Hivi ndo Tunavyo kimbizana huku USA| usije marekani na fikira chanya pekee.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 33

  • @ngoynzoagermain
    @ngoynzoagermain Год назад

    Najifunza mengi sana kupitia wewe.. God bless you.
    From 🇨🇩🇨🇩

  • @saviorJesusChrist
    @saviorJesusChrist Год назад +1

    Ahasante kwa kutujuza naomba utuoneshe mkeo pia. Kwenye camera.
    Tumupe greetings mu English Dada yetu.

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  Год назад

      😆mwenyewe hataki kuonekana mitandaoni, cku akiwa teyari mtamuon😃

  • @allyshomari7417
    @allyshomari7417 Год назад +1

    Pole na mafua. Mwanangu!!

  • @shabaniMsonde
    @shabaniMsonde Год назад

    UNAFANYA KAZI NZURI BRO. BIG UP SANA

  • @IbrahimMwadini-hz7ib
    @IbrahimMwadini-hz7ib Год назад

    Mkuu naomba please no Yako ya simu

  • @IbnuEdrees
    @IbnuEdrees Год назад

    Ni ashraf hap from mikocheni A tz naamin nikikupata wew utanipa mwongozo bila shaka

  • @IbnuEdrees
    @IbnuEdrees Год назад

    Kaka mshaan nipo kweny process nikifika hukoo nitakutafuta kaka.angu

  • @DavidMwakilembe
    @DavidMwakilembe Год назад +1

    pole kaka mungu akutie nguvu uwe na afya njema kabxa ayo mafua yaishie mbal

  • @tridaxprocumbens6079
    @tridaxprocumbens6079 Год назад +1

    Ujumbe mzuri kaka Mshana, ila sauti ndogo.

  • @Zanzibreport2024
    @Zanzibreport2024 Год назад

    Shukran kaka .Swali langu hivi ikiwa nimeshinda Dv na nataka nije mimi peke yangu bila familia je ubalozini niende na familia au naweza kuwaacha kisha nikafanya manufa na wao wakapata viza?

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  Год назад

      Nivizuri uende nao wapate visa kirahisi maana usipo enda nao now, baadae ukitaka kuwaleta US itakuwa mlolongo mrefu na itachukua pesa nyingi na mda mwingi so its better uende nao alafu mambo mengine mpange inakuaje baada ya kupata visa

  • @shabaniMsonde
    @shabaniMsonde Год назад +1

    UMETUMIA GHARAMA KIASI GANI WEWE KAMA WEWE KUTOKA TZ MPAKA USA, TENGENEZA VIDEO INAYOELEZEA MAMBO HAYO YOTE KUANZIA ULIVYOPATA VIZA, PASSPORT NA VINGINE VYA UMUHIMU

  • @MAISHAYACROATIA
    @MAISHAYACROATIA Год назад +1

    Mishavu mtu wangu unaanza kunenepa😅 kula baba

  • @BillyNahum
    @BillyNahum Год назад

    Mshana mwenzangu urewedi au ndio ujui tena kipare

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  Год назад

      😄😄

    • @BillyNahum
      @BillyNahum Год назад

      @@mshanatheblacksmith iv mr mshana watu wasiyo jua kingereza wameingiaje marekani??.. na interview ubalozini wameojiwaje kiswahili au kingereza

    • @mshanatheblacksmith
      @mshanatheblacksmith  Год назад

      @@BillyNahum kuna translator japo nyingi naziona za Kichina sio kiswahili ila ni muhimu kujifunza kingereza hata cha kuombea maji kama unakuja huku

  • @petermusomi09
    @petermusomi09 Год назад

    jamaa niaje nilikucheck but huku reply nilikuambia naomba email yako au namba ya simu nataka tuchonge kidogo

    • @allyabdallah1698
      @allyabdallah1698 Год назад

      Samahani unaweza kuja marecani ukapata kazi hata kama hujui kizungu

  • @beastforever734
    @beastforever734 9 месяцев назад

    Usiongee huku unatafuna ni kelo

  • @rebecaisrael1125
    @rebecaisrael1125 Год назад

    Uwe Unasaidiya kufika huko

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 Год назад

    Acha kutafunatana ukiwa unaongea hasa in public unaonyesha hupo serious unapunguza attention kwa watu... ni ushauri tu

  • @SadockJaphet-d4i
    @SadockJaphet-d4i Год назад

    Kak mambo vipi mi nilikua naulizi ukioba viza ya matebezi likina ukafika huko ukabadilisha mamz ukaamua kutafuta kazi kwabahati mbaya viza ikaisha mudaweke selikali ya marekani inakufatilia au inaachana na wew??????🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

    • @IsraelKisaila
      @IsraelKisaila Год назад

      Ndugu yangu lazima visa iwe active, vinginevyo utafute kibali Cha kudumu Cha ukaazi

  • @rashidabdallah8061
    @rashidabdallah8061 Год назад

    Kaka tunaweza kupata watsap no.yako

  • @nasraabrahaman9100
    @nasraabrahaman9100 Год назад +1

    Mi nakufatilia sana ila unavyochakuwa sasa huku unaongea inakuwa haipo sawa. But im sorry