KIMBUNGA CHA MOTO MAREKANI, CHAITEKETEZA ZAIDI LOS ANGELES, KUIJENGA UPYA ITAHITAJI MABILION YA ELA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2025

Комментарии • 72

  • @AliNassor-qt6fm
    @AliNassor-qt6fm 2 дня назад +25

    Tunaendeleza Dua ili moto uendelee inshallah

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln День назад +13

    Mnafanya dhulma nyingi. Mumezoeya kuharibu nchi za watu kwa mabomu sasa ngoma imewageukia nyinyi. Damu ya Gaza haitawaacha Salama

    • @MahdouMomba
      @MahdouMomba День назад +2

      Damu ya Gaza, Syria, Iraq, Afghanistan na Libya, haziwezi kuwaacha salama

    • @yustoedward2224
      @yustoedward2224 9 часов назад

      Sawa kabisa

    • @yustoedward2224
      @yustoedward2224 9 часов назад

      Wamrudie mung waache kutesa wenzao

  • @TusubilegeMwanyonga
    @TusubilegeMwanyonga 5 часов назад

    Dalili za siku za mwisho zimezidi tujiandae Anarudi Yehova Aliyehai Atusaidie na Atusamehe. Tumbeane sana,Imani zizidi,toba pia

  • @LupakisyoKandonga
    @LupakisyoKandonga День назад +5

    MUNGU ONGEZA KIDOGO👏

  • @lastonissack6948
    @lastonissack6948 День назад +2

    Tufunge na kuomba Moto uongezeke

  • @TusubilegeMwanyonga
    @TusubilegeMwanyonga 5 часов назад

    Poleni America Praying for you God to take care of All

  • @hapsasharia1512
    @hapsasharia1512 День назад +3

    mungu jaalia white house na maghala ya makombora yaunguwe nayo amin

  • @MwitaSenso
    @MwitaSenso День назад +3

    Mungu ni MUNGU TU saaafii

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 День назад +8

    Watoto wanakufa gaza kinamama mungu hapendi adhabu inaendelea

    • @nixonmugo8207
      @nixonmugo8207 День назад

      Vifo via garage ni ya kujitakia

    • @JamalKanani
      @JamalKanani День назад

      ​@@nixonmugo8207ata huo moto ni wakujitakia tu

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 2 дня назад +13

    Mukatoe msaada ukrain na israeli tena wajinga nyie

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 День назад +2

    Acheni, rejesheni haki za watu. Africa mmetuibia saana na bado mnatudhulumu,ubabe ukandamizaji. Mnamwaga damu za watu wasiokuwa na hatia Mashariki ya Kati.Tubuni kiukweli.

  • @HappinessCelestine-t2u
    @HappinessCelestine-t2u День назад +1

    Jmn na hisi walimkosea Mungu Kwa namna moja au nyingine wanatakiwa wa mrudie Mungu tu!

  • @KalicKaguz
    @KalicKaguz День назад +2

    Huwaga wanajizatiti sana kiusalama haya sada MwenyeNguvu ameleta nguvu Zake

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 День назад +2

    Yarabi ya Allah iteketezi Loz angels yote mpaka ikulu ya Marecani na pentagon Kwa ujumla: Amina ya Raval aalamina

    • @IneHenry
      @IneHenry День назад

      Usiombee wengine ubaya

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 День назад +4

    Hivi ile mvua ya kutengeneza waliyo wahi kusema wanayo si wait waitumie kuuzima huo moto ulio washinda kuuzima mana ni aibu kwa taifa kubwa kama ilo linashindwa na moto wakati hadi mwezini wanafika😂😂😂😂😂😂

    • @KalicKaguz
      @KalicKaguz День назад +4

      Mungu akiamua lake hakuna kifolongo chochote mwenye uwezo wa kupambana Naye

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d День назад +3

      Hapo ndio 2najuwa kaz ya MUNGU haina makosa 😂

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 День назад +2

      @@KalicKaguz Vile leo wanaangaika na kuona taifa lao lipo motoni ndo wajuwe yale makombola na vifaru wanavyowaua watu wasio kuwa na hatia ,binafsi naomba moto usizimike hadi iwake Beverly Hills yote

    • @ubunifulifestyle3492
      @ubunifulifestyle3492 День назад

      Hakuna sayansi iliothibitika ya nvua hizo ni editing za mitandao

  • @مدرسةتحفيظالقرآن-ث1ف

    Eti watakabiliana na moto mungu akipenda , ndo mnamjuwa mungu sasa 😂

  • @jofreykilangila4118
    @jofreykilangila4118 2 дня назад +2

    Anasema MUNGU akipenda . Leo ndo anamtaja MUNGU

  • @JanethKidzumbe
    @JanethKidzumbe День назад

    Poleni sana

  • @HABIBHASSAN-wf5mr
    @HABIBHASSAN-wf5mr День назад +2

    HUYU BAIDEN AKILI ZAKE NI KIDOGO SANA ANATOA TATHIMINI YA GHARAMA ZA KUIJENGA UPYA LOS ANGELES AJUI KUWA PENGINE UENDA HUO MOTO UTAKUJA MPAKA HAPO ALIPO ..UTADHANI KAONGEA NA MUNGU

  • @MUHSINSALUM-cc4tg
    @MUHSINSALUM-cc4tg День назад

    ALLAH ANGELIIDIDIMIZA MAREKANI NZIMA.
    AAAMIIIN

  • @مدرسةتحفيظالقرآن-ث1ف

    Huo ni utangulizi tu , hamjaona kitu , kipigo kinakuja nyuma

  • @ahmedAwesu-g8o
    @ahmedAwesu-g8o 2 дня назад +2

    Israel ije itoe msaada huku tupo vbaya

  • @RamaKenga-u9h
    @RamaKenga-u9h День назад

    Acha mungu awatie adabu maana walijiona wao ndio wao

  • @Mrsalt-z9m
    @Mrsalt-z9m День назад +2

    Yah Alah jaalia moto wako uteketeze miji mingi hadi washindwe kutoa misaaada Ukraine na Israel

  • @MercyonyanchaBaby
    @MercyonyanchaBaby День назад +1

    Maombi ya watu a gaza

  • @BenoBeno-c4l
    @BenoBeno-c4l День назад

    Mungu ameshaanza kuwapa adhabu ya dunia na bado wahuni washenzi waliyo halal8sha muume aolewe na muume mke aolewe na mwanamke mwenzake wanaona km mungu alikosea waache wayaone moto wa dunia na moto wa akhera ndio mkal zaidi tubien washenzi the door is open...

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 День назад

    Swala hapa siyo makazi mangapi yameangamia swala ni kwamba Maafa makazi na mali zimeteketea. Mungu awanusuru watoto, wagonjwa na wazee. Inshaallah

  • @moxasaidi3398
    @moxasaidi3398 День назад +1

    Yarabii waongezee adhabu kwa uwezo wako

  • @salumuselemani-km2ee
    @salumuselemani-km2ee 2 дня назад +4

    Waislamu pigeni Alam tara na Aya ya mwisho ya Baqara mara zakutosha Ili Allah amalize kabisa hili jambo na Marekani iteketee kabisa Dunia ipumue kdgo kwa zuruma za Washenzi hawa

  • @JacksonLukumayi
    @JacksonLukumayi День назад

    Ukrain ndo inaenda kwa urusi sasa, maan msaada itakata sasa

  • @TusubilegeMwanyonga
    @TusubilegeMwanyonga 6 часов назад

    Lord Father take Control In Jesus Name to heal your people We need a big miracle from You Lord. It Pains

  • @wadantz123
    @wadantz123 2 дня назад +5

    Awa watu naona wanatumikia adhabu yao

  • @hassanlikwenangu8471
    @hassanlikwenangu8471 День назад

    Au ni Movie ya Hollywood??

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 2 дня назад +2

    Mwenyezimungu waperekee moto mwingine

  • @rashidikhalfani-qt8rp
    @rashidikhalfani-qt8rp День назад

    Mashetani munakufa hata siamini kama kweli

  • @MichaelEustach
    @MichaelEustach День назад

    Kumbe n moto wa upepo mkali

  • @sumbulan
    @sumbulan День назад

    Eh 😢 Kumbe vya Sodom Na Gomoro ni kweli Eh

  • @salumuselemani-km2ee
    @salumuselemani-km2ee 2 дня назад +2

    Yarab yangeungua maghara ya siraha na pentagon yenyewe na Marekani yote. Inshallah
    Guys Dua ziendelee Mungu awamalize kabisa Hawa washenzi wasichomoke

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 2 дня назад

    Kinachonifurahisha hapo ni kimoja tu kua mpaka bunge liridhire yaani haamu Rais peke yake kama kwetu

  • @josephservicechannel2734
    @josephservicechannel2734 День назад +1

    Hapo ni kufunga na kuomba toba kwa Mungu aliyeziumba Mbingu na Nchi hakuna dawa nyingine hapo dunia msikie hii ndio dawa pekee

  • @JaredNtengeri
    @JaredNtengeri День назад

    Remember what happened sodoma na Gomorrah,

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v День назад +1

    Yesu tuhurumie tumekosa

  • @AsheryShadrack
    @AsheryShadrack День назад

    Mimi nimchungajii jamani mkiyaona haya juenii yakwamba mwana wa adamu yu karbu kuja kama moto uwo unawasumbua marekanii je hasila ya mungu nani atazuìya tujiandaenii