Mpina,Mungu aonekane katika shauri hili,Haki ishinde Dhuluma! Mungu akulinde dhidi ya watu waovu! Uwe makini na waovu wote wasije kukuuwa! Mungu akuepushe na mipango yao yote miovu!
Mpina safi wanaokudhiki ni vibaraka na wanafiki kisesa mna mbunge hongera sana ukiwa kiongozi ni kwa ajili ya watu sio tumbo lako kama walivyo wabunge wengine
Kila kisiki kigumu kwa serikali nakuona wakili mhehe Hang Chang mwana wa matekeleza unaletwa kuitetea serikali. Hongera mdogo wangu kwakuaminiwa na serikali ya mama
Wachumi wanapokodoa macho ktk maeneo waliyotakiwa kuyasemea inashangaza sana. Si shangai sasa jinsi serikali hii ya Tanzania 🇹🇿, ilivyo waamini wanasheria kuwa viongozi ktk maeneo mengi hata yasiyo ya kisheia Mfano Gavana Luoga, pamoja na madhara makubwa waliyoiletea serikali na wananchi lkn inaonekana taaluma zingine hazina majibu sahihi ya unyonge wao. KATIBA Mpya itakayo Zipa taasisi mamlaka ya kikatiba nina hakika Watu kama Professor Asad watapata hadhi wanayo stahili.
Naenda kuona mwanasheria wa serikali akipigwa chini mbali kabisa na hapo ndo tutaona serikali huwa haichagui mtu mwenye taaaluma yake bali wanapeana tu
Kila mtanzania akisikia ni wazi nchi inabigwa,kesi ya Nini? Shida ya sukari ndio tunayoujua. Sh elfu 3 sio bei nafuu ikiwa sukari inazalishwa hapahapa.
Hawez mpina kushinda hio kesi mnaropoka kama unataka kuhamia chadema we nenda 2 unataka watu apate sukari yabei kubwa wakati watu alikua anaficha kwasababu kwakupungua sukar nenda chadema brother
Amekosa kazi ya kufanya mpina .hana hoja kaishachanganyikiwa kwakukosa nafasi za kuteuliwa .Wananchi wa kisesa hawana mbunge bali wananchi wa kisesa wanambunge mwanaharakati
@@clemencemkondya8561 Msenge kweli wewe wanaharakati ndowanaoleta mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi duniani yaani wewe upo kwenye kundi la watanzania wengi mambumbu ambao hawajui faida zitokanazo na wanaharakati duniani clemencemkondya we mifi tu kichwani huko huna kitu
Ukisikia kisiki cha Mpingo ndio huyu mwamba H.E. Luhaga J. Mpina💪
Mpina,Mungu aonekane katika shauri hili,Haki ishinde Dhuluma!
Mungu akulinde dhidi ya watu waovu!
Uwe makini na waovu wote wasije kukuuwa! Mungu akuepushe na mipango yao yote miovu!
Mpina safi wanaokudhiki ni vibaraka na wanafiki kisesa mna mbunge hongera sana ukiwa kiongozi ni kwa ajili ya watu sio tumbo lako kama walivyo wabunge wengine
Mpina Mungu akubariki sana, azidi kukulinda na akupe maisha marefu.
His Excellence, Luhaga Mpina.
Dah huyu mpina big up
Love serikali mda wanao wao sio wewe mshtakiwa au mshataki....huu ni mda mzuri wakujua case hii na kuhifadhiwa kwa kesi zijazo❤
Mpina huwa ni mtu mzalendo sana,hongera na Mungu akutangulie ktk hili
Mzalendo gani ametesa watu kwa kupima samaki kwa lugha
Kwa rula restaurant
We Mpina humjui hana uzalendo wowote
Lakini kivyovyote vile, Mh Mpina ana ujasiri wa Mfano kuigwa kwaajili ya Heshima ya Mihimili, Kuwajibika Kwa waliopewa Dhamana.
Tuliosoma cuba tushaelewa hongera mbunge
Like jpm❤
Safi sana Watanzania wazalendo.
Mphina big up p 🎉🦾! Wengune wakobungeni mizigooo kushangaza hu olmwengni kuttea matumbo yao????
Hivi kazi ya serikali ni kusimamia katiba au kuvunja maana mara nyingi imekua ikivunja sheria
Kaka Mpina, naomba namba yako, nitakuchangia kwa moyo wangu wote. Wewe ni mzalendo na mnyoofu wa moyo. Mungu akulinde na akubariki sana Luhaga Mpina.
mpina mungu akusimamie
Keep it up.. for the president.
Hivi ninyi wabunge mliomzonga na kumfedhehesha mpina bungeni mnajisikiaje!😮😮
Nipo twyari kuchangia ili Mpina aendeshe kesi
Mpina ww ni mzalendo na Mungu azidi kukupa nguvu.
Kila kisiki kigumu kwa serikali nakuona wakili mhehe Hang Chang mwana wa matekeleza unaletwa kuitetea serikali. Hongera mdogo wangu kwakuaminiwa na serikali ya mama
Wachumi wanapokodoa macho ktk maeneo waliyotakiwa kuyasemea inashangaza sana. Si shangai sasa jinsi serikali hii ya Tanzania 🇹🇿, ilivyo waamini wanasheria kuwa viongozi ktk maeneo mengi hata yasiyo ya kisheia Mfano Gavana Luoga, pamoja na madhara makubwa waliyoiletea serikali na wananchi lkn inaonekana taaluma zingine hazina majibu sahihi ya unyonge wao. KATIBA Mpya itakayo Zipa taasisi mamlaka ya kikatiba nina hakika Watu kama Professor Asad watapata hadhi wanayo stahili.
Ukweli hauwezi kushindwa na sheria
Natamani huyu mpina ahamie chadema maana kaona kwa macho yake huko aliko si sahihi
Kwani chadema ndio sahihi 😅😅😅
Chadema haijasimama😅
LUHAGÀ MPINA 🙏
Mpina ...anajipiga pini😂....
Ni kupoteza muda tu ase....kama anaondoka aondoke jmn....huwez kushindana nao
Serikali acheni kutetea mafisadi na kuwakandamiza watanzania. Vibali vilitolewa kwa njia ya wizi kuwanufaisha watu wachache.
Ahaa kumbe ndo maana wameshusha bei toka 4000 hadi 2800
Hili shauti halitaki kupoteza muda kila kitu kipowazi ingekuwa kipindi Cha mzee magu huyu bashe na wenzake wangekuwa mfano Kwa wengine
Naenda kuona mwanasheria wa serikali akipigwa chini mbali kabisa na hapo ndo tutaona serikali huwa haichagui mtu mwenye taaaluma yake bali wanapeana tu
Mpina ni hazina ya taifa. Ni kama namuona Magufuli mwingine. Tofauti yake na Magu yeye si mkurupukaji.
Mtaje basi namba za kuchangia.
LIMPINA KAMA SIO LISISIEMU
Naiona serikali ikishinda kesi kwa maelekezo kutoka juu
Hivo ndivyo itakavokuwa
Tunajuwa serikali itashinda kwa kupindisha ukweli ila watanzania tutakuwa tumejifunza kitu na ipo cku MUNGU atajibu maumivu tunayoyapata
Bei nafuu???????
Ndio maana serekali za kifalme zinaendelea vizuri kwasababu hakuna upuuzi kama huu
Umesema kweli kabisa
Wakili wa serikali unafaidika nini hili shauri likiondolewa mahakamani??
Ukishindwa tena utasenini bwana mpina
Kila mtanzania akisikia ni wazi nchi inabigwa,kesi ya Nini? Shida ya sukari ndio tunayoujua. Sh elfu 3 sio bei nafuu ikiwa sukari inazalishwa hapahapa.
aliye kutuma atakukimbiya na utarudi burundi bila kupenda
Yaani huyu ,mwanasheria anayewakilisha serikali kanishangaza , eti sukari ya bei nafuu
Mhhh wanasheria wa serikali wametolewa jasho hasa waziri pamoja na walioungana nao
Bado mafuta kipindi cha magufuli lita ilifikia 1480 sasa hiv zaid ya 3000
Mpina pambana ugombeye uraisi tumeteseka sana
Mmmh. Kutupilia mbali, au
Wabuge wote mgekuwa kama Pina tugekuwa mbalisana kwani wengine wanatetea matumbo Yao na familia zao
Mpina ukosahihiselikalisokolasukariwaliachewazikimfanyabiashala aluhusiwekuigizasukar nasukar itashukabei watanzaniabeiyasukarikojuusana
HUYO MPINA NI KUMCHAPA MAKOFI HANA AKILI
Imetupwa tena tarehe
Hakika ni changamoto
Msitumie Sheria kupindisha ukweli bwana
KARIBU ACT MPINA
MPINA KARIBU ACT WAZALENDO
NATO should do away from this war for peaceful solution
Nikuvuta muda Tu WA namna ya kutupilia mbali
Mwabukusi achana na huyo jamaa
Tunatoa mchango wetu ktk namba ipi?????
Atowe nauli ZAKE...Mpina mbwembwe zote kumbe unafurahia sukar iuzwe 6000 @kg😳😳
wewe ni mmoja wapo
Kumuelewa mpina mpaka uwe na akili ya kuzaliwa maana watz wengi tupo gizani
Kumuelewa mpina mpaka uwe na akili ya kuzaliwa maana watz wengi tupo gizani
Mh mpina angetulia tu Hii kesi ni kati ya serikali na mtu binafsi sasa atatoboa kweli wanasheria wa mahakama wa serikali hakim wa serkl
Hawez mpina kushinda hio kesi mnaropoka kama unataka kuhamia chadema we nenda 2 unataka watu apate sukari yabei kubwa wakati watu alikua anaficha kwasababu kwakupungua sukar nenda chadema brother
Ona sas kaka tushakjua wew ni mjinga
HANA UZALENDO HUYO TUUZIWE SUKARI 6000 SH NDIO UZALENDO ACHENI UTAIRA
Amekosa kazi ya kufanya mpina .hana hoja kaishachanganyikiwa kwakukosa nafasi za kuteuliwa .Wananchi wa kisesa hawana mbunge bali wananchi wa kisesa wanambunge mwanaharakati
@@clemencemkondya8561 Msenge kweli wewe wanaharakati ndowanaoleta mapinduzi ya kisiasa na kiuchumi duniani yaani wewe upo kwenye kundi la watanzania wengi mambumbu ambao hawajui faida zitokanazo na wanaharakati duniani clemencemkondya we mifi tu kichwani huko huna kitu
Sawa mwana Sheria mkuu wa serikali
Kagombee wew ambaye hujachanganyikiwa
Lofa mmoja
We ni fisadi na ipi cku utajibu kwa muumba
Hii ni laana na mwisho wa dunia wenyewe kwa wenyewe ,ndugu watagombana,ni ujinga
michezo ya kijinga