Pia nnaswali sheikh wangu. Hv ikiwa mwanaume anafanya zinaa na mwanamke mmoja tu na mwanamke anafanya zinaa na mwanaume mmoja tu. hii Hali itatokea kwa huyo mwanamke ilihali virus ni waaina moja tu. Naomba jibu sheikh.
Hata ukiwa unazini na mwanamke mmoja tuu, Bado ni tatizo kwa sababu,huyo mwanamke atakapoolewa, tayari madhara yatapatikana kwa kua virus waliopo kwa mwanamke watamdhuru yule Mume halali lakini pia watamdhuru na huyo MKE, Mtume amesema;Ukitaka kufanya Jambo lolote:Lifikirie kwanza Mwisho wake,ukiuona huo Mwisho ni mzuri,lifanye na ukiuona ni Mbaya,liache.Kwahiyo hapa tunaona Mwisho wa zinaa ni Mbaya kwa namna yoyote ile.
ماشاءالله بارك الله فيك اخي في الاسلام
Wallahi Allah atuhifazi na zinaa sababu watu wengi Sana wamekimbia kucomment hii video kwasababu wengi wetu Ni wazinifu. Allah tuhifazi
Pia nnaswali sheikh wangu.
Hv ikiwa mwanaume anafanya zinaa na mwanamke mmoja tu na mwanamke anafanya zinaa na mwanaume mmoja tu. hii Hali itatokea kwa huyo mwanamke ilihali virus ni waaina moja tu. Naomba jibu sheikh.
Hata ukiwa unazini na mwanamke mmoja tuu, Bado ni tatizo kwa sababu,huyo mwanamke atakapoolewa, tayari madhara yatapatikana kwa kua virus waliopo kwa mwanamke watamdhuru yule Mume halali lakini pia watamdhuru na huyo MKE, Mtume amesema;Ukitaka kufanya Jambo lolote:Lifikirie kwanza Mwisho wake,ukiuona huo Mwisho ni mzuri,lifanye na ukiuona ni Mbaya,liache.Kwahiyo hapa tunaona Mwisho wa zinaa ni Mbaya kwa namna yoyote ile.
Snte mkurugenzi ..ila sema tu kiongoz. Upo vrry slw kupost tutaisahau channel yko ujue...by mwansho
Huyu sheh anaitwa nani nataka kumjua mtandaoni
Suleiman bin Abbas