Nakukubal San kaka Adam Leo kwa kaz nzur unazotoa Kwan znatufundisha Sana zna maadil knoma mung azd kukupa skills Zaid uzid kutoa kaz kam hizi ikiwezekan kila sku
Tanzaniya ukweli usemwe watu wengi huko wanataka utajiri from nowhere bila kutumika kazi ,bila kuroka jasho. Toweni mawazo hayo mabovu . Uwe mahisha ya kweli aho mahisha ya comedy kuhigiza. Utajari wa dawa hahuko. Shika jembe ulime juhu udongo njo kunatoka kila kitu tunachohona hapa duniyani.
Sawa🙏 Ila kwa kujazia ni kwamba kazi moja wapo ya FASIHI ni Kufichua na kuelimisha, sasa tukirudi kwa uhalisia je katika jamii yetu vijana wa namna hiyo wapo au hawapo? Jibu ni WAPO na kama ukitazama hadithi hii mpaka mwisho basi hakika utaona kuwa mwishoni MANENO yake yalipata muafaka na kuamini kuwa hakuwa sahihi. Hivyo sisi tulichokifanya ni kuweka bayana. Kwa maana ni vitu ambayo vimejaa huko mitaani.
Sasa mbona title ya movie na hashtag yako katika home page ni tofauti mzee Adam….tuwekee title ya movie asa nipe dada ndan kuna aibu nisamehe dada😅😅wap na wap mzee wang….mamb madg tu ya kurekebisha twende mbali
Kutazama NAMBA 2 ya filamu hii ya NIPE DADA bonyeza hapa chini:
ruclips.net/video/cbRVeNCTAJQ/видео.html
Sjawah pata like za Adam Leo nimewah nipen like zangu Kwa kazi nzur jaman
Furahienii
Enjoy
Adam una kiti chako mbinguni🥰🥰unajua kitufraisha snaa❤️❤️
Endelea kuenjoy na kufurahia kazi zangu zote, tuko pamoja.🙏
Wakenya tuko rada unatubamba aisee❤
Endeleeni ku enjoy🙏
Leo wakwanza ongereni sana kazinzuli
Asante sana usiache kuiangalia part 2 yake.
Moto zaidi ya fire 🔥 aisei hujawahi angusha Adam mob love from Kenya🇰🇪
Shukrani sana
Nakukubal San kaka Adam Leo kwa kaz nzur unazotoa Kwan znatufundisha Sana zna maadil knoma mung azd kukupa skills Zaid uzid kutoa kaz kam hizi ikiwezekan kila sku
Amen, tuombeeni uzima na afya.🙏
Hapa kazi tuu ongereni sana bwana adamu uko pw
Shukrani sana
Movie nzuri sana kaka Adam yenye mafunzo mazuri nakupenda sana Adam kazi nzuri sana
Asante sana nashukuru, endelea kufurahia kazi zetu usiache kuitazama namba 2 ipo tayari hewani.🙏
@@AdamLeoStudios sawa sawa kaka Adam pamoja mungu awazidishie na awape nguvu katika kila jambo
Shukrani @chagenihamisi1461
@@AdamLeoStudios Pamoja mkaka
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉❤❤ hongra snaa Adam kwakaz nzur
Asante shukrani sana aisee🙏🙏🙏
Leo n leo ssemaekesho muongo nikonazo mpka mwisho 😅😅😅😅 anyway big up broo kazi safi
Enjoy sana
Mungu hachoki, wala hajawah kuchoka, wala hato choka milele,, hatupaswi kumkufuru mungu kumfananisha na kitu chochote
Kabisa kabisa, hata shida iweje hatutakiwi kumuacha🙏
Movie yenye mafunzo mazuri , Adam nakupenda ❤❤❤
Nakupenda pia🧡🧡🙏
Ickawie jamani nataka 2 tamuu sana 😂😂 hongera Adam kazi nzuri 🌼
Shukrani sana, namba 2 hii hapa ruclips.net/video/cbRVeNCTAJQ/видео.html
@@AdamLeoStudios asante
Enjoy
Hongera sanaa Adam ❤❤❤ nimeipenda sanaa
Shukrani mno🙏
Safi aisei big up bro❤
Thanks
Huyu Adam baada ya miaka 3 hv atakua mbali sana anajua sana jamaaaa yan anavaaa uhalisia had Infinity
Shukrani sana! Asante kwa huu utabiri, I appreciate🙏
Kaka mjinga saaaana ,dawa kweli zakutafuta kazi zipo ila siyo dawa za utajiri .
Kumbee
Hahahaahah adam anaumwa akikatiza dozi kesho anaanza tenaa hahahahaha 😅
Hahaha acha tu
Wa kwanza kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
Enjoy
Ni wengi toka Kenya,,na Mimi,,,napeda movie za adamu sàana,,
Mungu hachoki nyinyi acheni kudanganyana hapo😂😂😂 lakini ni nzuri sana 💯💯💯💯🔥🔥🔥
Kabisa mtaani wanadanganyana mno..😂
,,,,, gd movie
Thanks aisee
Tunaendelea Ku Enjoy kazi nzur sana
Huna baya🧡
Mzee huna baya
Shukrani
Adam napend saut yako tu jmni kaz nzur
Shukrani sana aisee.🙏🙏🙏
Nakubali kazi zako Adam leo
Shukrani mno, tena sana🙏
napenda pesa wanazopeana daaaah uhalisia mtamuuu
Hahahaha umeona eh😂
Si utafute kazi basi kila kitu shemegi shemegi unafeli yani unategemea mume wa dadako
Acha kbisa kuna watu hawana aibu.
Ananikera mm mtu wa hivyo
💟💟💟🙏
🙏🙏enjoy.
Nice
Thanks
😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Adam unataka ukatishe. Dozz. ujilie. Utamu. Kesho utaanza tena. Jaman. Mbavuzangu mie
Hahaha yaani
Tanzaniya ukweli usemwe watu wengi huko wanataka utajiri from nowhere bila kutumika kazi ,bila kuroka jasho. Toweni mawazo hayo mabovu . Uwe mahisha ya kweli aho mahisha ya comedy kuhigiza. Utajari wa dawa hahuko. Shika jembe ulime juhu udongo njo kunatoka kila kitu tunachohona hapa duniyani.
Shukrani sanaa🙏🙏
KUSEMA MUNGU ANACHOKA NI KUFURU KWA MUJIBU WA SHERIA ZA KIDINI, WAIGIZAJI CHUNGENI MENENO HASA YA KIDINI MSIOKUA N TAALUMA NAYO
Sawa🙏 Ila kwa kujazia ni kwamba kazi moja wapo ya FASIHI ni Kufichua na kuelimisha, sasa tukirudi kwa uhalisia je katika jamii yetu vijana wa namna hiyo wapo au hawapo? Jibu ni WAPO na kama ukitazama hadithi hii mpaka mwisho basi hakika utaona kuwa mwishoni MANENO yake yalipata muafaka na kuamini kuwa hakuwa sahihi. Hivyo sisi tulichokifanya ni kuweka bayana. Kwa maana ni vitu ambayo vimejaa huko mitaani.
Adam huwa unanifuraishaga mnoo
Asante endelea kufurahii
🇰🇪😘😘🇰🇪
🙏🙏🙏
nc
Thanks
Hata kana ni utajiri vitu zingine hapana.staki utajiri utajiri unitake
Yaani acha kabisa, umasikini m baya.😭
Mhhh kaka achana na mambo ya kutaka rahs...ww pambana tu Allah yuko pamoja nawe
Kijana roho ya tamaa imemuingia, hakuna anachoelewa hapo.
Baba amepewa majukum ya kulea mke na shemelaa 😩😩
Hahahhaa nomaa mno😂😂
Nakukubali sana bro ila Batuli part 2 vipi??
Bado ikitoka tu nitamaambia.🙏
@@AdamLeoStudios sawa
Adam malizia kwanza ulimbo,
Sawa mkuu tukiiweka tutakwambia.
Sasa mbona title ya movie na hashtag yako katika home page ni tofauti mzee Adam….tuwekee title ya movie asa nipe dada ndan kuna aibu nisamehe dada😅😅wap na wap mzee wang….mamb madg tu ya kurekebisha twende mbali
Kaka weww acha tu mambo ya youtube haya, kikubwa we furahia movie tu mkuu, nakubali uwepo wako wanipa nguvu🙏