Mukiishi kwa kuwaamini waganga hamuwezi ishi kwa upendo hakuna watu wagombanishi km waganga utaambiwa mama yako mwanga baba ako mwanga ndio km hivyo mtt wako mwanga kisa wameambiwa na mganga acheni mawazo ya kushauriwa na wanga 😢😢😢😢😢
Ukipata ni shida ukikosa shida .mtizamo.wangu ni kuwa mama wa kijana ndiye mwenye matatizo ya akili na imani potofu . Kufa kwq watu wako.wa karibu kusihusiane na mafanikio yako . Watu wafa tu hata ukiwa masikini watakufa tu kama imetimia siku yao .
Huna baya bro ukwel usemwe watu tue na hofu ya MUNGU ❤
Dudu nahipenda sana shauri zako hupo vizuri kibusara na Akili
We jamaa ni mkweli sana,mwenyezi mungu akupe maisha marefu
Subuhallah alla ewe mungu tusaidie na hii dunia tupe mwisho mwema
Nakukubali sana dudu baya wasanii wengi siku hizi washirikina waambie ukweli
Jamaa ana akili sana ya kuchambua mambo
Mashart kwa Mungu ni Utakatifu na
Kuwa mtu wa toba
Damu ya Yesu inatosha
Dudu 👊
Sheria na masharti hutumika😂😂😂...Konki nakubaki T Shirt Kubwa ya Legend👊💪🤞Pac
hata mm uyo msanii tajili chui simjui walikua wanatafuta atetion2 hamna kitu
Nakukubar sana kaka
Very true,wanaojiuza wengi wanashinda kwa waganga
Nakupendaga sana dada baya
Mukiishi kwa kuwaamini waganga hamuwezi ishi kwa upendo hakuna watu wagombanishi km waganga utaambiwa mama yako mwanga baba ako mwanga ndio km hivyo mtt wako mwanga kisa wameambiwa na mganga acheni mawazo ya kushauriwa na wanga 😢😢😢😢😢
Hapo umesema ukweli kwamganga bro 😂😂😂
Mganga anampiga miti 😂😂😂😂
Aaah mambaa!😄
Kwel bro tzd vinjana wameikia kwenye mtengo ya shentani Ila Awana Maisha marefu Mungu awapee akili ya kutafuta Maisha ya jacho lao
Tuliosoma Cuba tunamuelewa dudubaya
hata tusiosoma tunamuelewa sana tu
Hivi dudu unaishi sehemu gani?
Dudu baya bro uweutaja number zako za cm tuwe tunakutumia hata pesa yakula upo vizuri sana kwenye ushari
Safi
Kabisa 🙌🙌✌️
Kwel kbs
kwel unayajua mengi kinomaaa! du
La pure vérité 🇨🇩🇨🇩🙌
😂😂😂😂😂 dudubaya bana
huyu ni mkweli na abaki kwa Mungu milele
Unafeli dudu uyoo sio mama akee
Basi huyo atakuwa mama yako wewe
Anampiga nini
Mambaaaa 😂😂😂😂😂😂😂
Unampiga miti nyoka😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ukipata ni shida ukikosa shida .mtizamo.wangu ni kuwa mama wa kijana ndiye mwenye matatizo ya akili na imani potofu .
Kufa kwq watu wako.wa karibu kusihusiane na mafanikio yako . Watu wafa tu hata ukiwa masikini watakufa tu kama imetimia siku yao .
Dudu waambie hao
Dudu baya naye kafeli akili yake hawezi kufikiria positive
🤣🤣🤣🤣
Huondoukweli ujinga mtupu
Hata wewe uliwahi kumwambia mama yako mchawi tunakumbukumbu na wewe vizuri sana kaka
Uyo yesu alikua mtume kama watume wengine.
NEW GOSPEL SONG 👇
ruclips.net/video/cBFxuZrW0Wk/видео.htmlsi=RZIf-BidYgAIXtnN
Ukifeli maisha unaanza kuyaongelea yawenziyo wedudubaya kilakitu unajiweka unakijuwa tulikukubali zamani sahivi umefeli achakufatilia madogo kaautulie ujutie ulipokosea
Una umri gani weh jamaa?
Oya we acha use...
Sheria na masharti hutumika😂😂😂...Konki nakubaki T Shirt Kubwa ya Legend👊💪🤞Pac
Sheria na masharti hutumika😂😂😂...Konki nakubaki T Shirt Kubwa ya Legend👊💪🤞Pac