Subhannallah....! Siku zote anayekuumiza ni mtu wa karibu yako, mtu asiyekujua kukufanyia ubaya ni ngumu sana mpka apate msaada wa mtu wako wa karibu😔 Allah ampe kauli thabit sharo🙏
Simulizi na sauti ni online TV namba moja kwa sasa nchini Tanzania. Mmekuja kufanya mapinduzi makubwa sana kuliko mlivyotaraji awali. Kuna radio na TV nyingine nyingi ambazo ni kongwe na mpya mmeziacha maili nyingi sanaaaa 👏👏👏..Mungu aendelee kuwabariki mfungue stations zenu 🙏
Dah kital ningekuwa mzur kwenye kuandika comment basi leo hapa ningeshusha gazeti ☺️acha niseme tu nakukubali sanaaaaaa Yan wewe unavipaji mungu kakujalia halafu auamin kwenye Kiki ingekuwa watanzania tuna sapport vipaji sio muonekano au Kiki basi wewe ulitakiwa uwe best actor in Tanzania lakin Leo waandish wa habar wapo bize na waongeaji kuliko wafanyaji kazi......simulizi na sauti nawapenda Sana mnajuaga watu wakuwafanyia mahojiano😘😘
May God rest his soul in paradise peace,alikuwa rafiki wa mtoto wangu,tulimzoea sana kwani alikuwa akija nyumbani Tanga kila mara.alikuwa kijana mwema sana.13.02.20.
Kuhusu shule sio kweli kitale pia sio wakazi walusanga,mm nimeanza nae LA kwanza hadi LA saba.tulimaliza 2002.wakaz wa hale ndo waliomua.maana baada ya kutoka hale wao wakawahi mbele.
4:08,kitale hapa kaongea kwl mashallah, mungu amuondoshee adhabu za kaburi marehemu sharo, na sis atupe mwisho mwema inshallah, allahuma aaamin
Kitale muangalie yule mama sharo kama mama yako mungu atakuongezea
Musimuon kitale hiv huy ndo bab wa family anandg zake wanamtizam yeye
Subhannallah....! Siku zote anayekuumiza ni mtu wa karibu yako, mtu asiyekujua kukufanyia ubaya ni ngumu sana mpka apate msaada wa mtu wako wa karibu😔 Allah ampe kauli thabit sharo🙏
Mungu amrehemu sharon wetu...
Latriciah01 Augustino wanasema kikulacbo kinguon mwako
AMEEN
Maskini sharo mungu akusamehe brother akupe janat ameen
Huu mchezo huku kwetu unaambiw ukikutana na majambazi hata ka wamjua unampotezea... Kifo cha sharo kimeniumiza sana😢😢😢😢
Mungu amuweka pema peponi Ameen inshallah 🙏😥
Jamani kitale pole ila nimekupenda bure uko vizuri kumbe kakaangu....Mungu alaze roho ya xharo pema peponi...unaeleza vzuri had huruma
Bonge la interview, Kitale your so talented man big up.
Simulizi na sauti ni online TV namba moja kwa sasa nchini Tanzania.
Mmekuja kufanya mapinduzi makubwa sana kuliko mlivyotaraji awali.
Kuna radio na TV nyingine nyingi ambazo ni kongwe na mpya mmeziacha maili nyingi sanaaaa 👏👏👏..Mungu aendelee kuwabariki mfungue stations zenu 🙏
Exactly my dear
Pole sana
@@mtumwaali9783 na wewe piah kwa msiba uliokupata
Inaumiza Sana, ila Allah ndo mjuz tumuachie yy,,, Inshaallah.. Safar yetu sote..
Aisee interview nzuri sana kweli! RIP J. Maganga nilikuwa nafatilia kazi zake kwa ukaribu wa sana kabisa!
Innallilahi wainnailehi warajiun Allah atupe mwisho mwema
Sema ndg yangu broo kitale mkumbukeni sana mama yake mzazi km mlikuwa p1 na marehemu SHARO
Broo kitale uko poa sana kwa maelezo maana uko tofauti sana kwa jinsi unavyoigizaga
Dah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭..........Mungu amlipe kheri alipohuko kwaalivodhulumiwa.....
Dah kital ningekuwa mzur kwenye kuandika comment basi leo hapa ningeshusha gazeti ☺️acha niseme tu nakukubali sanaaaaaa Yan wewe unavipaji mungu kakujalia halafu auamin kwenye Kiki ingekuwa watanzania tuna sapport vipaji sio muonekano au Kiki basi wewe ulitakiwa uwe best actor in Tanzania lakin Leo waandish wa habar wapo bize na waongeaji kuliko wafanyaji kazi......simulizi na sauti nawapenda Sana mnajuaga watu wakuwafanyia mahojiano😘😘
Pole sana kitale...ilaa yothe twomuachie mungu ni likuwa npenda xana muvi zke wallah
Kwan kitale alikufa na lufufu¿?
May God rest his soul in paradise peace,alikuwa rafiki wa mtoto wangu,tulimzoea sana kwani alikuwa akija nyumbani Tanga kila mara.alikuwa kijana mwema sana.13.02.20.
2021 nakumbuka nipo darasa la 3 😭ila sharo alipofarik nilikuw na akili zangu hii iliuma sanaaa hii kifo cha sharo
Kitale ''I love your up side lip..ipo nini❤💃👍
Hello
Ua blessed bro lufufuu aisee unajua kutafuta hela
Lufufu ndo Nani??
😞😢Daaah inauma sana r.i.p sharo mungu amuweke mahal panapo stahili
Pole sana kitale pamoja 😢😢
Dahhhhhhh R.i.p RUFUFU & Shalo Millionaire. Enzi zenu mlikuwa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 ❤❤❤❤❤❤❤❤
Lufufu ndo nani??
Baby sky kumbe mkeo 🥰🥰🥰🥰🙏🏼mashaallah
Pole sana Dear Sharo Allah ampe kauli thabit
Napenda unavyo ongea hadi mtu anakuelewa...marehemu sharo mungu amlaze pema peponi
Kipaji sana
Subhanallah 🙏😭😭
Pole sn Kitale, Sharo alikuwa rafiki yako bora sn.
Daaaahhhhhh pole sana kitale umepata pigo kubwaaa r.I.p sharo milionea dah
Oh mama... oh my God rest in peace sharo🙏🙏🙏
Taleeeeeeeeeee hatariiiiiiiiiiii sanaaaaaaaaaa umetisha tale mtu mbaya akuna anae weza kuku shika kwenye tasinia yako
KItale your the best
Kitale safi mtu wangu tunakukubali sana
Kitale leo nimegundua kuna sauti huwa zipo kwenye baadhi ya clip nikijua ni Lufufu kumbe wewe big up sana mdogo wangu.
Lufufu nahisi hatupo nae...
Lufufu ni yeye pia aliwahi kusema
Nakuelewa sana Mr Musa_ kutoka morogoro
Hatareee sana Mzee Baba, umetisha sana mkude simba
😍😘
Kumbuka anaelezea mambo ya uzuni we huna ata huruma.!!!
Hongera kaka sky kwa vipindi nyako unatisha
Nakupenda sana mkunde❤❤miaka mia
Siyo mkunde ni mkude
Bonge moja la sauti mzee sky ! 💪💪💪
Mwanaume mwenzako huyo,utalambishwa
@@eddyboy1719 we ni mpumbavu. Kwahiyo asimsifie? umelelewa vibaya ww
Pia ww wataka dinywa boss?
Wanaopiga Mawe Magari Vyombo Husika Wekeni Mtego Wanase iwe Fundisho kwa Wengine
R.I.p sharo walimkatili kijana.....ila lufufu anachekesha
Sikuwahi kuisikia hii story nimelia kweli
Together my brother from morogoro Tanzania
Talent kubwa kwa kaka mkubwa repect
Allah ampe kauli thabit sharo
Hata kwetu mbeya kuna watu hutega ulezi mteremkoni, eneo la milimani kuelekea tukuyu
Kitale Noma kweli, hapo mwisho umenichekesha kweli.
Inasikitisha sana ..
Safi sana kitalee
Dunia mbaya sana aisee
Kumbe kitale waongea tuu vizuri sio uteja
Jamani nilikuwa natamani nimuone kitale wa manone ya kuambiwa sasa leo namuona kweli da unatisha bro
Unajua broe
ohh kumbe ni now na mume nyie🤗😎
Dah 😢
r. i. p
shalo
Nime kupenda bure bure kitale bravo😂😂😂😂💞❤️❤️❤️👌👌👌👌
Mpe tako
Nsipenda sana sns
Pole sana kitale
Kama unaamini sauti ya mtangazaji imefanana na sauti ya milard Ayo gonga like.
Kweli nam sometimes inanichanganya Sana!!!!!💯😇
Rip sharo
Mbonaa unapendaa kuchezeaaa puwaaaaa au ndoooò
Ahmed Ali Ndo nn tena
me nakukubali sana kitale sk ujasikia hiyo ya rufufu kweli mbona anapost sana kwa insta yake
Lufufu ndo Nani??
Apa nimejiuliza alipigiwa na cm ya marehem kupata tarifa alafu walio muwa walichukua cm ela apa sijaelewa alie elewa anieleweshe
Yawezeka aliepiga simu ni mmoja wapo walio muua sharo sababu kitale kasema kunawengine wali jikamatisha bila kutafutwa
Cinta Nicholas Inaonekana hao walio chukua cm ndio waliopiga CM nadhani kwahiyo
Walio muua walichukua cm ya marehem wakampigia kitale kisha wakaiba kila kitu
Hao waliochukua hiyo simu ya marehemu ndio waliompigia hiyo simu hao wezi badae simu wakasepa nayo
Kwani we hujaelewa nini? Kwani mtu aliyemuua hawezi kupiga simu kujulisha nduguze kisha akasepa na simu?
Dah ilikuwa mbya xana
Acha kuzingua maneno ya kuambiwa imekushinda
Wallah sut kam lufufu kwel😂😂😂😂
Yani miaka yote ndio leo nagundua mkude ni kitale na bwakila na stani aaaaaa
Sawa kabisa kunmfanya biashara mmoja kafa hapohapo
nakupend san Kitale ila nikifikiria ule mtama ulomkat kobero kweny mzee ndingura sina ham nawew
Zainab utondwe..kumbe ulimuona masikini mm nili muonea huruma 😂😂alichanga nyikiwa kobelo
😂😂😂😂😂kabsa
😀😀😀
Penda sana wewe Mungu akutunze
bundala baada ya kutoka radio free Africa ndoo leo namuona
Sns hongereni sn office yenu inapendeza na kuvutia sn.
Tena number yake ilikuwa 40 mwisho
Ungetaja majina mengine bhnaa Ila sio Hassan 😒 may Allah rest him jannah inshallah
😂😂😂
Haikuwa hivyo kitale
Pamoja sana
SHARO NA STANI WALIKUTANA WAPI KWA MARA YA KWANZA
🙏🏻👍🏼💪
Tumemic maneno ya kuambiwa
Duh lufufu nimekukubali
Dooh inasikitisha Sana hii história. Aiseeh 🤔🤔🤔
🤣🤣🤣 rufufu ni 🔥🔥🔥
Lufufu n Nani???
Kwel kwel nilikua sijui Kama kitale ndo o anasemabivyo
😭😭😭😭😭sharo
Sky
Br mshauri huyo Stan amsaidie Mzee wake plz! Mzee wake yupo Moro maeneo ya Downtown -mangesho anateseka Sana mitaan serious kamkosea nini?!
Acha umbea usio na msing
Usitishwe na maisha ya mtandaoni, huenda nae anatafuta pesa na hazipati pesa za kuweza kumudu maisha yake na ya wazazi wake.
Rofa Tu huyo anataka Maisha yaweje ndo aweze msaidia Mzee wake we mtu anaokota makopo kama kichaa ye ashtuki
Inahuma sana😭😭😭
Maneno yakuambiwa ulitungiwa na nani bro
alishuka hale
Dah pollen sans mbeleyetu nyuma yake
MKUDE SIMBA😊
Mtoto munira
Hii story ya mauaji ilikuwaje mkaificha miaka yote hiyo??
😢😢😢😢😢😔😔😔😔🤲🤲🤲
Kuhusu shule sio kweli kitale pia sio wakazi walusanga,mm nimeanza nae LA kwanza hadi LA saba.tulimaliza 2002.wakaz wa hale ndo waliomua.maana baada ya kutoka hale wao wakawahi mbele.
🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nawejiandae kuchukuliwa Wcb
Wote meuwawa mbalamwezi stive 2 k na wote mangwea
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.
Mbuzi hafariki bwana anakufa kufariki ni binadamu
Duh