Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Ni zaid ya maajabu kwakweli ingekuwa inawezekana kuamka😢😢😢😢 ungeamka baba utuone wanao tunavyotia huruma kwakulia😭😭😭😭
Nenda shujaa wetu 😭😭😭nenda
Nenda shujaa wetu 😭😭😭nenda kapumzike
Haya ni zaidi ya mapenzi. Ama kweli uzuri sio sura, uzuri sio umbo, UZURI NI MOYO. Magufuli ndo kina Mkwawa wa karne hii. Hakika alipanda mbegu nzuri ya upendo na leo kalipwa upendo. Ama kweli kila apandacho mtu ndo atakachovuna.
Mbn mm sijaona majabu yoyote
Ww huoni watu wanajitolea kumsindikiza!!?pia ni maajabu na hata wanayozungumzia waandish wa habari aliyoyafanya Magu nayo ni maajabu pia