SIRI YA NDANI"Episode 5 final Starling: Tinwhite Jojoh Uchungu Malipo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии •

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 3 года назад +7

    Move zuri mnooo.. nimecheka mpk nimejikojolea.😝🏃🤸

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 3 года назад +3

    Ukisikia huu mchezo hauitaji hasira ndo huu kwel Siri ya ndani 🔥🙌🤸💃

  • @inocentmbugi5835
    @inocentmbugi5835 3 года назад

    Daaaaaaah Kali ya mwaka tin unaweza kaka siyo2 wenzetu Tanzania pia tunaweza

  • @jumamachiya5801
    @jumamachiya5801 2 года назад +1

    😃😃😃 uchungu kama uchungu hakika umeanza kutisha fata vyema nyayo za mzee Tin

  • @richardbahati4095
    @richardbahati4095 2 года назад +1

    Duuuuh nyie noma mmetisha

  • @clementmdoe2211
    @clementmdoe2211 3 года назад

    Daaaah,, natamani ingekuwa ndefu ndefu. Kali sanaaa. Keep it up Tin White. #IloveyouJojo

  • @rivinerogersrovine1391
    @rivinerogersrovine1391 2 года назад

    Nzr sana Boss tin what nimepnda sanaa

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 года назад +2

    Wow🤗🤗thenk u dah nimewahi

  • @justblackcode
    @justblackcode 3 года назад +2

    Hii nyumba Ina Siri noma, watoto nao wamekulana🤣, huu mchezo ni moto wakuotea mbali, love from 🇰🇪

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 3 года назад

      Mbavu zangu weeeeeee😂😂

    • @janegati6031
      @janegati6031 2 года назад

      Watoto wamefanya nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣 jamani bac

  • @gerardkalindo9069
    @gerardkalindo9069 3 года назад

    Hahahah hahahah nakukubari whait love from tz

  • @fatmamody9146
    @fatmamody9146 2 года назад

    Nimecheka jojo alivyoshtuka hahaha noma sanaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🔥🔥🔥🔥🔥

  • @OmanOman-ik9sp
    @OmanOman-ik9sp 3 года назад +3

    🤣🤣🤣🤣Dah nimecheka Fred alivyomgusa Jojo 😆😆😆😆😆😆

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 года назад +1

    Hatali sana kweli
    Hi bakola ya moto🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 3 года назад +3

    *wa kwanza kutoka kenya* 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @princessjoshy8668
    @princessjoshy8668 2 года назад

    Umeua tini baba yangu endelea kuongeza bidii zaidi 😊😊

  • @karamaomar2774
    @karamaomar2774 3 года назад

    Perfect movie nakupa 100% what a nice story

  • @amanipatient1265
    @amanipatient1265 2 года назад

    Napenda sana mchezo huyu una mafunzo mengi,

  • @Mbilizi_boy_tz
    @Mbilizi_boy_tz 3 года назад

    Daaaaa! Movie kalii haijawahii tokea

  • @swaryiitz1479
    @swaryiitz1479 3 года назад +1

    Safiii Sana kaka

  • @emmyyussuf9234
    @emmyyussuf9234 3 года назад

    Mashallah hongera zenu mzury xanaaaaa

  • @braytoncosmas7391
    @braytoncosmas7391 3 года назад +1

    Nakubali T- white show kal

  • @airinsumeno2490
    @airinsumeno2490 3 года назад +1

    Nmekuja mbio jamn💃💃💃💃💃

  • @byangamartin6998
    @byangamartin6998 Год назад

    Daa umenivunja mbavu tin ,,kifupi mmefumaniana hote

  • @esterwilla1951
    @esterwilla1951 3 года назад +1

    Mov tam hii😁😁😁kama ingeendeleaaa tuu

  • @maulidubaya
    @maulidubaya 3 года назад

    Daaaah we jamaa unajuaa san kuandika

  • @elikanasamike9875
    @elikanasamike9875 3 года назад +1

    Imekuwa ngoma dro😃😃😃😃

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 3 года назад +1

    Jmn nimecheka atar😂😂😂😂

  • @zakiahaji1683
    @zakiahaji1683 3 года назад +2

    Nimecheka jojo kaharibu kila kitu😀😀😀😀😀

  • @Maryam-kl6gj
    @Maryam-kl6gj 2 года назад

    Kalikulikoo.familianzima wanamahusiano

  • @barakafredy7726
    @barakafredy7726 3 года назад +1

    frst boy🇹🇿🇹🇿

  • @maherzain615
    @maherzain615 3 года назад +2

    Jojo umeharibu kila kitu😅😅😅😅🤣

  • @JerryMpex
    @JerryMpex 2 года назад +1

    Tin anasema wenzake wote wanamakosa yeye hajajitaja kama anakosa😂😂 alafu anomba msamaha

  • @AhmedSalah-wm6tq
    @AhmedSalah-wm6tq 3 года назад

    TIN WHITE HUJAWAHI KUTUANGUSHA SAFI SANA SEMA DOGO ANAIMBA SANA ANAITWA NANI

  • @allenchuma7292
    @allenchuma7292 3 года назад +1

    Safiii saaan

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 3 года назад

    Duh hii kali mzee 💥💥💥💥

  • @maasaimkisii9089
    @maasaimkisii9089 3 года назад +3

    😂😂😂😂 *HII MOVIE NI TAMU SANA TIN WHITE WE NDO MWIGIZAJI BORA KENYA TWAKUKUBALI*

  • @kizabushiri2082
    @kizabushiri2082 3 года назад

    Asante sana tinwhite Kwa maamuzi ya busara

  • @aliabdallah8908
    @aliabdallah8908 3 года назад +1

    Dah atari sana

  • @JonasiFiston
    @JonasiFiston 4 месяца назад

    Daah lakini Tini kwanini movie zako auzifikish mbali kidg😂😂😂😂😂

  • @emanuelymittango3741
    @emanuelymittango3741 2 года назад

    Mtaua watu jamn🤣🤣🤣🤣 we jamaa 💯

  • @ndimiamon7425
    @ndimiamon7425 3 года назад +1

    Nimehuzunika Nimecheka lakin pia nimeona aibu jaman😁

  • @byangamartin6998
    @byangamartin6998 Год назад

    Jojo ndo kasababisha movie ihishe mapema asinge lalamika, hivi tungekuwa tunapata raha

  • @mohamedwaziri9371
    @mohamedwaziri9371 3 года назад

    Umetisha mzazi

  • @ligungavipaji5338
    @ligungavipaji5338 3 года назад

    Noma Sana jaman nime enjoy

  • @agusmileofficial2845
    @agusmileofficial2845 2 года назад

    Story nzurii sana sana sana

  • @janegati6031
    @janegati6031 2 года назад

    Uuuuuuuuuiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aaaa mmeniuwa aki aaa 🤣🤣🤣🤣

  • @amaniunda5267
    @amaniunda5267 2 года назад +1

    Nimecheka yangu yote jojo kaharibu

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 года назад +1

    🔥❤🔥

  • @wiliammchungaji4586
    @wiliammchungaji4586 3 года назад

    Hii noma nime ielewa

  • @alhamudyalhamudy2015
    @alhamudyalhamudy2015 3 года назад

    Yani icho kipande cha jojo kutoka mvungun nime kirudia mara tatu haaahaaaah jojo kaharibu ishu

  • @saunyimaaru5116
    @saunyimaaru5116 3 года назад

    Kali Sana Sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @josephmayoka3899
    @josephmayoka3899 3 года назад +1

    Nlimsubili mweles na kilangaso naona hawatokei nawakubal San hao jamaa but move nzuur ila fupi duh

  • @emmanuelmabisi32
    @emmanuelmabisi32 3 года назад

    😃😃😃😃😃😄😄😄😄😄😄😄😄😃😃🤣🤣🤣kweli hii Siri ya ndani lakin naamini watu wakikutana tofaut na hapa lazima kitaendelea kuwaka tu 😃😃😃😃🙌🙌

  • @chocolatebby7328
    @chocolatebby7328 2 года назад

    🤣🤣🤣 nimechek sana mvungun

  • @shabani_kitemba
    @shabani_kitemba 3 года назад

    😁😁😁😁. Kali Sana

  • @mohammedyjuma6770
    @mohammedyjuma6770 3 года назад

    JoJo kaharib kila kitu

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣niimecheka kwa sauti jamani hii movie ni 🔥🔥🔥🔥🤣

  • @welsonkifalu4801
    @welsonkifalu4801 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣 mmejua kunifulaisha

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 2 года назад

    Fred man of match

  • @jumakandy2075
    @jumakandy2075 3 года назад

    Tin white good job 👍👍👍

  • @mariamulusasi3324
    @mariamulusasi3324 2 года назад

    Uwiii mbavu zangu mimi

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 3 месяца назад

    Atr Apo nimesubr dogo atakapo watia mimba jojo na Mama yake

  • @cosrevynewchord2022
    @cosrevynewchord2022 3 года назад

    😆😆😆 huyu jamaa hatari xanaaa

  • @chrispinchris70
    @chrispinchris70 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni shida hiyi kitu noma sana

  • @angelldaniel7227
    @angelldaniel7227 3 года назад

    Jamaniii hii tamu sana

  • @yudapeter4903
    @yudapeter4903 3 года назад

    Hahahahah nimecheka sana🤣🤣🤣

  • @zainabuhatibu4438
    @zainabuhatibu4438 3 года назад

    Mama JoJo nae hatariiii

  • @welsonkifalu4801
    @welsonkifalu4801 3 года назад

    Fred uko vizul na kwanza nakuona

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 3 года назад

    Ilitakiwa muendelee Hadi wabebe mimba Hawa ndo mpange Hilo fumanizi lisiloumiza

  • @nuruheartaman3466
    @nuruheartaman3466 3 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣 MOVIE NZUR

  • @sherryeverest2522
    @sherryeverest2522 3 года назад

    Movie nzr sana sana

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 3 года назад +1

    Isiishe bana

  • @tungozamswahilijk4656
    @tungozamswahilijk4656 3 года назад

    Mweupe auna story mbaya km unaandika wewe shikamoo

  • @allenchuma7292
    @allenchuma7292 3 года назад +2

    Tupe chuma kingne

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 3 года назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamn mbavu zangu nakufaa

  • @mcdanta6919
    @mcdanta6919 3 года назад

    Nimecheka jamani Hadi basi JoJo kaki nukisha

  • @niyonkururamadhan3283
    @niyonkururamadhan3283 2 года назад

    Siri yandani kweli

  • @zohrazohra1051
    @zohrazohra1051 3 года назад

    Movie nzur

  • @niyonkururamadhan3283
    @niyonkururamadhan3283 2 года назад +1

    Yani Nimecheka hadi mwisho

  • @abduldaniel5786
    @abduldaniel5786 3 года назад

    Bonge moja ra movie nimependa story yake 🙌🙌🙌🙌

  • @nestoryjackson6750
    @nestoryjackson6750 3 года назад

    🤣😆😃😂 nime enjoy

  • @sisye1
    @sisye1 2 года назад

    Kweli siri yandani

  • @innocentgideon9167
    @innocentgideon9167 3 года назад

    Good idea

  • @nanacute1532
    @nanacute1532 3 года назад

    Nzur saaana

  • @avitusbaruti990
    @avitusbaruti990 2 года назад

    So funny😀😀😀

  • @suleimanbakari4377
    @suleimanbakari4377 3 года назад +1

    I don't understand this kind of language bt I like the movie 🎥 all the way from 🇰🇪😁

    • @estatekisombola9251
      @estatekisombola9251 3 года назад +2

      Matako wewe unatoka kenya ahujuwi kiswahili lol🤣

    • @salmalita6483
      @salmalita6483 3 года назад +2

      @@estatekisombola9251 namshangaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @rizikladyherson8451
      @rizikladyherson8451 3 года назад +1

      Sasa tukusaidieje kwendraaa pia ss tuko wakenya n twajua

  • @haruniblackson1318
    @haruniblackson1318 3 года назад +1

    🔥🔥🔥🔥

  • @claudiayohana6576
    @claudiayohana6576 3 года назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    Halaf white humalizagi movie 🎬 🎞 🎥 🎦 📽 👌 🎬 unasema unaweka kiporo sasa mpk lini? Maan damu mbaya mara mapacha zote hujamaliza

  • @Helen-zs5ti
    @Helen-zs5ti 3 года назад

    Jaman nmecheka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dekingvideoz4944
    @dekingvideoz4944 3 года назад

    Mama ndo chanzo cha yote hayooo

  • @frankamos8388
    @frankamos8388 3 года назад

    Mhh. 🤓🤓🤓🤓

  • @dtv6734
    @dtv6734 3 года назад +1

    SawA

  • @paschaldeus2597
    @paschaldeus2597 3 года назад

    Bonge la movie nimecheka kwa saut duu

  • @benadyisaya5425
    @benadyisaya5425 2 года назад

    Dah
    hatal

  • @haruniblackson1318
    @haruniblackson1318 3 года назад +2

    Story nzuri but character wachache

  • @esterwilla1951
    @esterwilla1951 3 года назад +1

    😁😁😁😁😁

  • @shiva-up5qh
    @shiva-up5qh 2 года назад

    Kimeumana

  • @veroslaa1041
    @veroslaa1041 3 года назад

    Hahaha mbavu zang

  • @MdBabu-sh4ov
    @MdBabu-sh4ov 3 года назад

    Nimeipenda

  • @ntanilanjema04
    @ntanilanjema04 2 года назад

    Hii nyimbo naipataje ?