Baba nashukuru sana uwajalie watoto zangu wapate kazi wapokee biashara binti afungiliwe kiuchumi apate mume sahihi na kazi nami mama yao nilejeshee nipate mafanikio
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Oooh Prophet Pastor George Mukabwa...Asante. Saaana kutoka St Pölten Niederösterreich.....Mungu wetu wa Mbinguni Akulind, Akuinue, , Akubariki....Nakuombea kwa Mungu Baba...umekua Mwalimu wangu Mwema mno❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Haki natamani nihamie Mwanza kama ingekuwa ni kitu rahisi nawainea wivu Sana wanaoabudu hapo,wanaohudhulia ibaada zote kiimani wanamatokeo ya mbali sana I wish to be the one .
Thankyou Lord for your word, help me to be the doerer of your word.amen
Baba nashukuru sana uwajalie watoto zangu wapate kazi wapokee biashara binti afungiliwe kiuchumi apate mume sahihi na kazi nami mama yao nilejeshee nipate mafanikio
asante Sana mchungaji nimebarikiwa kwa kweli hapa Kenya kanisa liko wapi Niko hapa nrb
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Oooh Prophet Pastor George Mukabwa...Asante. Saaana kutoka St Pölten Niederösterreich.....Mungu wetu wa Mbinguni Akulind, Akuinue, , Akubariki....Nakuombea kwa Mungu Baba...umekua Mwalimu wangu Mwema mno❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwa mungu kuna raha. Tunaskiza na tunacheka, kwa God hakuna stone face
Merci beaucoup pasteur.que Dieu vous bénisse abondamment
Mungu akubariki pastor umenivusha mahali
B blessed pastor nabarikws sana na mafundisho yako
Be blessed pastor George
Amen Amen Amen 🙏🙏
Mimi nabarikiwa saana nawe na ninpenda kutuma fungu la kumi huu mwazi Kwa madhahu haya.
Judith saumu kutoka Kenya barikiwa Sana pasta
Ameen mtumishi tunaomba uwe unatukumbuka wakati wa maombi angalau kwa kunyoosha tu mkono kwa ss tunaokufuatilia kwenye mtandao
Mungu akubariki sana mjungaji nimejifunza mengi sana nimefunguliwa kwa hakika God bless you so much
Jesus
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen
🙏🙏🙏👏🔥
Bwana yesu atukuzwe
Amen Amen Amen
Amina
Amina ubarkiwe sana naomba namba ya sim ❤
Ameeeeeeeen 🙏
....Damu ya Yesu rejesha
Amen 🙏🙏🙏 Mtumishi wa Mungu Mungu hakubarik San ❤
Mungu akubariki pastor
Amen mtumishi wa Mungu
Powerful
Malizia somo please
Duh wewe. Use polity language
Kirumba mwisho Wa lami,ndipo kanisa lilipo
Nirudishiwe nyota ya ndoa na kibali Cha kukupalika 🧎🧎🧎
Very powerful
Hy
Can you speek with me pastor?
Pastor kanisa lako lipo wapi? Najisikia nguvu ya kuabudu na wewe
Hili kanisa lipo sehemu gani hapa Mwanza?
Liko Mwanza kirumba police mwisho wa Rami, ukishuka misheni, boda wanakuleta wanbie JRC .
Imani yangub ilikuwa chini lakini leo mungu amenena nami asante mtumishi
Haki natamani nihamie Mwanza kama ingekuwa ni kitu rahisi nawainea wivu Sana wanaoabudu hapo,wanaohudhulia ibaada zote kiimani wanamatokeo ya mbali sana I wish to be the one .
Yaani katika maisha yangu yote toka nianze kuswali huyu mtumishi kanifundisha mengi. Na sasa najua nisali VP ili niuonw utukufu MUNGU
Amen and amen 🙏🙏🙏
Amen
Amen 🙏
Amen