'KAPIMENI MAKUNDI YA DAMU KABLA YA KUOANA' MTAALAMU AFUNGUKA YOTE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 мар 2022

Комментарии • 60

  • @jamalisaid3446
    @jamalisaid3446 2 года назад +2

    Vizuri sana mtaalamu, hakika watu wengi tunaishi gizani, ni ushauri mzuri sana.

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 2 года назад

    Asante sana doctor

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 2 года назад +1

    Asante Doctor

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 года назад +10

    Kama wanashindwa kupima ukimwi tu makundi ya Damu wataweza??

  • @singanoabbas669
    @singanoabbas669 2 года назад

    Asante doctor.

  • @srkitimusrkitimu
    @srkitimusrkitimu 2 года назад +4

    Ni sawa daktari. Labda tu niongezee kidogo kuwa Rh+ inamuingia mama mwenye Rh- wakati wa kujifungua ambapo ni rahisi sana kwa damu ya mtoto kuchanganyikana na ya mama wakati huo. Ila damu ya mtoto haiwezi kugusana na ile ya mama pindi mtoto yuko tumboni. Zikishagusana sasa, mama anaanza kutengeneza antibodies dhidi ya Rh+, ambapo baadaye ukipatikana ujauzito wa pili, hizo atibodies huingia kwa mtoto (maana zenyewe ni ndogo sana na zinaweza kupita kwenye placenta) na hatimaye kumdhuru mtoto.

    • @wilsonkaseha2034
      @wilsonkaseha2034 2 года назад

      Safi, NAMI naongezea hapo, kama ikitokea kuharibika kwa mimba iliyotungwa ikiwa Ina Rh+ ama ikitokea stillbirth ya kichanga chenye Rh+ pia ktk mazingira hayo damu inaweza changanyika na ya mama ambaye ni Rh-. Aksante

    • @mercysiyanga7067
      @mercysiyanga7067 2 года назад

      Mim ni mhanga ,now ni mama mjamzito miezi saba,nifanye nin ili nisimuathiri mtoto

  • @msetikebwasi7270
    @msetikebwasi7270 2 года назад +4

    Anacho kizungumzia ni hiki hapa + / - !!.

  • @evancekimath7405
    @evancekimath7405 2 года назад

    Elimu naushauri mzuri sana kwasisi wanajamii,
    Naendelea kuhabarika....!!

  • @ZajratSaid-rs6bi
    @ZajratSaid-rs6bi Год назад

    Daaah nimefrah n manen yko

  • @miriambethuel8892
    @miriambethuel8892 2 года назад +1

    Good job MilardAyo.....so informative

  • @francinekaneza1290
    @francinekaneza1290 2 года назад

    Namba iko wapi

  • @ramadhanyusuph4426
    @ramadhanyusuph4426 Год назад

    naomba number yako doctr

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 года назад

    Form four tulisoma katika biology.

  • @miriambethuel8892
    @miriambethuel8892 2 года назад

    Mmmhhheeeeewoooow...
    Took me waay Back...that form 4 Biology

  • @veronicamhanga2548
    @veronicamhanga2548 2 года назад +1

    Sasa nimeelewa. Nimechoma na nikaambiwa siwezi kuruhusiwa mbaka nichome. Haf hiyo sindano ni gharama sana, selekali tunaomba itusaidie kwa mtu anae shindia mlo 1 kwa siku hawezi choma iyo sindano.

  • @benjminfranklin1486
    @benjminfranklin1486 2 года назад

    😊🔥

  • @mohamedally4496
    @mohamedally4496 Год назад

    Kiukweli hilisuala sio la kitoto kwa wanaopuuza niwaombe tenah na tenah muzingatie hili maana hutajua uchungu wa kumpoteza mtoto mpk utakapopotelewa siku moja ila tusifike huko..... na tufuate ushauri wa Daktar

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад +1

    Good news

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 года назад +2

    Wewe mwenyewe Daktari hukupima kabla ya kuoa,Sema Kupenda usikie,Mapenzi ni upofu

  • @tidesmwakinyuke8633
    @tidesmwakinyuke8633 2 года назад

    Dkt.samahani yanapatikana wapi? Ili nikutafute

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад

    MABABU ZETU WALIKUWA WANAZAA SANAA. TENA BILA KUPIMA, WALA HOSIPITALI.

  • @saidbakari1127
    @saidbakari1127 2 года назад

    Dunia hii acha tu

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 2 года назад

    Du leo ndo nimesikia haya kumbe ni ya kweli

  • @drgeraldcubwa481
    @drgeraldcubwa481 2 года назад +2

    makundi ya damu yanausiana na nini katika kutaka kuoa? labda ungewambia wapime afya ya uzazi ningekuelewa

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 года назад

      Umesikiliza video hadi mwisho au umesoma title tu?

    • @romanabasilswai1583
      @romanabasilswai1583 Год назад

      Hilo somo muhimu Sana, usiangalie kuoana tuu, her mtazaa viumbe gani upo?

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад +3

    Kuna nchi za wenzetu lazima wanapima, sababu wanajua kuna mambo mengituu yana sababisha matatizo

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 года назад

      Si zoote,nimeishi Marekani na Canada si lazima

    • @romanabasilswai1583
      @romanabasilswai1583 Год назад

      Labda vipimo viwe kabla ya kupendana, kwa sababu wengine ukisha mwambia Kuna kikwazo tayari umemwambia akajinyonge

  • @emmysfitnessandforex9403
    @emmysfitnessandforex9403 2 года назад

    Hii ni kweli kbsa

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 года назад

      Utawexa hata Marekani hawafanyi kabla ya Ndoa

    • @jescakiria6883
      @jescakiria6883 2 года назад

      Ametoa tuu Kama ushauri ukitaka ufuate usipotaka acha dear

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 года назад +2

    Rezazefaktaa ndo tuachane au tuoane?....we tuache Mr.Kipara

    • @kibeginiblue7188
      @kibeginiblue7188 2 года назад +2

      C umeambiwa Kuna cindano ya Ant-D

    • @emmysfitnessandforex9403
      @emmysfitnessandforex9403 2 года назад +1

      😂😂😂😂atuache kabisa

    • @mweusiasili8345
      @mweusiasili8345 2 года назад

      Atafanya tuchukiane huy🤣🤣🤣

    • @erickmichaelmugele2107
      @erickmichaelmugele2107 2 года назад

      @@emmysfitnessandforex9403 ,rezazefaktaa ikafie mbele huko kwani watoto ni deni,hiyo ni baraka nikipewa na Mola sawa nisipopewa sawa,ila niache nyashi ya manzi yangu kisa REZAZEFAKTAA😂😂😂,Kipara kazingua

    • @erickmichaelmugele2107
      @erickmichaelmugele2107 2 года назад

      Madaktari hawa wakuwaangalia sana.....Mara sijui mtapata kifafa mkila Kitimoto....Mara Rezazefaktaa sijui mbwinyinyi mbwinyonyo👎.....Madaktari wa michongo

  • @saillydizainamusic5489
    @saillydizainamusic5489 2 года назад

    ruclips.net/video/RD2dX9xow2c/видео.html
    msanii anyekuja kwa kasi mwaka huu tazma hapa kuona balaa lake
    ruclips.net/video/RD2dX9xow2c/видео.html

  • @khadhiriramadhan5984
    @khadhiriramadhan5984 2 года назад

    Baba ako alipima kipndi anamuoa mama ako Acha vitu vyakuiga matako wewe☹☹

    • @romanabasilswai1583
      @romanabasilswai1583 Год назад

      Nenda shule kijana usitukane usilo lijua, zamani wazee walitumia Sana akili walikuwa wanachunguza Kama familia Haina maradhi ya kuridhi

  • @seifsungura6936
    @seifsungura6936 2 года назад +2

    Ni Dr ndiyo lakini hachambui vzr ..labda hicho kigugumizi

    • @DavidMMKing
      @DavidMMKing 2 года назад +4

      Wewe ndio una kichwa kizito mgumu kuelewa sikiliza tena sio kukurupuka. Doctor kaeleza vizuri sana tena sana tatizo ni wewe uh 🤐

    • @adammbuba7230
      @adammbuba7230 2 года назад +2

      Sungura we ndo mgumu wa kuelewa Dr yuko vzur sana

    • @mrematvbabakoku8336
      @mrematvbabakoku8336 2 года назад +1

      Jifuze sana.
      Kisaikojia usimkoaoe mtu kihivyo bali mpe hopu

    • @amanijm746
      @amanijm746 2 года назад

      Tatizo maskio yako yatakuwa na nta. Dr kaeleza vizuri sana. Kaoshe masikio

    • @africanmandetraveler2847
      @africanmandetraveler2847 2 года назад

      Hata shuleni itakua hukumuelewa mwalimu wako kabisaa.