MAOMBI NA MBINU ZA MAOMBI UKIWA KWENYE VITA,, JIFUNZE KUHUSU MFALME HEZEKIA NA NABII ISAYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 30

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 11 дней назад +2

    Navunja maagano ya giza juu yangu na familia yangu katika jina la yesu kristo Amen 🙏

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 8 дней назад

    Amen mungu naomba unipe nguvu chochote umepanga kizaliwe kwangu mungu naomba unipe nguvu

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Amina napokea nguvu kushinda vita vya upinzani vya maadui juu yangu naomba unisaidie Mungu

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 8 дней назад

    Amen mungu nisaidie ili niweze kushida vita juu yangu

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Mungu asimamie maneno yote niliyokwisha kusemewa vibaya nisaidie ee Mungu

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Namlilia Mungu wangu afute roho za umalaya, u babe,ukatili,uongo ..ufutike

  • @LODRICKKAMBALE
    @LODRICKKAMBALE 11 дней назад

    amen pasteur

  • @Acc-ey6ie
    @Acc-ey6ie 11 дней назад

    Amen navynja nguvu ya Giza kwa maisha yangu

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Amina Napokea kuvushwa maneno mabaya yote niliyosemewa na watu

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Napokea mtumishi Mungu

  • @julienneaboki4105
    @julienneaboki4105 9 дней назад

    Naomba uniombee nami nishinde vita mungu aniwezeshe kunyamaza kimia ili anipiganie

  • @Baraka-l8v
    @Baraka-l8v 9 часов назад

    amina baba

  • @FAITHJOSEPH-d7j
    @FAITHJOSEPH-d7j 11 дней назад

    Amina nimepokea

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Amina

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Amen

  • @bintiobediobedi7796
    @bintiobediobedi7796 День назад

    Asante sana

  • @anitarafa
    @anitarafa 10 дней назад

    Mimi ni mteule wa bwana, na kizazi changu ni kizazi cha baraka ..Mwenyezi Mungu nitie nguvu nisirudi nyuma kimaombi

  • @JemimaOmbitsa
    @JemimaOmbitsa 10 дней назад

    Pray for me pastor am jemima looking for job please help me

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 8 дней назад

    Nakataa ndoto mbaya juu ya maisha yangu ndoto za kuongea na watu nisio wajua nakataa

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад +1

    .nafuta kila maneno mabaya anayosemewa suzy wangu nafuta hayo maneno bibi yake ,ya kumchongea akose kibali hiyo mipango naifuta

    • @aje6
      @aje6 11 дней назад

      ALPHA S MGANA

    • @aje6
      @aje6 11 дней назад

      MUNGU ATUSAIDIE 14:24

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Nikweli mtumishi wa Mungu nafuta kila mpango adui,vita vyote vifutike

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Madeni yaishe kwangu ,NI KITU KINANUSUMBUA SANA,UONGO KUDANGANYA ILI NIISHI MUNGU ANIFANYIE WEPESI MWAKA HUU

  • @TherezaWanzagi-cf4cl
    @TherezaWanzagi-cf4cl 11 дней назад

    Maadui wakimbie
    Mbele yangu

  • @Baraka-l8v
    @Baraka-l8v 9 часов назад

    niombee nipate kibari

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 8 дней назад

    Nadai nguvu ya maombi

  • @GrittaMwaijega
    @GrittaMwaijega 9 дней назад

    Maombi ni dawa

  • @GeraldineMwailu
    @GeraldineMwailu 10 дней назад

    Bana niiokoe nifuke

  • @CelstinaCelstain
    @CelstinaCelstain 10 дней назад

    Amen