WANASAYANSI WAKILI JUU YA UKWELI WA KISA CHA DHUL QARNAIN NA WATU WA PANGONI :-SHEIKH SULEIMAN

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 89

  • @Elema-kv4ie
    @Elema-kv4ie Год назад +3

    mungu awalinde wote mnaotangaza uislamu

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 8 месяцев назад

    Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚💚

  • @guyogalora2736
    @guyogalora2736 8 месяцев назад

    Masha Allah barak Allahu feek sheikh wetu

  • @mamajassi2584
    @mamajassi2584 Год назад

    Masha Allah mungu akulinde akupe afya njema uzidi kufundisha watu

  • @soilammary4211
    @soilammary4211 Год назад

    Maashalllah elimu nzuri hii

  • @kutafuna
    @kutafuna Год назад +1

    MASHA ALLAH

  • @user-cr6hk8mo3x
    @user-cr6hk8mo3x 9 месяцев назад

    Jazaaka lahu haira

  • @theunseen.believe5672
    @theunseen.believe5672 Год назад

    Excellent explation.

  • @ahbakumhusseinabubakar1532
    @ahbakumhusseinabubakar1532 Год назад

    Maa shaa allaah

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Год назад +3

    Asalaam aleikum Sheikh Maashalah Msomi sana madini ya kemia fizikia na hesabati wewe unatisha mno

    • @user-qe8xp6ii1u
      @user-qe8xp6ii1u Год назад +1

      Hii ni Ghuluwi uliyofnya.Mtu kusimulia Visa tu tayr ashakuw Msomi Sana.

    • @jumaali1390
      @jumaali1390 Год назад

      Kusifiwa kwa mtu kusikutie wivu, hata km sio msomi Ila sio makosa kumsifia mtu kw jitihada zake

    • @omarymtegwa2299
      @omarymtegwa2299 8 месяцев назад

      ​@@user-qe8xp6ii1uhebu tuhadithie na kiss unacho fahamu tuone😂😂😂😂😂,huyu shekh amekuzidimbali sanaaaaaaaaa

  • @Kimweri_tz
    @Kimweri_tz Год назад

    Maashallah
    Allah Akbar

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 Год назад

    Allahu Akbar 5:48

  • @issahdady608
    @issahdady608 Год назад

    Maa shaallah

  • @bongue6003
    @bongue6003 Год назад

    Mashallah que bom shekhe

  • @soilammary4211
    @soilammary4211 Год назад

    Unaongea vizur sana Mwalimu wetu asante!

    • @soilammary4211
      @soilammary4211 Год назад

      Elimu kubwa sana hii

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k Год назад

      @@soilammary4211 hakuna elimu kubwa hapo. Mfano anasema Dhulqanain ni Mfalme Koresh wa Waajemi halafu anadai kwamba alikuwa ni Mwislamu ilhali Dola ya Uajemi sote tunafahamu kwamba ilitawala kuanzia mwaka 539 BC (Miaka 539 kabla ya Kristo). Pia huyu Mfalme Koresh (Cyrus The Great) alikuwa anaabudu miungu ya Kiajemi na Dini yao inaitwa Mamajusi ambayo ndio Dini ya Asili ya Waajemi (Yaani watu wa Iran). Hivyo kusema kwamba alikuwa Mwislamu ni uongo maana Uislamu kwanza ulikuja wakati wa Muhammad yapata miaka 610 baada ya Kristo. Hivyo kutoka Mfalme Koresh hadi kuanzishwa kwa Uislamu kuna tofauti ya miaka 1150.
      Halafu alipochemsha zaidi Sheikh ni pale anaposema kwamba Mfalme Koresh alikutana na Nabii Ibrahim. Mmmmh hiki ni kichekesho maana Ibrahim aliishi miaka mingi sana kabla ya Mfalme Koresh. Ibrahim ameishi miaka takriban 2000 kabla ya Kristo wakati Mfalme Koresh alikuwapo miaka 539 Kabla ya Kristo ikimaanisha kwamba kutoka Ibrahim hadi Koresh kuna tofauti ya miaka kama 1500 hivi. Sasa Koresh anamuonaje Ibrahim? Hahahahahahhahahahah ndugu zangu Waislamu nendeni Shule mnadanganyana sana.
      Hata huo ukuta wenyewe wa China wala hajajenga Mfalme Koresh fuatilieni Historia vizuri.

  • @BON357
    @BON357 Год назад

    Mungu

  • @ismailabdillah6682
    @ismailabdillah6682 Год назад +1

    Jamani ndugu zangu waisilamu yajuj na majuj ni binadamu tusomeni elimu

  • @ismailabdillah6682
    @ismailabdillah6682 Год назад +2

    Sheikh bibilia si kitabu kikatifu tusidanganyane hapo

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k Год назад

      Koran yenyewe isingekuwepo bila Biblia. Habari za Manabii kama Ibrahim, Musa na wengineo zote Muhammad alizipata kutoka kwenye Biblia baada ya kusimuliwa na Waraq ibn Naufal

  • @majulamagayane8766
    @majulamagayane8766 Год назад +2

    Mm ni mkristo hila Shee unanijua historia

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k Год назад

      Wewe ni Mkristo usiyesoma Biblia na kufuatilia mambo kwa ufasaha. Kwa kifupi hakuna elimu kubwa hapo. Mfano anasema Dhulqanain ni Mfalme Koresh wa Waajemi halafu anadai kwamba alikuwa ni Mwislamu ilhali Dola ya Uajemi sote tunafahamu kwamba ilitawala kuanzia mwaka 539 BC (Miaka 539 kabla ya Kristo). Pia huyu Mfalme Koresh (Cyrus The Great) alikuwa anaabudu miungu ya Kiajemi na Dini yao inaitwa Mamajusi ambayo ndio Dini ya Asili ya Waajemi (Yaani watu wa Iran). Hivyo kusema kwamba alikuwa Mwislamu ni uongo maana Uislamu kwanza ulikuja wakati wa Muhammad yapata miaka 610 baada ya Kristo. Hivyo kutoka Mfalme Koresh hadi kuanzishwa kwa Uislamu kuna tofauti ya miaka 1150.
      Halafu alipochemsha zaidi Sheikh ni pale anaposema kwamba Mfalme Koresh alikutana na Nabii Ibrahim. Mmmmh hiki ni kichekesho maana Ibrahim aliishi miaka mingi sana kabla ya Mfalme Koresh. Ibrahim ameishi miaka takriban 2000 kabla ya Kristo wakati Mfalme Koresh alikuwapo miaka 539 Kabla ya Kristo ikimaanisha kwamba kutoka Ibrahim hadi Koresh kuna tofauti ya miaka kama 1500 hivi. Sasa Koresh anamuonaje Ibrahim? Hahahahahahhahahahah ndugu zangu Waislamu nendeni Shule mnadanganyana sana.
      Hata huo ukuta wenyewe wa China wala hajajenga Mfalme Koresh fuatilieni Historia vizuri.

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD Год назад

    Al hamndu lillah, Dah kumbe ukuta wenyewe ni ule ulio jengwa china allahu akbar nashukur kwa kulijua hilo, baarak llahu feeka,

    • @dalla8186
      @dalla8186 11 месяцев назад

      Uongo huo kaka huo mpaka haujulikani asee soma vizuri dini hakuna mtu alie sema ni wa china

  • @masudymanju6062
    @masudymanju6062 Год назад

    Asalaam alaykum
    Jamani naomba mwenye nayo au anae jua kui download anielekeze biidhnillah

    • @mujahidibnimrani3058
      @mujahidibnimrani3058 7 месяцев назад

      Walaikum salaamu warahmatullahi wabarkatuhu
      Vp mpk leo ujui kudownload nkufundishe?

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 Год назад +1

    mfatilie kwa makini Imran Hussein kuhusu elimu ya nyakati za mwisho (Islamic eschatology )ruclips.net/video/M7Ws1lcEUic/видео.html

    • @ismailabdillah6682
      @ismailabdillah6682 Год назад

      Hapo kabisa ahmed ameifasiri kwa ufasaha

    • @ismailabdillah6682
      @ismailabdillah6682 Год назад

      Yajuj wa majuj ni binadamu na imagine hata kwenye bibilia wametajwa kama binadamu kisha sisi waisilamu tudanganywe eti ni viumbe vitakula majumba mwisho wa dunia

  • @nyc5595
    @nyc5595 Год назад +2

    Asalam Alaikum Sheikh wetu mupendwa.Sasa sheikh nina swali hapo Dhul Qarnayn unasema wazungu au kwenye bible wanamwina jina hilo mnalo lisema na kuna mwingine sheikh alisema huko nyuma kidogo kama week moja nyuma eti huyo huyo Dhul Qarnayn ndo huo mfalme Alexander the Great sasa mutufanyie utafiti wa juu mutupe maelezo sahihi asante sana

    • @nyemondagalla608
      @nyemondagalla608 Год назад

      Nasubiri wakujibu

    • @user-ch6lb6lu8s
      @user-ch6lb6lu8s Год назад

      Jibu gani unalosubiri nakila kitu kinajibu lake hapo anaposema nakusoma Qr,an

    • @shabanimaulidy9190
      @shabanimaulidy9190 Год назад

      Ndio huyo huyo

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k Год назад +1

      Swali zuri sana umemuuliza. Kwa kifupi Dhulqanain kwa Kiarabu maanake ni Mtu mwenye pembe mbili ( A man with two horns) na huyu fuatilia Historia zote utakuta Mfalme aliyeitwa jina hilo ni mmoja tu ambaye ni Alexander the Great (Iskandaria Mkuu). Huyu alikuwa ni Mgiriki na ndiye hasa aliteka Dunia nzima ya Ustaarabu ya wakati huo kwa muda mfupi sana na alifika hadi China huko. Huyu aliishi miaka kama 330 KK (Miaka 330 Kabla ya Kristo). Hivyo uko sahihi kabisa kuuliza swali hili na Sheikh hapo amechemka pia kwa kusema kwamba huyo Dhulqanain alikuwa ni Mwislamu maana Historia yote inafahamu kwamba Mfalme Koresh na Alexander the Great wote walikuwa na Dini zao za kipagani na wote hawa waliishi miaka mingi sana kabla ya Uislamu. Hivyo Sheikh Elimu inawezekana ni ndogo au labda anadanganya kwa makusudi.

    • @ismailabdillah6682
      @ismailabdillah6682 Год назад

      Wacheni zenu jamaa Alexander the great si dhul qarnain na zaidi ALLAHU YAALAM

  • @ismailabdillah6682
    @ismailabdillah6682 Год назад +1

    Samahani pia hapo the great wall of china haikujengwa na dhul qarnain search kokote mitandaoni ni google mutaona

  • @abisairobert4864
    @abisairobert4864 Год назад +2

    Pole kwa kutojua ukweli

  • @saidemuamedeali2678
    @saidemuamedeali2678 Год назад +4

    Sheikh Bible si kitabu takatifu bali kitabu potofu ingili ndio kitabu takatifu

    • @SalumSultan
      @SalumSultan Год назад +1

      Sahihi nakubaliana na ww

    • @RachidMassud10
      @RachidMassud10 Год назад +3

      Yaweza kuwa sio makusudi yke bal amepitiwa tu

    • @cath-ef7wd
      @cath-ef7wd Год назад +1

      Mungu amsamehe hajakusudia kimantic...bible ni kitabu mavi ni ushenzi mtupu uliomo

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      ​@@cath-ef7wd 😂

    • @nehemiaayo9527
      @nehemiaayo9527 Год назад +1

      @@RachidMassud10 😂😂😂😂

  • @dalla8186
    @dalla8186 Год назад +2

    Kuhusu hapo kwenye ukuta wa great wall of china hapo nakataa...

    • @hethamhussein7337
      @hethamhussein7337 Год назад

      Tupe wewe habari ya ukuta huo

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k Год назад

      Hapo Sheikh amechapia mazima. Halafu kali zaidi eti anadai Mfalme Koresh alikuwa ni Mwislamu na alikutana na Ibrahim. Historia yenyewe inaonesha Mfalme Koresh alianza kutawala Uajemi mwaka 539 BC (miaka 539 Kabla ya Kristo) na Uislamu ulikuja wakati wa Muhammad miaka 610 baada ya Kristo kwahio kutoka Koresh hadi Uislamu kuna tofauti ya miaka 1150 hivi. Historia pia inaonesha kwamba huyu Mfalme Koresh pamoja na kuwaruhusu Wayahudi kurudi kwao Yerusalem kujenga Hekalu la Suleiman lakini alikuwa na Dini yake ya kipagani kama Desturi ya Waajemi wote ambayo ni Dini ya Mamajusi (Zoroastrianism) ambayo inaabudu zaidi nyota. Hivyo wala hakuwa Myahudi, Mkristo wala Mwislamu. Vile vile Sheikh amechapia kusema kwamba huyo Mfalme amekutana na Ibrahim ilhali Ibrahim yeye aliishi miaka kama 2000 na zaidi kabla ya Kristo ikimaanisha kutoka Ibrahim hadi Mfalme Koresh kuna tofauti ya miaka 1500. Hivyo unaona kabisa Sheikh amechapia anachoongea.

  • @baaliyanuun416
    @baaliyanuun416 Год назад

    Aaaaaa Sheikh Wang ulim hauna mfupa "" Bibilia sio kitabu kitakatifu""

    • @bakarihamis6617
      @bakarihamis6617 Год назад

      Mimi naona ukuta wa china sio washaba w chumba rabda uwo ukuta haupo kwenye macho ya kawaida kwani ukuta wa china umejengwa kwa mawe ya kawaida na Wala sishaba Wala chuma

    • @sundaymsuya1433
      @sundaymsuya1433 Год назад

      Xaxa Quran kitakuaje kitabu takatifu wkt kimetoke kwenye torati na injili alafu leo mnasema kimeshushwa Quran nikopi kutoka kwa kristo

    • @allychengula3511
      @allychengula3511 Год назад

      We jamaa biblia ni maandiko matakatifu Kama hutaki kaa hivo Ivo shehe kataja we unabisha

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k Год назад

      Hapo Sheikh amechapia mazima. Halafu kali zaidi eti anadai Mfalme Koresh alikuwa ni Mwislamu na alikutana na Ibrahim. Historia yenyewe inaonesha Mfalme Koresh alianza kutawala Uajemi mwaka 539 BC (miaka 539 Kabla ya Kristo) na Uislamu ulikuja wakati wa Muhammad miaka 610 baada ya Kristo kwahio kutoka Koresh hadi Uislamu kuna tofauti ya miaka 1150 hivi. Historia pia inaonesha kwamba huyu Mfalme Koresh pamoja na kuwaruhusu Wayahudi kurudi kwao Yerusalem kujenga Hekalu la Suleiman lakini alikuwa na Dini yake ya kipagani kama Desturi ya Waajemi wote ambayo ni Dini ya Mamajusi (Zoroastrianism) ambayo inaabudu zaidi nyota. Hivyo wala hakuwa Myahudi, Mkristo wala Mwislamu. Vile vile Sheikh amechapia kusema kwamba huyo Mfalme amekutana na Ibrahim ilhali Ibrahim yeye aliishi miaka kama 2000 na zaidi kabla ya Kristo ikimaanisha kutoka Ibrahim hadi Mfalme Koresh kuna tofauti ya miaka 1500. Hivyo unaona kabisa Sheikh amechapia anachoongea.

  • @ahmedmakame1687
    @ahmedmakame1687 Год назад +1

    sikiliza ufafanuzi wa shekh Imran Hussain juu ya dhurkarnain utafunguka akili

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 Год назад

    Bibilia umekufuru hapo Bibilia ni kitabu cha shetani omba istighfari kwa Allah matamshi uliyosema umepotosha jamii kusifu Bibilia

    • @albertmbwilinge5449
      @albertmbwilinge5449 Год назад

      hacha ujinga ww ukikosa cha kusema ni vzur pia ukikaa kmya kulko kuropoka

    • @allychengula3511
      @allychengula3511 Год назад

      We unaongea kanakwamba ndio umeandika Bible vp ulikuwa pamoja na shetan au

    • @user-yv7ij4zh4k
      @user-yv7ij4zh4k Год назад

      Hapo Sheikh amechapia mazima. Halafu kali zaidi eti anadai Mfalme Koresh alikuwa ni Mwislamu na alikutana na Ibrahim. Historia yenyewe inaonesha Mfalme Koresh alianza kutawala Uajemi mwaka 539 BC (miaka 539 Kabla ya Kristo) na Uislamu ulikuja wakati wa Muhammad miaka 610 baada ya Kristo kwahio kutoka Koresh hadi Uislamu kuna tofauti ya miaka 1150 hivi. Historia pia inaonesha kwamba huyu Mfalme Koresh pamoja na kuwaruhusu Wayahudi kurudi kwao Yerusalem kujenga Hekalu la Suleiman lakini alikuwa na Dini yake ya kipagani kama Desturi ya Waajemi wote ambayo ni Dini ya Mamajusi (Zoroastrianism) ambayo inaabudu zaidi nyota. Hivyo wala hakuwa Myahudi, Mkristo wala Mwislamu. Vile vile Sheikh amechapia kusema kwamba huyo Mfalme amekutana na Ibrahim ilhali Ibrahim yeye aliishi miaka kama 2000 na zaidi kabla ya Kristo ikimaanisha kutoka Ibrahim hadi Mfalme Koresh kuna tofauti ya miaka 1500. Hivyo unaona kabisa Sheikh amechapia anachoongea.

    • @boscomtani1006
      @boscomtani1006 Год назад

      Individual ipo wapi? Injili inamzungumzia nani? Je anayezungumziwa na Injili kutoka katika Torati ni Shetani? Wanaosoma Elimu ya Dini ya Kikristo na Uislamu wanasoma vitabu vyote vya dini hizi mbili. Ni ruhusa kuvisoma kisha ujue ukweli mwenyewe bila kusimuliwa.

  • @nyc5595
    @nyc5595 Год назад