PATANISHO : NILIKOSANA NA MUME WANGU 30 YEARS AGO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @helinanyaboke6910
    @helinanyaboke6910 4 месяца назад +13

    😂😂😂😂😂😂yaaan waliachana time sikua nimezaliwa😂😂this mama she's Just a vibe

  • @zalwango73
    @zalwango73 4 месяца назад +19

    Huyu Mzee bado Ako na madharau, may this Mama accept and begin the healing journey.

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 4 месяца назад +3

      Very true bado ako na raha kabisa huyu mzee bt mama sai amechoka na Nairobi anataka kurudi home akii.

    • @JamboKenya-wy4hq
      @JamboKenya-wy4hq 4 месяца назад

      Si madharau.the woman is psycho shes still holding on to someone who let her go 4 yrs.crazy

  • @Mercy12990
    @Mercy12990 4 месяца назад +9

    My sister wachana na huyo . Enjoy your life

  • @cindy8588
    @cindy8588 4 месяца назад +11

    Best patanisho ever...aki love wewe---30yrs😂😂😂

  • @moreh462
    @moreh462 4 месяца назад +2

    First love haiwezi isha,, hata mechi utaitiwa akiwa ameolewa

    • @nesbitmiriti4366
      @nesbitmiriti4366 3 месяца назад +1

      Hio first love usiwai fikiria kwa ndoa utaharibu.

  • @everygoodthing8506
    @everygoodthing8506 4 месяца назад +3

    Mzee very mature. Huyo mama was psychological affected by the first love breaking her heart.

  • @julianamalinda2357
    @julianamalinda2357 4 месяца назад +16

    This woman still loves this man but she doesn't want to say

  • @carolynkipkebut2420
    @carolynkipkebut2420 4 месяца назад +4

    Mama mwerevu sana kwa hizo miaka

  • @dorachristine5509
    @dorachristine5509 3 месяца назад +1

    Anaitwa Cathy my sister, wali unjire. Yani vituko hutai Acha. U are a vibe mama . People here have miss understood you
    U a a good woman uzuri u moved on you have your own home sis, unenunua ukajenga . Congrats . U moved on ,

    • @hildainziani7147
      @hildainziani7147 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂wewe unasema nini, 30yrs ago na bado unatafta mtu ahh

  • @passionateloveofchrist694
    @passionateloveofchrist694 4 месяца назад +13

    Huyu mama anataka kurudi nothing else 😅😅😅😅😅

  • @heh5209
    @heh5209 4 месяца назад +1

    Bona mzee is so happy

  • @emilywangui
    @emilywangui 4 месяца назад

    Best patanisho of the year😂😂😂😂😂😂😂hii ndio tunafunga mwaka nayo

  • @faumash6734
    @faumash6734 3 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂dry spell is real yaani after miaka thateeeeee ❤❤

  • @JamesRashish
    @JamesRashish 3 месяца назад

    my uncle is always a vibe hahaha as his nephew i have failed terribly wacha nirudi soko tena niongeze familia

  • @MargaretAwinja-ls7hx
    @MargaretAwinja-ls7hx 4 месяца назад +1

    Oh my sweetheart😂😂😂,,,the end jo......

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 4 месяца назад +5

    Huyu mama alifanya vizuri sana ,kutoka ndio akawwza kulea watoto ,and i m sure wanakaa vizuri ,isopkuwa inafika mahali watoto wakiondoka unabaki bweke sana,na huwezi alowa tena ,bt incase bado anataka mtu mwambie aende kwa njenga njeru show atapata mtu

    • @susanmuthoni5482
      @susanmuthoni5482 4 месяца назад

      Lakini mtu anaweza pata kamtu..its never too late.
      And not necessarily mtu aolewe.

    • @makavhilatina
      @makavhilatina 3 месяца назад

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @alphoncemasakhwi7187
      @alphoncemasakhwi7187 3 месяца назад

      Stupid hakuna watoto huyo mama amelea ,dad ametusomesha wote,hadi mtoto wa huyu mama,she is confused

    • @user-cg3vf2bl6b
      @user-cg3vf2bl6b 3 месяца назад

      @@alphoncemasakhwi7187 huyu stupid NI babako ama huyo mama?

  • @evansnyams
    @evansnyams 4 месяца назад

    Best patanisho

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 4 месяца назад +2

    Machunguuuu bado iko hapa tu, huyu mama bado anapenda huyu mzee😂😂😂

  • @claudiakazz952
    @claudiakazz952 3 месяца назад +1

    That's my uncle!!!

  • @Jane-fi8on
    @Jane-fi8on 4 месяца назад +7

    These two MAY be good parents to their children BUT NOT good spouses to each other.

  • @evemurugi3399
    @evemurugi3399 4 месяца назад +4

    Wanawake kweli wana weza kaa 100 years bieng angry

  • @fidellsonko624
    @fidellsonko624 4 месяца назад +7

    Waliachana kama sijazaliwa 😂😂😂

    • @tangilamillie
      @tangilamillie 4 месяца назад +1

      Na naonà ukona mtoto already 😂😂😂enyewe waliachana kitambo😂

    • @brendaokola3893
      @brendaokola3893 4 месяца назад

      🤣🤣🤣

  • @PatienceMangeni
    @PatienceMangeni 4 месяца назад

    Hii imebamba sana😊😊

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 месяца назад

    Catherine bado ana mtaka mume 😂😂😂😂 the end was 🔥🔥🔥🔥

  • @mpendamuziki
    @mpendamuziki 4 месяца назад +3

    This should be interesting. 30 years ago?

  • @FredrickodhiamboIla
    @FredrickodhiamboIla 2 месяца назад

    Gz just one week you have forgotten your love.

  • @RoseItuu
    @RoseItuu 4 месяца назад +1

    Aki love wewe😂😂😂😂

  • @JamboKenya-wy4hq
    @JamboKenya-wy4hq 4 месяца назад +1

    Huyu mama ni mwenda wa zimu mambo ya 30yrs na ameolewa ata mzee hamtaki bado anataka kujirudusha.pelekeni mathare.

  • @EdnaMirembe
    @EdnaMirembe 4 месяца назад +3

    This woman is from new life higher alter

  • @justuskemboi2322
    @justuskemboi2322 4 месяца назад

    Soo interesting

  • @ZekaniS
    @ZekaniS 4 месяца назад

    😂😂😂😂❤❤❤Bibi kamkumbuka babu ❤😂😂😂babu chukua Bibi bado anakupenda😂❤❤❤

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 месяца назад +1

      Ako na 6 wives ako na shida za kutosha mama alikuwa tu anamuenjoy ama one of his wives alimtusi huyo mama,akaamua kumweka hewani ,sisi wanawake tuna style ya kudeal na the goat wives wakituringia .

  • @suzyterry8972
    @suzyterry8972 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂hii imenimaliza ludisha huyu mama

  • @floraaseyo1101
    @floraaseyo1101 3 месяца назад

    ❤ Cathrine my step sister 😂😂.
    Wali unjire dada wa mine

  • @susanmuthoni5482
    @susanmuthoni5482 4 месяца назад +2

    Ata wazee wana mambo😂😂😂
    Let the children continue visiting their dad. Mzee tafuta mwingine Catherine.

  • @bro.kmthomas6552
    @bro.kmthomas6552 4 месяца назад +1

    Hi ni Kali 😂😂😂

  • @stellahstellah5201
    @stellahstellah5201 4 месяца назад +2

    Ni rungu inamrudisha 😂😂😂😂

  • @brendaokola3893
    @brendaokola3893 4 месяца назад

    😅😅😅😅hii nayo imeweza

  • @JamesRashish
    @JamesRashish 3 месяца назад

    As his nephew i think i have fallen short🤭wacha niapishe deputy leo na nirudi soko tena 🤣

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 3 месяца назад

    Hata kama sijazaliwa this is too much sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Leo Bado wamfikiria mtu uja movie na life?😂😂😂

  • @alphoncemasakhwi7187
    @alphoncemasakhwi7187 3 месяца назад

    Huyu muma awache kuharibu boma letu,that our father

    • @ivyleila
      @ivyleila 2 месяца назад +1

      Awache kuaribu aje na yy ndio alikuwa wa kwanza.ujinga peleka mbali.na akitaka kurudi hakuna kitu mtafanya

  • @irentirop6304
    @irentirop6304 4 месяца назад

    Haha😂😂😂😂😂uyuu Mamaa anataka uyu mubwana 😂😂😂😂

  • @lytronkavere1678
    @lytronkavere1678 4 месяца назад +1

    😅😅😅😅Wiii sijui kama mokoro na mzae wame skia hiii

  • @missmuchiri7537
    @missmuchiri7537 4 месяца назад

    30 yrs seems like yesterday to this Mama 😅😅😅,the Mzee is wondering after "thate!!!".......na mzae anacheka why

  • @winnievelachosen7501
    @winnievelachosen7501 4 месяца назад +1

    Anadai kurudi😂😂😂😂😅😅😅

  • @helinanyaboke6910
    @helinanyaboke6910 4 месяца назад +3

    Muko sure uyu mama Ako 50😂😂😂😂

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 месяца назад

      Wamama wakifika 50 wanarudi adole .

  • @puritymakena78
    @puritymakena78 4 месяца назад +4

    Huyu mama ni dry spell imemsumbua😂

    • @passionateloveofchrist694
      @passionateloveofchrist694 4 месяца назад

      Dry spell na Ako na mtu😅😅😅yawa

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 4 месяца назад +3

      @@passionateloveofchrist694 watu wanafikiria tu mambo za utoto ,Milka ikiendelea akili zinakomaa.

  • @AmosSirengo-p6m
    @AmosSirengo-p6m 3 месяца назад

    Ulienda ukiwa msihana, wanaume wamekutumia umekuwa kifagio Ile imechapa, umezeeka, sahi eti unarudi. Mimi siwezi kukubali .

    • @MusauColleta
      @MusauColleta 2 месяца назад

      Anarudi kwa kifangio mzee mwezake

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 4 месяца назад

    Mzee samehe bhana urudishe mama nyumbani.😂😂😂😂 Pia mama anaonekana anataka arudishe Majeshi Kwa Mzee.

  • @melsaotieno1833
    @melsaotieno1833 4 месяца назад

    Yaani hata sikuwa nmezaliwa😂😂😂😂

  • @vivicakarry
    @vivicakarry 3 месяца назад

    Nipitieni tujengane

  • @Bellah-c3m
    @Bellah-c3m 4 месяца назад +1

    This woman amechokaaaaa naisha ya taon 😂😂anataka tu arudi nyumbani kama bibi mkubwa 🤣🤣🤣 😂😂😂amenotice amezeeka nahana kwingine kwa kwenda 😂😂ni ndege ambae amehemaaaaaa anatafuta kwa kutua 😂😂😂😂😂

  • @missmuchiri7537
    @missmuchiri7537 4 месяца назад

    Hawa waliachana kama sijazaliwa 😅😅😂😂mailod🙆

  • @DominicBarongo
    @DominicBarongo 4 месяца назад +2

    Sasa s wangetegea hata nizaliwe ndo waachane 😅😅😅

  • @virginiashitichi5999
    @virginiashitichi5999 2 месяца назад

    What waliachana hata kama sijajua nitazaliwa

  • @faithchepkembol
    @faithchepkembol 4 месяца назад

    Hii imenibamba sana😂

  • @Mercy12990
    @Mercy12990 4 месяца назад

    Patanisho mnapenda finyo kwanza ghost . Mwa naku ghost

  • @doreennkonge94
    @doreennkonge94 4 месяца назад

    This is not love ni werevu ndio apate inheritance..mzee akiaga.

  • @gzdcn
    @gzdcn 3 месяца назад

    Anampenda. Anataka kitu.
    Ghost anacheka kwanini?

  • @philicemaradi
    @philicemaradi 4 месяца назад

    Uyo mwanamke still anapenda uyo Mzee bt Mzee amtaki🤣

  • @Minkaari-Kamoga
    @Minkaari-Kamoga 3 месяца назад +1

    Uncle huyo ni wewe

  • @stephenotieno.9638
    @stephenotieno.9638 4 месяца назад +2

    Mama ana kiherehere mingi..

  • @tabbygathoni
    @tabbygathoni 4 месяца назад

    😂😂😂😂 huyu arudi tu kwa bwana 😂😂😂

  • @CarolNjeri-f7j
    @CarolNjeri-f7j 4 месяца назад +1

    Wenye bdo hatukua tumezaliwa mpooo

  • @isacngure
    @isacngure 3 месяца назад

    Dry spell

  • @nyarsakwa1492
    @nyarsakwa1492 4 месяца назад +1

    Huyu Catherine, atasumbua wale bibi wengine akirudishwa kwa boma

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee 4 месяца назад

    Men ,mtu unamkasirikia nayee nikicheko tuu umelea watoi pekeyako yeye anaona tu hakuna shida.

  • @user-cg3vf2bl6b
    @user-cg3vf2bl6b 4 месяца назад +1

    Seminer ya polygamous?😂😂bt ni wazazi wazuri wana upendo

  • @NaomyMuttai
    @NaomyMuttai 4 месяца назад +1

    Uyu mama anataka kurudi😂😂😂😂

  • @irinebett6537
    @irinebett6537 4 месяца назад

    😂😂😂😂 this life has no balance

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 4 месяца назад +1

    She is now missing this man.😂😂😂

    • @JamboKenya-wy4hq
      @JamboKenya-wy4hq 4 месяца назад +1

      How

    • @jimwafula4733
      @jimwafula4733 4 месяца назад

      @@JamboKenya-wy4hq Did you watch the video or you didn't understand it?

  • @bintiwakwetu1357
    @bintiwakwetu1357 4 месяца назад

    Huyo mama ameonja pombe anaongea tu faaa

  • @phanicemulongo7098
    @phanicemulongo7098 4 месяца назад +1

    Huyu mzee ni muongo anasema eti nimewasikiza naako kwa seminar, tena anakaa akichekacheka nikama hana akili uzuri mama amejiajilia

    • @MomentofCorrection
      @MomentofCorrection 4 месяца назад +2

      Mama is more crazy than him. Who calls their ex of 30 years ago expecting to be taken back. Any man will see this woman as crazy and funny, hence his laughter

    • @PatienceMangeni
      @PatienceMangeni 4 месяца назад

      Zii hakuna mahali amesema anasikiza amesema huwa anasikiza akiwa kwa nyumba ni vile Leo ako seminar.

  • @bintiwakwetu1357
    @bintiwakwetu1357 4 месяца назад

    This mama is forcing isues

  • @georgymahi149
    @georgymahi149 4 месяца назад

    Kuuuumbe bado hao hurudi ???

  • @vyonamary3034
    @vyonamary3034 4 месяца назад

    Bibi alitokwa na mkikuyu

  • @Maggy_OnACoffeeBreak
    @Maggy_OnACoffeeBreak 4 месяца назад

    😂😂😂😂

  • @alphoncemasakhwi7187
    @alphoncemasakhwi7187 3 месяца назад

    My Dad is. Avibe wewe mama fanya ,kazi ya nyumba pole, pole,dont reason like academic dwarf,mzee has moved on ,tafta dick ingine uko inje punda wewe

  • @bobogitau5383
    @bobogitau5383 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @marylyneliavuli8573
    @marylyneliavuli8573 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂