NTV JOURNALISTS LOFTY MATAMBO NA KICHUNA FRIDAH MWAKA WACHAPWA LIVE ON CAMERA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 348

  • @ashleynanyu2457
    @ashleynanyu2457 2 месяца назад +56

    😂😂😂mlike hapa haraka

  • @Beyond_Daily_Life
    @Beyond_Daily_Life 2 месяца назад +10

    Wee,, hii prank ilienda group of schools na pia ikagraduate . Nice!

  • @teclakagai754
    @teclakagai754 2 месяца назад +2

    Ooh my God nmecheka karibu nianguke jameni 😅😅😅iyo ilinipata vibaya jameni poleni lotfy &kichuna😂😂😂 emotional demage😢😅😅Ivo umepata new subscriber ❤

    • @Safiya_said
      @Safiya_said 2 месяца назад

      Nipitie nkupitie ❤

  • @mouricewekesamunoko2839
    @mouricewekesamunoko2839 6 дней назад

    Lofty was and will remain my best radio presenter in Radio maisha them days😅

  • @maggiebernard
    @maggiebernard 2 месяца назад +17

    😂😂😂😂😂😂 huyu naye alikua serious sana yaani anagonga na hacheki ata kidogo😂😂 ata mimi nilifikiria maybe ni chizi ametoka nahuko

  • @hansstephenotomchief6815
    @hansstephenotomchief6815 Месяц назад +4

    Walioitazama hii kanda zaidi ya mara moja , mkono juu mkilike

  • @RebeccaAchieng-cu2jz
    @RebeccaAchieng-cu2jz Месяц назад +7

    Kwani lofty ni mjaluo amekimbilia mawe😮😂😂

  • @idahmugambi9637
    @idahmugambi9637 2 месяца назад +2

    From tiktok mbio sana

  • @viviankinyua9655
    @viviankinyua9655 2 месяца назад +2

    Lofty once said no one can prank him..the time that they hosted ruih family &commo's family on their show....leo amepatikana live 😂😂😂😂

  • @lethalpower9400
    @lethalpower9400 2 месяца назад +4

    Lofty anatoroka na kumwacha bi b i badala asimame kimwaname to defend her... good one tho

  • @felister2457
    @felister2457 2 месяца назад +5

    Hii ndiyo kicheko dawa ya ukweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia 2 месяца назад

    This ladies seems to be a good hearted woman success i your beloved marriage congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏

  • @musyokafelix88
    @musyokafelix88 2 месяца назад +2

    Kali sana..niliona fb nikadhani ni ukweli..tried to search RUclips sikupata..😂😂😂

  • @PhiloyceAlividza
    @PhiloyceAlividza 2 месяца назад +3

    Aki jamani Leo umeweza Hawa lover birds, wueeh...hata Mimi si nimecheka kwa nguvu eishh...😅😅😅😅😅😅

  • @esmeldahkarani1971
    @esmeldahkarani1971 2 месяца назад +7

    Emotional damage😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @waltermuruya7669
    @waltermuruya7669 2 месяца назад +2

    hahaaha😂😂,, hii prank ilikuwa noma😂😂 eh jamani

  • @Claris-b7z
    @Claris-b7z 2 месяца назад +5

    Eti hatuachani ndio hao prank imewaachanisha😂😂😂

  • @EuniceAnyangu
    @EuniceAnyangu 2 месяца назад

    Waaah mm nimeisha yangu yote chooni mnibebebe
    😂😂😂😂😂
    Hii prank ni professional

  • @NYONGS99
    @NYONGS99 2 месяца назад +3

    Lofty we miss you on radio

  • @Fredm254
    @Fredm254 2 месяца назад +7

    Upcoming RUclipsr please nipitieni 🙏🙏🙏

  • @blessedemmie3087
    @blessedemmie3087 2 месяца назад +2

    Aaaah😂😂😂..... Presenter Kai hauko serious

  • @phelixoluoch1854
    @phelixoluoch1854 Месяц назад +1

    My best presenter kichuna

  • @mercykiongo9686
    @mercykiongo9686 2 месяца назад +4

    😂😂hizi ndo prank Sasa Wacha na izi zingine za Kina naniyo atah zinaboo,,😂😂

  • @LucyBarawa
    @LucyBarawa 2 месяца назад +3

    Have a wonderful day in. You wedding 💍💒

  • @linetnyakirario7229
    @linetnyakirario7229 2 месяца назад +6

    Sijapenda hiyo prank

  • @FerdinadaWabois
    @FerdinadaWabois 2 месяца назад +2

    😂😂😂😂vyeye hiyo mawe inaokotwa hey ni kiwazimu tu.my ribs

  • @Cyrillnjoki
    @Cyrillnjoki 2 месяца назад +3

    Muniuweeeeeeeeeee sasa😹😹😹😹😹😹😹😹,nimecheka adi nikapata homa

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 2 месяца назад +7

    Kai umesikiaje hiyo kicheko imagine hivyo.ndivyo wwe na watu wko wa streets huwa mnatuua na kicheko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelMwambaji-g9s
    @EmmanuelMwambaji-g9s 2 месяца назад +2

    Prank ilimwathiri sana Loft sura yake ilkasirika interview nzima😂

  • @Emmahk-g7s
    @Emmahk-g7s 2 месяца назад +2

    🤣🤣🤣🙌🙌 wueeeeeeh noma sana hii prank imegraduate

  • @mercyjaimo1544
    @mercyjaimo1544 2 месяца назад +9

    At the first place Bibi alisema bwana haezi pumua bila yeye, nashangaa kila mmoja anatafuta njia kwa usalama wake😂😂😂

  • @miriamlindsay3718
    @miriamlindsay3718 2 месяца назад +1

    Thank you for making my day 😂😂😂😂😂😂

  • @SafariJamal
    @SafariJamal 2 месяца назад +3

    Daah 😂😂😂😂hii kali aisee 😅 😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @oduklilian3695
    @oduklilian3695 Месяц назад +2

    Sasa kama roho imetoweka hivo, Lofty karibu azirai😀😀😀

  • @Judy-i1e
    @Judy-i1e Месяц назад +4

    Imenikumbusha Raila akichapwa😂😂😂

  • @wilfredelliud4980
    @wilfredelliud4980 Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂wueeh this has just killed me... You made my day

  • @madelenamkirema
    @madelenamkirema 2 месяца назад +1

    Kali sana 😂😂😂kumbe lofty anajua kurusha mawe 😂

  • @Wilky254
    @Wilky254 2 месяца назад +2

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 You've made my Evening

  • @LilianWaithera-k5f
    @LilianWaithera-k5f 2 месяца назад +2

    You made my day 😂😂😂😂

  • @Surmorris254
    @Surmorris254 2 месяца назад +1

    Lofti angepata jiwe apo mngesema ilikua prank mkiwa city mortuary 😂😂

  • @maryodongo-r4r
    @maryodongo-r4r 2 месяца назад +2

    Sijui Kichuna aliendea wapi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @paulinemunyi1689
    @paulinemunyi1689 2 месяца назад +1

    Hey,hiyo imewezaaaa

  • @shammillajibera9007
    @shammillajibera9007 2 месяца назад +3

    Kumbe pia n wa lake side anajua kuokota mawe 😂😂😂😂

  • @fatumabakala4287
    @fatumabakala4287 2 месяца назад +2

    Yaaaani Kai umecheka hadi kuketi chini🎉🎉🎉🎉😅😅😅😅

  • @levinaringoma
    @levinaringoma 2 месяца назад +4

    Fridah umefituka kama mtego wa panya, kumbe una mbio hivyo😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mamakeleon5730
    @mamakeleon5730 2 месяца назад +2

    FROM TIKTOK ILIKUWA NIJUE WHAT HAPPENED 😂😂😂😂😂😂HII NI KALI

  • @princejam_es5704
    @princejam_es5704 2 месяца назад +2

    Nikiwa na kitu inanihuzunisha I just come here ju nimecheka walai😂😂😂😂😂😂

    • @EDITHWARE-yc6pg
      @EDITHWARE-yc6pg 2 месяца назад

      Pia namimi aki😂😂. Tuku same ⛵😫😀😀😀

  • @SharonJira
    @SharonJira 2 месяца назад +5

    Aiyaaaa kwan hakua chizi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @Mamagavie
      @Mamagavie 2 месяца назад +1

      Ndio naona 😂😂😂😂

    • @BacilBruno
      @BacilBruno 2 месяца назад +1

      Imagine I thought the same🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 really 🤔

  • @Janice-sd7hl
    @Janice-sd7hl 2 месяца назад +1

    Happy to see yu my people

  • @naomiwaitherero5367
    @naomiwaitherero5367 2 месяца назад

    Lofty mpaka kachange sura wee kumbe ni prank😂😂😂😂

  • @brianmuoka-pb7nx
    @brianmuoka-pb7nx Месяц назад +1

    😂😂😂😂😂 lofty alikuwa nikama anataka kutoa gun akapata Hana akajaribu belt akaona zii then akatafuta mawe.😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marctonwakhungu443
    @marctonwakhungu443 2 месяца назад +2

    😂😂😂 kumbe ilikuwa prank .i thought ni kitu serious

  • @maggieluvuno4666
    @maggieluvuno4666 2 месяца назад +2

    Uchonyi ughali upatikana Lofty 😂😂😂😂😂😂

  • @faithgatwiri9170
    @faithgatwiri9170 20 дней назад

    🤣🤣🤣🤣haii you av made my day😂😂😂😂

  • @malaikajabali-oj2fh
    @malaikajabali-oj2fh 2 месяца назад +1

    Kai mbona unapenda kupandisha chumvi wewe😂😂😂huku Ruto huko Kai😂😂😂😂

  • @mildyon
    @mildyon 2 месяца назад +1

    Waah kiliumana, nimeshaanga

  • @TRAPPERMUSICKE
    @TRAPPERMUSICKE 2 месяца назад +2

    Uchonyi ughali mchonyi wa kwanza moga yuko nairobi ndan ya ntv

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t Месяц назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂 nimechek had machoz yamenitoka hhh

  • @Danny_ngare
    @Danny_ngare 2 месяца назад +2

    This was hilarious 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @innocentmickerclips3622
    @innocentmickerclips3622 2 месяца назад +2

    Lofty haezi protect kichuna 😅😅😅😅

  • @joseprinceofficialKE
    @joseprinceofficialKE 2 месяца назад +2

    Mmoja ni Zinduna mwengine ni Ambari

  • @jefumtenzi3914
    @jefumtenzi3914 2 месяца назад +3

    Kali sana

  • @tekmoofficial
    @tekmoofficial 2 месяца назад +2

    Nimependa sana

  • @joykokomusicjkmusic803
    @joykokomusicjkmusic803 2 месяца назад +5

    Ati akimwacha atapumua vipi na kila mtu alitafuta njia ya kutiroka waah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @robinalex-o2v
    @robinalex-o2v 2 месяца назад +2

    Ngai hiyo nayo imeweza

  • @lilianashawan854
    @lilianashawan854 2 месяца назад +3

    😂😂😂😂😂😂woiiii

  • @daphinekemto3094
    @daphinekemto3094 2 месяца назад +2

    😂😂😂amekimbia akaacha roho yake jamani

  • @christineochuka820
    @christineochuka820 2 месяца назад +3

    😂😂😂😂😂😂hiii kalii😅

  • @JaneWanjiru-g4p
    @JaneWanjiru-g4p 2 месяца назад +1

    Semeni kangemi mountain view

  • @BeingSparkles_Kabibi
    @BeingSparkles_Kabibi 2 месяца назад +3

    Udzahenda mwanziyo karya kichapo kare😂😂😂😂😂

  • @Haron-lk7bn
    @Haron-lk7bn 2 месяца назад +1

    Hii ni mambo na TV47

  • @EuniceAnyangu
    @EuniceAnyangu 2 месяца назад

    Hii nayo imeweza waaaah

  • @andermwanamgambo8385
    @andermwanamgambo8385 2 месяца назад +2

    Above all bro hujaifanya kma ii...this is beyond imagination...ati hawaachani 😂😂😂😂

  • @alasiri2275
    @alasiri2275 2 месяца назад +3

    Hii ni pranke😂😂😂😂😂 aki kumbavu zangu

  • @bazzymamvin
    @bazzymamvin 2 месяца назад +4

    Kama auna nyash unavaa dera unakaa kama umeruswa ndani😂😂

  • @katelee5575
    @katelee5575 2 месяца назад +1

    Nmelia vile ulikuwa unataka 😢😢😂😂😂😂😂😂😂

  • @Jacintanabwera
    @Jacintanabwera 2 месяца назад +3

    Mnipitie tugrow wote hiii ni nom😂😂😂

  • @LucyWangui-d2o
    @LucyWangui-d2o 2 месяца назад +3

    Hii kitu niliona nusu ak nmecheka yote nlikuwa nathani n chizi tena vile ako serious aligonga

  • @joykokomusicjkmusic803
    @joykokomusicjkmusic803 2 месяца назад

    Aki wewe kai hautaona mbinguni walai😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hadi jamaa ako serious 😅😅😅😅

  • @PrestonLengopito-e6j
    @PrestonLengopito-e6j 2 месяца назад +3

    Wamehepa haraka mani heehe😂

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. 2 месяца назад +1

    Nimecheka kweliiiiiiii yooooooooo iyi ni kali la prank hapo tu njo na pendaaa

    • @Safiya_said
      @Safiya_said 2 месяца назад

      Nipitie dear to grow pamoja ❤

  • @gladysmamatwins1019
    @gladysmamatwins1019 2 месяца назад +1

    Wacha nimalize kicheko narudi kuendelea, mate imekauka kwa mdomo, kaakaa gumu na laini zimeshikana.😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Mohabmts
    @Mohabmts 2 месяца назад +1

    Nimecheka mpaka nyute zikamwangika😂😂😂😂😂

    • @Safiya_said
      @Safiya_said 2 месяца назад

      Nipitie nkupitie ❤

  • @dikiloboy3006
    @dikiloboy3006 2 месяца назад +1

    Kali sana😂🔥🔥🔥

  • @Mgongoo7292
    @Mgongoo7292 2 месяца назад +1

    Kichuna kabaki pekee take Kwa muda👌🙌😅😅🤸

  • @fellst4159
    @fellst4159 2 месяца назад +2

    Mbon mumèachà na umesem humuachi😂😂😂😂

  • @NYONGS99
    @NYONGS99 2 месяца назад +1

    Hamedi asione hiii...... Ile disgn ya kasmwel

  • @Eddy_wamishey1
    @Eddy_wamishey1 2 месяца назад +1

    At alikuwa anasema hawataajana na amemwaja kila mtu akaenda zake mbona hajamprotect 😂😂

  • @deusotienda2564
    @deusotienda2564 2 месяца назад +1

    Fridah is beautiful

  • @Wacheranjoroge
    @Wacheranjoroge 2 месяца назад +7

    Upcoming RUclipsrs, pitieni apa tugrow pamoja

  • @SHARONCHEPTOLO-n1s
    @SHARONCHEPTOLO-n1s 2 месяца назад +3

    Kenya kuhama nayo n kujitakia😅😅😅😅😅😅😅

    • @Beyond_Daily_Life
      @Beyond_Daily_Life 2 месяца назад

      Kenya yapendeza kivyovyte. Kuhama ni kujistress

  • @MixMile
    @MixMile 2 месяца назад

    emewesa sana😂😂😂😂😂😂❤

  • @elizabethnassiuma5697
    @elizabethnassiuma5697 Месяц назад

    I have laughed myself silly waaa😂

  • @margaretmataza7998
    @margaretmataza7998 2 месяца назад +4

    Nmecheka Mpka Ndea zauma😂😂😂😂😂🎉

    • @kassimngao2282
      @kassimngao2282 2 месяца назад

      Ndea ....😂😂😂😂

    • @Zingua-comedy
      @Zingua-comedy 2 месяца назад +1

      ​@@kassimngao2282 😂😂😂😂 Ndea

    • @GOMAGOMA-o2e
      @GOMAGOMA-o2e 2 месяца назад

      😂😂eti ndea zauma sama kai za

  • @iam_mugo
    @iam_mugo 2 месяца назад +3

    😂😂😂 show some love guys like please

  • @Josephineonyango-cl6ql
    @Josephineonyango-cl6ql 2 месяца назад +4

    Kwan loft wewe ni mjaka unatafuta mawe😂😂😂😂😂😂😂

  • @Iam_Nanah-y3k
    @Iam_Nanah-y3k 2 месяца назад +1

    Hii imeweza

  • @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi
    @AnnnjokiNjokiAnn-um8pi 2 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂mpaka nimesubscribe nimecheka kuongea ile yaukweli yaani kimewaramba kweli hiyo prank imeenda shule heii😂😂😂😂

  • @mutukuliz6162
    @mutukuliz6162 2 месяца назад +1

    Noma sana😂😂

  • @gracemunuhe9023
    @gracemunuhe9023 Месяц назад

    THIS has made me laugh and laugh!!!!!