MPASUKO MKUBWA CUF, KAMBAYA AMVAA PROF. LIPUMBA, AMKUMBUKA MAALIM SEIF | MSUMARI WA MOTO...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 18

  • @ip_header
    @ip_header 3 года назад

    Wanasiasa njaa wameanza kutafunana, Mungu awafichue mamluki wote iwefundisho kwa wanafiki wengine

  • @maulidimuhammed7851
    @maulidimuhammed7851 Год назад

    Haya salitianeni nyinyi kwa nyinyi wanafki wakubwa nyie na Lipumba wote nyie ni Nyoka wakubwa .Mungu anahukumu hapa hapa duniani.

  • @kinega1029
    @kinega1029 3 года назад +2

    Wanafik I wakubwa pambaneni na hao ccm kama mtawaweza mlikuwa mkibebwa na Jiwe sasa hayupo mmekwisha mtakuwa kama TLP soon unacheza na haki watu wamekufa kwa na chama cha Cuf zanzibar halafu mnaleta ujinga all of u will pay the price

  • @shafiitowo8093
    @shafiitowo8093 3 года назад

    Kambaya mwizi umekiujumu chama muda mrefu sana hatukutaki nendazako ccm Kwa wezi wenzio

  • @husseinawadh4009
    @husseinawadh4009 3 года назад +1

    Lipumba wakati wa magufuli kasema sana. Siku ya mahakama Lipumba alisema maneno mazito mbele ya Magufuli tena kwa kumwambia Magufuli. Lipumba alipata kusema ccm ni kama kapu la samaki waliooza, kiukweli Lipumba kasena saaaana

  • @josephbonday8510
    @josephbonday8510 3 года назад

    Huyu jamaa namuona huyoooooooo ACT Wazalendo,endapo watamfukuza

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 3 года назад +1

    Kambaya leo yamekufika ww ndio unaanza kupapatika

  • @khamisjuma8501
    @khamisjuma8501 3 года назад +1

    Pay the price my brother kambae message from USA 🇺🇸 today 🎁

  • @omarhamadomar8832
    @omarhamadomar8832 2 года назад

    Ongeni ukweli lipumba hakufukuzwa alijiuzulu mwenyewe

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 3 года назад

    Umezungumz pumba tele moja tuu mdio nakibaliana nalo kuna wazanzibari wanaodai zanzibar yao wazanzibari hawana mapenzi na chama chochote wanachokiangalia ni wataipataje zanzibar yao

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 года назад

    kawaida ya mtu au kitu hukioni umuhimu wake hadi kikikutoka ndio CUF sasa . huyo kambaya ndio huyo alokuwa akimtukana maalim na kumvamia mikutano mikuu na kuwapiga viongozi wetu . Ama kweli malipo ni duniani akhera kwenda hesabu . wembe ni ule ule unageuzwa upande wa pili tu .

    • @abdullaoksuleiman2131
      @abdullaoksuleiman2131 3 года назад

      Mwach yamfike mnafiki mmoja huyo alikuwa anamkadia sana maalim

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 года назад

      @@abdullaoksuleiman2131 . ndio hapo sasa kibao kimegeuka

    • @hansngowo5883
      @hansngowo5883 2 года назад +1

      Lipumba nikigeugeu asieaminika,kambaya anajua staili yao ya kuhadaa watu kisiasa,mnatumika,sasa mnashuhulikiana wenyewe kwa wenyewe zimwi la maalim halitabakiza hata mmoja,yaonekana hela za maccm zimeisha

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 года назад

      @@hansngowo5883 Yambayana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @japhetbarton8268
    @japhetbarton8268 3 года назад

    😆😆😆 WANASIASA WETU BANA 22+17 =39 🤣🤣 AU HESABU YA ZAIDI YA NUSU NI ZIPI.........

  • @masanjamasaga5498
    @masanjamasaga5498 Год назад

    mlimsaliti maalim seif wasaliti wakubwa nyie