NAMNA YA KUOMBEA MZALIWA WAKO WA KWANZA KAMA LANGO LA FAMILIA YAKO - Prophet Rolinga

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 22

  • @teresiamburu9582
    @teresiamburu9582 Год назад +1

    This prayers goes to my sister Jane and my daughter Catherine wafunguliwe baraka na mafanikio Katika Jina La Yesu Amina Amina Amina 🙏🙏🙏

  • @euginewachuka4220
    @euginewachuka4220 Год назад

    Ameen, mtoto wangu wa kwanza afunguliwe katika jina la Yesu.

  • @agathambula4719
    @agathambula4719 Год назад

    Amen.mtoto wangu afunguliwe akiwa mzaliwa wa kwanza

  • @antoniakoech8994
    @antoniakoech8994 Год назад

    Amen ........ mtoto wangu wa kwanza afunguliwe

  • @EmmyMbore-yv8cb
    @EmmyMbore-yv8cb Год назад

    Namuunganisha mtoto wangu wa Kwanza katika ibada hii, pamoja na Kaka yangu deo gaspar

  • @NdukuWilson
    @NdukuWilson Год назад

    Naunganisha mtoto wangu phoenix akiwa mzaliwa wangu wa kwanza

  • @jacobalinyuni5401
    @jacobalinyuni5401 Год назад

    Najiungamanisha kama mzaliwa wa kwaza mungu nifungue

  • @bienfaitemaniraho6383
    @bienfaitemaniraho6383 Год назад

    Merci seigneur

  • @kkjustn8385
    @kkjustn8385 Год назад

    Amen hallelujah hallelujah amen 🙏

  • @AnithaFelicion
    @AnithaFelicion Год назад

    Najiunganisha kwenye ibada hii ya mtoto wa Kwanza naomba mwenyezi mungu mwingi wa rehema akanifungulie kila milango iliyojifungwa naomba mungu wangu akavunje kila vifungo avunje vunje maagano ya mizimu,maagano ya kichawi yatoweke na kukaa mbali Mimi.

  • @JanetNambeya-ce6lc
    @JanetNambeya-ce6lc Год назад

    Najiunganisha ibadaa hiiii nikiwa mtoto wa kwanza ktk family Weston Nzunda naomba nifunguliwe mlango wa mafanikio Uchumi ndoa Mungu naomba nifungue kwenye kifungo Cha madeni

  • @JanetNambeya-ce6lc
    @JanetNambeya-ce6lc Год назад

    Mungu naomba niondoleee giza na kunikambizi mibaraka yangu ya mzaliwa wa kwanza ktk family yangu nikiwa mtoto wa kwanza Mungu naomba nifungue kwenye kifungo Cha madeni uchumi ndoa niwe mtoto wa malango ya mafanikio👏👏👏👏👏👏👏👏🇿🇲🇿🇲😭😭😭😭

  • @bernadethagodwin7862
    @bernadethagodwin7862 2 месяца назад

    Namuunganisha mama yangu Agripina na haya maombi apokee uponyaji wa kichwa

  • @dornesh1010
    @dornesh1010 Год назад

    Timely message

  • @merryjohn9520
    @merryjohn9520 Год назад

    Najiungamanisha na madhabahu hii Mimi kama mzaliwa wa kwanza

  • @LoningoMoikan
    @LoningoMoikan Год назад

    Nijiunganisha ibada hii nifungiliwe kiuchumi kwajina la yesu Mimi ni mziliwa kwanza

  • @catherinekanini6225
    @catherinekanini6225 7 месяцев назад

    Niko Kenya najiunganisha na madhabau ya omega

  • @JanetNambeya-ce6lc
    @JanetNambeya-ce6lc Год назад

    ❤❤❤❤❤ Hallelujah 👐

  • @Rabecca-pj6hq
    @Rabecca-pj6hq Год назад

    Najjiuganisha ibadan hiiii nikiwa. Mtoto

  • @rahma6189
    @rahma6189 Год назад

    ❤❤❤😊

  • @FrejusMsae
    @FrejusMsae Год назад

    Mzaliwa wa kwanza ni YESU KRISTO mwenyewe yeye ndie mzaliwa wa kwanza

  • @kkjustn8385
    @kkjustn8385 Год назад

    MUNGU ni kumbuke