EXCLUSIVE: KAJALA: Natamani Paula aje ku-Date na Mtu Sahihi/Mume wangu alitaka nibaki jela/Iliniuma

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #Kajala #Exclusive #ZamaradiTv

Комментарии • 298

  • @boscoboscoboy3100
    @boscoboscoboy3100 4 года назад +16

    Kama unajuwa amemwelewa kajala piga like hapa

  • @mimiapa8436
    @mimiapa8436 4 года назад +37

    Nampenda sana kajala yupo really anajielewa sio kama mikapuku mengine ya bongo movie huyo ndio beauty with brain banaa

  • @faithsamson368
    @faithsamson368 4 года назад +39

    Hayo ndo maisha yanavyotakiwa kajala hongera kwakubadili mwenendo wa maisha yako ❤️❤️❤️❤️

  • @tupilikemwanyemba2853
    @tupilikemwanyemba2853 4 года назад +31

    Nampenda sana huyu dada na mtoto wake.
    Yaan napendaga kujifunza kutoka kwake pia napenda life style yake.

  • @jacklinemjema1368
    @jacklinemjema1368 4 года назад +42

    Awwwww kajala anaongea kiutu-uzima hadi raha, Mungu akuzidishie maisha marefu Kajala wetu! Zama ua the best💜

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 4 года назад +15

    I real love Kajala She's pretty and intelligent go girl God is there all the time never give up😍😘

  • @anisiamedard3775
    @anisiamedard3775 4 года назад +15

    Ipo siku na Mimi nitakuwa Boss. Hongera Kajala

  • @marcellinmarcellin109
    @marcellinmarcellin109 3 года назад +1

    Hatamimi nampenda sana kajala, zaidi sana filamu zake, uzuri na urembo wake....hongera sana na kazi njema.

  • @emylialyela4890
    @emylialyela4890 4 года назад +10

    Kajala we mzuri usiwe unaweka zile nywele fupi hapo umependeza sn, hongera kwa biashara kubwa na nzuri

  • @rehemayona5807
    @rehemayona5807 4 года назад +2

    Hongera sana kajala kwanza kwa kuacha pombe lakini pili kuwa mwanamke imara mpambanaji, keep it up, Mungu akujalie afya njema na uzima yele.

  • @heriethkusigwa8469
    @heriethkusigwa8469 4 года назад +5

    Nimerud hapa baada ya zile video 😥stay strong Mama Paula

  • @asifiwekitunga4655
    @asifiwekitunga4655 4 года назад +3

    Nakupendaga bure kajala you treat as matured

  • @rosechizor
    @rosechizor Год назад +1

    Dada zamarad rkebisha sauti ipo chini sana pia ongera❤🎉

  • @awatiffhassan5983
    @awatiffhassan5983 4 года назад +8

    Zama unahoji vitu vya maana na vya kuinspire mashaAllah sio wengine kila siku sijui beyonce wa buza,gigi,na hawana projects zozote wanazoonesha....shout out to u kajala pia

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 4 года назад +7

    Una upendo sana uvumilivu mungu huko nawa ubarikiwe wewe na family yako

  • @winiemmary968
    @winiemmary968 4 года назад +30

    Mimi interview ya zamaradi kama mtu hajalia siangalii nataka nikisoma comment nione zama weka tissue mezani jamani 😂 😂 😂 😂 🙈

    • @catyedokigutu7366
      @catyedokigutu7366 4 года назад

      Wewe kama mimi... Ukute hadi awepo studioni kwake

    • @roselazaro5631
      @roselazaro5631 4 года назад

      Hongera kwa kwa kuacha pombe inarudisha maendeleo nyuma sana

  • @agnesvintan1538
    @agnesvintan1538 4 года назад +11

    Kajala usijichubue Mbona we mzuri😘😘

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 4 года назад +3

    Hongera sana dada kajala office nzuri sana

  • @zabibumwilelo853
    @zabibumwilelo853 4 года назад +3

    Mwambiye nampenda sana yani ni mwanamke anajiheshim nakujitambua yeye ninani then she’s not show off like other movie artist

  • @azizaosman6286
    @azizaosman6286 4 года назад +4

    Nakupenda kajala mungu akujalie maisha marefu

  • @nurumanyota416
    @nurumanyota416 4 года назад +5

    Dada zamaradi na kupenda sana

  • @jescamassawe2519
    @jescamassawe2519 4 года назад +47

    She inspires me much hard working woman

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 4 года назад

      Mmmh .

    • @ejtjr2647
      @ejtjr2647 4 года назад

      Hii chai mdangaji tu kama anavyomtrain mwanae

    • @luisemrema3301
      @luisemrema3301 4 года назад

      nawapenda sana Paula na kajala

    • @emmanuelzao
      @emmanuelzao 4 года назад

      Uliza kapitia mboo ngapi mpaka kufikia hayo maendeleo😎

  • @sarafinakadege3269
    @sarafinakadege3269 4 года назад +3

    Nawapenda jamn zama na kajala

  • @josephinepatrick6026
    @josephinepatrick6026 4 года назад +12

    Hardworking woman @Kajalaa..💓💓🥂#Zamarad una hoji m2 vizurii hadii achokii jaman bigup 2 u✌🏽✌🏽

  • @corandamisi9005
    @corandamisi9005 Год назад

    Kajala❤❤ nakupenda kweli ntangu zamani ila leo pendo limeongezeka kwamaamuzi uliochukuwa kuacha pombe mungu akuwezeshe

  • @lilyanmongi1946
    @lilyanmongi1946 4 года назад +5

    Hongera zama na kajala interview nzuri ila kajala capital c kwa wasanii tuu watanzania wengi wanashindwa kufanya biashara kwa sababu ya capital.

    • @magiehermess9949
      @magiehermess9949 4 года назад

      Kajala weusi wako mzuri jamani usijibadilishe rangi.

  • @justineriziki8835
    @justineriziki8835 4 года назад +3

    Mungu apewe sifa kiukweli kwakuacha pombe maana ma stars wato munasumbuliwa sana na hilo pepo la kunywa pombe. Mungu awaguse nawengine tusikiye ushuhuda.

  • @marthajaden3555
    @marthajaden3555 Год назад +1

    Kajala mpole sana sema mitandao inamponza nampenda sana

  • @sarahmwakilasa3989
    @sarahmwakilasa3989 4 года назад +4

    Hongera kajala unajielewa sana dear.

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 2 года назад +1

    Jamani namupendag kajala san💖💖🇴🇲🇴🇲🇧🇮🇧🇮💋💋

  • @fei3668
    @fei3668 4 года назад +9

    nalipenda hili lidada lizuri and bigup kwa kukua mam

  • @zuhuragwanko6318
    @zuhuragwanko6318 4 года назад +3

    Akitoka Millard kwa kuhoji vizuri upande wa wanaume nazani wakike inafata zama yannnn yupo so smart sio maneno mengi anakua direct na kitu anachouliza waooh I do love her jmnnn🥰🥰

  • @hanifahassan9138
    @hanifahassan9138 4 года назад +5

    Mungu wa ajabu hongera kwa kuacha po oooooombe

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 4 года назад +3

    Zamaradi you is the best😎

  • @hiki242
    @hiki242 Год назад +1

    Nakupenda kajara maisha unayo ishi binty yako

  • @anabmahmoud9072
    @anabmahmoud9072 4 года назад +6

    Interview nzuri na sauti ni nzuri sana .big up kajala sauti Leo inasikika vzr

  • @marykimotho8919
    @marykimotho8919 4 года назад +3

    Feelings of a mother is alive.uliona haya

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +13

    Kajala she's so pretty🙌❤

  • @getrudakulaya5495
    @getrudakulaya5495 4 года назад +6

    Da zama unapenda kutafuta watu machozi🤣🤣 sema unajua

  • @zuwenaalhaji8238
    @zuwenaalhaji8238 4 года назад +6

    Hongera npe kibarua cha kufanya usafi 😘😘😘👌

  • @babymai7211
    @babymai7211 4 года назад +3

    Hongera zako kajala mungu akupe unalo lihitaji ameen inshaallah 🤲

    • @NdanoIsmaill-vo9ym
      @NdanoIsmaill-vo9ym Год назад

      Hongera Na MUNGU AKUBARIKI kajala Kwa kuacha pombe na kusimama katka KAZI zako Insha,Allah 🙏 MUNGU AKUSIMAMIE

  • @wardmohamood5845
    @wardmohamood5845 2 года назад +1

    Vile nampend kajala ' Mwanae paul😍 😍

  • @catherinehassan5174
    @catherinehassan5174 4 года назад +7

    Nzuri sana nampenda pia sema siku nyingine atueleze kisa chote na jinsi alivyoweza kutoka jela .Asante Zamaradi show zuri.

    • @mimubby8892
      @mimubby8892 4 года назад

      Alitolewa na wema kwa Pesa lkn alikuwa afungwe miaka 7jela

    • @bellacaramella2196
      @bellacaramella2196 4 года назад

      Alikuaga amefungwa kwa kosa gani dear

  • @munisomiraji9879
    @munisomiraji9879 4 года назад +4

    Nice Interview 👍 hongereni Wanawake wa Nguvu

  • @felizbonbonface8275
    @felizbonbonface8275 4 года назад +3

    Waoo nice iko day nitafka hapo ulipo kajala

  • @justineriziki8835
    @justineriziki8835 4 года назад +5

    Mungu akuepushiye usirudi tena huko.

  • @evagervas7900
    @evagervas7900 4 года назад +2

    Nampenda. Kajara hafek maisha nampenda sanaaaaaaa

  • @umarsaid9912
    @umarsaid9912 4 года назад +6

    Mashallah Mzuri Mama paula

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 4 года назад +10

    Uyu dada anaakil Sana ya utafutaji,nakukubal kajala ata mm nmejifunza kutoka kwako soon nitafungua yang mng akipenda

    • @hadija846
      @hadija846 4 года назад

      Amiin🙏🏼😍

  • @joanitarita1568
    @joanitarita1568 4 года назад +4

    She’s very beautiful and humble

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 года назад +10

    Congratulations Kajala

  • @hukuUJERUMANI
    @hukuUJERUMANI 4 года назад +7

    This interview forecasts everything happening today in Kajala's life. Her worst fears are confirmed, sadly

    • @ghalibally8252
      @ghalibally8252 4 года назад +1

      Nimemuonea huruma😢

    • @kimzymamy6594
      @kimzymamy6594 4 года назад +1

      duh😪

    • @hukuUJERUMANI
      @hukuUJERUMANI 4 года назад

      @@ghalibally8252 kweli kabisa mimi pia tena zaidi. amewekeza sana kwa hali na mali kwa bintiye, ila binti mwenyewe kamponza

    • @hukuUJERUMANI
      @hukuUJERUMANI 4 года назад

      @@kimzymamy6594 Inauma sana wallahy, amefanya kila jitihada ya kumlinda mtoto wake, ila inakaa wa moja ni wa moja tu, hata ukimpa mbili, moja bora ipotee tu #Paula

    • @kimzymamy6594
      @kimzymamy6594 4 года назад +2

      @@hukuUJERUMANI kakangu mm mwenyewe nimeishiwa pozi lkn mungu yuko ni kweli walitaka kumkomoa dada wa watu pole snaa mam paula 😥🤲

  • @maryemmanuel6764
    @maryemmanuel6764 4 года назад +4

    Zama sijawahi jutia MB zangu kwenye interview zako

  • @mayarashidi2765
    @mayarashidi2765 Год назад

    mungu akuzidishie

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 4 года назад +16

    Hongera Sana mwanamke mwenzangu mungu akubariki daima, nawapenda kajala na bbygirl wetu

  • @yustermwangosi9144
    @yustermwangosi9144 4 года назад +5

    Hongera Kajala

  • @ndaganoanastazia2658
    @ndaganoanastazia2658 4 года назад +6

    Da zamaradi mmeongea vizuri sana wewe na kajala ila swali muhimu sana hujauliza.... alivyo tolewa gerezani na WEMA SEPETU ..... tatoo yake ya wema.... yama ni matangazo tu ya byashara zake na blablablaaaa..... wengi hatuja furai kwa kweli na tujuane jamani.... but ilikua poa.....🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🇧🇪🇧🇪🇧🇪🇧🇪

    • @angelkimaro9851
      @angelkimaro9851 4 года назад +1

      yan mm pia nilitaman kujua hilo kwann walihitilafiana

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 года назад +1

      Mbona alishaisema kipindi chanyuma kwamba hajafuta anayo

    • @ndaganoanastazia2658
      @ndaganoanastazia2658 4 года назад

      @@m.mmarckus6298 but kipindi cha nyuma ndia....anaweza badilisha mawazo ....lol....

  • @everinemichael7457
    @everinemichael7457 4 года назад +3

    Kajala kapendeza sana😍

  • @mayaahmkunga8738
    @mayaahmkunga8738 4 года назад +3

    Nami napenda sanaa

  • @gabrielmugabo9223
    @gabrielmugabo9223 4 года назад +4

    Good interview

  • @veeJesus
    @veeJesus 4 года назад +4

    Am inspired kajala uko vzr u're so politely my God give u strength

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад +4

    Hongera sana Kajala 😘

  • @faizaabdalla5759
    @faizaabdalla5759 4 года назад +1

    Interview nzuri Sana. Lakini hatukujua Kajala alifungwa jela kwa sababu gani.

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 4 года назад +5

    Kajala nakupenda Sana my sister

  • @kibibisherrysherry5660
    @kibibisherrysherry5660 4 года назад +2

    Kajala kama uliwacha tembo swadakta kbsa👌

  • @serahrobath7685
    @serahrobath7685 2 года назад

    Kuna kitu nimejifunza kupitia wewe,hongera sana

  • @jacintasolonka2885
    @jacintasolonka2885 4 года назад +1

    Okoka my sister..

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 4 года назад +2

    Nampenda sana kajala

  • @chunanachu2529
    @chunanachu2529 4 года назад +3

    Kajala nakupenda sana

  • @imelda6495
    @imelda6495 Год назад

    Nakupenda sana..lakin napenda zaid ukiwa na konde

  • @neemalazaro985
    @neemalazaro985 4 года назад +1

    zama unajua sana kuhoji

  • @marthadali2660
    @marthadali2660 3 года назад +1

    Kajala is so pretty 🇰🇪

  • @chimwanakasanda3952
    @chimwanakasanda3952 4 года назад +4

    Yaani ukinyoa unapendeza zaidi

  • @annapanga8627
    @annapanga8627 4 года назад +1

    Umenifunza kajala

  • @bijouxnicky5060
    @bijouxnicky5060 Год назад

    Liception ndo nini ??

  • @wendyeliezer6419
    @wendyeliezer6419 4 года назад +3

    Hongera sana

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 4 года назад +1

    Ongera shogaangu upo vizuri

  • @HaroubAbdalla-fh6dh
    @HaroubAbdalla-fh6dh Год назад

    Tukumbukeee hiii jmn tumempenda kajalaa tuendlee kumpndaa nakupndaa sna ni2023 bad naftlya ya nyuma

  • @enockkabango8564
    @enockkabango8564 Год назад

    Kabisa. kajala uko naakili mutu mwenye anakata mutoto Uwo si mama

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 4 года назад +3

    I love you kajala

  • @pinahoscar6735
    @pinahoscar6735 4 года назад +2

    Kajala nakupenda dha! Zamaradi mpz safi sana bonge la interview

  • @mwajumakabesha3311
    @mwajumakabesha3311 4 года назад +2

    Mimnanishangazaga hoo tupate msaada, Nakila siku hoo tumefunguwa office hoo byashara. Namkiulizwa nibeigani garama mnasema milioni 70 au milioni 100. Sipesa izo mh

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 года назад +5

    Mashallah, hongera sana kuwa mama bora

  • @lovenesslucas9496
    @lovenesslucas9496 4 года назад +1

    So beauty mamy

  • @effiekirui4312
    @effiekirui4312 4 года назад +2

    Nakupenda Sana kajala mwanamke mpambanaji hongera

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 4 года назад +3

    Hongera Dada

  • @juhudiacademy2170
    @juhudiacademy2170 4 года назад +3

    Congratulations Kajala along with Zamaradi

  • @fatmakiruwasha2378
    @fatmakiruwasha2378 4 года назад +2

    Nimependa sana lkn kajala paula nimwanamke ipo siku atadanganya ss wanawake kudanganya nikawaida

    • @liliannyonela1185
      @liliannyonela1185 4 года назад

      ni kweli wanawake tunadanganyika kirahisi. lakini kwa karne ya sasa nadhani ni maamuzi tu ya sisi wenyewe wanawake lamsingi ni kujithamini kujitambua na kujenga udadisi ndani ya binti ili hata akitokea anaedhani anaweza kumdanganya basi kwa udadisi na maarifa na hekima atashindwa huyo mdanganyaji.

  • @Juddy1017
    @Juddy1017 4 года назад +10

    Very good conversation, very clever ladies

    • @mugishalahay6050
      @mugishalahay6050 4 года назад

      Tuongee ukweli wasani sijui namatakwa yao ao hawaolewagi na wakiolewa basi ni kwaka 1 wala myaka 2 na akiza katoto kamoja nanjo basi

  • @barkembarak9270
    @barkembarak9270 4 года назад +5

    U are really my dear

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 4 года назад +2

    Zamarad ur the best

  • @aminachingwalu2850
    @aminachingwalu2850 4 года назад +3

    da zamaradi we nimstarabu Sana onaonekana unahekima mungu akulinde

  • @wairimumosha9655
    @wairimumosha9655 4 года назад +3

    I love her💞💞💞

  • @sadaalharthi7317
    @sadaalharthi7317 4 года назад +3

    Yani zama anamchokonoa mtu hadi akikishe katoa chozi 😄😄 Ila kajala kawa mgumu kdg

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 года назад

      Sada Alharthi Hana magumu alopitia ama vitu vibaya alovifanya c kila anaelia nikwamba kafanyiwa vibaya ama kupitia magumu.... wengine wanalia kwa kufanya mabaya kwahiyo wanajuta

  • @neemamticy6667
    @neemamticy6667 4 года назад +11

    Waoooh such an incredible person with high vision ....God bless you kajala😘😘

  • @judithmwambe4767
    @judithmwambe4767 4 года назад

    Boss naomba nilete Cv yangu.

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 4 года назад +3

    Kaz nzr mama paula

  • @baenimuhimafabrice
    @baenimuhimafabrice 3 года назад

    Kajala kwa ukweli hata watu wa ongee vibaya kwaajili ya ya Paula ila tambuwa kama plan yetu Sisi ni kuja kumuowa

  • @nassorali3427
    @nassorali3427 4 года назад +1

    Heshima kwa zamarad

  • @elinapouljensen9244
    @elinapouljensen9244 2 года назад

    Umepitia mengi umestruggle a lot na umeweza kusimama Hongera Sana sbb sio rahisi mungu akuzidishie, na wanaokuongelea vibaya wayaseme na yao kama wanaweza