Wabongo mnashida sana unataka amsaidie vipi amuonyeshe kwny mtandao ama? Kwani konde ana onyesha anavyo msaidia mzazi wake tatizo watu wanamuhumiza DIAMOND kwakumtumia baba yake lakin si vizuri ayo mambo ya familia.
Baba level eee umetengeza siku yanguuu hahaaaa eti unaitwa chawa eeeee nakubali tena sana baba leval uko sawa kabisa wao wanaongea na wewe unashine shine baba.
Uchebe ni fundi magari ...hlo gar halijaarbka ili litengenezwe hlo lnafugwa music na new rem and capet broo sas uchebe anafunga music we ulskia WAP....
@Chemuchemu Lauzima you should go and buy for your dad even your whole familly and stop judging other who doesn't even care for what u're saying...shame on u
Siangaliagi interview full lakini huyu jmaa respect
Uchawa wenye faida huo sio uchawa Kama wa wakina mwijaku 😂😂😂😂😂
Bb levo nakupendaga kwa kusema ukweli ukisikia kuna nafasi kwa mond ya kazi kufagia compound unishtue niko kenya maskini famiy
🤣🤣😳 we kiboko
Ukweli napenda sana interview za huyu jamaa
Good boy and true boy more than ney wa mitego
Umehongeya vizuri Diamond anapambana pambana sasa na wewe uwekama yeye Ndio vizuri.
Chawa wa diamond your true man
Huyu bwana ni mzuri sana kwenye interview! Good!
Eti ameangaika Sana wanaume family..wanaume halisi nja Kali ..ila ivi ana enjoy
nakubalii uchawa huu una faida😀😀
Hongera Sana baba levo mwanakigoma tunakukubali Sana
Jamaa simba anaweka legacy kubwa tumieni nafasi vzur muliokuwa karibu nae.
BABA LEVO WEW NI MPAMBANAJI TOKEA KTOWN PEOPLE NAKUHESHIMU SANA KAKA ❤️
Shineeeeeeee its your time .......shine babaaa
Hahaaaaaaa baba levo ni kichaaa
kitale yupo kwenye kijumba cha mzimu
Asante umeonae
Haaaaaaaaaaaaaaa babalevo miwamhili mwisho wa reli nakukubali San mwamba
Baba levo ww ni noma
Babalevo , nakubali
Hahahah huyu jamaa anaye mhoji hadi ajipange kweli kweli lasivyo unaweza kugeuka chekelea eti wao wamemshindwa ndo wanisukumizie Mimi
Balaa kwl
Mungu akusamehe Diamond Platnumz unashindwa kumsaidia baba mzazi ulaaniwe.
Weyanakuhusu nn? Kama sio upunguani huo bas wendio mwenye laana
Hawezi laaniwa ww
@@lemsimkwama4114 Fanya yako ww acha ukuda na ushambenga
Wabongo mnashida sana unataka amsaidie vipi amuonyeshe kwny mtandao ama? Kwani konde ana onyesha anavyo msaidia mzazi wake tatizo watu wanamuhumiza DIAMOND kwakumtumia baba yake lakin si vizuri ayo mambo ya familia.
Baba Levo kasema ukweli ... Wasanii wengine wapambane na Simba kivyao 😂😂😂
Chawa wa Diamond Platinumz au sio washikaji 😂😂😂
Ila huyu jamaa aisee 😀😀😀😀
nampenda sanah baba levo
nakubali
😃😃😃😃😃Dan baba levo bwana
Honestly sijawahiona uchawa ukalipa kama Baba levo mimi pia inabidi niwe Chawa kwa watu kama Mondi
🤣🤣🤣🤣 eti taa kama Yanga baba levo we noma
Big up xn ba revo
Hyo gari angemnunulia baba ake mzee naseeb
Wamemshindwa wanakusukumizia ww😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahahahahah
Baba levo ni mcheshi sana
Hongera baba levo@coolzeddy
Sawa bb levo
Why not
Baba levo nakukubali miaka mia
Mnansukumizia jitu kubwa lile..pambaneni wenyew
Kitale anaishi kwakwe kenge wewe hata Kama anatembelea Oppa lkn anapaki nyumbani kwakwe cyo kwnye nyumba ya kupanga
Uko juu B levoooo🔥🔥🔥🔥
Ngoma imelia sana
unaanzj mkosa mahojian y b levo
Siku utaambiwa utoe tigo sijui utafanyaje na uchawa wako😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
yake yanamuendea MJINI unatakiwa uishi KIAKILI SANA vyenginevo unarudi na begi ya rambo huko ulipozaliwa
Baba level eee umetengeza siku yanguuu hahaaaa eti unaitwa chawa eeeee nakubali tena sana baba leval uko sawa kabisa wao wanaongea na wewe unashine shine baba.
Like Kama umesikia Chawa,Kiloboto,Kunguni,Papasi Hahahahahahaa
Ww mjinga sana kumbe
Diamond alifanya jambo makini sana kumchukua babalevo na kumuajili...
Chawa promax nimecheka na hii lol🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyu ata uwe na stress bac unacheka😀😀😀😀😀😀😀😀😀
nipe namba ya baba levo mm Nishabiki wake nipe namba zake nimtumie dollars naishi american mm
Babalevo mtambo kweli
Bjlhpull ugy
Tanzania magari rahisi
Zanzibar milion 15 mpk 18 tu iyo
Dah nimerudia sna aisee
Uyo ndio bb levo bwana
Fundi manyumba nakukubal sana wcb for life diamond platnumz ni mlima
Mzee wa basikeri pikipiki bodaboda,🤣🤣🤣🤣
Na kweli uchawa unakusaidia
Baba levo😂😂😂😂😂😂😂
Mbona simuelewi jaman baba levo
Bb levo unanivurahisha bos
Kwani haumpi uchebe kazi , sio ungwana uyo babalevo
Uchebe ni fundi magari ...hlo gar halijaarbka ili litengenezwe hlo lnafugwa music na new rem and capet broo sas uchebe anafunga music we ulskia WAP....
Na diamond mwenywe ndo kamwambia baba levo aipeleke kwa dick sound....
Nafkl umenielew
Jamaa anaongeaga ukweli
Did he said nipo pale chawa, kiroboto,kunguni,papasi lol
When I see diamond platnumz buying vehicles to his friends and leaving his biological dad?????OMG
Hahahaha hahahaha anafeli diamond
@Chemuchemu Lauzima
you should go and buy for your dad even your whole familly and stop judging other who doesn't even care for what u're saying...shame on u
😂😂😂😂 fala sana
Umepeanwa kama sadaka pumbavu🤣🤣🤣🤣🤣
Chawa Promax😂
Nc levo
Mwanaume kununuliwa gari na mwanaume mwenzio nina wasiwasi hapa
Well
Skiliza ngoma zangu kwenye hii account kama ni mbaya njoo unitukane
😂😂😂eti anamihera mingi imempita kichwa.
Iyi sio yanga 😂jamani kashaikataa saizi
Huyu jamaa fala sana
Yaan huyu jamaa keshaikataa yanga et siyo mirang inang'aa km yanga sitaki
Gari nyeusi kama kimbulu 🤣🤣🤣🤣🦝🦝🦝🦝
Mwambie yey pisi Kali
🤣🤣🤣 huyu jamaa n mshenzi
Et mmemshindwa mnanisukumizia mm 😂😂😂😂
Hahahahahahhahahahaha
😄😄
Nakukubal xana baba levo . Naenjoy xana?
Baba levellll hahaaaaa.
Baba levo nihatal anacekesha san
We we utowe pesa ya gari wapi muongo
Sawa Tanasha🤗🤗😜😜🙄🙄
levo baba😍😂😂😂😂😂
@jacktz401 usisahau ku like na kushea
Nani kasikia msechu ana gari nyeusi kama kimbulu gonga like🤣🤣🤣🤣🤣
Bb Levo strees🤣🤣
promax
nakuona bro
@@marcusbonane7075 kumbe na huku unafika huyu jamaa huwa ananufurahisha anaonenga kama wale jamaa wa stand ngara
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eee pro max
Upo Fety
Njaa ilikua ni nyingi sana 😂
Famiia imekushinda unaombaomba
Baba levo
Ni sawa hahaha
That is😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣
Babalevo yuko real,Afichi hali yake en dats why anafanikisha kila jambo lake kwa Chibu,na iyo nyumba soon atapewa
Kitare mpumbavu😁😁😁
Daaaah, kitale BHANA
B levo baaa
huyu jamaa yupokama mtoto wakike anategemea vitu vyakupewa atafte vyake nae sio kuwa anategemea vitu vya kupewa huo nishamba
Ungekua ww ungekataaa au unasema2 kwakua domo jumba la maneno
sasa io Gari si mond angemununulia hata dingiii ake 😔
Unateseka sana
Njaa kali,
Tompooo 🤣🤣🤣
Huyu mwamba ninoma 😂😂😂😂😂
Yaweza sana