Masha Allah Sheikh Kishki.Allah alipe Masha marefu ya ibada,akisitirie familia yako yote,na Allah alipe Jannatul Firdausa Al Alahh.Very emotional Walahi.Vile unavyo changanyika na maakini imenitowa machozi.Allah akulinde na akupe afya nzuri kila wakati.Ameen.
Alhamndullilah rabil aalamiyn 😭😭😭 wallah furaha aliyokuwa nayo haina kifani huenda siku nyingi alitamani kumwona SHEKHE nurdin kishik na ALLAH amejaaliya kumwona YAA ALLAH NAOMBA umpe SHEKHE WETU UMRI Taweel wenye swiha njema,umhifadhi na kila shari uzijuazo yeye nasi pia YAA RAHMAN 🤲🤲🤲
Amiin yaarab Allah atujaalie watoto wema na weny kumtambua Allah subhanallah wataala hakika kaka yetu kanena maneno mazur, mashaallah shekh wetu nurdin kishk Allah akuzidishie sikha na afya njema duniani na akher
Ma sha allah sheikh kishk Allah akubariki na akuhifadhi Una moyo wa 😊 mahabba kwa ndg zako ktk imaan alhamdulilahi Tunakupenda sheikh kwa ajili ya allah
Mashallah mashallah nurdin kishik Allah akuepushe na watu wenye ftna,,, allah piaa akupe pepoo la juu kbsaa kulkoo yotee ,,anayekusema vby basi huyoo ni kafir mkubwaa na allah amlaanii kbsaa, tunakuelewa vzr snaaaaaaa mtaalam wetuu wa dunia,,,,,tukoo pamoja snaaaa ,,mtaalam mwenye elimuu,, kubwaa ,nzuri snaaa ,, Allah akulnde usje kuuguwaa hat siku mojaaa,,uishi miakaa ming snaaa mtaalam wetuu
Allaahu akbaru kiukweli Alla ni mkubwa nimetokwa na machozi Kijana alivyolingania DINI na kuchagua biashara ya kuuza VITABU vya DINI wallahi Shekhe Allah akulinde na akupe SIHA njema naamini hata mimi ipo siku NITAKUONA kwa mapenzi ya ALLAH
Shekh kishki wewe ni mtu wa watu na nimtu mwema allah akuzidishie kheri tunakupenda kwaajili ya allah wwe allah amekupaji na azidi kukuongoza wewe pamoja na sisi uzidi kutupa mazur yatokayo mtume wetu kipenzi sw
Daaaah,roho yauma,roho yaumia,roho yasikitika,maumivu makali. Machozi yamenitoka kwa kweli,pale Dua anapoomba,allahu Akbar. Kwa hakika Allah hakupi vyote Wala hakunyimi vyote
Speechless wallah Allah awape subra na moyo wa kushukur walemav wote Allah a2epush nasisi na vizazi vyetu, ameen 🤲 Sheikh wetu, kipenz chetu, mwalim we2, fahar na tunu yetu Sheikhnurdeenkishk Allah akuhifadh tunakupend mno, Allah atukutanish nawe jannahfirdaus, ww kwe2 ni wathaman mno , Allah akuapmb Afya na siha njema
Hata mim Nimelia sana Mashallah Allah akikupenda anawaamrisha Malaika na watu pia wakupende bas mifano ndo kama hii Sheikh Nurdiin wewe ni Mpenzi wa Allah na sisi pia tunakupenda kwa ajili ya Allah 😭😭😭😭😭😭Inshaallah dua yake iwe makbool nimeipenda anasema Kama alivokukutanisha na yeye hapa dunian akukutanishe naye pwpon namim naitikia Dua ammmin yarab 😭😭😭😭😭😭😭🤲
Maa shaa Allah tabarakallah Sheikh wetu Allah akulinde na kila shari Allah akubariki na akuhifadhi namuomba Allah akupe afya njema umri mrefu na ibada njema Allah atakanali matendo yako yote na Allah akulipe jannatul firdaws pamoja na familia yako
Wallah nimetokwa na chozi kwa mapenzi yako sheikh kishik Allah ukupe afya njema n swiha nam bii idhinllah taalaah anikutanishe naweee nipo kenya ❤🇰🇪
Allah akbar 😭nashidwa kuzuiya machozi Allah awape khery masheik wetu amiin 🤲mashallah sheikh kishk kwa moyo na utu ulio nao ❤️
Allahumma Amiin
Masha ALLAH. 😢😢😢machozi yafuraha yamenidondoka wallahi.ALLAH akuhifadhi sheikh. Twakupekwa ajlili ya ALLAH ❤❤❤
Allahumma Amiin
Masha Allah Sheikh Kishki.Allah alipe Masha marefu ya ibada,akisitirie familia yako yote,na Allah alipe Jannatul Firdausa Al Alahh.Very emotional Walahi.Vile unavyo changanyika na maakini imenitowa machozi.Allah akulinde na akupe afya nzuri kila wakati.Ameen.
Allahumma Amiin
Allah akAkbar mashallah. Allah amfanyie. wepesi yarrabh
Alhanmdulilah Allah anatuonesha mawalii wa Allah wazi wazi . Allah atujalie sote ucha mungu na mwisho mwema.
Alhamndullilah rabil aalamiyn 😭😭😭 wallah furaha aliyokuwa nayo haina kifani huenda siku nyingi alitamani kumwona SHEKHE nurdin kishik na ALLAH amejaaliya kumwona YAA ALLAH NAOMBA umpe SHEKHE WETU UMRI Taweel wenye swiha njema,umhifadhi na kila shari uzijuazo yeye nasi pia YAA RAHMAN 🤲🤲🤲
Aamiin
Mashallah anayoo fulaha sanaaa daaaa inauzunishaaaa sheikh wetu wakuwekeni allah muda mlefu apa duniani
Aamiin
Maashaallah mungu atujalie kila la kheri inshaallah kheri Amin thuma Amin
Allahu akbar mwenyezimungu ni mkubwa sana na hakupi kilema akakunyima mwendo umenitoa machozi kijana😢😢
Mashaallah mashaallah ❤❤❤imenitowa machozi 😭😭
Wallah sheikh unapendwa na waja wa allah natamani allah akupe umri mref zaid wenye kheri kwa waja wake inshaallah
Allah hukbar allah awape maisha marefu na yenye manufaa ndani yake
Allah akupe afya na umri mrefu na akuzidishe imani uliyonayo umri mrefu wenye mafanikio
Masha allah mngu akupe pepo jannat fardaus kwaote unao yafanya nashindwa kujizuia kulia
Amiin yaarab Allah atujaalie watoto wema na weny kumtambua Allah subhanallah wataala hakika kaka yetu kanena maneno mazur, mashaallah shekh wetu nurdin kishk Allah akuzidishie sikha na afya njema duniani na akher
Yaa Allah nimetoka na chozi ya mapenze😭😭😭❤️❤️❤️🙏🙏😭😭
Assalamu aleykum shukran ndugu shekh kishki Allah akubariki naye Allah ampe afya njema Amiin
Allah afungulie njia zake innshAllah iwe sababu ya yy na ss kuingia katika pepo yke Mwenyezi Mungu.
Ma sha allah sheikh kishk Allah akubariki na akuhifadhi
Una moyo wa 😊 mahabba kwa ndg zako ktk imaan alhamdulilahi
Tunakupenda sheikh kwa ajili ya allah
Mashallah mashallah nurdin kishik Allah akuepushe na watu wenye ftna,,, allah piaa akupe pepoo la juu kbsaa kulkoo yotee ,,anayekusema vby basi huyoo ni kafir mkubwaa na allah amlaanii kbsaa, tunakuelewa vzr snaaaaaaa mtaalam wetuu wa dunia,,,,,tukoo pamoja snaaaa ,,mtaalam mwenye elimuu,, kubwaa ,nzuri snaaa ,, Allah akulnde usje kuuguwaa hat siku mojaaa,,uishi miakaa ming snaaa mtaalam wetuu
Yaan Allah akujazee kher,, mtaalam wetuu nurdin kishik,,pia akupe pepo ya Hali ya juuu
Subuhanallah. Wallah shekh kishk ngoja wakupige raadi2 wanaokuchukia bt niwengsana tunakupenda. Na ukamilifu anao Allah pekee shekh wangu
Sheikh wangu kishki Allah akupe umri twaalii Afya njema na Kila kheir isikupite,, kijana ameniliza Allah nawe akufungukie kheir
Uislamu ni dini ya hakiiii sanaaaa nimependaa sana iyooo ila mwishoni mpaka machozi yamenitoka ❤❤❤❤❤❤❤
Allaahu akbaru kiukweli Alla ni mkubwa nimetokwa na machozi Kijana alivyolingania DINI na kuchagua biashara ya kuuza VITABU vya DINI wallahi Shekhe Allah akulinde na akupe SIHA njema naamini hata mimi ipo siku NITAKUONA kwa mapenzi ya ALLAH
جزاك الله خير يا أخي العزيز
Dah kijana kanitoa choz wallah😢😢amiin thumma amin Allah ataqabbal dua zetu
Shekh kishki wewe ni mtu wa watu na nimtu mwema allah akuzidishie kheri tunakupenda kwaajili ya allah wwe allah amekupaji na azidi kukuongoza wewe pamoja na sisi uzidi kutupa mazur yatokayo mtume wetu kipenzi sw
Allahumma Amiin
Aaamiiin
Daa nimejikuta machozi yananitoka!!Shekh letu kishki Allah akupe afya njema uzidi kutukumbusha kutokana na maisha ya dunia
Allah humma mamiin 🤲
Amin Amin Amin 🤲 inshaAllah kwa niaba ya shekhe 🤝🙏
subhanallah 😅 tusubiri Subira njema🎉🎉
Subahaanal Malikul Qudduus....Allaahu Akbar....Allaah Atuswaaameh...Sisi tutamjibu nini Allaah na tuna viungo vyetu ns twamuaaswi...Nastaghfirullaah😢
Amiin Ya Rabb
Amiin rabbilalamin
Allahumma Aamiin
Allah akuhifadhi Sheykh kishki anokuchukia wewe anakudhulumu hakika. Twakupenda sheykh Allah akujaalie maisha mazuri fiy dun'ya wal Aakhira
😢😢😢😢maashaallah Allah akuhifadh na akupe umri mlefu sheikh wangu
😢😢yaa Allah
Mjaliee kijana huyu yaliyo ya kheir
Machozi yamenitoka , Allah akupe afya na uzima Sheikh wetu na daawa yako izidi kushika kasi kila sehemu
Allhamdulilah mashaallah pongezi kwa. Sheikh kishk. Kwa kazi anaifanya ukiangalia hii video majozi yatakutoka
Allahumma ameen ya Rabby 🤲🤲🤲
Na ss tunao angalia online dua itufikie
Kwa rehma za Allah
😢😢😢😢 ALLAH akupe kla unalolhtaj ktk nacf yako
Amiin 🤲
Allah akujazee kher,,mtaalam wetuu nurdin kishik nakuelew vizr Sana
Mashallah shehe kishki kipenzi cha watu❤
Maashallah Allah akupe afya njema shekhe wetu hakika unajali watu wenye kukujia Kwa haja na mahitajio mbalimbali
Allahu akbar 😢 MashaAllah ❤❤❤
MashaAllah tabarakallah mjawekheir sheikh mpendwa wawatu Wote Allah atujalie tuweni wote peponi
Allah akulinde tunajifunza kupitia ww alla akulipe mema yako
Mashallah Allah aklpe nurdin kishik nakuelew vizr Sana,,kwaa kazii ya Allah unayoifnya Allah akulpe
Ma shaa Allaah sheikh kishk kipenzi cha watu
RAHA YA UISLAMU ALHAMDULILAAH,.
MashaAllah🥰😭😭ALLAHU AKBAR ❤️Allah akujalie Afya njema umri mref sheikh wetu kipenzi🤲🧡🧡
😭😭😭Ameen yaarabi ameen wallah nimelia saana Allah akupe afya shekhe wetu kwa moyo wako wenye Imani ❤️❤️❤️
Amiin Amiin Amiin
Alhamdulilah shekh mungu akulipe kila lakher wallah huyo kijana amenitowa machozi vijana wazima wanashindwa wallah
Subhanallah Allah amzidishie kheri Sheikh Nurdin 🌹 Alhamduli llahi Aãla kulli Hali wazima wapo busy na mambo ya khairati subhanallah 😭
Daaaah,roho yauma,roho yaumia,roho yasikitika,maumivu makali.
Machozi yamenitoka kwa kweli,pale Dua anapoomba,allahu Akbar.
Kwa hakika Allah hakupi vyote Wala hakunyimi vyote
subhanallllah ,,,amesema angeskia mwanamziki amekuja asingeenda ,,😢❤❤
Yaani nimeiangalia zaidi ya mara tano, Allah akuzidishie na waislamu wote kheri na imani
Allah Akbar kwakwe ata mimi nimetowa macozi Allah Ampe Afya njema pia nasheikh wetu mungu akuzidishie imani Ameen
Mashaa'Allah
Amiin yarabily liallamina Allah takabalin duaa yarabiy
Speechless wallah Allah awape subra na moyo wa kushukur walemav wote Allah a2epush nasisi na vizazi vyetu, ameen 🤲 Sheikh wetu, kipenz chetu, mwalim we2, fahar na tunu yetu Sheikhnurdeenkishk Allah akuhifadh tunakupend mno, Allah atukutanish nawe jannahfirdaus, ww kwe2 ni wathaman mno , Allah akuapmb Afya na siha njema
Allah humma mamiin 🤲
Amina
اللهم آمين يارب العالمين 🤲
Assalam aleykum warahmaturllah wabarakatuh, sheikh kishki hakika tunaimani na wewe, tafadhali toa namba maalum ya mpesa au tigo pesa tumchangie kijana huyu chochote kile insha Allah. Kitakachopatikana utamkabidhi.
Mashallah kafurahi mno alhamdulilah shehe kishki mtu wawatu
Shekh kishki mungu akujaaliye maisha marefu yenye kheri na baraka ndani yake
Amiin
MashaAllah Jazakhallahu kheiri 🙏🙏🙏
Masha Allah Allah akuhifadhi
MashaAllaah tabaraAllaah yaani kijana amejaza furaha kuona Sheikh
Amin rabil amin 🙏🙏🙏
Maskini😭😭😭😭😭😭 Allah atuhifadh na akuzidishie sheikh Nurudin Kishki
😭😭😭😭😭😭😭😭😭Masha'Allah Tabaaraka'Allah khair ndugu haya ni mapenzi makubwa xan kw kwel nimelia xan hakika Mungu ni miweza wa yote 😭😭😭😭😭😭
Mashallah Mashallah, Allah akuajalie maisha marefu inshallah
In shaa Allan Amiin
Allah atusamehe Makosa yetu sisi na Wazazi wetu na Waisilamu🤲🙏
Maa Shaa ALLAH Tabarakallah
Tabaraq Allah.....Allah akuzidishie iman shekh
Subhanallah ya rabby tuliokuw na afya wallah tumshkuru Allah😢😢😢😢😢😢
الحمدلله ع نعمة صحة والعافية mshukuru allah kwa uzima wako na afiya yako ukiwa bado upo duniani alhamdulillahi 🤲
Hata mim Nimelia sana Mashallah Allah akikupenda anawaamrisha Malaika na watu pia wakupende bas mifano ndo kama hii Sheikh Nurdiin wewe ni Mpenzi wa Allah na sisi pia tunakupenda kwa ajili ya Allah 😭😭😭😭😭😭Inshaallah dua yake iwe makbool nimeipenda anasema Kama alivokukutanisha na yeye hapa dunian akukutanishe naye pwpon namim naitikia Dua ammmin yarab 😭😭😭😭😭😭😭🤲
Allahumma Aamiin
Allah atujaalie afya njema shekh kishk kwa sote akupe afya njema allahumma amiin.
Mashaallah machozi yananitoka shekh kishki ww ni mtu wa watu, mungu akuzidishie moyo wa mapenzi na watu
Mashaallah tabarakallah 😢😢😢
Mash Allah sheik wetu nampenda kwa Ajili ya Allah
Ma sha Allah 😢😢adi machozi😢😢Shekh wetu Allah akupe faraja yaumul hisab kama gisi anavo wapa faraja wanyonge🤲🤲🤲😢Pia akuzididshie ikhlaswi na sote pia🤲🤲
Amn mweneu
Maa shaa Allah tabarakallah
Sheikh wetu Allah akulinde na kila shari Allah akubariki na akuhifadhi
namuomba Allah akupe afya njema umri mrefu na ibada njema
Allah atakanali matendo yako yote na Allah akulipe jannatul firdaws pamoja na familia yako
Subhana Allah akuhifadhi shehe wetu ❤❤
Subhana Allah sheikh letu Allah akupe saada duniani na kesho akhera na akujalie janatul firdaus
Aminn yarrab 🤲 mashallah Mwenyezimngu amjaaliye kila Jambo lakheri insha'Allah imenigusa
😭😭😭najikut nalia shekh kishik Allah akuhifadhi
Ata na mimi wallah nataka kunjuwa sheyewango😢😢
Aiseeee! Nimetokwa na chozi hapo mwisho wallah
Subhanaallah ametakasika Allah Ana utukufu. Husnilkhatima ya rabbi. Amin
Mungu amjalie sheikh wet
Mashaallh Tabarakallh
Ni funzo kwa waislam wote Tz na duniani kwa ujumla❤❤❤❤(ALLAH TUJAALIE MWISHO MWEMA)
Allah akuongezee kila unachopunguza shekhe
Allah Akbar, Allah akujaalie
MashaAllah tabarak Allah Narudi tenaa kuangalia ii vedeo
Najikuta. Nalia😢😢
Hats mimi nimeliaaa
Machozi yamenitoka,Allaahu Akbar ihdinasiraatul mustaqeem
Allah Akbar kwel kishk we ni mja was Allah sw wahadhir wanatakiwa kuiga mfano wako Allah sw akupe afya njema na umri mrefu wenye manufaa kisk
Mm natamani sheikh kishki anitafutie mme ninamtoto mmoja
أسأل الله العظيم رب العرش العظيم أن يجزيك خير الجزاء ياشيخ، وان يجمعنا في الجنه يارب العالمين
اللهم آمين
SubhanaAllah,Kuna chakujifunza hapa
Mashaallh tabaraka rahamani allhu amni❤❤❤❤
Allah akuwekee baba shekh wetu😢😢😢😢