Cassypool sometimes ni muyayusho, ila jamaa anahitajika sana kwa usemaji wa music industry ya Kenya. Mistakes zilifanywa na waandaaji wa event. Willy Paul Otile Brown Jovial na Kaligraph ni artists pendwa uku Tanzania. East Africa tupendane guys.
🎉🎉🎉Cassypool umeongea vitu vya msingi sana kwa uwelewa mpanga Natamani ungekuwa mtanzania ungeongeza kitu kweny tasnia ya Music 🎶 Wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿tunaumiza kichwa namna gani tulete tuzo ya Grammy nyumbani nyinyi mnapambana kutafuta kiki
😂😂😂😂"fahamu yako ni kidogo kama Miguu ya kiti moto"😂😂😂😂❤ ,Umeongea a very constructive argument, Tanzania na Kenya ni wamoja, Lazima tuungane tulete maendeleo , Kama ulivyosema, Organiser wamekosea, lakini wananch pia , Tunaufahamu mdogo kama ....😂😂😂 East African Community TOGETHER WE ARE STRONG Wakenye tusichukiane KARIBU TANZANIA 🇹🇿 ♥️ OUR COMMUNITY OUR STRENGTH, EAC
This man is very smart upstairs,he is talking sense but the interviewers dont understand him. They even dont understand that what is happening on media inaharibia Willy paul. Then pia ni heshima kuwachia mugeni nafasi .
Willy Paul awachane na tik tok aspent time kwa studio...........Today Diamond is bigger than Pozze n let the truth be told.....As a Kenyan, I will only support good music.
It's not about good music here our own artist was beaten in his own country instead of diamond apologizing for that now he wants to show us how big of an artist he is hiyo ni madharau hakuna mtu anampinga eti his a big artist but humility has never killed anyone ,hapo diamond and his goons did him wrong siuongo so mpaka nyinyi wakenya mnataka kusupport diamonds pride alafu mbona MSI support mwenzenu jamani this is so sad .
@victorosong ameomba sana huyu kuhurumiwa, sasa nani aliona diamond akipigana na willy paul??? alaumu organizers na security waliomzuia.... willy mkora tu, nilikuwepo na hata alitaka kuruka fence baada ya kufanya fujo 😂
@@victorosong imagine bana, mi mwenyewe nilikuwepo na huyo jamaa alichelewa kuingia kwenye show ndo maana akataka kuingia kwa fujo ila najua alichelewa kwa kusudi ya kuvurugana tu na diamond, sababu hata Zuchu aki perform alikuwepo kwenye stage entrance anasumbuana na security....aache ushamba tu apige kazi,
Uyo journaliste msenge sana,eti stand up with kenyans,Kitu Diamond alisha fanya kimuziki hamna mkenya ataweza labda baada y’a miaka 50.Labda Bien kidogo ndo ameanza kuwa international
Cassy makes sense on this one... Willy might have gotten what he wanted "publicity" but what's up after the publicity? Has he prepared himself on what to do with such publicity? That's a very important question for them to ask themselves
Arumtaki uyo poze tz akija tutampiga ngumi akae uko Kenya na atakufa kimziki ukitafuta bifu na watz unapoteza na ukiwa na urafki na watz unapanda juu uyo msani wenu anajitutumua na jeuri Hana eshima na atofka mwari
Willy Paul good artist, Nilimsikiliza sana miaka ya 2016 wakati anaanza but now amekuwa down sana hata anachoimba Bongo huku hakieleweki unless Kwa jamii za Kenya, Kuna kitambo anaanza alianza na mangoma na kina size 8, Sauti sol, Alaine, But now that Bien is bigger than any one from Kenya, anapata sana show and so on Yaani kibongo bongo tunasema amejipata, all in all, all the best Kenyans on your 75% We love you 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.... Love from TZ 255🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Casspool Asante sana , umeongea vizuri sana , YOU think like Us here in Tanzania 🇹🇿, Lakini kunakitu nimejifunza kutokana na wanavyo kuuliza maswali inaonekana hawa vijana lack critical thinking na pia kunaelement ya umimi , Hawajioni ni Wanajumuiya wa EAST, wametanguliza Ukenya Kwanza, ni vizuri na pia nimbaya maana hawajui mipaka ya UKENYA, HIVYO BASI LAZIMA KENYA NA TANZANIA TUFANYE KAZI KWA PAMOJA ILI KUKUZA UCHUMI WA WATU WETU uwe music, kilimo, Health services HAINA BUDI KUVUA UKENYA WENU NA UWEKE PEMBENI WHEN IT COMES TO SUSTAIBLE PROGRESS AND DEVELOPMENT, KARIBUNI EAST AFRICAN COMMUNITY REPUBLIC OF TANZANIA 🇹🇿 ♥️ ❤️
Not all but most Wakenya ni kama they cant think proper, they are easily manipulated simply by saying am from kenya. Its like ukabila vile, they became blind and deaf na kukaza ubongo, pale tu utakaposema "i am home and i love kenya". They protecting disrespectful people simply kwa kusema "charity beginning at home" what a shame, acheni hizo victim mentality and peer pressure. Fanyeni kazi nzuri tutawasapot not otherwise.
Ambient cassypool awache mdomo mingi na kelele. Hata kama willy Paul alikosea the fact remains is that he is still our son. Let us support and defend our son fast before other things. Apeleke mdomo chafu uko.
I'm a Kenyan 🇰🇪 but 2 mbili needs to mature surely cassypool ameongea ukweli hapà after hii clout wat will happen.....weka kazi ingia studio wacha mchezo
Hii Jamaa iko na akili mingi sana😊👏🏾🇰🇪
Cassypool sometimes ni muyayusho, ila jamaa anahitajika sana kwa usemaji wa music industry ya Kenya. Mistakes zilifanywa na waandaaji wa event. Willy Paul Otile Brown Jovial na Kaligraph ni artists pendwa uku Tanzania. East Africa tupendane guys.
Saa hii ata hiyo upendo wenyu nikama tunataka mkae nayo mpaka iwatoke
Peleka ujinga wako huko tanzania ,
@@HalimaWeyimiunapigwa pumbu ww
@michaelgitau9681nyie wasenge wa fikra mnawaza hapa tu akili zenu zipo matakoni ndio tatizo
@@HalimaWeyimi😂😂😂
East Africa is one let's work together, no quarrelling. Warm greetings from Dar es Salaam.
Smart Kenyan right here…1 love 🇹🇿
Huyu jamaa anaongea fact 💯
Kenya Tz tunawapenda sana lakn cjuw kwa nn hamtaki kupendeka you fight every single element of love.The guy is on point
Cassypool is a lunatic,stupid hypocrite
🎉🎉🎉Cassypool umeongea vitu vya msingi sana kwa uwelewa mpanga Natamani ungekuwa mtanzania ungeongeza kitu kweny tasnia ya Music 🎶 Wa Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿tunaumiza kichwa namna gani tulete tuzo ya Grammy nyumbani nyinyi mnapambana kutafuta kiki
Grammy ni ya Diddy
😂😂😂😂"fahamu yako ni kidogo kama Miguu ya kiti moto"😂😂😂😂❤ ,Umeongea a very constructive argument, Tanzania na Kenya ni wamoja, Lazima tuungane tulete maendeleo , Kama ulivyosema, Organiser wamekosea, lakini wananch pia , Tunaufahamu mdogo kama ....😂😂😂
East African Community TOGETHER WE ARE STRONG
Wakenye tusichukiane KARIBU TANZANIA 🇹🇿 ♥️ OUR COMMUNITY OUR STRENGTH, EAC
😂😂😂😂😂 Wueeeh
This man is spitting fire... unfortunately, Kenyans will hate him
Agreed
This guy is on point and talks sense.Na willy pozze never ever compare yourself with diamond platnamz. bado uko chinini sana.
Wacha ujinga pozee.. anafaa kutangulia ndio diamond apande afunge show awache watoto
Sio Mungu anaua watu...Ibilisi ndio anaua💯💯💯💯💯
For once cassypool is making sense👏🏾👏🏾👏🏾
Which sense ?
Yeah
Bora si politics
Narudia tena, Napendaga vile Cassy hupayuka na kutapika maneno ovyo ovyo Anapenda Kunyamba na Kukunia Kunia maneno and I like it 😂😂
Me too
Learn swahili first
Willy Paul acha kutembea na kina 2mbili na kupita Bishara Street usiku 😂😂😂
What ar u saying' , what r I saying? Eti dogie!😊😊😊😊😊
😂😂😂😂😂Wacha tu nicheke interviewer is like we lost one of us cassypool and cassypool is like Mungu ailaze roho yake pema peponi
Mzee upo vizuri unaongea point sana napia una vituko pia😂😂😂😂 mimi mtanzania nimekuku bali sana mzee sawa na mwijaku 😅
This man is very smart upstairs,he is talking sense but the interviewers dont understand him.
They even dont understand that what is happening on media inaharibia Willy paul.
Then pia ni heshima kuwachia mugeni nafasi .
Exactly
😂😂😂😂😂 ati whaaaaat??
Big up brother nimependa facts za ile mutu akitaka kuwa KING what he must do!
Huyu ndio anaongea point sasa niliyoitaka tujenge east africa sio conflicts
Willy should acknowledge the king 🤴.
Jesus is the only King,wewe endelea kumsujudu Diamond as your king
I'm Tanzanian.. we have no choise to fight with this...lets move on. Tz and kenya We're brother.. let and we love all
Tangia mwijaku amekutemea mate kichwani cassypool umekuwa na akili Sanaa..!hongera sana.
😂
🤣🤣🤣💪
😂😂😂
Willy Paul awachane na tik tok aspent time kwa studio...........Today Diamond is bigger than Pozze n let the truth be told.....As a Kenyan, I will only support good music.
It's not about good music here our own artist was beaten in his own country instead of diamond apologizing for that now he wants to show us how big of an artist he is hiyo ni madharau hakuna mtu anampinga eti his a big artist but humility has never killed anyone ,hapo diamond and his goons did him wrong siuongo so mpaka nyinyi wakenya mnataka kusupport diamonds pride alafu mbona MSI support mwenzenu jamani this is so sad .
I like the vibe cassypool.
Willy Paul ndo nani sasa 😂 u king huwezi pata kwa fujo! Willy anaomba kuhurumiwa baada ya kuona mziki hauendi 😂😂😂
😂😂😂 mbona munasema ukweli?
@victorosong ameomba sana huyu kuhurumiwa, sasa nani aliona diamond akipigana na willy paul??? alaumu organizers na security waliomzuia.... willy mkora tu, nilikuwepo na hata alitaka kuruka fence baada ya kufanya fujo 😂
@@Govice 🤣🤣🤣🤣Msanii mkubwa wa Kenya anaruka fence na bado anataka kushindana na Diamond? Hayuko serious mazee.
@@victorosong imagine bana, mi mwenyewe nilikuwepo na huyo jamaa alichelewa kuingia kwenye show ndo maana akataka kuingia kwa fujo ila najua alichelewa kwa kusudi ya kuvurugana tu na diamond, sababu hata Zuchu aki perform alikuwepo kwenye stage entrance anasumbuana na security....aache ushamba tu apige kazi,
Na wewe Ni Nani
Una Nini?
Cassy Pool is right today...all artists should remember they are brands and should build it wisely
Ngoma za willy paul zenye zimefika 10M ni zile alifanya collabo na wa tz..
Cassypool has made a lot of sense finally someone has spoken what I needed to address Willy Paul
Nafulaiyaa iyo jibu… Diamond Ulipnesha Hekima 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬🇺🇬 mugeni ni mugeni 🎉🎉🎉
Mgeni wa nani? Wakenya hawamtambui
@@dennisndirangu2536 mlimualika wa nini kama hamumtambui, na ndio maana alisepa kwa kuwa ninyi wenyewe hamjijui
Thank you cassypool tell Them the truth will aways set them free it's true they are miss leading willy Paul
This girl is interrupting the interview too much
Ni dem ya pozze😂
Huyu ni kiherehere mm siwezi kaa nae ata one month nitamchapa daily
Truthful man at least today you make sense
We mzh saf unagonga point sanaa umetishaaaaaaaaa😇😇😇
Big up KASIPULI bro upovyema katika hii point, ukeongea kama baba mbele ya wanawe. ❤
Chawa nzuri huyu 🇹🇿
Uyo journaliste msenge sana,eti stand up with kenyans,Kitu Diamond alisha fanya kimuziki hamna mkenya ataweza labda baada y’a miaka 50.Labda Bien kidogo ndo ameanza kuwa international
We acha ujinga humake sence use solid intelligence
I support bien his doing a lot
We have best preachers in Kenya and you have best musician in Tanzania,its vice versa wacha kuona ni kama mnaongoza dunia
@@marrieann5278 hilo mngejiongelea ninyi mnajiona miungu watu
Kweli kabisa nmeongea kama watu ishirini❤❤❤
🙌😂🙌..huyu jamaa ana akili sana anafaa apewe uraia TANZANIA.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Cassy makes sense on this one... Willy might have gotten what he wanted "publicity" but what's up after the publicity? Has he prepared himself on what to do with such publicity? That's a very important question for them to ask themselves
Wakenya wamesmama na willy Paul sana ❤❤❤ebu willy pozee vs BFL yummy kolambo wakenya tushikana mkono 😂😂 tusetegeme Tz sana Wa Kenya wako walai
Eeeeeh raund hii Caspool,anaongea Sense big up 🙏🙏🙏
Dogo unaongea point 👏👏
Your on point bro online😊
This guy talks sense always
This guy is a diplomat
Cassypool is wise, this was a very heated conversation 😂😂
hawa ndio our future reporters uiii
Zamani nilikuwa namuona hana akili ila jamaa anaongea point sana.
Cassypool you have told them the truth they don't want to hear
Ziii mafans ndio waliita POZZE' ata huyo MC alijaribu kucheza chini🤣🤣🤣 mbona mnaogopa kusema ukweli
Arumtaki uyo poze tz akija tutampiga ngumi akae uko Kenya na atakufa kimziki ukitafuta bifu na watz unapoteza na ukiwa na urafki na watz unapanda juu uyo msani wenu anajitutumua na jeuri Hana eshima na atofka mwari
Cassypool, kazi haziwezi kufika mbali bila support you suppose to support our own artist cassypool
❤ napenda ni kweli sikumuona diamond pale
Jamaa anaongea point sana Kila Mmoja ajishushe kwa makosa yake
Cassy upo vizuri kaka
Willy Paul good artist, Nilimsikiliza sana miaka ya 2016 wakati anaanza but now amekuwa down sana hata anachoimba Bongo huku hakieleweki unless Kwa jamii za Kenya, Kuna kitambo anaanza alianza na mangoma na kina size 8, Sauti sol, Alaine, But now that Bien is bigger than any one from Kenya, anapata sana show and so on Yaani kibongo bongo tunasema amejipata, all in all, all the best Kenyans on your 75% We love you 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.... Love from TZ 255🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Your on point love how you're speaking
Tell the the truth brother 🙌🏾
Yes brother u make too much sense east africa we need to stick together to move forward tuacheni ujinga wa nani is better than who
Safi sana bro umeongea Vizuri sana 😊😊😊😊😊😊😊
Casspool Asante sana , umeongea vizuri sana , YOU think like Us here in Tanzania 🇹🇿,
Lakini kunakitu nimejifunza kutokana na wanavyo kuuliza maswali inaonekana hawa vijana lack critical thinking na pia kunaelement ya umimi , Hawajioni ni Wanajumuiya wa EAST, wametanguliza Ukenya Kwanza, ni vizuri na pia nimbaya maana hawajui mipaka ya UKENYA, HIVYO BASI LAZIMA KENYA NA TANZANIA TUFANYE KAZI KWA PAMOJA ILI KUKUZA UCHUMI WA WATU WETU uwe music, kilimo, Health services HAINA BUDI KUVUA UKENYA WENU NA UWEKE PEMBENI WHEN IT COMES TO SUSTAIBLE PROGRESS AND DEVELOPMENT,
KARIBUNI EAST AFRICAN COMMUNITY REPUBLIC OF TANZANIA 🇹🇿 ♥️ ❤️
Uko ujinga flani thinking that Tz only have the sense of justice...is he not Kenyan?
bitter truth 😂😂😂😂me nae siezi lia ati nimepigwa na mwanaume aii apana
😂😂😂😂vipi babu mbona unanisukuma😄😄 mwamba kakiwasha
Cassypool umenena brother❤
Well said, Cassy!
Wazi mzito casspoly uko juu Buda👊👊👊😎
Safi broo umewakanyaga vizuri hao. Wanao kuuliza maswali.
@diamond does not need willy poze
❤❤ simba ni simba
After this direct searching willy poul music ❤❤❤❤❤😂😂
This guy is a comedian...🤣🤣🤣🤣
star ni diamond hajaimba na amelipwa
Huo sio ustar ni ukora
Eti will poze ni star 😂😂😂 kwa nyimbo gani@@justusmochoge6577
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 tusikitike kidogoo shshssssssssss
We unaweza imba place kuna fujo ....use ur🧠
Not all but most Wakenya ni kama they cant think proper, they are easily manipulated simply by saying am from kenya. Its like ukabila vile, they became blind and deaf na kukaza ubongo, pale tu utakaposema "i am home and i love kenya". They protecting disrespectful people simply kwa kusema "charity beginning at home" what a shame, acheni hizo victim mentality and peer pressure. Fanyeni kazi nzuri tutawasapot not otherwise.
Cassy pool you are wise.
Jamaa Ana fact sana umeelewa kaka...from dsm
Ambient cassypool awache mdomo mingi na kelele. Hata kama willy Paul alikosea the fact remains is that he is still our son. Let us support and defend our son fast before other things. Apeleke mdomo chafu uko.
Huyu mzee mdomo Mingi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nini usumbuha mdomo kama mwanamke nonsense
Am a kenyan producer.Aki tunajidanganya.
EU-G here napenda hiyo amani,, Cassy uko fiti, speaking well en bad to both, trueth..❤
well said Kassypol, very neutral
Wakenya muelewen huyu jama,yuko mkweli snaaaaa,tusiigawe TZN NA KENYA kwa vi2 hivi,🙏🙏🙏
Huyu jamaa yuko smart sana hakuna cha mfuko anaitiwa kule tz but amebonga ki2 chonjo sana
Vizuri sana Cassypool, Karibu Mwanza Tanzania, i will host your presence till disappearance.
That's why they have to respect Jose chameleon
I want to see a collabo of willy paul and Diamond.
Very true 💯💯💯💯💯💯
So wangepigana? That was hilarious 🤣🤣🤣
Poze ni wetu ... na aliimba na tukafurahia .. sooooo mezeni kijiko, wembe makasi na mafi mafi mushklaaaa 😂😂😂 pozeee❤
Say it without crying baby
Huyo 2mbili must be a heavyweight. Sijawai ona mtu anadhalilisha Cassypool anakua humble 😂
nah he just knows the battles he is supposed to fight
Tumbili ako na reasoning ndogo sana......Cassypool is totally right
Mnahoji Mpaka kasongoo 😂🤣🤣🤣🤣🤣
Cassypool is right
I'm a Kenyan 🇰🇪 but 2 mbili needs to mature surely cassypool ameongea ukweli hapà after hii clout wat will happen.....weka kazi ingia studio wacha mchezo
A lot of sense! We are One!!!
Facts, huyu Cassypool anapenda ukweli
Na ndio vizuri ila ukiwa wakuongea ukweli inaitwa mbaya
Huyu jamaa kasema kweli
Bro upo sawa,,, unasema ukweli,,,
Big up brother 👏🏾 East Afrika we are one🤝🏾
Jaman Redson yuko wapi, Namkubali sana Nyashinski jamani
Redson ndo huyu hapa
Salute kamanda wangu
Wakenya mtumieni cassypol vizuri he’s smart mtakuja kutushukuru badae
This man is rational, why event organizer set the same time for artists to perform. Is it like that,
Cassypool anasema ukweli