nice one,km hutaona hii mesegi yangu natafuta vitu vya makeup vyote kwa bei ya jumla nataka nianze kujifunza kujipaka sijui utanisaidia dada haikael kunasiku ulivielezea na ukasema unawexa kuvipata kwa jumla sio reja reja .
Qamaria Ali mmmh kupata poda au foundation ya rangi yako sio kitu kiraisi na ndio mana unakuta mtu ana poda hata tatu zote sio rangi yake..kikubwa ukifika dukani kabla ya kununua jaribu kuitaste ile poda kama ni rangi yako..japo sio kazi raisi sana na inachukua mda adi mtu kuja kupata rangi inayoendana nae
Qamaria Ali ukiwa unanunua dukani utapojaribu ndipo utapojua ni poda yako au ni foundation yako..uwezi kujua kwa kuangalia adi ujaribu ndo ujue kuwa inarandana na rangi yako
Tutorial nzuri sana...na mimi nimejifunza ila pole pole... ladies if you love movies and series please visit my channel (tembelea channel yangu upate filamu na series nzuri nzuri)
For the first time nimeelezwa nikaelewa. Thanks darling .so nice
Napenda sna unafundisha vzur ❤️❤️
Asante dear
Unaweza jaman🎀
nice one!!! tanx love nimepata pa kuanzia coz napenda hii kitu sana halafu sijui kabisa
Ilham Mshana jifunze mwaya ivoivo utaweza
Ilham Mshana. Hata mm mwaya
Hi dada kama we ni mpezi wa movies na series za kibongo tembelea channel yangu upata za moto!!!!
nzuri sana natamani kujua pia
Waoooh barikiw Mom
Class mate hongera Sana
Umependeza
Nimejifunza
Judith Valelian asante class mate
Wow thank you 🤗🤗🤗🤗😘😘😘😘
Like your video Aika....mmmmmwaaaa
Rogathe Fisoo thank you love..❤❤❤❤❤ thankx a lot
Yes shukran mamy
nyota shauri asante mamy
Girl nmekupenda bure.. Already subscribed
thank you babe
Waaaoooh umependeza asnte kwa somo
Lilian Ngowo asante pia love
Uko vzr xaaana
Wooow nimei like hii
asante love
So romantic cwtyheart...nataman kujua zaid
Umeeleweka sana hongera
wooow😍😍hatimaye nmeelewa
7
Nawashangaa wanaodislike dah watu wivu ....anyway nimeupenda hongera
watu ndo walivyo dear amna shida lakini
Safi kabisa ndugu
Nimependa dada asante m mungu akubariki
asante pia kipenzi
wooooh mwanamke wanja uuuwi umependeza
Fatma Rashid mwanamke wanja hahaha asante dear
sister me na nyusi nyingi kama unavoona & I can't
remove my eyebrow nitapaka vipi cause I wish niwezee
usinyoe zote ila weka shape sababu wanja lazima uwe na shape
Asante sana my sijui nakupataje ili nivipate hivyo vifaa
nice one,km hutaona hii mesegi yangu natafuta vitu vya makeup vyote kwa bei ya jumla nataka nianze kujifunza kujipaka sijui utanisaidia dada haikael kunasiku ulivielezea na ukasema unawexa kuvipata kwa jumla sio reja reja .
ndio vinapatikana kwa jumla dear,kikubwa nenda maduka ya jumla kama uko dar,kariakoo utapata kwa bei nzuri
Nimependa sana...big up
Seaman Silver asante love
Nice ones
nimeipendaaa ulivopakaa uwanjaa nice😘
Mnyra St asante love
Mnyra St Hi dada kama we ni mpezi wa movies na series za kibongo tembelea channel yangu upata za moto!!!!
Hi dada kama we ni mpezi wa movies na series za kibongo tembelea channel yangu upata za moto!!!!
Nzuri .. ila io saut ya feni its better ue unarekod kwanza then baada ya kuedit ndio unaelekeza
mashaallah nime ipenda na mie najifunza
Queen Noreen jifunze mwaya
Very nice dear
Saf Sana unajua Sana mpenz 🥰🥰🥰
nice video haika
given mlowe asante dear
Nmejfunza thanks alot
Rose John asante dear kwa kupata kitu
Which application you use for editing your video's
miriam tutorial movie maker
Hyo consirel inapatikana wap???
Kwaiyo engo ya juu inapatikana kutokana na engo ya chini au
nc nimeipenda hiyo
woow thanx alot dear
Amriya Aziz asante love
Hongera sana d kunipa mwongozo
Barikiwa mtoto wa mama suzy
asanteeee
Kwel wanja wa piko unaonekana Sana halafu tangu iingie nilikuwa, sijabahatika kupaka wa lulu wenyew ndo nimekuja paka, sasa
Asante mamy wngu 💞💞👌
asinath asinath asante pia love kwa kuangalia
😘😘😘😘
Counsellor inayoenda na rangi yako au yoyote dear?
Kulthum Salim inayoendana na rangi yako
Kulthum Salim deliverance of three kings
Kulthum Salim
i like it.
somo zur thankx dada
fanmoney better asante dear
Só nice, Ivi utaijuaje poda inayoendana na rangi yako?
Qamaria Ali mmmh kupata poda au foundation ya rangi yako sio kitu kiraisi na ndio mana unakuta mtu ana poda hata tatu zote sio rangi yake..kikubwa ukifika dukani kabla ya kununua jaribu kuitaste ile poda kama ni rangi yako..japo sio kazi raisi sana na inachukua mda adi mtu kuja kupata rangi inayoendana nae
sasa tutajitambuaj?
Qamaria Ali ukiwa unanunua dukani utapojaribu ndipo utapojua ni poda yako au ni foundation yako..uwezi kujua kwa kuangalia adi ujaribu ndo ujue kuwa inarandana na rangi yako
uko vzur namm nataman San kujua
Napenda sana huo wanja bado sijauwezea bt ntaendelea kujifunza zaidi kupitia wewe, manake hua nikijipaka mpaka natamani kulia 😤😂
Jestina Mbiduka utaweza tu ykijifunza hny
Na me hivo jmn
Uko vzr
naomba kujua,hyo consila na foundation inapatkana ndan ya package ya wanja wa lulu??
Darasa LA online linaendelea?maana skua hewan mda
Safi sana
Ahsante mwaya
Hasna Ramadhani asante pia kwa kuangalia dear
It looks Lovely
thank you love
nyc
Subira Mihayo thank you dear
Unafutika baada ya cku ngap?
wow napenda sana urembo
Ledy Moghana Enock mi piaaaaa😍😍😍
Beautiful
Radhia Wambura asante
Naona huna ata izo nyusi siku nyengine tufundisheni wenye manyusi mapana
shukran
Chimumy Muu asante dear
Mashallah
Tamala Tina thankx mamy
Nice sana
Mapemba Kishola asante dear
Anx dear
Hey sister umeipatia atar
Safi
Tutorial nzuri sana...na mimi nimejifunza ila pole pole... ladies if you love movies and series please visit my channel (tembelea channel yangu upate filamu na series nzuri nzuri)
Masha Allah 😘😘😘asante
missck Rashid asante babe
jinsi ya kupaka makeup😘😘😘😘😘utufundishe
Auuuuuu I love it
I lyk it
Claudia Mbulule asante mamy
Asante mamy wangu
👏👏👏
princes Mwaso asante
princes Mwaso a
Afrka quin
Ahsantene
asante mpenzi
asante pia baby..love love
mishone
mishono
shono
love it
Regina Obadia asante dear
Huo ndio unakaa msaa 24?
Nimependa sana wanavyo paka wanja wa lulu na kujifunza kufunga malemba
Kapendeza
Jackson Amos asante
Umependeza
Uko vizur
Naiyo konsela ikoje jaman mm sielewi ebu nifahamishe
T
Tufundishenijamani
vizur
asante
Unaweza kupaka huo wanja hata kama hujatinda nyus
Sauda Yusuph unaweza,, ila inapendeza sana ukiwa na nyusi chache zilizokuwa kwenye shape
Uwo wanja unauzwaje yan sh ngap?
ahsante
Yaan mm cwezag kabisaa
Apambana niweze kupata kitu kutoka kwako ant najua nitaweza tuu
natakiwa niwe na kitu gan na gan ili niweze kuchora huu wanja??
Iddi H Mashono vitu vya muhimu vya kuwa navyo kufanya wanja nimeshavifanyia video yake plz kaangalie
Iddi H Mashono Hi dada kama we ni mpezi wa movies na series za kibongo tembelea channel yangu upata za moto!!!!
Direct BongoTV - New Bongo Movies ook
iyo pods ya kutengenezea Shep inauzwa pamoja na wanja au inauzwa yenyewe na ni yaaina gan?
Happy Lyimo amna inauzwa tofauti...ni concealer ya mafuta mafuta
nice nimependa hy
Rose queen bby asante babe
asante saana wanja wangu jelly umeganda kuna njia yoyote ya kuyeyusha??
labla mafuta ya taa may be sina uakika sana
ishu nikwamba lazima utinde nyusi kitu so kipende mimi her nisipake
nice
Umependezaa
Lily Shirima asante dear
haika jaman nakupenda
Amina Rajab asante dear nashukuru ❤❤
Yaani hii Kazi ngumu da nitajitaidi
Nimejua aisee nitajaribu maana nilikua mpaka niende saloon
Glady Mndala jaribu mwaya utaweza kabisa
nce
hawa Mbonde asante
Ukienda kununua unapewa vtu vyote vnavyo and tajika
Nice
Ttk Jinadu thank you mamy
Nakupenda Sana mwanangu
Daniel Vejitos asante sana nashukuru kwa upendo
asante mwaya nakomaa
Ilham Mshana komaa dear utaweza
Wanja wa lulu unawez kutumia kweny eyeliner
Rahma Ayoub yes unaweza paka kama eyeliner,,wanja mweusi wa gel unautumia
haikael mrema ok asant
Mi nikipaka upande unakaa vizuri upande mwingine vibaa
uo wanja unauzwaje? Wa Jina?
Happy Lyimo inategemeana na kila duka wanauzaje ila hasa hasa ni elfu 5
nazani na mm Nina jifuza kidogokidogo