swa haopoteangi bro english ndo hukam coz bado ukipatana n wakenya mtabonga swa mi nlikam us nkiwa 13 years sai nko 23 hii mwaka n nabnga hadi kisapele bro
Good to share views, kuna wengi wanaponda sana marriage ya ndume black na lady white. Truth iko hapo umesema kwa love.. wasitake tu ngozi nyeupe ni kue na love, marriage italast.
Na ulichukua nyumba ya mortgage na mlami - weeh uko na roho msee Nyonga mimi before nichukue hao na mlami io nayo apana - kukua kwa relationship ni poa lakini assets na mlami issssa NO
Thanks for sharing may God bless you as am praying and pursuing my American dream hopefully God see me through with my nuclear family to USA in dv 2025 come next year in Jesus name, Amen
Eeei man keep up the content, umenimaliza. Hadi mi niko US mimi bana mamanzi baadaye. Wacha ni malize kitu ilinileta hapa. Nimejaribu ilikata but nikijaribu tena heri mlami. Hawa waafrika was US wanaeza kucheza pia uwekwe child support ama wanastandards high sana. But thanks
Tupe ideas za Kuwai connection ya walami bro coz naona Kuna vile watu chupri kama Mimi hizi mayeng hapa Mtaa hazidai wanaraundi ya manigeria na mabuda wakusafisha
True points especially hapo kwa loyalty. hii kuachana kuna wengi pia bado hubakia friends baadaye without hard feelings. Inategemea reasons za kuachana. uki cheat or umplay hapo itakua noma but ukimuacha by just explaining why then its all good.
what works for you don't works for everyone.. kuna mtu anabaatika na first love na kuna mwingine anachapika uku njee finally after 3 or 5 relationship ndio anapata wake wa maisha... mi nasema sio madem wa kanaro pekee ni kila mahali it's vasa visa mtu wangu
Started watching your videos just yesterday but bro to be honest,wee ni mrealest .Storo zako zinanipa motivation and I know you love us that's why unatufunza.Endelea hivyo bro
Kaka naskia hakuna kazi za madem na majama kwa keja. Kama ni ku babysit ama laundry ama kupika ama kutoa garbage.... naskia iyo ni ukenya inaachwa JKIA ukitoka. Naskia viombo majama wanaosha mbaaaya
Thanks for opening up and being authentic! Video zako zinatuelimisha sana kuhusu US. It's like your own brother telling you the reality of US. May God keep favoring you and your family. Angusha video ya after winning Green Card from Kenya, what are the next steps till you settle in US. Incase umeipost ni sawa.
Wewe Leo ndio umepata chance ya kutoa hasira ya madem wa nai Walikukataa so umekua na hasira miaka yote hio. Kenya bado wapo wanawake wazuri, loyal to there men and will always stick with you, wewe ndio ulikua Na bahati mbaya
Bro story yangu, nilikuwa racial profiled by an ICE agent alifile case fake immigration court Nika deportiwa after kureport jamaa amefungwa na FBI na Rudi in the next few months
Madame wa Nairobi sio wote wabaya. I’m one of the good ones and there are so many like me. But we all have the same story. You can’t imagine what this local boys have put us through. It even sounds made up, like I read [pronounced red] it in a novel. You’re talking about the girls. Talk about the boys 🙆🏻♀️ it’s a nightmare 😅😂
@@TheKenyanAmericanHome And apparently that's a normal thing here. I hadn't ever considered dating outside our culture but, in my experience, our men mostly have the same habits. I am seriously considering dating a guy from the west side of the world.
mimi ile character develpt nimepitia smh, yaani youa are loyal, lving and always supportive lakini wapi... shifted to the west and i can agree those guys love whole heartedly, i am happier than ever. Yes not all nairo boys are bad but the way 80 percent normalize cheating, bangi, drinking, yaani its alarming, the good ones are there, hope they find the love they deserve, agree with yu sister.
@@laurenkhate2001 excuse ya kipuzi hio,most of you are obsessed with whites na mnajichukia ndio maana munadilute melanin na hao shetani wa kizungu,no one like black woman and man,original human, nyinyi mbweha wengine ni maids na caretakers wa wazungu tu, your main job is to entertain them and use you to satisfy their sexual fantasies
Thanks for the great content but weee am from Kenya living in Germany. Before I relocated, ile vituko nilikua nimeonyeshwa na vijana wa kanairo, wah.. Ni Mungu tu. 🙆♀️🙆♀️..
@@TheKenyanAmericanHome well the truth is that the divorce rate between black and white interracial couples have the highest divorce rate amongest all interracial couple,speaking as someone in a similar interracial couple.
Kwa Nini Nimeoa Mlami - Part 2 : ruclips.net/video/sY0OK4GUo7o/видео.html
Tuonyeshe iyo mali
Labda ukona wale wa tumbo tatu na matako imegawanywa twice🤣
@@NutbustersAnimeOfficial wacha Vayolence 😄
Hallo boss i want to know about cruise jobs still available
Umeishi majuu hii miaka yote kweli? Hii Swa yako ni ile ya Eastlando 😅. You earned a subscriber
swa haopoteangi bro english ndo hukam coz bado ukipatana n wakenya mtabonga swa mi nlikam us nkiwa 13 years sai nko 23 hii mwaka n nabnga hadi kisapele bro
Hapa mimi nimebambika mbaya wueh
Of all content creators wakenya wako yues ….. you’re the realest !!! ❤❤❤❤
Thank you for the support Mami. 💪🏾❤️👌🏾
Ni sawa wako sawa lakini mi' siwezi ongea kizungu nikiwa job na bado niongee na mzungu nyumbani naweza chizi. 😂
😂😂😂😂
Nyinyi waafrika ndio mnajiforce wazungu hawamtaki, you see white skin like a gold
Hi Owen.leo lazima nikubali imejijengea vinoma kwa family matters.Now I appreciate my wife more.Thanks bro.God bless you.
Enyewe ulioshwa kama migodi ya congo. I 100% agree na wewe that let us not limit our options. Better are out there.
Waambie boss mi pia i only mess with walami na you are right when they love you they love you but wakenya wana aggendas either pesa ama ma karatasi.
Kali sana! Fanya ka episode ka Kwa Nini Usiwai Kuoa Manzi Black American.
💯💯 madem wakenya kama huna dooh utajua hujui bt kama uko nazo ATA jifanya anakupeda
Nyeti sana, life issues.
You got a new follower mkuu
Chorea kuchomea madame Wakenya, wengine ni waloyal kuruka na hii ndio ukweli. Na kuna walami mapoko pia.
Nimeona link tiktok but am locked,u are real
Bro Man ulioshwa kweli....Haaaaaaheeehuu..!!
Good to share views, kuna wengi wanaponda sana marriage ya ndume black na lady white. Truth iko hapo umesema kwa love.. wasitake tu ngozi nyeupe ni kue na love, marriage italast.
Na ulichukua nyumba ya mortgage na mlami - weeh uko na roho msee
Nyonga mimi before nichukue hao na mlami io nayo apana - kukua kwa relationship ni poa lakini assets na mlami issssa NO
😂😂
Thanks for sharing may God bless you as am praying and pursuing my American dream hopefully God see me through with my nuclear family to USA in dv 2025 come next year in Jesus name, Amen
Eeei man keep up the content, umenimaliza. Hadi mi niko US mimi bana mamanzi baadaye. Wacha ni malize kitu ilinileta hapa. Nimejaribu ilikata but nikijaribu tena heri mlami. Hawa waafrika was US wanaeza kucheza pia uwekwe child support ama wanastandards high sana. But thanks
Si madame wote walami wengine ni goal diggers nimeona wazunye maboy wakicomplain i think you were just lucky
Tupe ideas za Kuwai connection ya walami bro coz naona Kuna vile watu chupri kama Mimi hizi mayeng hapa Mtaa hazidai wanaraundi ya manigeria na mabuda wakusafisha
Hii imeenda🔥
Enyewe ulioshwa...she is a true love..big up..thanks for sharing light.... Kanairo.. gals...ni noma😂
Ushasema sema kaka shukran Kwa mawaidha
🤣🤣🤣🤣🤣 🙌🏿 umenibamba sana vile unacompare walami na madem wa Kanairo 🤣
Yeah for real for real mlami amikupenda amependa
Sisi wa kanairo ndo tuko😥tukipenda tumependa...raila na idda ni walami bado?wacha nikufie my black mende
Btw the idea ya kuoa mlami has been on my mind for like two months now. Sasa nimepata confirmation.
Fanya mchakato wadogo zako huku Kenya tupate ndoa bac please bro
True points especially hapo kwa loyalty. hii kuachana kuna wengi pia bado hubakia friends baadaye without hard feelings. Inategemea reasons za kuachana. uki cheat or umplay hapo itakua noma but ukimuacha by just explaining why then its all good.
No cap bro, Daddy Owen alirushwa bibi na sonko fulani
Hii video imefanya nikasubscribe. Kudos mjamaa
Bruv....WAAAH! enyewe life had chapad you a good one. That pic says it all and kudos to where you are now
Iko poa sana broo from TZ hapa
😂😂😂... umetoka far 🙌🏾
Adi mi mlami a slide kwa DM...ju wueeh
Walami wakwende uko… Hakuna siku walami wataona tuko level moja nao… they always feel they’re better than us…Afathali mspanyola
Good content brathe...💪
Hii sheng weh. Msee anaezafikiria umetoka Kenya jana
Woi life ilikuwa imechapa mpaka meno inatoka nje waah.
what works for you don't works for everyone.. kuna mtu anabaatika na first love na kuna mwingine anachapika uku njee finally after 3 or 5 relationship ndio anapata wake wa maisha... mi nasema sio madem wa kanaro pekee ni kila mahali it's vasa visa mtu wangu
Agreed
Nipe mmoja Nipo oregon
Waah nimekubali
Started watching your videos just yesterday but bro to be honest,wee ni mrealest .Storo zako zinanipa motivation and I know you love us that's why unatufunza.Endelea hivyo bro
I appreciate that
😂😂😂😂😂accent ya nyaribari,nyaanchwa
Tell us the willingles of mlami kuu accept Your ideas and dreams........nakanaka Bro-Man...?
Wah Noma ni ngori heri kienyeji
Kweli ulioswa pesa sabuni Ya mwili hadi you're now light skin
Kaka naskia hakuna kazi za madem na majama kwa keja. Kama ni ku babysit ama laundry ama kupika ama kutoa garbage.... naskia iyo ni ukenya inaachwa JKIA ukitoka. Naskia viombo majama wanaosha mbaaaya
Umetoka mbali bro
Brother nimeangalia hiyo picha, kweli umetoka mbali ulikuwa kimtu flani, mademu wa kibongo wangekukimbia vile ulivyokuwa!!
Nakupenda bure
Thanks for opening up and being authentic! Video zako zinatuelimisha sana kuhusu US. It's like your own brother telling you the reality of US. May God keep favoring you and your family. Angusha video ya after winning Green Card from Kenya, what are the next steps till you settle in US. Incase umeipost ni sawa.
DV Lottery Greencard Process Yote : Mwanzo Mpaka Mwisho
ruclips.net/video/nL_8_Y3wu80/видео.html
Bro I can see education brightens the future yaani your hands have been brightened🤭
Big up bro unatuelemisha sana GOD bless you
Kijana ya Aquinas high💪🏿
Nimekubali amekutoa mbali.
Umewekwa?
Hapo kwa loyalty...Naaaay. Watch paternity court, mtu watu...lol
Nakubali chali wangu
😄😄😄😄enyewe alikuosha, wah!
Wewe Leo ndio umepata chance ya kutoa hasira ya madem wa nai
Walikukataa so umekua na hasira miaka yote hio. Kenya bado wapo wanawake wazuri, loyal to there men and will always stick with you, wewe ndio ulikua
Na bahati mbaya
Hakuna hasira, na mimi sikukataliwa na madem wa Nai. Positive vibes tu hapa.
Akuna madem loyal kenya ungesema ata Uganda Rwanda Tanzania apa kenya ni 1%
Siuniconnect na kimama kimoja nioe anifilie visa ,pia nataka mzungu
Thanks bro ww ni mreal
Hi like your advise
True madem black generally wako na low femininity , hawana loyalty, then kelele mob.
Kweli ulioshwa that pic ulikuwa hauko
Bro story yangu, nilikuwa racial profiled by an ICE agent alifile case fake immigration court Nika deportiwa after kureport jamaa amefungwa na FBI na Rudi in the next few months
Pole bro and congrats though. Karibu back 🙏🏾👌🏾
Congrats bro...kindly share more details on ur story
❤❤
Walae Aki ulioshwa😂😂😂😂😂😂
Iyo picha joh😂😂😂 yenyewe ulioshwa na maji ya uhai😂😂you were a dead man walking
This is great content
Madame wa Nairobi sio wote wabaya. I’m one of the good ones and there are so many like me. But we all have the same story. You can’t imagine what this local boys have put us through. It even sounds made up, like I read [pronounced red] it in a novel. You’re talking about the girls. Talk about the boys 🙆🏻♀️ it’s a nightmare 😅😂
Umesema ukweli it's a double edged sword. Unashikilia mtu alafu akisha omoka they leave you for a new one.
@@TheKenyanAmericanHome And apparently that's a normal thing here. I hadn't ever considered dating outside our culture but, in my experience, our men mostly have the same habits. I am seriously considering dating a guy from the west side of the world.
mimi ile character develpt nimepitia smh, yaani youa are loyal, lving and always supportive lakini wapi... shifted to the west and i can agree those guys love whole heartedly, i am happier than ever. Yes not all nairo boys are bad but the way 80 percent normalize cheating, bangi, drinking, yaani its alarming, the good ones are there, hope they find the love they deserve, agree with yu sister.
@@laurenkhate2001 excuse ya kipuzi hio,most of you are obsessed with whites na mnajichukia ndio maana munadilute melanin na hao shetani wa kizungu,no one like black woman and man,original human, nyinyi mbweha wengine ni maids na caretakers wa wazungu tu, your main job is to entertain them and use you to satisfy their sexual fantasies
@@michaelrapando6658 kijanaaa wacha bangi. Ona mafi imejaa kwa akili. Mwanaume na mood swings za mwanamke ananyesha . Punguza hormones , badilisha plug wako wa jaba alafu tuonge , moods wachia wenye tunanyesha. Bure akili itajaa mafi.
Otherwise paka lube kwa matako, amia otis akushugulilie maybe itasaidia kureduce uto to hormones twako tea bangi mbichi.
Shoga hii 🤡
Wacha kutupa watu hiyo ni kuolewa that is no Africa culture the wazungu hawapendi kuoga napenda usafi sana
Chaki nitakam aje with no one's help
Thanks for the great content but weee am from Kenya living in Germany. Before I relocated, ile vituko nilikua nimeonyeshwa na vijana wa kanairo, wah.. Ni Mungu tu. 🙆♀️🙆♀️..
🤣🤣🤣wacha nicheke juu hapo ndio tuko hii kanairo🤣🤣
@@winniemuriuki3594 Aki walai tena🤣🤣
Mtu wangu hii story n true
Nimeoa mlami wa oshago huko wellington Kansas nikienyeji proper
Nice.
Hahahaha eti kienyeji
Nitaftie kienyeji bro😂😂
Na jua ikiwaka uende nje uote please. Ona hio mikono imekua ya mzungu
🤣🤣
Madame wa Kenya wanasema nguvu za kiume ni pesa...😅😅nishaipata character development bro..
Let Positivity Lead the waY............!! 💯 💯
Next 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉episode 😅
Uni alert🎉🎉🎉😅
Truth be told Kanairo
Nangoja part 2
Nimekubali ulioshwa
Your channel growing fast weeuh 👏🏿👏🏿
Kazi poa bro
Kujioshea part😂reality
Great cointent & Great Insights.
Ata sisi hapa kanairo tukipenda tumependa.... nivenye saa hii tax zinatukimbiza mnafaa kutuelewa🤣🤣
😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Huku yues gives different narrative
He is not married to a white woman or a kenyan
tushow picha ya wife after 11 years,
Umeanza kusavia daughter wako pesa ya weeding
why then is the divorce rate in america high? why are american men leaving for foreign women?
Divorce rate ni high in marriages between walami but interracial ni different.
@@TheKenyanAmericanHome well the truth is that the divorce rate between black and white interracial couples have the highest divorce rate amongest all interracial couple,speaking as someone in a similar interracial couple.
Very true bro from my own experience 😂😂😂 💯
Mpaka ukakuwa mweupe😂😂😂😂😂😂 enyewe nimeamini if your dark ni mashida zimekuchapa
I like the content!
Kwani tulianza kupenda pesa lini 😂😂
Kazi safi bro
Got anew sub from Doha Qatar airways bro hii content ni babalao looking forward to the rest of the part remaining
Shukran. Karibu
Hii nayo ni kali. Ukweli tupu hii.
Ukiwa yues chances za kuowa mlami hua ni 90% coz whites are the majority. Ngozi nyeusi (WAKENYA) uko is just a drop in the ocean.