Waislamu mko wapi tupongeze kijana wetu kwa mambo ya kheri. Ingekua ni mtoto amehifadhi wanasiasa na wasanii ungeona coment 1k. Tujivunie na Watoto wenye faida km hawa wakuhifadhi Quran. MashaAllah Mungu amulinde mtoto huyo
Richard Soka wewe fala. Mtume wetu Mohammed Salalal aleihi wa salaam. Hakuna sku tutaandika ufupi. MUOB. fatana na mambo ya yesu. Munae muita Mungu wachana na mambo hasio kuhusu. Sis waislam tunajivunia Watoto km huyo unae muona amehifadhi Quran hajahifadhi nyimbo za kwaya ama kipa imara vitu visvyo na faida. Kuja kwangu uone Watoto wa miaka 7 anavyo kuchambulia Quran. Fatana na misalaba
Bunafsi siyo muislam lakini nimeyapenda haya malezi na matumizi ya akili za watoto wetu. Hakika ni jambo jema na fahari umma wa waaminio katika imani yenu. Angekuwa karibu ningempa zawadi hata mimi. Tuwafundishe watoto mambo ya Kimungu zaidi. Amazing....... Wow
Faraja Ally @ Amiyn hakika Allah ni msikivu wa dua. kilichopo ni sisi kutakasa nia zetu kwaajiri yake isiwe tuombe kupata maafidh ama sisi kuhifadh kwaajiri ya mashindano laa hasha! bali iwe ni kwaajiri ya kupata ujira kutoka kwake Allah subhaana wata'ala na hayo ndo mafunzo ya deen yanavyosema. ndo maana unakuta kunamaafidh hifdhi zao haziwasaidii chochote katika twaa ya Allah kwasababu ya nia zao katika kuhifadhi Qur'an
mashaallah,Allah amhifadhi na amjaalie watakao ingia jannatul firdaus na yy in shaa Allah,,, Allah aturuzuku na Sie kizazi bora kama hiki in shaa Allah
Maa shaa Allah Tabarakallah Laahawla Walaquatha Ila Billahi Allah Akujaze kheyr duniani na Akhera na Akuepushe na shari za waja Na watoto wetu Allah Awajalie Khifidhul Qu'an
Masha Allah. Allah ampe ujuzi zaid ya hapo alipofikia. Akasha Daawa. Naombeni mnisaidie mawasiliano ya sheikh Abuu Hamza ambaye kwa mujibu wa maelezo hapo yeye ndiye mwalimu wa Ramadhani Nasri. Allah atakulipeni InshaAllah
Masha Allah Allah akujaalie kila lakher Insh na akuinue ktk kipaji chako uwe miongoni mwa waja wema Insh nass Allah atuongoze amin Allah akulinde na mijicho mibaya yawatu amin akueke Allah hifadhi yake amin
masha allah kijan wang allah akulipe gheri za baraka za rahman allah akulinde na kila lenye shari nawe akupe kila lenye kheri na wew amiiiin yaa allah tupe kizazi chenye kher na ss kiwe chenye kuku abud wew allah subhan llah wataala
Mashaallah Allah akuzidishie ufaham zaid ya hapo ..napenda kuwasomesha watt wangu elim ya kumujua mungu namtume wake ila uwezo wangu duni ..naumia sana kiukweli 😭😭😭
Masha Allah hv naomba niulize vpaji hivi Allah anavyowajalia watoto wa kiislam husoma ktk madrasa ipi hapa nchini tafadhali naomba nipate mawasiliano ya madrasa hiyo biidhin-llah inshallah nipate kuwacliana nijue utaratibu wao nipate kumleta kijana wng
mashaallah mshaallah baraka Allahu akhsanal khalikiin Allah amzidishie pia atujaalie na sisi nguvu na iman ya kuyajua maneno ya Allah kwa ukamilifu usawa km alivyo isoma mtume wetu Muhammad s.w
Mashaallah,yaa Allah tuhifandhie watoto wetu Na uwazidishie elmu hii ya dini iliyobora kwetu tup nguvu ktk dini yetu Na tushikamane waislam wote tuwe wamoja.
Mabrouk mwanangu Allah akupe umri mrefu sana kwani dunia inakuhitaji kwa kuwapa mfano bora wa kuhifadh maneno ya ALLAH! Pamoja na kubanwa mda wa kujisomea lakini UMEWEZA KUSOMA NA KUHIFADH. ALHAMNDULILLAHI
Waislamu mko wapi tupongeze kijana wetu kwa mambo ya kheri. Ingekua ni mtoto amehifadhi wanasiasa na wasanii ungeona coment 1k. Tujivunie na Watoto wenye faida km hawa wakuhifadhi Quran. MashaAllah Mungu amulinde mtoto huyo
amin yarrabil alamin insha Allah
Alllah azidi kumjalia mwanadam huyu!
Richard Soka usitake elim kwa mambo yasio kuhusu. Fatana na bibilia yako
Richard Soka una lazima gani kujua kitu na hukipendi. Kwanzaa Mtume Mohammed haitwi. PBUH
Richard Soka wewe fala. Mtume wetu Mohammed Salalal aleihi wa salaam. Hakuna sku tutaandika ufupi. MUOB. fatana na mambo ya yesu. Munae muita Mungu wachana na mambo hasio kuhusu. Sis waislam tunajivunia Watoto km huyo unae muona amehifadhi Quran hajahifadhi nyimbo za kwaya ama kipa imara vitu visvyo na faida. Kuja kwangu uone Watoto wa miaka 7 anavyo kuchambulia Quran. Fatana na misalaba
Ya Rabbi nijalie watoto wema wachamungu na waifadhi Qur'an na sunna Aamiiny ya Allah
YAARAB
Mashaallah
Maashallah
Mashaallah
Amiin kwasote
Bunafsi siyo muislam lakini nimeyapenda haya malezi na matumizi ya akili za watoto wetu.
Hakika ni jambo jema na fahari umma wa waaminio katika imani yenu.
Angekuwa karibu ningempa zawadi hata mimi.
Tuwafundishe watoto mambo ya Kimungu zaidi.
Amazing....... Wow
Ukosawa kabisa nduguyangu🤝
Amin
Nice
mashallaah Allah akupe kila lenye kheri akuzidishie imani ktk moyo wako kijana ramadhan
MAASHAA ALLAAAH. Ewe Allaah nijaalie na mim nijepata mtoto kama huyu.pia mkinge yeye Na macho ya HUSDA.ASSALAAMU ALAYKUM
Faraja Ally @ Amiyn hakika Allah ni msikivu wa dua. kilichopo ni sisi kutakasa nia zetu kwaajiri yake isiwe tuombe kupata maafidh ama sisi kuhifadh kwaajiri ya mashindano laa hasha! bali iwe ni kwaajiri ya kupata ujira kutoka kwake Allah subhaana wata'ala na hayo ndo mafunzo ya deen yanavyosema. ndo maana unakuta kunamaafidh hifdhi zao haziwasaidii chochote katika twaa ya Allah kwasababu ya nia zao katika kuhifadhi Qur'an
juma mashaslah
Mashallah Allah ewe Mola mzidishie kijana huyu.....
Masha allah allah akuzidishie kila lakheri.
YAARAB
Ma shallah mdogo wangu mungu akuzidishiye hapo zaidi yani nasikiya raha sana hadi machozi 😭😭 yananitoka
mashaallah mashaallah mashaallah
Allah nami anijaalie kupata watoto kama hao watakaokua wamehifadhi qur an na kuifanyia kazi
Ahmad Akida J
Amiin ila wanaaandaliwa na waxaz kwahyo jitihada tuwe nayo
Amen
Mashaanlla
Mashallah mungu amzidishie na sisi watoto wetu wawe Kama yy
Allah awakinge mabaya
Mungu akulinde na hadad
Masha allah
Amiin amiin ma shaa Allah
Ameen
jamani kadogo kangu ka like nako Allah Akaweke in sha Allah
Tabaraka llahu
Maaha allah machoz yananilenga nataman watoto wangu wawe kama hyu sijui nifanyeje
Mashaalh allh tujaalie watot wem kizazi chem cheny kupendeza kam huy mtot alivojaaliwa
Lela Al Lububa Ameen rabeel alamin
Masha'Allah Masha'Allah Masha'Allah yarab mlinde na fitna za sheitwan.
Amiin inshaallah
Ameen
mashaallah mashaallah mungu akupe mwisho mwema
Ma sha Allah, tunamwomba Allah amzidishie na amwongoze ktk. njia iliyo nyooka,amin.
Bismillah mashaAllah jicho la husda lisikufike 😍
Mashaallah
Maashallah
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akupe kila lakheri
MashaAllah Allah amuhifadhi pamoja na watoto wengine Allah awaongoze wote.
ManshaAllah !Ewe Molawetu mjaalie kheri nyingi huyu kijana wetu kama ulivyowa aalia waliotangulia InshaAllah!
mashaalllwah
Ya rabby nijaliy watot weny kher na kukujuw wey Allah na kuhifadh Qur'an in shaa Allah
mashaallah,Allah amhifadhi na amjaalie watakao ingia jannatul firdaus na yy in shaa Allah,,, Allah aturuzuku na Sie kizazi bora kama hiki in shaa Allah
Hadi raha eallah Allah nujalie kizazi chenyema chenye kukujua ww na myume wako amiin numekapenda hako katoto kalouliza japo sijakaona
MashaAllah
Mashaallah tabarakallah allah amuepushe na vijicho vya ulimwengu allah atuongozee watoto wetu ya rabbil alamiin
Am not a Muslim but I love to listen to Qur'an and I enjoy it inshaallah
May Allah give u hidaya
Inshallah,Allah akurejeshe kwa dini ya kweli
Allah akujaalie dini ya haki
Welcome to Islam, the true religion and the religion of all the Prophets. From Adam, Noah, Ibrahim, Musa, Issa (Jesus), Muhammad the last one. etc..
Masha allah
mashaallah umenitoa machozi Allah azidi kukuongoza
Maaaaa Shaaaa Allah
Allah nijaghalie kizazi kizur mfano WA mtoto huyu
Mashaallah chanda chema uviswa Pete mungu kamuongoza huu kijana na azindi kumlinda
Maa shaa Allah Tabarakallah Laahawla Walaquatha Ila Billahi
Allah Akujaze kheyr duniani na Akhera na Akuepushe na shari za waja
Na watoto wetu Allah Awajalie Khifidhul Qu'an
Yaa Allah give me pious children 👪❤💜💛💚💙👍
Allah amzdishie kipaji chake allahuma amiin 🙏🏻🔥
Allah mjaalie Mtoto huyu Màisha marefu , mkinge na mabaya yote ili awe kiongozi kwa vizazi vya sasa
Amiina
MA SHA ALLAH
Ameen ya Allah
Ewe Mola wetu mjalie huyu mtoto maisha marefu awe kianguzi wa dini yetu
Maashaallh
Yaaallah nijalie nam nipate
Watt kama huy kjn anayesoma Quran vzr
mashll allah akuhifadhi insh waalimu nawaombeni muendeleeni kumkomaza kijana katik fani nyengine za ilmu insh ili aje kuwa ulaamaa wa kiislamu
mashaAllha Allha atujalie vizazi vyema
Allah amzidishie ridhik na amfanyie wepec katk shughuli zake inshaallah
allah akuzidixhie
Mashallah Allah akuzidishie na ukulinde na mahasidi wa Dunla
Mashaalah
Amiin.
allah akuhifadhi na mahasidi
Masha Allah. Allah ampe ujuzi zaid ya hapo alipofikia.
Akasha Daawa. Naombeni mnisaidie mawasiliano ya sheikh Abuu Hamza ambaye kwa mujibu wa maelezo hapo yeye ndiye mwalimu wa Ramadhani Nasri.
Allah atakulipeni InshaAllah
+254 722 713 927 Abu hamza
Jazakallahu kheri
MashaAllah MTT wetu
Masha Allah jazaka Allah
Mashaallah Allah akulinde dhidi ya husda
Pb
Maa sha Allah,Allah akuhifadh mdogo wangu
Khadija Bayaga
Ma shaa Allah TabarakAllah.....Allah Atufanyie wepesi wa kuifadhi Quran na kufwata mafudisho yake ameern
masha Allah may Allah protect him 4rm evil eye Ameeeen
mashallah Allah akulinde na akujalie maisha mema file dunia Wal akhera.
MashaAllah... M/mungu akuzidishie zaid ya hap.. InshaaAllah
Jazakallah
Allah ajalie mwanagu ahifadhi kitabu chake 🙏🙏
Amiin.
Cha kiingilish au ?
Mashallah may Allah protect u and your family and Muslim ummah may Allah give as children just like him
mashaallah M/mungu akujaalie uendekeze dini yetu nasi vizazi vyetu viwe ni vyenye kuifadhi Qur'an
Maashallah Allah sw akulinde na husda pamoja na madui
Kila muisalamu atakae iyangalie ii lazima atatamani a we ni yeye . Asa tusiliyo ijua dini ya kiisalamu .
Allah amemchagua, maana si kazi rahisi
Mashaallah Allah Azidi kumwepesia kila akitakacho akipate InShaAllah
Salmina Salim
Ma shaa Allah ma shaa Allah mungu tujalie na cc wana wetu wawe waifahi quran tukufu yarraby
Waniliza mdogo wangu kwani namoyo wakutaka kuifadhi lkn cjui nn chanishinda
si pekeako mm hata kuijua dintu ntafurah zaid
Ilham Modlick inshaallah utajuwa daa
Meju Baraza reduce sins
YASINI SELEMANI mm kwani umekuwa mungu mwenzangu mpaka wajuwa ka nadhambi nizipunguze
Tukifanya juhudi za kutaka kuifahamu basi insha allah tutaifahamu....Meju naomba unitafute kama hutojali 0657-621515
Masha Allah Takbiiiiiiiiiiiir nimetokwa na machozi kwa kweli Allah atujaalie vizazi vyema
Allahumma Ameen Yarabb jamii Islam
Mashalla jazakallahu lkheir mungu atujaalie sisi pamoja na watoto wetu
Mashallah Ramadhani Allah a kuifadhi... In shaa Allah
Masha Allah Allah akujaalie kila lakher Insh na akuinue ktk kipaji chako uwe miongoni mwa waja wema Insh nass Allah atuongoze amin Allah akulinde na mijicho mibaya yawatu amin akueke Allah hifadhi yake amin
Mashallah Mashallah Mashallah Yarab nijaalie na watt wang wawe nibwenye kuhifadh qur-anilkariim😚😚
Yaa rabi na Mimi nijalie wanangu wawe miongoni mwa watoto wema wenye kuhifadhi qur-an mfano wa huyu kijana Masha Allah 😘😘😘
Mungu akuzidishie
masha allah kijan wang allah akulipe gheri za baraka za rahman allah akulinde na kila lenye shari nawe akupe kila lenye kheri na wew amiiiin yaa allah tupe kizazi chenye kher na ss kiwe chenye kuku abud wew allah subhan llah wataala
Masha Allah may Allah bless you my younger brother
Allahumma ameen
Mashallah Allah amjalie ktk watt walofuzu , na awajalie na watoto wetu wafuzu Yarab
Mashaallah mashaallah
Mashaallah
Allah akuhifadhi mdogo wangu
Mashaallah Allah akuzidishie ufaham zaid ya hapo ..napenda kuwasomesha watt wangu elim ya kumujua mungu namtume wake ila uwezo wangu duni ..naumia sana kiukweli 😭😭😭
Pole sana dada angu mungu akuinue
Mashallah mashallah Allah akuhifadhi kamaulivyo hafidhz al Qur an tukuff
Mashallah
jazzakhallah herei
Masha Allah hv naomba niulize vpaji hivi Allah anavyowajalia watoto wa kiislam husoma ktk madrasa ipi hapa nchini tafadhali naomba nipate mawasiliano ya madrasa hiyo biidhin-llah inshallah nipate kuwacliana nijue utaratibu wao nipate kumleta kijana wng
Mashallah hasid asikuone mdog ang yarab tuongozee vizaz vyet na cc
Jamani huyu mtoto yuko vizur sana
mashaallah mshaallah baraka Allahu akhsanal khalikiin Allah amzidishie pia atujaalie na sisi nguvu na iman ya kuyajua maneno ya Allah kwa ukamilifu usawa km alivyo isoma mtume wetu Muhammad s.w
mashallah may Allah blessing your parents and yourself
Mashaallah Tabarak Allah. Allah amuhifadhi na azidi kumpa akili na amuzawadie uchamungu aendelee kufahamu Qurani na mwisho mwema
Mungu nijalie kizazi changu kiwe kama iki
Meju Baraza Aamiin kwa wote🙏🙏🙏
Maryam Khamfar amiin daa
amen
Ameeen...Atujalie sote
Amin
Mashallah tabaraka rrahman mola akuhifadhi kama ulivohifadhi kitabu chake akuzidishie elmu na akulinde na mabaya yote akupe afya alhamdulillah
Masha Allah Allah atujalie kizazi chema
Amiin
Mashallah akuzidishie kipaji
mashaallah amakweli Bidii ndio ngao.
Mashaalla.ewe.alla.tupe.nasi..kizazi.chema
Maa shaa Allah,, Allah amlinde na mabalaa yote ya ulimwengu ,, ALLAH AKBAR
Bismilah Masha Allah Allah akufunguliye yote ya kheir akuepushe na hassad Aamen
MaashaAllah MaashaAllah MaashaAllah
May Allah increase him in knowledge & memory
ya Allah grant us knowledge that translates into taqwa in our hearts.
MashaaAllah. Allah amzidishie .na awajaalie watoto wetu pamoja na sisi sote Waislam tukihifadhi kitabu cha Mwenyezi Mungu ipasavyo.
MashAllah
Mashaallah,yaa Allah tuhifandhie watoto wetu Na uwazidishie elmu hii ya dini iliyobora kwetu tup nguvu ktk dini yetu Na tushikamane waislam wote tuwe wamoja.
Mash Allah tabaraka Allah my brother mola azidi kukuhifahi Ndugu yangu
Mashaallah, mashaallah, Allah akuzidishie kila kheri, akuondolee mabaya fi dunia wal_ akher
ما شاء الله
MASHAALLAH, kijana amehifadhi kitabu cha ALLAH, waislam tuwape moyo na tuwapongeze vijana kama hawa na ALLAH atuhifadhi na atulindie kitabu chetu amin
ما شاء الله ،نسأل الله أن يحفظنا وحفاظنا عن العين والحسد ...
TabaarakAllah, Allah akuzidishie namm anibidiishe pamoja na waislamu wote kwa ujumla
MASHALLAH MABRUK RAMADHANI ALLAH AKUHIFADHI
Maa Shaa Allaah.
Mwakani 2024 ingia katika mashindano ya Qur'an, Africa, In Shaa Allaah.
Mashaallah jazakallah kheyr
Mashaallah jazakallah kheyr
Maa shaa ALLAH yuko vzur sana ila kulingana na ukali wa watoto wa pemba akienda hata yy naamini atashangaa na atazidi kujifunza maa shaa ALLAH
MashaaAllah MashaaAllah nimependa katoto ako jmn
Furaha ya machozi yanitoka mashaAllah Allah akuhifadhi atujaliye tupate watoto wengi mfano wake Ameen
I genuinely congratulate his parents mashaalah
Mabrouk mwanangu Allah akupe umri mrefu sana kwani dunia inakuhitaji kwa kuwapa mfano bora wa kuhifadh maneno ya ALLAH! Pamoja na kubanwa mda wa kujisomea lakini UMEWEZA KUSOMA NA KUHIFADH. ALHAMNDULILLAHI
Mashaallah Allah akukkinge na makhasidi
Mashallah mungu akuepushe na kila Shar na ss atupe vizaz vyema aminiii🤲🤲🤲🤲
MASHAALLAH TABARAKALLAH
JAZAKALLAHU KHAIR. ALLAHUMMA BARIK
Maanshaalhu.allahu.akujalie.
Abrar Abgao umemaliza shule?
Abrar Abgao research?
tumuombe sana ndungu yetu dua maana amefanya jambo kubwa sana
Masha Allah!! Mwnyezi mungu ambariki na mengi zaidi.
Mashallah Allah awazidishie bongo la faham In shaa Allah Amin
mashaallah.
ما شاء الله
Njma Njma maashaallah yaallah nijalie mtoto mwenye kipaji kama hicho nakumpita huyo
Masha'Allah
Allah Akufanyie Kila LA Wepesi, Na Akuzidishie Elm Hapa Duniya Wal Akhera Insha'Allah
mungu amlinde mashaalaah
Jazakal mulAllahi kheir mungu anipe kizazi km hiki watoto went kujua dini ya Allah subhana wataala
Manshallah may Allah protect as the day of Qiyama
MashaAllah Allah amuhifadhi na atujaalie kuipenda quran nakuisoma