MashaaAllah mada ni nzuri sana Allah akulipe kila la khery ila jiandae na radi kutoka kwa mawahabi c tunawajua maana wenyewe huwa hawaangalii mzungumzaji alikua na nia gani
MashaaAllah shaikh Kaporo Allah ampe umri mrefu tazama huyu amesoma huko Saudia walipo hao Masalafy na anakubaliana na suala la kuwaombea dua wazazi waliotangulia mbele za haki,mtoto wa bachu atasema bidaa
Maana kuna watu wamejaaliwa kutafuta umaarufu kwa nguvu waislamu Waleo ikhlaswi imetupita mbali kila kukicha mtu yupo kwenye mitandao kukosoa masheikh waliokuzidi hiyo ni fadhla ya Allah

Ichukue haki hata kama.inatoka kwa usiyempenda
MashaaAllah shaikh Kaporo Allah ampe umri mrefu tazama huyu amesoma huko Saudia walipo hao Masalafy na anakubaliana na suala la kuwaombea dua wazazi waliotangulia mbele za haki,mtoto wa bachu atasema bidaa
Aliyekuambia masalafi hawakubaliani na kuwaombea dua waliotangulia mbele ya haki nani. Busara kuweka jambo mahala pake
Maana kuna watu wamejaaliwa kutafuta umaarufu kwa nguvu waislamu Waleo ikhlaswi imetupita mbali kila kukicha mtu yupo kwenye mitandao kukosoa masheikh waliokuzidi hiyo ni fadhla ya Allah
Wewe mwenye unachuki masalafi mawahabi Haki haikaliwi haki siku.zote.hukaa JUU.