Habari samahani kk mimi na kikundi cha uigizaji kinacho fahamika kama KIVYETU TV, nilikuwa nahitaji support yako kama underground katika tasnia hii ya kuigiza vichekesho kwani wewe una uzoefu kwenye hili jambo naomba unisaidie kaka.nafikili itakua ni jambo kubwa sanaaa tunaomba support yako
Imana ikufuhure chane
Ameimba vizuri kwa uwezo wake uko vizuri dada katunze ndoa yako na Mungu akutangulie ...kigoma mko juu
Mungu nijalie nami huu mwaka usiishe
Umepata
Mungu atunze ndoa yako
AHSANTEEE ila nawe ulipata mwenza?
Hongera kipenz changu Mungu awe kila kitu kwenu
Bibi hrusi anapendeza xana may God bless your family
Woooh🔥🔥🔥🔥🔥 nitaanza kufatilia hii channel huyu bibi harusi kabigusa kwakweli
Waoo dada hongera Sana mungu akawabariki muwe na familia njema
the bride tobe she is so cute v traditional wedding i love it
❤PPP
Hongera mwaya ,
Kijijin hawana Mambo mengi Kama huku mjin
Loo...!Bi Harusi ni mwimbaji mahiri!abarikiwe na BWANA!
Nice wedding
Kati yawengi bwana harusi kacheka Alo muona naomba laiki zenu
Nime ipenda
Umeomba mwenye wimbo wake Lidya au unaigaiga tuu mwenzangu alitunga kwa shida kiigilisi weeee
Kigoma oyeeeeeee begwa begwa nice.
Hongera zenu
Wimbo mzuri
Mungu awabariki
Hapo macho ya usdah kama yote kigoma tena ila jaman kigoma tunapc kali hatariiii hii haijaguswa ata kidogo
Mungu akujalie yaliyo haja za moyo wako. Usipozaa he? Omba Mungu
Bi arusi aliimba vzr sana...abarikiwe
Bibi harusi kazir nyama kidogo
Genda genda chambu utulie lelo huje kupapa hahahahhah l love you kigoma our home
Hongea mwaya nakutakia maisha mema
Nmefurahi kwa kwelii
Unaitwajee huu wimbo jmn
Bwana harus jaman Kama kanyeshewa mvua
MUNGU awape hekima yakuishi katika misingi yake
am from Kenya nani aliimba huu wimbo tafadhali ❤ nataka pia name nitaiba kwa harusi yangu🙏🙏
Kristopher mwahangule wimbo unaitwa yesu yuko hapa
Mimi pia natoka Kenya Na nilitaka kibali kuimba hio wimbo Kwa harusi yangu
Wimbo wa lidya na Davi😆😆😆😆😆😆
Dada nae kachukua nyimbo yamwenzake kajifany nayy m2nzi looh angeleta mustar yake
Wote ude wanapenda.kula.mnoooooooo watu wa kigoma kwa kul awashikiki
Nimependa sana
Jamani anaimba bibi harusi lkn nalia mimi
Ney was mitego
Watu wanapiga vigelegele hajui mwenzao anakwwnda kupambana na mtulinga😁😁😁😁😁
Hongera san
Duuh😁😁
Lidya alitikisa
Jina la wimbo ni utafute Kama unaujua
Nani aliimba hii wimbo
Wajina umetisha wachu
👍👍
Wow hogera dada
Ndoa za KIGOMA raha sana
Bwana harusi sasa zamu yako kuimba hapo🤣
Zamu ya bwana harus kuimba
Huu wimbo si wa Lydia na David au😁
N wa lydiah na David huu 😆
@@zainabmwanza3785 umeonaee
Nani kaona leso 😂😂😂😂Kama kipande Cha kanga
Hahaha 😂😂🤣🤣 jmn umeanza
Kijijin tunaolewa wadogo hadi raha chuchu saa moja 🤣
Sio kama wa Dar ziwa ndala ndo wanafunga ndoa
Mh jaman
🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Ni neema tu!husijigambe,wengi wanatamani ila inakuwa bado
Ila zote zinaitwa ndoa ziwa lilale au lisimame sio shida zetu
Bibi harusi mrembo sana
Kwan nikigoma sehem gani
Jina la wibo unaitwaje
Bibi harusi she is wow mashaallah
Samhn naomba jina la wimbo
Naona huu wimbo maharusi wamevipenda sana
Jamn dada yng upo
Wajina ahsante sana ndoa za mikono ziko vinzur sana
Kila harus yako unayorusha bi harus lazima aimbe wimbo huu,au ni wimbo wa Taifa, tujuze mzee baba
Jaman acheni wivu, wimbo ni wimbo tu si waharus huu hata Kama uimbwe wa nchi nzima
Namuomba mungu mwaka huu usiishe
Nitajie jina la wimbo naupenda balaa
Kuna kelel hutasema watu wapo kwa mwamposa kweny kongamano la keki
Bwana arusi ana aibu mnoo.
Huo wimbo sasa umekua kama wataifa Kila mtu mnaanza kutukera sasa
Yan imebidi nicheke
@@edisadaudi7474 😂😂😂wamezidi vooo
Hii ndo asili ya kjjn, wimbo unapovuma kwa sherehe Moja, basi wote wataigaaaa
😁😁😁😁😁
It hi
Bro angalia caption iyoo
ungetunga wa kwako ungenoga zaidi bhana
Bora aliegandamiza kuliko yule akae kimya
Umeona saut nalidya mwenywe aloimba it's so different
Upumzisheni huo wimbo
Mungu ametaka urudiwe
Habari samahani kk mimi na kikundi cha uigizaji kinacho fahamika kama KIVYETU TV,
nilikuwa nahitaji support yako kama underground katika tasnia hii ya kuigiza vichekesho kwani wewe una uzoefu kwenye hili jambo naomba unisaidie kaka.nafikili itakua ni jambo kubwa sanaaa tunaomba support yako
Pambeeee tyu
Samahani kaka wimbo ameimba nani na unahitwaje
Ungetengeneza wako ungenoga sana kuliko vyakuazima
Kigoma mnajua kuhudhuria kwenye ubwabwa!
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣👆
One among others
Angalia caption iyoo bro
Peace bro keep it up
Huu wimbo unaitwaje
Bwana harusi hata kumtunza mkewe mtarajiwa
@@wajinatv3033 mbona siupati huo wimbo jaman
@@wajinatv3033 nani alieimba huu wimbo???
Jamani huu wimbo mbona kama bibi harus alishawahi kuimba,sasa naona kila bi harus anauimba,au ni wimbo wa Taifa!
Ukiona hivyo ni mzuri una maneno yenye upeo wa Mungu
@@emmaponera225 aminaa
Nakwambia we acha tu uo wimbo ulikuw wa lidya na Davi sas bibiy hapo naona kapatoa looh😁😁😁
Kigoma yawapi hyo
Ata hii ajaimba poa kama ya lydia
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Lydia aliimba poa uyu kaaribu sana
Lydia aliimba sana
Kwel
nimependa sana