Ahsante Dr Kitima kwa historia hiyo nzuri ya haki za binadamu na mmomonyoko wa haki hizo hivi karibuni. Hakika u mfano mahsusi wa kiongozi wa kisasa wa dini; ahsante pia kwa umakini wako ktk kushughulika na mambo ya kidini, kijamii na kisiasa (ambayo yamefungamana kabisa, hayatenganishiki!), mimi huyafuatilia sana 'mawahidha' yako! Mungu akulinde uendelee na uelimishaji huu, kwani jamii yetu ina ila nyingi ikiwa ni pamoja na walioko madarakani ambao tunajua hawapendi ukweli na hawapendi watu wazijue haki zao. Pia nikuhadharishe kwamba una maadui wengi wanaoliona kanisa badala ya kuuona ukweli unaousimamia!
Kwa kweli kwa elimu hii ya haki ni ukombozi wa kifikra kwa Wananchi wote ambao hatufahamu haki zetu. Viongozi wadini mjipange kutuelmisha ktk maeneo yanayowahusu.
Asante Padre Mungu akubariki sana

Ubarikiwe baba kitima tuko nyuma yako watanzania•
Baba Kitima Bwana azid kukubarik ktk utume wako
Kwa kweli kwa elimu hii ya haki ni ukombozi wa kifikra kwa Wananchi wote ambao hatufahamu haki zetu. Viongozi wadini mjipange kutuelmisha ktk maeneo yanayowahusu.
ASANTE BABA KITIMA ..........👍🙏💪🤛👏👏