea ndiomana hawajamwambia mama derick wanacheza na akili za watu wanatafute hela fred mmemchangia sasa jay hatujampa wameona watengeneze move nyingine tena Mungu anawaona dave

  • @LydiahObungu-l9e
    @LydiahObungu-l9e День назад +1

    Alijua watamtrack😂😂😂😂😂😂ndo akalala kwa kibanda

  • @AliceNjeru-os1yb
    @AliceNjeru-os1yb День назад

    Wanatubeba ujinga xna, io episode haijaingiana ata😅😅😅😅

  • @adelaidemary5514
    @adelaidemary5514 День назад

    Wacha niendelee kujengwa na 3angles na mitume❤,najua penye kuna mahubiri wanadamu hawapendi😂wanapenda kule wanadangaywa🙈

  • @LydiaGesare-ji4dn
    @LydiaGesare-ji4dn День назад +1

    Aki mm naogopa fred akipoteza kazi,heri awachane hiyo kesi aki juu jay ako sawa na jay ako na ujinga kama anapenda bibi yake si amuambie penye anaenda