MAMA WA SHARO MILIONEA KAFUNGUKA WASANII WALIOMTENGA "MIMI MLEMAVU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 39

  • @mfalmewanyika2804
    @mfalmewanyika2804 5 лет назад +1

    Wakumtegemea hafi ni huyo alie kuazima mtoto kwa muda tu, halafu akamchukua na bado anakupa rizki, mtegemee yeye tu! Atakupa zaidi ya unavyofikiri. Usikufuru mama angu. M.Mungu yupo na wewe hatokunyima rizki yako hao walio kuja hapo wote wanamtegemea huyo huyo mmoja tu! Na hana mshirika. Fanya subra, pole sana mama.

  • @shimuld6721
    @shimuld6721 5 лет назад +6

    Mama sio lazima kumwita sheikh kukusomomea duaa. Mafurudhi umuombee duaa kila siku mtoto wako na watoto wako wote na waislam wote na wa umini wote walio kuwa wapo hai na walio tangulia mbele ya haki huo ndio uislam. Mungu akupe subra na akufungulie lilo kuwa na kheri na
    Wewe ameen Yaarabil Alameen jamian

  • @ashritaabdallah6474
    @ashritaabdallah6474 5 лет назад +13

    Mama uyo ni mwanao amefika mbele ya haki ni jukumu lako kumuombea dua usimlaumu wala kulalamika

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 лет назад +3

    Pole mama mungu amekusikia kilio chako.muombe sana na mungu daima ni mwema hawezi mtupa mja wake.

  • @mercy_makeupartist983
    @mercy_makeupartist983 5 лет назад +14

    Ukishakufa basi na lako limeisha, mama kunywa maji mshukuru allah

    • @joycejoseph8632
      @joycejoseph8632 5 лет назад +2

      Kweli mtu akifa bc na mambo yke yameisha,,

  • @juniorwilliam6338
    @juniorwilliam6338 2 года назад

    Mungu wetu ni mkubwa kuliko chochote,, Mungu atulinde vijana tuwatunze wazee wetu👏

  • @dianapetter8032
    @dianapetter8032 5 лет назад +7

    MUNGU Awabariki wote Waliokuja

  • @Manyanya8551
    @Manyanya8551 5 лет назад +9

    Ukumbusho kwa wasanii nikwamba wasijidanganyi et wakifa hao mashekhe njaa watawsomea dua huko nikujidanganye maana maisha mazuri ya baada yakufa huya andaa mtumwenyewe

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 5 лет назад +3

    Pole mama

  • @maliethnyoni2847
    @maliethnyoni2847 5 лет назад +3

    Mungu akutie nguvu akishakufa mtu bs

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 5 лет назад +3

    Kitale mbna sijamuona ila mama mshukuru mungu

  • @scollorpatrick7214
    @scollorpatrick7214 5 лет назад +2

    Pole sana

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 5 лет назад +3

    Kwanza shukuru kama waliweza kukumbuka Kwa miaka mitatu wengine hata kuzika hawaziki. Pole mama.

  • @juniorwilliam6338
    @juniorwilliam6338 2 года назад

    Mungu akutie Nguvu mama

  • @sarahmohamed337
    @sarahmohamed337 5 лет назад +2

    Mshukuru mungu mama.

  • @andreashayo6266
    @andreashayo6266 5 лет назад +3

    Kikubwa maombi mama

  • @amanimallya2451
    @amanimallya2451 5 лет назад +3

    Anafanana na mama fid q

  • @djcashwanakidiry9158
    @djcashwanakidiry9158 2 года назад

    Meus Sentimentos Deus te Abemsoe mamã 🙏

  • @suraiajuma3955
    @suraiajuma3955 5 лет назад +3

    Jaman kwanz

  • @AshaMwamba-v2o
    @AshaMwamba-v2o 8 месяцев назад

    Mama mwanao ameshafarik basi nikumshukuru munga bas wakija bas wasipokuja bas

  • @gojoogojo8622
    @gojoogojo8622 5 лет назад +11

    Ata kitale pia haonekani duh kwel kufa kufaana

    • @zainabhassan2036
      @zainabhassan2036 5 лет назад

      Kitale Si alisema sharo amemroga😒😒😒😒

    • @josephatjoseph1755
      @josephatjoseph1755 4 месяца назад +1

      ​@@zainabhassan2036eeh hatar kumbe walikuwa na bifu

  • @abdallahjuma7516
    @abdallahjuma7516 5 лет назад +3

    Kwani wanatakiwa waje kila kipindi ?

  • @abdallahjuma7516
    @abdallahjuma7516 5 лет назад +1

    Mbona hio ni hisani tu!

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 5 лет назад +4

    Daaa kilichokwenda Kwa mganga akirudi tena.ukifa Kwa wabongo ndo basi

    • @fadhililihinda6491
      @fadhililihinda6491 5 лет назад

      Teddy Mwageni
      Mnaposemaga "kwa wabongo" mnaweza kutaja sehemu nyingine duniani ambayo hua wanaendeleaga kumtembelea mfiwa walau kwa miaka 5!? Bado nawapongeza wasanii kwa hili, wanajitahidi sana.

  • @shayopaterini8678
    @shayopaterini8678 5 лет назад +3

    Sasa jaman mwanao ndio alikuwa rafiki yangu na ndio alikuwa anasababisha nakuja hapo home sasa kafariki au hayupo mfano yupo nje ya nchi sasa ntakuja kufanya nn tena jaman labda tukutane tuu njian nikusalimie au kama tunakaa jiran nipite tuu njia nikupe hai sasa nitoke dar mpka tanga kusalimia tuu mungu tusamehe mtu akifa na yake yote dunia yanakuwa yamekwisha

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 5 лет назад +2

    Naomba like,subscribe,comment tafadhali baada ya kuangalia hii 👇
    ruclips.net/video/2ilL2P2614Q/видео.html

  • @fatmakanizyok9831
    @fatmakanizyok9831 5 лет назад +1

    Pole mama