UROHO WA CHAKULA (JAMBO NA VIJAMBO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @timothmwakakusyu4563
    @timothmwakakusyu4563 4 года назад +33

    Hahahahahahaaaaaaa I chee me, najiona mimi, nimekutoa nje ya mchezo😅😅😅😅😅🙌🙌🙌🙌

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 4 года назад +71

    Nimecheka kifala sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
    "Chema chiri zangu nicheme zako"
    Nimecheka mpaka machozi

  • @fedchid8072
    @fedchid8072 4 года назад +8

    Daah uyu Dada rangi imemkubali kweli yaan adi raha

  • @nishimweemmanuel5066
    @nishimweemmanuel5066 4 года назад +260

    Waliocheka kama Mimi wekeni like zenu hapa

  • @amospetro9116
    @amospetro9116 8 месяцев назад +1

    Huyu mm anifikii namm naupiga mwingi 😅😊😅😅😅

  • @aishabigset
    @aishabigset 4 года назад +49

    I love this show so much🤣🤣 nimecheka sana

  • @charleszakayo2376
    @charleszakayo2376 4 года назад +29

    Mama melemend umetupatia leo umetujaz chuv, Naz,mdalasin 😂😂😂Bab kafany waya ling

  • @officialkamdudu
    @officialkamdudu 4 года назад +207

    ila tuache utani nje ya kuigiza huyu fala anapiga matonge ukweli ukweli ... 😂😂😂

  • @sautibyego939
    @sautibyego939 4 года назад +12

    Ajajajajaaaaaa 11:49 anakwambia Baba kafanya wayaringi 😂😂😂

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 4 года назад +2

    Mwanang umekuwa konkodiii.. Watanijuaaaa kama nimekulaaa mchna.. Ilaaa sijarithii mkono wakoo...mkono wa robot peremende i see mee..mtoto analiaaa wp

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 4 года назад +38

    Eeh mwanangu umekua concord kesho utakuja mwenyewe hapa
    hahaha

  • @athumanmgissasimbadamu1781
    @athumanmgissasimbadamu1781 4 года назад +3

    Nakuona Wewe hapa Babaa Huyu Sijui Mimi 😂🚶🏼‍♂️ Babaa hapa si ulikuwa unanifundisha Jinsi yakutafuna 😂😂😂😂🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 4 года назад +38

    Chauroho:Mama nani ...mama peremende Naona leo umetupatia leo umetuwekea Chumvi,ndimu kwa mbali Yani haya mapochopocho umeweka na mdalasini ehhh eeeeh naona mimi nimekolea nazi hapa eeeeh
    Peremende:Yani tena baba kama uji huu wa pilipili mtama
    Pememende:baba nilikwambia lakini paparazzi paparazzi
    Chauroho:weeh unitue unitue
    Hahahhhhahh nimecheka Sana leo dahhh

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 4 года назад +2

    Ukiachana na maigizo huyu jamaa atakuwa anapenda kula ni dunia🤔🤔🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @kijonalusay
    @kijonalusay 4 года назад +27

    Hahahahahha Hii nimeipenda wallah nimecheka adi machozi yametoka hahahah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hawa jamaaaa dah

  • @johnalex9417
    @johnalex9417 4 года назад +7

    Pelemende!! I see me😁😁😁😁😁 najiona Mimi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @athumanmgissasimbadamu1781
    @athumanmgissasimbadamu1781 4 года назад +3

    Mmmmmh Jaman baba 😂🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️🏃🏼‍♂️

  • @kelvinoscar363
    @kelvinoscar363 4 года назад +22

    Lol i salute this guy🇦🇺🇦🇺❤🇹🇿

    • @ladykimnan902
      @ladykimnan902 4 года назад +1

      Kelvin Oscar nice welcome 🇹🇿

    • @kelvinoscar363
      @kelvinoscar363 4 года назад +1

      @@ladykimnan902 👊🏿👊🏿thank you i held your president open up the airways so too soon I'll be there 🇦🇺🇦🇺✈️✈️🇦🇺🛬🛬🇹🇿

  • @mussahsalihd9602
    @mussahsalihd9602 4 года назад +2

    Niangushiee😂😂😂😅😅😅😁😁😂😂😂😂😆

  • @athumanmgissasimbadamu1781
    @athumanmgissasimbadamu1781 4 года назад +8

    Mama tambi na Nini hiiiii tambi na nyamaaaaaa 😂😂😂😂😂😂🏃🏼‍♂️

  • @michaeltvedward4149
    @michaeltvedward4149 4 года назад +4

    Jaman mbna hiii shda Sana ebu gonga like hapo chini

  • @salummczo7289
    @salummczo7289 4 года назад +3

    Jamaa hawa nawakubali %100000000 😂😂😂😂

  • @luqmaneme9105
    @luqmaneme9105 4 года назад +9

    Kazoa ni ishu nyengine mwezi c wa kawaida. Mwez mrefu uu

  • @gockoomzawa3389
    @gockoomzawa3389 4 года назад +74

    Mm wa mwisho Leo nipen like 5 znatosha 😂

  • @jumannekessy5346
    @jumannekessy5346 4 года назад +4

    Nmekutoa nje ya mchecho yan wenyewe wanasema nmekupa kigingi😀😀
    Mwezi sio wa kawaida mwezi mgumu,mwezi mrefu😀😀

  • @logoutjrgongzulu1572
    @logoutjrgongzulu1572 3 года назад

    Anord la jini,,robowar🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈,,i chi mi najiona mimi

  • @shyfettymtunda4935
    @shyfettymtunda4935 4 года назад +5

    Kurefrechi akili jao 😂😂😂😂😂🙌

  • @yonahjabir2033
    @yonahjabir2033 4 года назад +1

    Yan kiukweli huyo boya anakula kweli kweli tonge nje na kuigiz napg saluti kwake

  • @johnalex9417
    @johnalex9417 4 года назад +6

    Mbona Hawa kama mapacha vileee😂😂😂

  • @athumanmgissasimbadamu1781
    @athumanmgissasimbadamu1781 4 года назад +3

    Babaa si tumetoka nyumban tumefunga na mama anapika futari 😂😂😂😂😂😂😂🏃🏼‍♂️

  • @deejayannyb9598
    @deejayannyb9598 4 года назад +8

    Achii me najiona mimi😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @maalimsopay1655
    @maalimsopay1655 4 года назад +20

    Eti picha za mwaka juzi unaleta Leo😂

  • @geofreylucas9469
    @geofreylucas9469 4 года назад +15

    Hahahaha! Najiona mim, kuweka picha kwenye sahani ni dhambi

  • @dionisjabir2863
    @dionisjabir2863 4 года назад +4

    Baba kafanya wayaring jamaniiii!! 😅😅😅..daah awa jamaaa🔥🔥

  • @westpusher6083
    @westpusher6083 4 года назад +6

    I Chee Meeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eti Mbonq Kama Mapacha Wanaisha Hapa Aisee Mbavu Zinauma

  • @SamuelCharles-111
    @SamuelCharles-111 4 года назад +16

    🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 Eti baba angu Huyu🤣🤣🤣

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 4 года назад +5

    😂😂😂😂🤣🤣🤣 kuwa mwanaume mwenye akili zako timamu

  • @estherkiwelu6952
    @estherkiwelu6952 4 года назад +19

    9:55 he killed it😂😂😂😂😂

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 4 года назад +1

    daaaah,peremende i chii mee,najiona mimi,kama mapacha vile wanaishi hapa,KAZOA HATARI SAAANA

  • @godfreydaniel212
    @godfreydaniel212 3 года назад

    Aisee nyie nawashtaki kwa kunichekesha mpaka nikakosa pumzi 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @annethpaschal6381
    @annethpaschal6381 3 года назад

    Mtoto kdg kalia wapi kama sio mdomoni🤣🤣🙌🙌🙌🙌

  • @kennymsanii6073
    @kennymsanii6073 4 года назад +8

    Hapa kesho utakuja mwenyewe hahaha

  • @boniphacepetro5919
    @boniphacepetro5919 3 года назад +1

    Donch touch your mauch hahahhahahaa

  • @pettiecranwel7588
    @pettiecranwel7588 4 года назад +4

    Nawakubali saaaanaaaaaa daah🤣🤣🤣

  • @erick-yd2gb
    @erick-yd2gb 3 месяца назад

    Mwanangu utakuwa fundi chana badae😅😅 unamshinda hata baba akoo😂😂😂

  • @saviolasylevester9590
    @saviolasylevester9590 4 года назад +3

    Daah sema kipengele Cha huyu jamaa anachekesha sna daah nimecheka mpk mochozi😂😂😂😂

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 года назад +8

    Aliyesikia i chii me najiona mimi 😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂 nipe like nijue kama huko makini kama mimi

    • @agun_machine
      @agun_machine 4 года назад +3

      😅😅😅😅😅 huyu boya wakupiga mawe kabisa

    • @samoocoolingsystem93
      @samoocoolingsystem93 4 года назад +2

      A Gun kbsa 😁

    • @starboydullayo5573
      @starboydullayo5573 4 года назад +1

      Samoo Cooling System huyu nan. wewe ,huyu nan. Mimi to a CLI zng ntoe zkwko hh h h h h h h

  • @alambatena3414
    @alambatena3414 4 года назад +7

    Aaahaa Wewe usiongeee 😂

  • @aguerowakujidai1697
    @aguerowakujidai1697 4 года назад +8

    From Congo Kinshasa

  • @bothmkuu58
    @bothmkuu58 4 года назад +1

    Jamaa noma sio kuingiza tu jamaa anakula hatari

  • @mustafahunter5364
    @mustafahunter5364 4 года назад +3

    I chii me 😂😂😂😂😂😂 yaani kuna watu wanakukata mdomo kwa vitendo tu. Kam umeipenda hii gonga like kam 50

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 4 года назад +2

    😂😂😂😂😂😂 *Najiona mimiiiiiii*
    *Eti mama mamaaa baba yangu yuleeeeeee?* Yaani mjinga haamini kama baba yake 😂😂😂😂😂

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 2 года назад +1

    Huyu dada ni mzur aisee

  • @abuuhilary4609
    @abuuhilary4609 3 года назад

    Dahh nimechekasana😂😂😂😂😂😁😁😀😀😀😁

  • @elishamakoye3686
    @elishamakoye3686 3 года назад

    Jamaniiiiiiiiiiiii nahitaji japo like kumi tu za huyu jamaa😝😝😝

  • @neemaneema4740
    @neemaneema4740 4 года назад +2

    Uyu jamaa.wamatoge.noma.sana🤣🤣🤣nimecheka.sana

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 4 года назад +7

    jamani mbavu zangu asantr kwa kunitoa stress za warabuni.eti mdomo😂😂😂😂

    • @dotosalim5090
      @dotosalim5090 4 года назад

      Kwel

    • @lusupi
      @lusupi 4 года назад

      Njo nikutoe stress

    • @janatahmad7048
      @janatahmad7048 4 года назад

      @@lusupi wacha wacha zako wey

    • @lusupi
      @lusupi 4 года назад

      @@janatahmad7048 kuja watsap 0715100447 tufurahi

    • @asmasalum675
      @asmasalum675 3 года назад

      Nkweri. Mwaya

  • @azardboniphace2205
    @azardboniphace2205 4 года назад +2

    Ilá huyu dada ana macho mazuriiii

  • @chrissjmunga8465
    @chrissjmunga8465 4 года назад +12

    Wcb on fire Jambo na vijambo

  • @henrytanji8874
    @henrytanji8874 4 года назад +2

    😁😁😁😁😁 ubunifu wa hali ya juu hizi ndo comedy unacheka hadi unalia

  • @neemaneema4740
    @neemaneema4740 4 года назад +4

    Uyu.mama
    Noma
    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dennisstuart5890
    @dennisstuart5890 4 года назад +1

    Niliwah muiga kwenye kula Cazorla nilitapika vibaya na homa juu..🤣🤣

  • @halfanihaji2650
    @halfanihaji2650 4 года назад +2

    1st naomba Like zng

  • @andrewjulius3951
    @andrewjulius3951 4 года назад +61

    Kama MONDI NA AJE!....😧😧😂😂 nani kaelewa hapooooo jamani?!!,,,KAMA UMEELEWA CHAPA LIKE,👍

    • @veeJesus
      @veeJesus 4 года назад +3

      😂😂😂😂

    • @munashabani1376
      @munashabani1376 4 года назад +2

      eti ajeee. Jeje iyo na domo LA mod

    • @yussuphbayura3999
      @yussuphbayura3999 4 года назад +3

      Mondi na kiba

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 4 года назад +2

      Yani mond na kiba hawapatani ndo kaambiwa mdomo isipatane

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 года назад +13

    😄😄😄 JAMBO NA VIJAMBO NOMA SANAAA🔥🔥🔥🔥🔥

  • @alhabibjafari6835
    @alhabibjafari6835 2 года назад

    Aichimiii najiuna Mimi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @johnmswachi1814
    @johnmswachi1814 4 года назад +15

    Nasema Siri zako zote 😂😂😂😂

  • @pierreoriva4131
    @pierreoriva4131 4 года назад

    Daaah nyie jmn mnachekesha Sana daaaah nawakubali nomaaaa

  • @hawahawa6915
    @hawahawa6915 4 года назад +3

    😂😂😂😂😂mbona kama wapo mapacha wanaishi himu ndan

  • @abdulswamadu3741
    @abdulswamadu3741 4 года назад

    Hahahahhaah anh kubabakeeee huyu kwel baba lao....hzo tambi kam ugali

  • @kidukuboy9896
    @kidukuboy9896 4 года назад

    aaaahahahah😂😂😂😃😄😅😆😊😉jamn 2ache masiala jamaa anawez

  • @drgeraldkazumbambbs9637
    @drgeraldkazumbambbs9637 3 года назад +1

    Me malaika🤣🤣🤣🤣 baba kakipiga cha mtoto chote tonge moja

  • @ramarasheed3453
    @ramarasheed3453 4 года назад +3

    Cha uroho yupo vzur😁

  • @softwareinjinia
    @softwareinjinia 4 года назад +1

    Jaman ukiachana na hii video mim nampenda uyo dada mweusi yaan ana rangi nzuri sana dah

  • @guccij3549
    @guccij3549 4 года назад

    😀😀😀😀😀😀 no comment nmecheka kixela

  • @DrugScientist_J
    @DrugScientist_J 4 года назад +1

    Daah nimecheka hadi kesho

  • @islamicdawah1062
    @islamicdawah1062 4 года назад +1

    i chii mii😂😂😂😂😂😂

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 4 года назад +5

    unatakiwa ule kama bata😂😂😂😂😂

  • @hkfreeboy9533
    @hkfreeboy9533 4 года назад +4

    I chiii me (najiona mm😄😄😄)

  • @issayamakubi2606
    @issayamakubi2606 4 года назад +1

    I chii me...najiona mm😆😆😆😆

  • @ashashabani4402
    @ashashabani4402 4 года назад

    Cjawahi kucheka 😀😀😀😀😀😀😀

  • @estherkiwelu6952
    @estherkiwelu6952 4 года назад +5

    Chitaki kujulikana na jilan yang na mbaya wang yan unakula kbatabata

  • @emmyyahya8358
    @emmyyahya8358 4 года назад

    Nimecheka mpaka kichwa kichwa kinauma Mapocho pocho yamekolea viungo mtoto nae et uyu nae km mie 😂😂😂😂😂😂😂

  • @ignaspius
    @ignaspius 2 года назад

    😂😂😂😂😂😂aiseeeeee dahhhh

  • @alliyoigaly3646
    @alliyoigaly3646 4 года назад +1

    I cheeee me😁😁😁😁😁😁😁😁 imekolea nazi

  • @hafsakawilo3690
    @hafsakawilo3690 4 года назад +3

    Tuletee mapocho pocho tutengeneze mwili wetu 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @NonoNono-qp3zu
    @NonoNono-qp3zu 4 года назад +4

    Nikionaga ya 'CHA UROHO' nafunguaga haraka,,, mmenivunja mbavu😂😂

  • @carolinestenius655
    @carolinestenius655 4 года назад +5

    Mtakuja kutu vunja mbavu jamani😂🤣

  • @sabysakaya2062
    @sabysakaya2062 4 года назад +1

    😂😂😂😂nmecheka sana wallah daaah

  • @mpangure-tz9984
    @mpangure-tz9984 4 года назад +1

    Duuuh aisee chauro ni noma sana hadi ramadhan!

  • @khairatkhatib1033
    @khairatkhatib1033 4 года назад +10

    Nimecheka kama LIJINGA FLANI 🤣😂😆

  • @laliaelulu1815
    @laliaelulu1815 4 года назад +10

    Huyu mtoto jamani!! 😂😂😂😂

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 3 года назад

    Baba si ndio ulikua unanifundisha kula uchicheme🤣🤣

  • @munraomary7920
    @munraomary7920 2 года назад

    😁😁mmenivunja mbavu zangu leo

  • @3dstudio421
    @3dstudio421 3 года назад

    Mama baba angu kwel huyu ee🤣🤣🤣🤣🤣

  • @richmontana1296
    @richmontana1296 3 года назад

    Daaah..! Nimecheka adi pumzi imekata 😅😅😅😅😅😅😅

  • @abbasisaddiq9044
    @abbasisaddiq9044 3 года назад +1

    😆😆😆😆😆😆 Noma sanaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Momo_96
    @Momo_96 4 года назад +1

    4:04 Nmecheka Mpaka Machozi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @godfreygodwin7413
    @godfreygodwin7413 2 года назад

    Mtoto uwaga ananichekeshaga😅😅

  • @rashidimatumla1344
    @rashidimatumla1344 4 года назад

    baba mshenzi huyu khaa yani unamuharibu mtoto😀😀😀